MPENZI WA DIDA SHAIBU AFUNGUKA MAPENZI YAKE NA DIDA/NAMPENDA MUNALOVE/DIDA SIO SHANGAZI/NINA WATOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 тра 2024
  • TUMEPIGA STORY NA MR NANA ALIEKUA MPENZI WA #DIDASHAIBU ATUJAACHANA NI UGOMVI TU #MUNALOVE NAMPENDA ANAPENDA DINI
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 18

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 2 місяці тому +4

    Hehehehe naomba kukuuliza mbona uko na mafua? Maana Dida pia Kwa kipindi hiki ana mafua pia.....kama hamuamini angalieni mashamsham ya tarehe 2/5 na Leo wote wanamafua....wamerudiana!!!!

  • @Ashrey82
    @Ashrey82 2 місяці тому +1

    Mlikuwa mnapendana na kuendana sana! Msameheane bwana!

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 2 місяці тому +1

    Yaan we kaka unaonekana kabisa unaogopa kuachwa mbona kama unaomba kusamehewa? Tatizo la kuzidiwa hela na mwanamke

  • @Zainab_salat
    @Zainab_salat 2 місяці тому +2

    Mbona unatumia mikorogo jamani wanaume hawapendizi😮😮😮😮😮😮😮

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 2 місяці тому

      Umemnunulia hiyo mikorogo? Achana na maisha ya watu wewe.

  • @alsam4881
    @alsam4881 Місяць тому

    Hata kama Dida amezaa mtoto mmoja na wewe umezaa watoto wanne, Je mtoto wa Dida ana umri gani na wa kwako wana umri gani? Sisi tunamjuwa Dida kitambo na kwa sasa ana umri wa miaka 50+, hata ukimuangalia sura yake imeshaporomoka ni mtu mzima sana, Na acha kusema uoingo kuwa dida ana umri mdogo ili akurudie kwasababu umeshazowea kulelewa.

  • @aminasaid7386
    @aminasaid7386 Місяць тому

    Kikongwee yule uso umemkumaa anaudogo gn jmn 😂 khaa kk sema t unamupenda lkn umri umeenda yule bi dada 😂

  • @Yness-vh4yy
    @Yness-vh4yy 2 місяці тому +1

    Na wanafanana misura Yao muzıto na mafuwa yake

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 місяці тому +1

    dida ana miaka 48 alisoma na mtoto wa mjomba

    • @princessmimi4404
      @princessmimi4404 Місяць тому

      Mbona anaseema hajafika miaka 40 yupo kwenye 37-38

  • @rizikiabdalla2501
    @rizikiabdalla2501 Місяць тому

    Muongo sana ww kaka hata kama alizaaa mdogo sio udogo huwo unosema ww tangu namiaka kumi namuona dida kwenye tv mm saivi namiaka 40 useme mdogo muongo sana ww kaka kiufupi mapenzi hayataki umri ila dida ni mkubwa

  • @beautywithnay5974
    @beautywithnay5974 2 місяці тому

    Hii mbona kama umeludiwa jmn wasafi

  • @nathalieswedy3653
    @nathalieswedy3653 Місяць тому

    Mnaendana sameheaneni

  • @MiriamNgairo-pg6sf
    @MiriamNgairo-pg6sf 2 місяці тому

    Mkorogo😅😅😅

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 2 місяці тому

    Maskin bado anampenda dida ila hivy pole

    • @lelaiddy6856
      @lelaiddy6856 2 місяці тому

      Bado anAENDELEA KUJIPENDEKEZA ..DIDA HANA HATA HABARII