MashaAllah MashaAllah ukewenza raha yake wote muwe na dini na pia pesa iwepo (Sheikh Sule 1 akitoka naomba nafasi😅😅) hapo hakutakua na shida sio wengine wanajua suna ya kuowa tu huduma 0 matokeo yake ndio hayo kutesa watt wawatu na kuona ukewenza haufai
@@user-gu1lg2zr8s hapanaaaaaaaaaaa bana ukewenza Raha yake mume awe na pesa na pia nyote muwe na Iman ndan ya mioyo yenu vinginevyo hamtoboi hata kama pesa iwepo
Wanawake wanaojiuza WANAWEZA KUKAA na bwana mmoja tena Kuna muda wanashea mabwana na mashoga kitu ambacho ni uchafu zaidi ya uchafu lakini huku kwenye kheri na barka mnaona jambo baya ndio maana masingo mother wamejaaa na wanazidi kila siku
@@BIGBOSS-hl3bu kumbuka wanawake wanaojiuza awajainvest mapenzi yao pale. Wanajua ile kwao kazi akija mteja mmemalizana hapa katika ndoa kuna jambo kama penzi tusiwe waongo kushare mapenzi kunauma, kumbuka uyu ni mtu alopanga nae maisha na vitu vingi, kuna watoto unaanzaje kuona mwanamke mwengine anapendwa na mumeo? Sio rahisi wanaume msioijua dini ndio mnaona rahisi dini yenyewe imesema wazi sio jambo la rahisi apo panatakiwa ushirikiano Mkubwa sana kutoka kwa Allah kuweza kuwatia wale wanawake moyo wa kustahimilia, kwa hio usiwachukulie wanawake Wabaya, angalia wanaume wengi waliobobea kwenye dini wanabakia na mke mmoja na sio kwamba hawana kipato, kipo lakini wanajua ni mtihani na pia wanaume wengi wanapata dhambi sana katika ndoa ya mathna, ni ngumu sana kupenda wanawake wote sawa lazima moyo utazama kwa mmoja. Walio na nyoyo za subra watavumilia wasio weza rukhsa kukata dini haijalazimisha uke wenza mnaolazimisha ni nyinyi tu
Amiin Allah Wallahi unaweza ukawa umeolewa upo peke yako kwenye ndoa Lakini ukawa huna raha wala amani kwenye ndoa yako.. Na ukawa umeolewa upo kwenye ndoa ya uke wenza na mukaishi kumdhibiti mume wenu na mukawa na umoja mukaishi kwa raha na Aman❤i❤
Sio wote wenye dini na wanaroho safi,baadhi ya wenye dini wanajionesha nje wanadini"lkn niwanachoyo na roho mbaya kwa wenzie! Na utakuta hamuwezi mume na hayawezi yote ktk Ndoa
Sasa mm nashangaa ndo za waislam afrika wanajali Sana uke wenza ila Waarabu Sasa huwa nacheka wanavimba uwiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 kuna madam wangu hapa mwambie Sasa uke wenza umuone povu 😅😅😅
Alafu et anajiita mtu wamungu wakati anaonekan kabsa ni muhun tu mungu atusaidie Sana Mana waislam weng wanamwamin hyu jamaa alaf nimganga wakienyeji daah mungu atuhurumie sanaa
Hamna lolote ukewenza ni mapenzi ya ndugu na madada kuishi pamoja.. Ukiwa Muislaam wa kweli na ukiwa na imani ya kweli.. Basi sio kazi Unaishi kawaida tu.. Kwani imeshaamini kuwa mwenye kuruzuku ni Allah peke yake na hana mshirika..
