TONNY WA CHERRY AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA/KUAMBUKIZWA UKIMWI/KUKONDA/UGUMU WA KUISHI NA MWENYE VVU

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • KIJANA ALIEISHI NA MWANAMKE MWENYE UKIMWI AFUNGUKA ALIVYOISHI NAE HADI KUACHANA KWAO JE AMEPEWA MAAMBUKIZI?FUATILIA INTERVIEW HII HAPA
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 233

  • @elizabethmwaseba8164
    @elizabethmwaseba8164 27 днів тому +36

    Tuliokuwa tunasubiri hyo ndoa like hapa😢,dunia ya sasa kila mtu anajipenda mwenyewe wala hawajali upendo wa mwingine

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 27 днів тому +36

    Sihukumu ila kwa maelezo haya inaonekana cherry amepata mubaba mwenye HIV mwenye pesa ndio mana kamuacha kaka wawatu 😢😢

  • @salmabasil385
    @salmabasil385 16 днів тому +11

    Mpaka hapo kwenye kasi tumekuelewa kijana hutaki kujituma kutafuta maisha ndo mana umepauka toka umeachwa msimuhukumu huyo dada kisa matatizo ya kiafya hata kama mtu unashida za kiafya lazima upambane uchumi uwe imara kwanza mapenzi yapo ila kama mtu unaona hataki kupambana acha aende asikucheleweshe

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 28 днів тому +22

    Ndio maana mausiano yangu Kuweka kwenye media never never never aise pole sana kijana wangu kwa mitian

    • @fahadfaraj6474
      @fahadfaraj6474 24 дні тому +4

      Hakuna watu wenye kujielewa wanaweza weka jambo lao hadharani

  • @jacklinepeter4158
    @jacklinepeter4158 25 днів тому +19

    Unajitolea kumpenda mtu na hali yake bado anakuacha pole inaonekana ulimpenda sana maskini

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 18 днів тому +15

    Ugomvi hapa ni kwamba mchizi life gumu,mwanamke kashindwa kuwa mvumilivu ndio maana jamaa kakubali matokeo ..

    • @abiboseleman1649
      @abiboseleman1649 5 днів тому +1

      Life gumu kaweka Helen maskio yote vijana tuache bishoo tutafute hela

  • @user-fi7ky7ub6s
    @user-fi7ky7ub6s 18 днів тому +11

    Uyo kaka anabusara Sana mungu akupushe na maradhi❤

  • @janethzacharia7967
    @janethzacharia7967 21 день тому +12

    Unamoyo mzuri sana kaka angu kipenzi Mungu atakupa wa kufanana na ww

  • @ibrahim.kelvin
    @ibrahim.kelvin 27 днів тому +15

    This man is in deep sorrows, pole sana kaka jitahidi kurelease the pain isije ikakuathiri.

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 23 дні тому +11

    Kijana mwanaume haswaa..kalelewa.kwa vijana wa ss angeropoka.vyotee safi

    • @darlenesalum3667
      @darlenesalum3667 21 день тому +1

      Yaani na Mimi nilijisemea hivyo kimoyo moyo

  • @charlesmtitu5606
    @charlesmtitu5606 28 днів тому +33

    Jamaa anaongea vizuri sana na kwa busara kubwa . Kale kabinti kamepoteza mtu wa muhimu sana aseeh

    • @frankrobertkomba2318
      @frankrobertkomba2318 27 днів тому +13

      Mapenz yanasir nying mzee,huwez jua upole huo ni wa public ila akiwa nda sio mtu kabsa.tuache akae nasir yake.ila ndo maana tunakataa kuoa kwa kuonea mtu huruma oa kwasabsbu anavgezo ulivovitaka maana huruma yako itapotea akikuudh lkn vgezo vyako vitakubeba lkn km havpo ndo mwendo umeisha

    • @user-re2em2zd2u
      @user-re2em2zd2u 26 днів тому

      @@frankrobertkomba2318very true

    • @user-ur7pw9ek6s
      @user-ur7pw9ek6s 26 днів тому

      🎉🎉🎉

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 19 днів тому

      Upo sahihii 💯

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 25 днів тому +11

    Nitfutieni huyu kaka me namtaka tufnye maisha me mwenyew ymenikuta pia😢

  • @user-qq5rx1bl7e
    @user-qq5rx1bl7e 28 днів тому +8

    Ni kweli kuna muda unaona bora tu mtengane maana kuna vitu huwa haviendi sawa

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 25 днів тому +13

    Yaan hya maisha bhna usimuamin mtu wallah yaan unaweza jitoa kwa mtu na akakupa tukio ambalo huwez lisahau maisha yko yote😢

  • @joycekasimbazi9817
    @joycekasimbazi9817 6 днів тому +1

    Jamani mkaka wa watu mwe mpka katunga wimbo unaitwa uwongo ukute ndugu zake waliomba mpka Mungu akawasikia u

  • @user-el7ut2qk4e
    @user-el7ut2qk4e 26 днів тому +8

    Mara nyingi inawatokea wenye group 0. Mimi sister angu ana maambkizi but mume wake hana.

