MCHUNGAJI ISSA AZAMA JANGWANI NA KUIBUKA NA TATU MUHIMU KUHUSU INJINIA HERSI NA WACHEZAJI WAKE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 чер 2024
  • #simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #football #simbasc #middlesimba #tanzaniapremierleague #sportarena
  • Спорт

КОМЕНТАРІ • 36

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 13 днів тому +2

    Aiseee! Mchungaji nakuelewa sana ni kweli wanalalama sana ooooh chama kauza mechi ,eti Mzee jaman sema kweliiii

  • @leonardbukulu5527
    @leonardbukulu5527 11 днів тому +2

    Huyu Jamaal anaweza sana simba mpeni timu anaweza

  • @jackmabirangacharles9398
    @jackmabirangacharles9398 21 день тому +7

    Mchungaji nakuelewa Sana shida ni kwamba tatizo la Simba ni Uongozi sio wachezaji kaka tumia Nguvu kubwa mubadilishe Katiba tu ili mpate Viongozi Bora Leo umeongea Point

  • @fabiandanford3572
    @fabiandanford3572 22 дні тому +3

    Upo sahihi broo

  • @yustinodavidmillungu4585
    @yustinodavidmillungu4585 15 днів тому +1

    Tatizo lenu muwe mnaelewa anasema nini basi sio mnakurupuka tu, Sasa yeye kasema simba ni timu kubwa lakini timu kubwa imepigwa NJE ndani. Hapo ndio utajua kuwa Yanga ni kubwa Sana African mashariki

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g 9 днів тому +1

    Mchungaji aisee yupo sawa ila mbumbumbuu hawatakubali sijui wanashida gani

  • @SurprisedDrums-ep4ur
    @SurprisedDrums-ep4ur 22 дні тому +2

    Uyu jamaa anaongea point sana

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 13 днів тому +1

    Mchungaji unaujua mpira pia uelewa wako ukojuu sana waambie simba hawataki kuelewa hilo

  • @drvaxminja2133
    @drvaxminja2133 24 дні тому +2

    Huyu jamaa anaongea points

  • @user-sz6ht5wm2g
    @user-sz6ht5wm2g 9 днів тому

    Mchungaji nitakuwa nakufatilia upo mkweli sana na Mungu akupe maisha marefu ili ukweli wako uwe njia kwa wengine

  • @MaubaAnzuruni
    @MaubaAnzuruni 18 днів тому +3

    Huyo mwana soccer anaujua mpira

  • @sallyeliya5213
    @sallyeliya5213 10 днів тому

    Uko sawa kiongozi🎉🎉🎉🎉

  • @moiseszacariasmoisesmoises
    @moiseszacariasmoisesmoises 18 днів тому +2

    upo sai kaka

  • @erastocyprian3555
    @erastocyprian3555 19 днів тому +3

    Uyu mtu ni mchambuzi mzuri

  • @erastocyprian3555
    @erastocyprian3555 9 днів тому

    Uyu jamaaa noma sana anajua

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 15 днів тому

    Chaka atawafunga sana simba

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 15 днів тому +1

    Mchungaji ongea wanasimba wakusikie

  • @godfreysimoni4270
    @godfreysimoni4270 16 днів тому +1

    Mchungaji kiukweli hapo umeongelea mpila na uko sahihi

  • @user-nm2jq7xo5f
    @user-nm2jq7xo5f 18 днів тому +2

    Sema wa sikie wanajifanya hawasikii?

  • @JosephBernad-b7b
    @JosephBernad-b7b 20 днів тому +5

    Hongera sana broo unaongea kama mtu wa mpira kweli

  • @seydouside4081
    @seydouside4081 23 дні тому +2

    Mtu na nusu..nimekuelewa..mpira sio mihemko..wanasajili kwa sababu ya kuona aliwazuia walipo cheza nayo..kocha hayupo wanasajili.duuuuuuh..bg up bro

  • @user-qi3wv8sf5j
    @user-qi3wv8sf5j 12 днів тому

    Yes,mahojiano mazuri

  • @PaulMuasya-z8c
    @PaulMuasya-z8c 3 дні тому

    Simba walishindwa kuingia klabu bingwa wakiwepo Chama, Saido na wengineo.
    Tulia utakuuja shangaa wewe lakini mambo ya wachezaji ambao hawaeleki kama ni maduka ama ni nini ndani ya Simba

  • @ImanuelMwaipaja-wf7xq
    @ImanuelMwaipaja-wf7xq 14 днів тому

    Mpira bana tatizo yote nikombe ukibebatuu. Tulii

  • @InnocentNyanga
    @InnocentNyanga 16 днів тому

    Wana Simba tujitathmini kwenye kweli, je Chama angeishi milele Simba?

  • @chochotekitu-hf6of
    @chochotekitu-hf6of 18 днів тому +2

    Sema wewe mshabiki wa simba nikisema mimi ntaambiwa yanga wacha inyeshe tuone inapovuja.

  • @user-xi9wq2em7e
    @user-xi9wq2em7e 20 днів тому +2

    Wewe ndiyo mpumbavu na chizi toa pointi za kimichezo na siyo kutukana wachambuzi mbwa mwenyewe fisi maji we.

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 17 днів тому +1

      Matusi yanini? Mkuu kasema ya kwake ya moyoni

    • @matiankomola2391
      @matiankomola2391 6 днів тому +1

      Chuki ya nini?
      Kama humwelewi achana naye!

  • @InnocentNyanga
    @InnocentNyanga 16 днів тому

    Uzoefu wa roba fainali kwa chama ulipatikana wapi lini na kwa akina nani bro'oo, kumbuka waliuzwa wachezaji 2 kwenye 11 ya Simba Yeye na Miquison na Simba imebakia kuwa Simba ya robo fainali na huyo Saidoo unayemwongelea elewa kuwa mkataba ndio uliowalazimisha makocha wote kumchezesha.

  • @PaulMuasya-z8c
    @PaulMuasya-z8c 3 дні тому

    Chama akija Simba alikuaje wewe ?
    Chama jina kalipatia Simba wewe sijui nani lakini alipokwenda kwa Warabu kashindwa ama wewe unaishi ulimwengu gani.

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 22 дні тому +1

    Hamia huko mbwa ww

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb 22 дні тому

    Mpumbavu mkubwa sanaaa