The ayaat of marriage, the ulama have divided it into 4 interpretations: 1) you can marry 4 women 2) 9 wives 3) 18 wives 4) more than 18 wives As you know, all doctrines have their own opinions and evidence. No one can say that those who support the opinion of 4 women are right! In Islam, every opinion is taken into account, because all doctrines have endeavored to reach their decisions through probabilities!
huyu sule alikuwa mpole Sana lkn kwa sasa media zimemteka na amini usiamini sule ukizidi kuendekeza hizi media utajishushia hadhi maana sasa hivi mara ona mjengo wa sule mara unamiliki vx mara natongozwa sheikh mzima unaongeaje pumba kiasi hicho‽ sasa ushaanza kuongelea wake zako wakati kina mufti wapo kitambo hawaongei wake zao
Jamani wallah napenda uke wenza kwanza mme kila siku humkinai na wala huwezi kumnyima usiku manaje ataenda kulala kwa mke mwingine akija lazima utamfurahia tu lskini kila siku mko wawili tu lazima mtachokana
Nyie mnao sema kwa yesu kuna raha unaoa mke umevaa pete kidoleni na bado unatoka nje muogopeni mungu sio kuwasema waisilamu vibaya heri yeye kaoa wake wa nne kuliko wewe ulieoa mke mmoja na ukiviona vya nje mate yakudondoka.
Wanaume wengi wanaowa kwa tamaa tu km huna pahala pa kuwaweka kuna haja gani ya kuowa wanne kisha uwakusanye km kuku.kuowa zaidi ya mmoja ni uwe muadilifu uwapende na kuwatendea haki sawa lkn kuwakusanya km sardine hapana kwa kweli
Dk Sulle, Aya ya ndoa, maulamaa wameigawanya katika tafsiri 4: 1) unaweza kuoa wanawake 4 2) wake 9 3) wake 18 4) zaidi ya wake 18 Kama unavyojua, mafundisho yote yana maoni na ushahidi wao wenyewe. Hakuna mtu anayeweza kusema kwamba wale wanaounga mkono maoni ya wanawake 4 ni sawa! Katika Uislamu, kila rai inazingatiwa, kwa sababu mafundisho yote yamejitahidi kufikia maamuzi yao kwa njia ya uwezekano!
MaashaAllah nakuomba uchukue mafunzo kwa wenye uzoefu ambao wamekutangulia kama Dr.Sulle. Ninamuomba Allah akuwezeshe na akupe nguvu na imani.. Amiin yaarab Amiin
hayo ni kwa wenye akili sio kila mtu halafu swala la kugawa mapenzi ;mapenzi sio mandazi ?mandazi yenyewe yanagawika itakuwaje mapenzi ! kama huwezi kugawa mapenzi hata hela huwezi gawa
hayo ni kwa wenye akili sio kila mtu halafu swala la kugawa mapenzi ;mapenzi sio mandazi ?mandazi yenyewe yanagawika itakuwaje mapenzi ! jama huwezi kugawa mapenzi hata hela huwezi gawa
Masheeee bwana mnatupa wakati mgumu wewe ulikuwa unamesema msanii mmoja Kuhusu pete Apo naona vile vidole ulivyo kataaa kikiwemo cha shahada naona kina pete Ya nn iyo
Masha Allah nakuombea Allah akuhifadhi
Mashallah mashallah honger kwa msimamoo mwanaume ni kichwaaa cha familiaa
Dadaangu unapendeza sana ukivaa hivyo nakupenda kwaajili ya Allah❤
It's all about psychological issue basing on faith ❤
Mashaallahh mashaallahh . hongera shekh inapendeza Sana ♥️
Congratulations,Dr.sulle. hongera tena.sitara ni Sunna ya mtume wetu Mohammad S.A.W.