    • @isakahissa4130
      @isakahissa4130 26 днів тому +12

      Sio group dawa wanazotumia now zinafanya UGONJWA usiamie pengine Kama ikitokea mgonjwa akazingatia dawa
      Mimi nna group B ila nshawai ishi na MTU ndan y miezi Saba ndio nashtuka na bado nkapima Sina yeye anao mbaka Leo Sina ila nilijiona nna bahat kumbe sio Mimi
      Niyeye anazingatia dawa ndio kilicho niokoa

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 26 днів тому

      ​@@isakahissa4130 kumbe ni kweli inawezekana mtu anayezingatia dawa anakuwa na uwezo mdogo wa kuambukiza mtu mwingine

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 25 днів тому +3

    Yani nimehumia sana pole Sana kaka mwenyezi mungu yu nawe

  • @estherkimario7940
    @estherkimario7940 26 днів тому +14

    Jaman umetoka mzima kwel😭

    • @miriamdavis3893
      @miriamdavis3893 19 днів тому

      Wanaume wanaoambukizwa ukimwi wengi wachafu

  • @user-re2em2zd2u
    @user-re2em2zd2u 26 днів тому +12

    Huyu kaka anaonekana anaumia sana

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 24 дні тому +1

      Ww unafikiri kuishi na Muathirika halafu mnaachana unafikiri mchezo? Umejitoa kwa ajili yake

  • @godfreykasilingi4041
    @godfreykasilingi4041 21 день тому +2

    Mim binafsi tayari nimeshapitia tayar Maisha kama kaka yangu hapo .nikuwa kwenye mausiano ambapo mwezangu alikuwa positive mm negative . Lkni mwisho wasiku mwanamke mda wote ubadilika so unatakiwa kama mwanaume kuishinae Kwa akili snaaa . Mim Bada yakuachanae nilipata mafanikio kimasha Kwa kiasi kikubwa ndani ya mda mchache snaaa .

  • @maryamm7765
    @maryamm7765 28 днів тому +14

    Mapenzi yakuweka kwenye mitandaoni ayadumu

  • @AlliNasra
    @AlliNasra 21 день тому +1

    Pole sana Kaka...asikuchanganye huyo hakua mwaminifu huyo...kakutumia Katumia nyota yako mpaka kufikia hapo Leo anajidai mjanja... muache kitamramba huyo na atakukumbuka mshamba huyo.

  • @user-cr8pr3kn3c
    @user-cr8pr3kn3c 27 днів тому +15

    Yani hata sura yake imepoteza nuru

  • @user-rm1sr3if9n
    @user-rm1sr3if9n 26 днів тому +3

    Pole kaka mitihani ya dunia itakwisha

  • @shanikiwele3111
    @shanikiwele3111 26 днів тому +12

    Dah kweli umepungua Alton jmn😢

    • @darlenesalum3667
      @darlenesalum3667 21 день тому +1

      Ila wanawake sisi kuna muda hata hatujui tunataka nini

    • @tinajohn6296
      @tinajohn6296 18 днів тому

      ​@@darlenesalum3667 Ndugu yangu hebu tujifunze, au mpaka watuue

    • @jumakassim8718
      @jumakassim8718 5 днів тому

      ​@@darlenesalum3667swadakta

    • @alexmavindi2104
      @alexmavindi2104 3 дні тому

      Bora Wewe hata unajielewa na umelielewa hilo😅​@@darlenesalum3667

  • @annamussa185
    @annamussa185 24 дні тому +3

    Huyo Dada ni Malaya hata muonekani wake tu mitatoo unaelewa tu na huo ukimwi muongo yawezekana hata hakubakwa ni umalaya tu Mungu anakajuwa kumpa pigo

