![Mawengi TV](/img/default-banner.jpg)
- 2 153
- 1 946 442
Mawengi TV
Tanzania
Приєднався 17 лип 2015
Mawengi TV ni chaneli ya mtandaoni inayofanya kazi kwa weledi na kufuata sheria za nchi na imesajiliwa na mamlaka ya mawasiliano Tanzania (TCRA) kupitia sheria ya huduma za habari.
Mawengi TV imejikita katika kutoa taarifa mbalimbali za Michezo na Burudani ambapo uki-subscribe katika chaneli hii utapata habari mbalimbali za michezo na burudani kutoka Tanzania,Afrika na Duniani kwa ujumla.
Pia utaweza kupata mahojiano maalumu na Wadau mbalimbali wa Michezo na Burudani.
Tafadahali SUBSCRIBE kwenye chaneli hii kwa habari motomoto.
Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0775838849.
KIWANGO CHA CHAMA DHIDI YA AUGSBURG CHATILIWA MASHAKA AFUNIKWA NA DUKE ABUYA/AZIZ ANDAMBWILE
@Yangatv@simbasc
Переглядів: 321
Відео
TAZAMA VAR AKUTANA NA BARAKA MPENJA/ WAKITAMBULISHA KIKOSI CHA YANGA KUELEKEA DERBY TAREHE8
Переглядів 21612 годин тому
@Yangatv@simbasctanzania255 @manaratv @mavalatv @MpenjaTV
YANGA HII INA MABALAA WASILETE TIMU UWANJANI TAREHE 8 WATAAIBIKA/AUGUSBURG HAWAAMINI MACHO YAO/VAR
Переглядів 40614 годин тому
@YoungAfricansSCTV @Simbatv-g8w @MpenjaTV @manaratv
GOLI LA BALEKE LAWAPAGAWISHA WANASIMBA/WAMHOFIA KUWAJERUHI NGAO YA JAMII
Переглядів 39514 годин тому
@YoungAfricansSCTV @simbasctanzania255 @manaratv
AWESU ALLY AWESU AMUACHA NJIA PANDA KOCHA WA SIMBA DAVIES AMPIGIA SALUTI UWEZO WAKE MAZOEZINI BALAA
Переглядів 54815 годин тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simba #tanzaniapremierleague #sportarena
KIBU DENIS AMPASUA KICHWA KOCHA KAMBINI AGOMEA KAMBI YA PRE-SEASON MISRI/SAID AFICHUA KINACHOENDELEA
Переглядів 74516 годин тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simbasc #tanzaniapremierleague #sportarena
MCHUNGAJI ISSA:JEZI YA MSIMU HUU NI BALAA/SALAMU WANAZO YANGA WAISHA ANZA KUTUTANGAZIA
Переглядів 5262 години тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simba #middlesimba #tanzaniapremierleague #sportarena
MCHUNGAJI ISSA:HUU NI UBABAISHAJI UNAOFANYIKA/VIONGOZI KMC AWESU KAFIKA VIPI MISRI WAKATI MALI YENU?