MashaAllah MashaAllah ukewenza raha yake wote muwe na dini na pia pesa iwepo (Sheikh Sule 1 akitoka naomba nafasi😅😅) hapo hakutakua na shida sio wengine wanajua suna ya kuowa tu huduma 0 matokeo yake ndio hayo kutesa watt wawatu na kuona ukewenza haufai
Ujakufika ukajua. Dk sule kwanza kawapiga kisomo apo awajielewi 😂
@@user-gu1lg2zr8s hapanaaaaaaaaaaa bana ukewenza Raha yake mume awe na pesa na pia nyote muwe na Iman ndan ya mioyo yenu vinginevyo hamtoboi hata kama pesa iwepo
Wanawake wanaojiuza WANAWEZA KUKAA na bwana mmoja tena Kuna muda wanashea mabwana na mashoga kitu ambacho ni uchafu zaidi ya uchafu lakini huku kwenye kheri na barka mnaona jambo baya ndio maana masingo mother wamejaaa na wanazidi kila siku
@@BIGBOSS-hl3bu kumbuka wanawake wanaojiuza awajainvest mapenzi yao pale. Wanajua ile kwao kazi akija mteja mmemalizana hapa katika ndoa kuna jambo kama penzi tusiwe waongo kushare mapenzi kunauma, kumbuka uyu ni mtu alopanga nae maisha na vitu vingi, kuna watoto unaanzaje kuona mwanamke mwengine anapendwa na mumeo? Sio rahisi wanaume msioijua dini ndio mnaona rahisi dini yenyewe imesema wazi sio jambo la rahisi apo panatakiwa ushirikiano Mkubwa sana kutoka kwa Allah kuweza kuwatia wale wanawake moyo wa kustahimilia, kwa hio usiwachukulie wanawake Wabaya, angalia wanaume wengi waliobobea kwenye dini wanabakia na mke mmoja na sio kwamba hawana kipato, kipo lakini wanajua ni mtihani na pia wanaume wengi wanapata dhambi sana katika ndoa ya mathna, ni ngumu sana kupenda wanawake wote sawa lazima moyo utazama kwa mmoja. Walio na nyoyo za subra watavumilia wasio weza rukhsa kukata dini haijalazimisha uke wenza mnaolazimisha ni nyinyi tu
@@BIGBOSS-hl3bu usitujumuishe tafadhali Sheikh 😅😅😅
Allah akuhifadhi shekhe wetu.
Amiin thumma amiin
ManshaAllah , Allah awape kila kizuri fidunia wari akhera, ukewenza nilaha ❤❤❤
Amiin yaarab Amiin
Uke wenza ni raha mnapenda kama ndugu mnaishi❤
Amiin thumma amiin ❤❤❤
Dada yupo vizuri sana mahojiano yake anauliza maswali ya muhimu alafu sauti Masha Allah
Wewe unaesema hutaki ndoa za kushea huenda labda unae michepuko kibao Bora mmeo aoe kwani haki kuoa na kuolewa
Asaaaante Kweli kabisa maneno yako
Mashaallah Allah akuzidishie uwadilifu
Umesema ukweli bro sule Allah kisha ukuwe na namsimamo kama mume tuko pamoja Niko na wawili natarajia kuongeza In shaa Allah
MashaAllah , nikhere Allah awajaze kheri naupendo .
Laiti wanaume wote wangekua kama wewe walah Kila mwanamke angekubali ukewenza
😊
Ni sahihi kabisa
Na pia kaa wanawake wote wangekuwa kaa wanawake wake Kila mwanaume angekuwa na wanna na riziki ingeongezeka mara dufu.
@@aooshosho4255 jibu-limeenda-shule
Masha allah allah akulipe. Herry inshaallah
Maashaallah mungu awahifadhi
Mashallah alhamndulillah ongera dr Sule hata mimi ninao wawili na Sina pesa ila alhamndulillah tumetulia nakushibana Allah mkubwa
Mimi pia kama ningekuwepo huko basi ningelisubiria nafasi ya mke mwengine akitoka ili nizibe pengo❤kwa Dr.Sulle.
We mchawi haondoki mtu
Mimi muislam napenda uke wenza ❤❤😢xana
Unapatikana wap nilete posa
Assalamu alaykum,kweli?