  • @hanamakamba373
    @hanamakamba373 27 днів тому +5

    Pole❤

  • @aminamasalu6988
    @aminamasalu6988 27 днів тому +8

    Tonny anaonekana ana maumivu

  • @user-ey5mv1yz3s
    @user-ey5mv1yz3s 27 днів тому +3

    Duuh, aisee haya maisha mmh,

  • @AishaHaji-jn7sg
    @AishaHaji-jn7sg 22 дні тому +3

    Bora angekaa kimya tu anafanya huyo dada watu wanamtukana sana maskini

  • @user-vz6kk8id2f
    @user-vz6kk8id2f 26 днів тому +7

    Huyu kaka anamaumivu jmn

  • @ReenKey-d5q
    @ReenKey-d5q 22 дні тому +1

    Dah!pole sana kaka

  • @WemaMchomvu
    @WemaMchomvu 26 днів тому +7

    Jamani nimejikuta namuonea huruma Alton

  • @IreneMwanaa-zo2wz
    @IreneMwanaa-zo2wz 25 днів тому +2

    Pole mtu wa mungu mungu yupo lakini sivizur kuongea jambo ukiwa Katika wakati mgumu unge pata utulivu kidogo!

  • @Patricianicholaus24
    @Patricianicholaus24 23 дні тому +2

    Huyu kaka jaman anamaumivu ya mapenzi ila cherry ulichomfanya huyu kaka MUNGU anakuona haki

  • @aminaelibrahimu4792
    @aminaelibrahimu4792 16 днів тому

    Pole sana Mungu akupe huo moyo ucichok

  • @salmauae2261
    @salmauae2261 26 днів тому +1

    isaga kumiangu kamu guganile une ndikafu❤❤❤

  • @deborahissaya1601
    @deborahissaya1601 28 днів тому +15

    Unavojichekesha tu inaonyesha umeumizwa 😂😂😂 pole mwaya msoma nyota

  • @Fahilarashid
    @Fahilarashid 23 дні тому +2

    Oooooooo nashidwa byakusema kwl😮😮

  • @user-pp9mp1pz9f
    @user-pp9mp1pz9f 25 днів тому +8

    Mimi nilihisi tu hata huyu dada kupata hiyo HIV c sabbu ya kubakwa anaonekna tu hajatulia anasingizia alibakwa me ckuamin tangu ck ya kwanza,dah huyu mkaka wawatu maskin

    • @naah884
      @naah884 25 днів тому +1

      Kweli kabisa hafananii kubakwa bhana😅

    • @allyahahmed1091
      @allyahahmed1091 25 днів тому +2

      Hakubakwa uyu alikua na bwana ake mchora tatooo kabadilisha sana wanaume hapa kati kati akifika mtandaoni watu wa mungu ya nyoko

    • @user-pp9mp1pz9f
      @user-pp9mp1pz9f 25 днів тому

      @@allyahahmed1091 kweli kbsa me amenikera sana

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 24 дні тому

      ​@@allyahahmed1091Mkuu unamfahamu sana inaonekana?

    • @samwelrobeth7763
      @samwelrobeth7763 9 днів тому

      ​@@allyahahmed1091😂😂😂😂😂

  • @JELSONMAUKI
    @JELSONMAUKI 27 днів тому +6

    Hii neno vita Suti imeenda kabisa 😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @EmmanuelKawawa
    @EmmanuelKawawa 16 днів тому +2

    Mbona kwangu haina sauti

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 26 днів тому +7

    Yaan apo ukijichanganya kumsema anakufungulia kesi bora umejibu Kwa Akil kubwa.

  • @DinahAnthony
    @DinahAnthony 25 днів тому +9

    Kwakwel me Nilitaka waachane

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 17 днів тому +1

    Sasa naye mwaname ataendelea kuelimisha kuhusu ukimwi wakati anatangatanga leo huku kesho kule.wataambukizwa wengi asee

  • @JeniferMassawe-lu3de
    @JeniferMassawe-lu3de 27 днів тому +20

    Anaongea kwa kutumia akili sana na ana busara

  • @qayllahkusaga1207
    @qayllahkusaga1207 11 днів тому +1

    Tony lov u bro

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 18 днів тому +1

    ifike sehemu watu wenerohoo nzuri wauwawe wote

  • @anneyrommoka9024
    @anneyrommoka9024 13 днів тому +2

    Wanawake wakichaga mpooooooo????