Переглядів 1,4 тис.2 години тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simba #yangasc #tanzaniapremierleague #sportarena #azamtv
#LIVE UCHAMBUZI WA UBORA/UDHAIFU WA KIKOSI CHA YANGA KATIKA MCHEZO WAO NA FC AUGSBURG.MPUMALANGA CUP
Переглядів 1,3 тис.2 години тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simbasc #middlesimba #sportarena #tanzaniapremierleague
UBAYA UBWELA-MCHUNGAJI ISSA AITABIRIA SIMBA USHINDI MNONO DHIDI YA YANGA KWENYE NGAO YA JAMII
Переглядів 2422 години тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simbasc #tanzaniapremierleague #sportarena
ALLY KAMWE;TUNAENDA KUPIGA KWENYE MSHONO TUTAMTAMBULISHA MCHEZAJI WETU MPYA MUDA WOWOTE
Переглядів 7044 години тому
@YoungAfricansSCTV @Simbatv-g8w @manaratv
MAPOKEZI YA YANGA AFRICA KUSINI NI BALAA TUPU/WAWASILI KUKIWASHA NA AUGSBURG YA LIGI KUU UJERUMANI
Переглядів 1,4 тис.4 години тому
@YoungAfricansSCTV @simbasc@manaratv @mavalatv @ayomamedia7511
SHETANI WA YANGA ATOKWA NA POVU MBELE YA MAGOMA KISA KUISHITAKI YANGA
Переглядів 3544 години тому
@YoungAfricansSCTV @Simbatv-g8w @manaratv
VAR:KAMA BADO MNAUCHUNGU NA CHAMA MSEME SIO KUTAFUTA SABABU ZA KUUCHAFUA MPIRA WETU
Переглядів 4664 години тому
#simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simbasc #middlesimba #tanzaniapremierleague #sportarena #YANGA
WAZEE WA YANGA WAMPA ONYO KALI MAGOMA TUSIKUSIKIE TENA WEWE SI MWANACHAMA WETU
Переглядів 3314 години тому
#kipengaxtra #simplysports #simbasc #middlesimba #tanzaniapremierleague #sportarena #yangasc #MPENJA
ALIYEWASHITAKI YANGA MAHAKAMANI MZEE MAGOMA AUMBUKA NA KESI MPYA/ALIFOJI SAINI SASA NI JINO KWA JINO
Переглядів 3557 годин тому
ALIYEWASHITAKI YANGA MAHAKAMANI MZEE MAGOMA AUMBUKA NA KESI MPYA/ALIFOJI SAINI SASA NI JINO KWA JINO
#LIVE WAZEE WA YANGA WAKIUNGURUMA MUDA HUU JANGWANI/WAMKANA MAGOMA SI MWANACHAMA WA YANGA
Переглядів 3147 годин тому
#LIVE WAZEE WA YANGA WAKIUNGURUMA MUDA HUU JANGWANI/WAMKANA MAGOMA SI MWANACHAMA WA YANGA
INJINIA HERSI:TUTAPAMBANA NA WANAOTAKA KUVURUGA AMANI NDANI YA KLABU YA YANGA/VAR AMLIPUA MAGOMA
Переглядів 3479 годин тому
INJINIA HERSI:TUTAPAMBANA NA WANAOTAKA KUVURUGA AMANI NDANI YA KLABU YA YANGA/VAR AMLIPUA MAGOMA
ALLY YANGA HAPOI,AJA NA KUBWA KULIKO KUELEKEA MCHEZO WA NGAO YA JAMII DHIDI YA SIMBA.
Переглядів 859 годин тому
ALLY YANGA HAPOI,AJA NA KUBWA KULIKO KUELEKEA MCHEZO WA NGAO YA JAMII DHIDI YA SIMBA.
YANGA MATATANI,BARUA KIBAO INJINIA HERSI MPAKA SASA KIMYA
Переглядів 3929 годин тому
YANGA MATATANI,BARUA KIBAO INJINIA HERSI MPAKA SASA KIMYA
ALLY ATAJA MASHARTI ALIYO PEWA CHAMA BAADA YA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA 17 NA FARID MUSSA
Переглядів 28312 годин тому
ALLY ATAJA MASHARTI ALIYO PEWA CHAMA BAADA YA KUKABIDHIWA JEZI NAMBA 17 NA FARID MUSSA
ALLY YANGA KASHINDWA KUVUMILIA AMPA MAUA YAKE INJINIA HERSI KWA HILI JAMBO ZITO ALILO IFANYIA YANGA
Переглядів 58412 годин тому
ALLY YANGA KASHINDWA KUVUMILIA AMPA MAUA YAKE INJINIA HERSI KWA HILI JAMBO ZITO ALILO IFANYIA YANGA
ALLY YANGA:ONANA HANA UWEZO WA KUISAIDIA SIMBA MSIMU HUU.NI BORA ANGEACHWA TUU
Переглядів 42912 годин тому
ALLY YANGA:ONANA HANA UWEZO WA KUISAIDIA SIMBA MSIMU HUU.NI BORA ANGEACHWA TUU
HII UTAIPENDA PASI MILIONI AWAPA MAJINA YA KIPEKEE WACHEZAJI WA SIMBA NI MWENDO WA PASI ZA SGR
Переглядів 1,3 тис.14 годин тому
HII UTAIPENDA PASI MILIONI AWAPA MAJINA YA KIPEKEE WACHEZAJI WA SIMBA NI MWENDO WA PASI ZA SGR
MWALIMU YANGA AWAVIMBIA SIMBA NA AL AHLY. YANGA NDIO BABA LAO
Переглядів 10914 годин тому
MWALIMU YANGA AWAVIMBIA SIMBA NA AL AHLY. YANGA NDIO BABA LAO
MWANA FA AKIRI KWAMBA AZAM FC WAMEPANGIWA VIGOGO LIGI YA MABINGWA AFRIKA.