Hata mimi napenda sana
@@user-my4dr5oq6v kwakusema-hivyo-tu-ndio-unataka-upeleke-posa!kuwa-makin-usiwe-na-pupa
Sawa sawa master Dr. Sule
Mashallah hongera sana
Allah awahifadhi
Mashallah dr sule❤
Mungu akuokowe katika maisha ya uzinifu, umujuwe Yesu-Kristo kua bwana namokozi wamaisha yako
ACHA ujinga
haha upo sawa kwel?? ndoa ni uzinifu
Dini yake sioyako
Sasa ww unaleta mambo ya yesu na hakuwai kuoa unataka tupige punyeto au🤔tafuta dini kwanza alaf uje ukoment
MashaALLAH
Amiin Allah Wallahi unaweza ukawa umeolewa upo peke yako kwenye ndoa Lakini ukawa huna raha wala amani kwenye ndoa yako..
Na ukawa umeolewa upo kwenye ndoa ya uke wenza na mukaishi kumdhibiti mume wenu na mukawa na umoja mukaishi kwa raha na Aman❤i❤
Baba yangu aliishi na wake 4 tens nyumba 1 na mpaka wamehitimishana, inatakiwa busara za mume wao tu. Kwa hiyo si ajabu dr shule kuishi na wekeza 4.
Yawezekana Bora Tu upate Wenye Kuifahamu Dini vilivyo... Controller ni Mume siku zote MashaAllah Sunnah tul Nabii
Masha Allah mungu awazidishiy mapenzi yenu
Allahumma Amiin Amiin yaarab Amiin
MaashaAllah Dr.Sulle ninamuamini kabisa ni mwanaume wa kikweli na yuko imara❤
Una muamini vp ume lala nae
@@user-rs6tb6sv9m tumekatazwa-kudhaniana-kwa-ubaya!naamin-hayo-ni-mapenzi-yake-tu!
MashaaAllah
Mashaallahh ❤ mm nimwislam lakin uke wennza nauogopa sana kwasababu niliolewa nikateseka sana
Naona wanaokataa ukewenza wote ni waisilam hapo ndiyo ujue mapenz hayagawanyki
Sio waslamu wate
Mimi nimeoa wake wawili na wote naishi nao kwenye nyumba moja ila kila mke ana chumba chake na wanapendana sana Allah aniongoze katika ndoa yangu
Allah wanariki wazid kupendan
Allah wanariki wazid kupendan
Nimempenda hiyo mwanahabari
Nashukuru mungu Mimi Nina wata3 naishi nao pamoja tena Kwa amani kubwa ila wananisema sanaaaaaaa.
Kama wana dini ndani yao wanakaa sana pamoja.
Sio wote wenye dini na wanaroho safi,baadhi ya wenye dini wanajionesha nje wanadini"lkn niwanachoyo na roho mbaya kwa wenzie! Na utakuta hamuwezi mume na hayawezi yote ktk Ndoa
Dada etu mavazi usiyaache ayo yamekupendezesha mno
Sasa mm nashangaa ndo za waislam afrika wanajali Sana uke wenza ila Waarabu Sasa huwa nacheka wanavimba uwiiiiiiiiiiiiii 😂😂😂 kuna madam wangu hapa mwambie Sasa uke wenza umuone povu 😅😅😅
Wewe ukubali ukeweza mbona yakobo alikuwa na wake mussa liowa wake wawili Kama unataka mume moja wewe sio mwanamke unaijuwa dini ya kislamu
Mtume Muhammad SWA rasuulallah tutapata thawabu alikuwa na wake Bibi hadija aisha na wengine
Huyu musimusikilize mwizi mukubwa muone😢😢😢
Chamsingi Amani na Upendo
Mashaallah ❤❤❤❤
Hongera sana dr sulle
Alafu et anajiita mtu wamungu wakati anaonekan kabsa ni muhun tu mungu atusaidie Sana Mana waislam weng wanamwamin hyu jamaa alaf nimganga wakienyeji daah mungu atuhurumie sanaa
Haikuhusu sio muumini meenzako angalia yako
MaaShaaAllah
Wallahi uke wenza wataka moyo kwakweli
Hamna lolote ukewenza ni mapenzi ya ndugu na madada kuishi pamoja..
Ukiwa Muislaam wa kweli na ukiwa na imani ya kweli..