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 23 дні тому +3

    Huyu dada ninavyomfaham mno ni kisirani mno mkitaka kuamini hilo fuatilieni anavojibu hovyo mashabiki zake kwenye comment

    • @user-bo2yf5hw7s
      @user-bo2yf5hw7s 22 дні тому

      Sahihi kabisa ni mjeuri sana me nishamuona sijajua kama ni UGONJWA ndo unafanya awe hvyo

    • @faridamapogolo2892
      @faridamapogolo2892 9 днів тому

      Hata ukihitaji dawa kwake pia majibu yake mmh

    • @GloryRichard-ly7kz
      @GloryRichard-ly7kz День тому

      Ndo wakuwaga hvyo dawa zinawavuruga akili wanakuwa na visiran side effects za dawa

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 25 днів тому +1

    😭😭Yani inauma sana

  • @MsNajma-j7e
    @MsNajma-j7e День тому

    Masikin urijitoa kuwa nae japo yupo na virusi vake ukajitoa muanga reo hanakuja kukufanyia iv

  • @jescamagembe8863
    @jescamagembe8863 День тому

    Busara ni kuwasikiliza wote ukisiliza upande mmoja unaweza hisi unaonewa au la

  • @vesitinarevocatus7333
    @vesitinarevocatus7333 28 днів тому +8

    Uyu kaka simsomanyota jamani kumbe ndonalikuwa anaishi na cherry

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 25 днів тому +4

    huo ufala siwezi ufanya

  • @irenemlay9769
    @irenemlay9769 26 днів тому +8

    Duuu tunakuogopa aisee

  • @angeladegens7139
    @angeladegens7139 6 днів тому

    Iove you Tonny🎉

  • @jeunajuatv817
    @jeunajuatv817 22 дні тому +1

    Ht Mm pia mahusiano yangu yapo hatarin zaidi kutokan na mtandao 😅

  • @user-vr8fx4vg2r
    @user-vr8fx4vg2r 28 днів тому +5

    Mwandishi hauko making na kazi yako sauti ya huyo mshikaji haisikikii unazingua bwanaaa

  • @athanasmasmami5389
    @athanasmasmami5389 26 днів тому +4

    Huyu basi tena tushampoteza 😢nenda kajiandikishe dirisha la dawa😂

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 22 дні тому +1

    Yaan kaka kaumia.huyu😢😢

  • @Unju-q4e
    @Unju-q4e 16 днів тому +2

    blaza inabidi utibiwe akili ujue kutofautisha fantasy na reality

  • @mariagrayson5414
    @mariagrayson5414 15 днів тому +1

    Mwenye ukimwi anaishi mwenye cancer sasa tunabakia kuhesabu siku mungu tulinde

  • @JeremiahJohn-tt2ij
    @JeremiahJohn-tt2ij 17 днів тому +1

    Bileke bigende bindi bilozaa😢😢

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 26 днів тому +3

    😢😢😢😢😢

  • @MwanjiNzala-mo5ni
    @MwanjiNzala-mo5ni 22 дні тому +1

    Kwan mlipata.watoto wangap.nae

  • @rukiaiddyyahaya9506
    @rukiaiddyyahaya9506 28 днів тому +7

    Sijui kama umepona mbona macho yako kama bizali

    • @estherminnahboaz6956
      @estherminnahboaz6956 28 днів тому +1

      Bizari tena😂😂😂 yeye kasema alipenda kwahiyo hajali km atapewa ngoma na mtoto mzurii😅😅😅😅😅

    • @YvonnegipsonGipson
      @YvonnegipsonGipson 27 днів тому +4

      😆😆😆😆kuna watu mnavitu humu

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 27 днів тому

      @@estherminnahboaz6956 mmmh sasa hao wameachana

    • @zawadgunza2093
      @zawadgunza2093 26 днів тому

      😅😅😅

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 26 днів тому +1

      Kimeshamlamba uyu akaaanze dozi tu uso tu unaonekana

  • @Urembomileleofficial
    @Urembomileleofficial 21 годину тому

    Cherry popote ulipo kaa kimya

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 23 дні тому +2

    Daaah huyu kaka ni muha huyuu🙌🙌🙌🙌 ex wangu alikuwaga na huo msimamoi😂😂😂😂 kwahiyo tony umemuacha dada wa watu kabisa

  • @user-is7ot7bq9x
    @user-is7ot7bq9x 26 днів тому +2

    Duh mtihani

  • @kennedymaster2000
    @kennedymaster2000 26 днів тому +2

    Itakuwa amepewa ngom

  • @allyahahmed1091
    @allyahahmed1091 25 днів тому +8

    This lady ni malaya mno basi tu hamjamjuaga kabla hajaanza kua muhubiri wa story za uongo .. story ya kubakwa pia ni uomgo 100%

