MCHUNGAJI ISSA:TUTATESEKA SANA YANGA INAKWENDA KUTUJERUHI KUANZIA NGAO YA JAMII MUNGU ATUNUSURU TU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 жов 2024
  • #simplysports #simbanayanga #kipengaxtra #simbasc #sportarena #middlesimba #tanzaniapremierleague #mpenjatv

КОМЕНТАРІ • 18

  • @boniphacesimkonda2293
    @boniphacesimkonda2293 3 місяці тому

    Pole sana mchungaji

  • @VLADDYNDANZI
    @VLADDYNDANZI 3 місяці тому

    Mchungaji Issa unajua mpira na wala hubahatishi na ni mkweli sana

  • @AmeirAlly-tn8hw
    @AmeirAlly-tn8hw 3 місяці тому +2

    Huyu ni mchungaji au mchanbuzi wa Mpira maana anacho ongea ni kweli kabisa

  • @AmeMahmoud
    @AmeMahmoud 3 місяці тому +1

    Simba hamna pesa waache sababu

    • @zacariasmanda2758
      @zacariasmanda2758 3 місяці тому +1

      Na kinachoumiza sana ni kwenda Yanga sawa na kumuzia silaha adui aje kukutesa

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 3 місяці тому

    Hata ile mechi ya Azam na simba yy ndo alowakomboa simba kutoka kufungwa

  • @rosenamilia4140
    @rosenamilia4140 3 місяці тому +1

    Hii COMBINATION ya Chama, Aziz na Pacome = CAP.Mwaka huu watani wakae kwa kutulia kabisaaa😂😂😂

  • @leoninga-y8i
    @leoninga-y8i 3 місяці тому +2

    Moosikuzote nichupli chupli hakuna ukweli

  • @bisejulius4100
    @bisejulius4100 3 місяці тому

    Ni hapo sasa simba ikazibitiwa na yanga sipati picha kwa aki na ngunguz

  • @LucianaJoachim
    @LucianaJoachim 3 місяці тому

    Punguza maneno mchungaji unatuchosha waambie wamlete mgunda sina uhakika na huyo kocha

  • @raymondsekabigwa5907
    @raymondsekabigwa5907 3 місяці тому

    Acha upuuzi hatutateaeka ng'o

  • @pambaboniface1199
    @pambaboniface1199 3 місяці тому

    mengi unasema ukweli....ila tatizo kuna muda unajichanganya

  • @LinusKyando
    @LinusKyando 3 місяці тому +6

    HAMA HUKO MZEE NJOO KWENYE FURAHA HUKU AU UNAMKATABA SIMBA UNASUBIRI UMALIZE MKATABA

  • @josephgalandu128
    @josephgalandu128 3 місяці тому

    😂😂😂😂😂Pastor pole