Basi sio kazi
Unaishi kawaida tu..
Kwani imeshaamini kuwa mwenye kuruzuku ni Allah peke yake na hana mshirika..
@@user-pf9mt2yt4l inaonyesha-unaupenda?
Saluti to u I'm coming there
Wanajificha kwenye uislum uzinifu wa hali ya juu
Mashallah,❤❤❤❤
Acha umalaya
Ibilisi ni wewe kama mume anamsimamo make vizuli sana ilawengi choyo anaroho mbaya
Pesa unazo bila ya pesa wasengelikaa hata sekunde 1
Kweli
Mbona mtume alikuwa maskin na alikuwa na wake 9 na hajawaacha
Huyu sule ni mchawi afadhali ndacha kafiri muhubiri wa kikristo
Maashallah
Allah akuhifadhi sheikh
Hongera kaka ila wajengee kila mtu nyumba yake itapendeza zaidi.
Kwan-kuna-ubaya-gan-wakat-wenyiwao-wameshakubalian?
Kwa hiyo kwenye kumuamini Allah na mwenye kuwa na imani ya kweli kabisa baai hawezi kuyapinga maneno ya Allah ambae ametuamrisha..
Kikweli kabisa maneno yako ya murua na ya imani ya kweli uke wenza ameujaalia Allah..
Ameelezea kwenye surat Al Baqarah
Daah.h0ngera.ila.ww muisla.vizuri.ila wapo.ambao wanakutia presha hadi imani hututoka
The ayaat of marriage, the ulama have divided it into 4 interpretations:
1) you can marry 4 women
2) 9 wives
3) 18 wives
4) more than 18 wives
As you know, all doctrines have their own opinions and evidence.
No one can say that those who support the opinion of 4 women are right! In Islam, every opinion is taken into account, because all doctrines have endeavored to reach their decisions through probabilities!
huyu sule alikuwa mpole Sana lkn kwa sasa media zimemteka na amini usiamini sule ukizidi kuendekeza hizi media utajishushia hadhi maana sasa hivi mara ona mjengo wa sule mara unamiliki vx mara natongozwa sheikh mzima unaongeaje pumba kiasi hicho‽
sasa ushaanza kuongelea wake zako wakati kina mufti wapo kitambo hawaongei wake zao
Kwani Shida gani hapo kuelezea kuhusu Ndoa, mbona hata mtume Muhammad s.a.w. Imeelezewa wake zake au ujasoma weye,.
Comments zitaniua😂😂😂😂Dr sulle ayo ni maamuzi yake haimaanishii kila mwanaume aige mfano wake Laa wanaume watofautiana jamanii
Lazima tuige coz ni jambo jema kuna elimu tunajifunza
Jamani wallah napenda uke wenza kwanza mme kila siku humkinai na wala huwezi kumnyima usiku manaje ataenda kulala kwa mke mwingine akija lazima utamfurahia tu lskini kila siku mko wawili tu lazima mtachokana
Nyie mnao sema kwa yesu kuna raha unaoa mke umevaa pete kidoleni na bado unatoka nje muogopeni mungu sio kuwasema waisilamu vibaya heri yeye kaoa wake wa nne kuliko wewe ulieoa mke mmoja na ukiviona vya nje mate yakudondoka.
Asaaante maneno yako ni kweli😅
Swadakta 💯💯💯👏
Wanaume wengi wanaowa kwa tamaa tu km huna pahala pa kuwaweka kuna haja gani ya kuowa wanne kisha uwakusanye km kuku.kuowa zaidi ya mmoja ni uwe muadilifu uwapende na kuwatendea haki sawa lkn kuwakusanya km sardine hapana kwa kweli
Kama hawana shida ni sawa ata othman Michael akona wawili na wanaishi pamaoja
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Kati ya comment zote umetisha
Dk Sulle,
Aya ya ndoa, maulamaa wameigawanya katika tafsiri 4:
1) unaweza kuoa wanawake 4
2) wake 9
3) wake 18
4) zaidi ya wake 18
Kama unavyojua, mafundisho yote yana maoni na ushahidi wao wenyewe.