Переглядів 17914 годин тому
MWANA FA AKIRI KWAMBA AZAM FC WAMEPANGIWA VIGOGO LIGI YA MABINGWA AFRIKA.
MZEE WA SALUTE AWATAKA TP MAZEMBE SIKU YA SIMBA DAY AONE PANAPOVUJA MSIMBAZI
Переглядів 70214 годин тому
MZEE WA SALUTE AWATAKA TP MAZEMBE SIKU YA SIMBA DAY AONE PANAPOVUJA MSIMBAZI
V.A.R YAFUNGWA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA,RAIS WA TFF WALLACE KARIA ASEMA TIMU KUONEWA SASA BASI.
Переглядів 27414 годин тому
V.A.R YAFUNGWA UWANJA WA BENJAMIN MKAPA,RAIS WA TFF WALLACE KARIA ASEMA TIMU KUONEWA SASA BASI.
MCHUNGAJI ISSA AITOLEA UVIVU YANGA MSIMU HUU KOMBE NI LA SIMBA WATAKE WASITAKE LAZIMA IWE
Переглядів 1,6 тис.16 годин тому
MCHUNGAJI ISSA AITOLEA UVIVU YANGA MSIMU HUU KOMBE NI LA SIMBA WATAKE WASITAKE LAZIMA IWE
MCHUNGAJI ISSA AWAPA TAHADHARI MASHABIKI WA YANGA WASISHANGAE KWA KILE KITAKWENDA KUWAPATA TAREHE 8
Переглядів 1,2 тис.16 годин тому
MCHUNGAJI ISSA AWAPA TAHADHARI MASHABIKI WA YANGA WASISHANGAE KWA KILE KITAKWENDA KUWAPATA TAREHE 8
Mauya hakuwepo unaongea kwa muhemko
Mchungaji ombea Tim yetu wanailoga sana
😂😂😂😂
Muwaweke Mkapa stadium. Halafu 20,000 watasimama nje.
Tz, waandishi, wengi, ni wa hovyo ni washabiki tu
Chama akija Simba alikuaje wewe ? Chama jina kalipatia Simba wewe sijui nani lakini alipokwenda kwa Warabu kashindwa ama wewe unaishi ulimwengu gani.
Simba walishindwa kuingia klabu bingwa wakiwepo Chama, Saido na wengineo. Tulia utakuuja shangaa wewe lakini mambo ya wachezaji ambao hawaeleki kama ni maduka ama ni nini ndani ya Simba
Raha Sana kukusikiliza Ally chukua 🎉🎉🎉🎉🎉 yako
Kolo chakavu unanifuraisha Sana bro
Mawengi tv tutazidi kuwaletea watu wa mpira kama hawa. Tafadhali endelea kutufuatilia.mambo mazuri yanakuja
Yanga ni kubwa Sana Afrika hakuna anayebisha kwa sasa
Huyu baba Injinia ni mtu na nusu. Wengine ni majungu tu. Injinia anajua kuiwakilisha Yanga na hata Tanzania kimataifa. Ninajisikia fahari ninapomsikiliza Injinia akiwa nje ya nchi na kuiongelea yanga. Ni baba wa wawatoto na mpira.