    • @leadflavour_tz
      @leadflavour_tz 21 день тому

      😅😂😂

    • @user-sb7lz9xp4v
      @user-sb7lz9xp4v 19 днів тому

      Kabisaaaa

    • @user-iy7xy1np7c
      @user-iy7xy1np7c 17 днів тому

      Una ushahidi wowote kuthibitisha kauli yako?Kama huna chunga mdomo wako

    • @allyahahmed1091
      @allyahahmed1091 17 днів тому

      @@user-iy7xy1np7c acha umalaya period

    • @allyahahmed1091
      @allyahahmed1091 17 днів тому

      @@user-iy7xy1np7c unavyopenda ushahidi usingetuletea hata case uliofungua wakati unabakwa aso jua nani bwana gooo

  • @happyalbert5089
    @happyalbert5089 27 днів тому +2

    Du!

  • @rubbymusa1971
    @rubbymusa1971 10 днів тому

    Mmh mtu kakupenda na hali hiyo na umemuacha😂😂😂

  • @user-hm1nt4mj4n
    @user-hm1nt4mj4n 27 днів тому +1

    Kiki tu

  • @felistersanga7903
    @felistersanga7903 18 днів тому

    Kaka anaongea vzuri ana hekima na busara sana anajua kuyahifadhi ya ndani na anajua kujbu vzuri sana

  • @zuwenahassan3624
    @zuwenahassan3624 28 днів тому +3

    Siamnini mpaka nimsikie Mwanamke

  • @aminamaulid7371
    @aminamaulid7371 25 днів тому +3

    Kuna mwenye namba yake Altonny anipatie???

  • @KudratMkangama
    @KudratMkangama 24 дні тому +4

    Mwenye namba zake uyu kaka anipe mimi natafuta mchumba 🥹

  • @annakbunga8377
    @annakbunga8377 26 днів тому +1

    Kwani ungekaa kimya ingekuwaje

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 26 днів тому

      Ndio hapo sasa sio kila kitu lazima aongee kuna vingine vya kukaa kimya

    • @hajistshariast6335
      @hajistshariast6335 25 днів тому +4

      ​@@NeemaSamson-ti8pc angekaa kimya ndio angezidi kuumia zaidi unapokuwa na jambo liseme kuliko kuteseka ndani kwa ndani

    • @hajistshariast6335
      @hajistshariast6335 25 днів тому

      ​@@NeemaSamson-ti8pc angekaa kimya ndio angezidi kuumia zaidi unapokuwa na jambo liseme kuliko kuteseka ndani kwa ndani

  • @VeronicaSteven-of1qe
    @VeronicaSteven-of1qe 22 дні тому +1

    Mwambieni aje tupendane na mm 😂😂😂😂

  • @gracebuhatwa6359
    @gracebuhatwa6359 17 днів тому

    Ndio maana mimi sitaki kuweka mausiano yangu kwenye mtandaoni

  • @user-yn3kg8ip2h
    @user-yn3kg8ip2h 18 днів тому

    Una moyo sana kaka mimi sina moyo huo

  • @lilianestephanie7881
    @lilianestephanie7881 23 дні тому +1

    Anafanana na ex wangu.. yule kaka alijua kunitesaaa mwee to hell huko aliko

  • @SaimonKazimoto-xt1zo
    @SaimonKazimoto-xt1zo 27 днів тому +2

    Dem akiwa mgonjwa anasumbua Anenda mbio sana

  • @lydiajuma01
    @lydiajuma01 26 днів тому +3

    Mapenz usenge

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 19 днів тому

    Nahis baada ya kupata aitime mitandaon ndo akapata mwingine

  • @rehemamoyo4182
    @rehemamoyo4182 28 днів тому +7

    Amechit Cherry

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 28 днів тому +2

    😳😳🙆🏾‍♂️🙆🏾‍♂️wameachana ? Hapana ctaki kuàmin ngoja kwanza nikatie maji mwilin 🚶‍♀️🚶‍♀️🚶‍♀️inawezekana kweli ni uongo wa kutafuta kiki ya nyimbo 😂😂

    • @Official83640
      @Official83640 27 днів тому

      Kweli demu kafuta picha zote walizokuwa wote😂😂😂

    • @ruqaiamohammed345
      @ruqaiamohammed345 27 днів тому

      @@Official83640 daah aisee mapenz haya 🙌🏿🙌🏿kweli usinene ugamara

    • @darlenesalum3667
      @darlenesalum3667 21 день тому

      ​@@Official83640mmmh

    • @cathyjb4339
      @cathyjb4339 14 днів тому

      Hamna huyu kaka anapitia maumivu anaonekana. Ona alivyokonda hata anavuocheka sio cheko la kawaida ni la maumivu.