Hakuna mtu anayeweza kusema kwamba wale wanaounga mkono maoni ya wanawake 4 ni sawa! Katika Uislamu, kila rai inazingatiwa, kwa sababu mafundisho yote yamejitahidi kufikia maamuzi yao kwa njia ya uwezekano!
😂😂 Pretend, Shekhe naona kimagharibi kwa sana😂😂
Iyo moja mm sitaiweza ata km niko muislamu siwezii uke wena
Roho mbaya tu
Yuko Sawa shehee wangu mimi mwenyewe mwaka waa12 atujawai gombana atuna pesa ira tunaishi kikubwa kuondoa umbea wauku kupereka uku
Mmh minapenda kweli ila hio yakukazwa nyumba moja hapana kweli uongo zambi sintoweza
Kukazwa-tena!
Unakazwa vipi?
Gig up dkt sule,mimi nipo nyuma yako saiv nna wawili napambana nipate 3😂😂😂
MaashaAllah nakuomba uchukue mafunzo kwa wenye uzoefu ambao wamekutangulia kama Dr.Sulle.
Ninamuomba Allah akuwezeshe na akupe nguvu na imani..
Amiin yaarab Amiin
@@user-pf9mt2yt4l amin amin amin.
jazakallahu khairaaa
Mapenzi bila ya pesa kwanawaka wasasa sahivi hawa sio wanawake hawa wanawaka
Niumalaya 2 huo
Hao ni wake au mananau jamani
Don't trust anyone in this world.be careful
Huez elewa life style kwa siku moja 😂😂😂
Nampenda huyu dokta suley yaani sio muoga
Raha sana
Ahsante
Mmh huyu shee ana shida,hapendi kusoma dini ila anapenda kuongea sana.Atwambie Mtume swalallahu alyhiwassalaama alifanya hivo au lifundisha hivo, kuwaweka wanawake w4 nyumba1
Sheikh wang nakukumbusha usiache mavaz ya Snna
Shekhe anawapiga kamba Mkubwa anakaa peke ake bhana na wale wengine wanakaa wawili huyo mmoja sijui kaoa lini
Unataka pesa kaoe bengi🇰🇪🇰🇪
Mm ninamke mwenzangu hatujahi kuongea toka nimeolewa mm nickel mdg
Wasafi ebu muibeni huyu mdada naona anakuja vizur katika kufanya mahojiano
Namimi naitajiii kuongezaaa Mk eee nimepataaa fundishoooo kakaaa
hayo ni kwa wenye akili sio kila mtu halafu swala la kugawa mapenzi ;mapenzi sio mandazi ?mandazi yenyewe yanagawika itakuwaje mapenzi ! kama huwezi kugawa mapenzi hata hela huwezi gawa
Sister nakupenda na ninataka ku kuoa je tuna weza kuongea kuhusu hili
Na mm mung anijaliye niwe kama shehe sule
hayo ni kwa wenye akili sio kila mtu halafu swala la kugawa mapenzi ;mapenzi sio mandazi ?mandazi yenyewe yanagawika itakuwaje mapenzi ! jama huwezi kugawa mapenzi hata hela huwezi gawa
Wenimuhuni tu
Munguanipe mume kama huyu ila nataka nimwe wa3
Kujiendekezaa tuu na kuendekeza nafsi Kila unachokitaka kwenye nafsi yako we inataka ufanye hio ni sw shirki
Wake wote hao wa nini ni tamaa tu
Lait mngejua ndani ya nyumba ya dr sulle msingeaongea
😂
Masheeee bwana mnatupa wakati mgumu wewe ulikuwa unamesema msanii mmoja
Kuhusu pete
Apo naona vile vidole ulivyo kataaa kikiwemo cha shahada naona kina pete
Ya nn iyo
😢😢😢yarabi nisaidie, nina moyo mwepes jaman nitashindwa mie
Pia mie😂😂 cyawezi mungu nisamehe