Yaani huyu mchungaji haeleweki kabisa, ndumilakuwili
Daaah mtangazajii!!! Ongeza umahili kwenye kuuliza maswaliii
Huyu mchungaji sijui kama anachunga ngombe au mbuzi,ni muongo sana ,anaongea kama kasuku
Kwan yanga kukiri ubora wake jopokuwa alikiwa timu pnzani Kuna kuso gan ,Kwan kila mchezaj mzur yupo yanga ? Hata tmu nyingine wamo
Pasi million asante kwa ponti,tuseme anayesema MO atusaidie amalizie kujenga uwanja bunju,tusinyanyasike tena gonga like,mo asome ujumbe wetu ❤
Mmh 🤣
Wakwanza kucoment gonga like wanasimbaaaaaaaaa wenzangu❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Upo vizuri
Hatukutaki bweha ww
Hakika Haina baya kwa uongozi Wala walimu
Nilidhani unazungumzia mpira kumbe unazungumzia ushabiki.
Ucijimaliz
huwo ndo ukweli hata mm na kukubal sana kaka
HANA JIPYA
Na Azam mbona hamsemi nyinyi kilamkiamuka Simba chama waandishi gani msio jielewa madeni fc hawana hela
We mwenyewe hukuwa hata na sababu ya kwenda kuiongelea simba
Usijidanganye mchungaji
Anafanana na lisu 😅😅😅
Wamekwemda kwa pesa Yao sio ya babako Wala mamako. Shughlika na mambo yako
Mmmh Mungu alaumiwe tena?
Sio ngumu kaka,pacome anaweza shuka acheze 8,alafu nyuma ya dube,akae chama,ki na max
Pole sana mchungaji
Tunajianda na safari ya kwenda Burundi mabasi 50 yanandaliwa
Hatutaangalia usonini kukung'utatuuuu
Tutawanyuka haswaaaaa
Umrimdogo Mchambuziwa kizamanihuyu
Young Africans, MUNGU aliye hai yupo upande wetu,kocha, wachezaji, viongozi,na wananchi wote, tuna wakati mzuli sana,
VitaL,o wameanza usajili mpya Kwa ajili ya kuwakabili Young Africans
😂😂😂
YANGA kwenda Burundi wanaenda kuinjoi sana tutafurahi sana Wana yanga
Mi wachambuzi nawashangaa sana,mpira wa siku hizi hauzezwi kwa namba kama zamani
Huyu jamaa ajifunze kuwa pacome natural position ni 8 Sema huwa anacheza winga, Maxi ni winga natural, Aziz na Chama ndo namba kumi, Duke anaweza kucheza winger pia. Sio wote namba 10
🎉🎉❤
Mchungaji Issa unajua mpira na wala hubahatishi na ni mkweli sana
Mchungaji nitakuwa nakufatilia upo mkweli sana na Mungu akupe maisha marefu ili ukweli wako uwe njia kwa wengine
Mchungaji aisee yupo sawa ila mbumbumbuu hawatakubali sijui wanashida gani
Uyu jamaaa noma sana anajua
Acheni kujisifu mnaweza kuaibika. Uanjani kunapicha mpya
Uko sawa kiongozi🎉🎉🎉🎉
Baba mchungaji wewe unasemakweli viongozi wanawaacha wachezaji kwa mihemko ya mashabiki utafikili wao ndiowanaosajili mashabiki wa Simba wakisema mchezajifurani hatumtaki basi viongozi wanamuacha ila mwakahuu watakachokutananacho lawama hatutaki waliokuwa wanauza mechi wote mmewafukuza olewenu mje na lawama la kuuzamechi wakati mmeacha wachezaji wazuri mmesajili wabovu wajinga sana nyinyi alafu mnasema mnalogwa mpira uwanjani hamnamchawi sasaivi uchawiwako niusajili tu