  • @ramadhanhassan9308
    @ramadhanhassan9308 26 днів тому +5

    Huwezi ishi na muathirika kama huna tatizo la Akili

    • @fatihiyadossa375
      @fatihiyadossa375 26 днів тому +3

      We kaka nakwambia tema mate chini usiongee Ivo Kwasababu watu awajapata elimu kuusu ukimwi watu wanishi negative anda positive 😅😅😅nahakuna anaemuam ukizaa mwenzake inategemea na dam kila mtu akiswma aweke mambo yake waI kwenye huu mtandao kwajili ya huu ugonjwa sijui kama watu wangeamini lkn vipo kwenye jamii ytu

    • @verobecamfipa8655
      @verobecamfipa8655 26 днів тому +1

      Sio kweli kuna mwanajeshi mmoja iringa alikuwa ameathirika na alikuwa anadate na demu mkali kishenzi kutoka singida na walizaaa mtoto mmjo mwanamke na Mtoto hawana vvu mpaka xaiz ila yule mwanajeshi amefariki tayari😭😭

    • @hajistshariast6335
      @hajistshariast6335 25 днів тому +2

      Tatizo wengi wetu elimu hatuna

    • @hajistshariast6335
      @hajistshariast6335 25 днів тому

      Tatizo wengi wetu elimu hatuna

    • @GeorgeAkasha-zx2rj
      @GeorgeAkasha-zx2rj 24 дні тому

      Hii comment 100%

  • @user-db1uy6hv9q
    @user-db1uy6hv9q 27 днів тому +4

    Jamani ww siulihojiwa wasafi ukasema hujaambukizwa

  • @greenermichael2057
    @greenermichael2057 17 днів тому

    Watu sijui tukoje unapata MTU anakupenda na virusi vyako unamkimbia

  • @LubnaGeorge-re4yp
    @LubnaGeorge-re4yp 24 дні тому

    Huyu Kaka alifat u umarufu Kwa yule dada muathiririk

    • @cathyjb4339
      @cathyjb4339 14 днів тому

      Hapana alimpenda, we unaweza ku-risk maisha yako yaani posibility ya kupata ugonjwa kwa sababu ya kiki? Hata namna anam-cover up hafunguki kwa ubaya juu ya huyo dada, namna amepungua unaona he was in Love. Japo inafikaga kipindi mapenzi yanaishaga na maisha lazima yaendelee.

  • @onekisstv8412
    @onekisstv8412 22 дні тому +3

    Kwaio mzee baba haya mambo hukuyaona kwenye jicho la tatu au

  • @mwashamleo9996
    @mwashamleo9996 19 днів тому

    Hata siamin nyie😢

  • @vee4296
    @vee4296 24 дні тому +1

    Mbona hii video kwangu haina sauti kwanini?

  • @juditholotu7249
    @juditholotu7249 18 днів тому +1

    Mungu atakupa mke mwingine

  • @rehemamoyo4182
    @rehemamoyo4182 28 днів тому +3

    Wakwanza

  • @Chakol123-k7s
    @Chakol123-k7s 27 днів тому +7

    Nasikia mtu ukiwa na HIV halafu unabadilisha wanaume/wanawake virus 🦠 zinaongezeka sijui kwel??💁 Nilisikia mahali

    • @Khadija-ne8ul
      @Khadija-ne8ul 27 днів тому +3

      Kama mwenza hatumii dawa vizuri au hatumii kabisa unakua unapata maambukizi mapya na huateza kulaza virusi

    • @doymatata4702
      @doymatata4702 26 днів тому +4

      Ukweli inawezekana kwa sababu unaojamiiana nao hujui status yake kama atakuwepo MWENYE HIV basi atakupa vyakwake naukweli kilamtu ana aina yake ya VVU KWAKIFUPI NIHIVYO

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 24 дні тому

      @@Khadija-ne8ul wow Asante Kwa kujua

    • @Chakol123-k7s
      @Chakol123-k7s 24 дні тому

      @@doymatata4702 wow Asante Kwa kujua

  • @VeronicaRugoyi
    @VeronicaRugoyi 23 дні тому +1

    Kimekuramba😂