CARRYMASTORY AFUNGUKA UJIO WA CROWN MEDIA YA ALIKIBA/KUSHINDANA NA WASAFI MEDIA/MWIJAKU AMEFELI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лип 2024
  • Interview ya mwisho ya #carrymastorytv #crownmedia #wasafi
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 155

  • @edsonmnego4030
    @edsonmnego4030 28 днів тому +5

    Mbn inafanya vzr mtaani mtandaoni au ni mim tu ndo naifatilia

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 27 днів тому

    Umependeza sana 👌na umeongea point📌❣️

  • @user-qq2oc4bt3i
    @user-qq2oc4bt3i 28 днів тому +2

    Unaongea point sana dadaangu....by Mr okay 1time

  • @user-kb8ee9py8n
    @user-kb8ee9py8n 28 днів тому +2

    Leo umeonge Sana point Dada yangu

  • @veryboyplatnumz3506
    @veryboyplatnumz3506 28 днів тому +2

    Wasafi 🔥

  • @jacksonluanda2313
    @jacksonluanda2313 20 днів тому

    Sema huyu dada nampenda sana

  • @joshuamolleli3471
    @joshuamolleli3471 27 днів тому

    We are crown fm family

  • @Machafukoyajiji
    @Machafukoyajiji 28 днів тому +7

    Hii nchi Uhuru umezidi kila mtu anaongea chochote anachojisikia

    • @thethengomba355
      @thethengomba355 27 днів тому

      Honestly!

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 26 днів тому +1

      ​@@thethengomba355😂😂😂😂yaan

    • @uwezokinahi7870
      @uwezokinahi7870 24 дні тому

      😂😂😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 22 дні тому

      Unajua hii coment naipendaga sana eti hii nchi uhuru umezid kila mtu anaongea chochote anajisikia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌

  • @basheer4278
    @basheer4278 28 днів тому +6

    Hujui hata unachokiongea

  • @frankmussa2138
    @frankmussa2138 21 день тому

    We carry kuma achana na kiba peleka wivu huko mbwa wew

  • @bjayvocal1890
    @bjayvocal1890 24 дні тому

    Mnafki sana mbwa wew dada.

  • @PetroJonas
    @PetroJonas 28 днів тому +4

    Anaumwa mavi oyo dada hajaijua vizuri king

  • @user-ki7hd3lg2q
    @user-ki7hd3lg2q 28 днів тому +16

    Ww dada kweli hufuatilii media sasahivi crown ndio habari ya mjini

    • @RINASIJAINA
      @RINASIJAINA 28 днів тому +3

      Wewe crown Hata efm hawajafika..

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 28 днів тому +1

      Ujui anachokiongea

    • @samtelah7578
      @samtelah7578 28 днів тому

      Jidanganyeeeeeee

    • @Matayohamis0784
      @Matayohamis0784 28 днів тому

      Wewe unajiongopea saaaana, kwaiyo anaizid wasafi

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 27 днів тому

      @@Matayohamis0784 angalia views UA-cam toka uhu mwezi umeanza ni ipi inaongasa

  • @RINASIJAINA
    @RINASIJAINA 28 днів тому +1

    Umeongea point sana

  • @bihagazeayoub1197
    @bihagazeayoub1197 28 днів тому +2

    Kifupi ni kwamba Ali kiba Hana Vibe

  • @princessplatnum4416
    @princessplatnum4416 28 днів тому

    Iki kibinti kizuri sijapata ona🥰

  • @novyrenola4435
    @novyrenola4435 28 днів тому

    Carry hao wanafaa kukulipa consultation. You are literally giving them opinions of how to sort and manage their company

  • @alilalji1306
    @alilalji1306 22 дні тому

    Uyu dada ana wivu

  • @MorandiKaroli
    @MorandiKaroli 28 днів тому

    Sawa

  • @HenryNuhu
    @HenryNuhu 21 день тому

    Ila Kuna point kidogo

  • @MjMohammed-nt6fq
    @MjMohammed-nt6fq 24 дні тому +1

    Hvi carry unafuatilia kwel crown binafsi kwa sasa inafanya vizr sn kwanz kachomoa watangazaj wakubwa sna kweny mediA kubw tz, yaan kwa sasa ukiitazam efm hawana watangazJ tena kaenda wasafi kAbomoa kachukua watu muhimu sn na ndio anaanza wew vip bna

    • @jastinipaul9882
      @jastinipaul9882 16 днів тому

      watu muhimu wapi hao acha uongo hansrafael alikua hana mkataba

  • @gauchojulius6237
    @gauchojulius6237 28 днів тому +3

    Wewe dada una jipya jiongelee maisha yako ujui lolote

  • @MohdMohd-fv1my
    @MohdMohd-fv1my 27 днів тому

    This is real world...acting is reacting...ukiona ujumbe haujafika ujue sio wa kwako na ukiona bango limechanwa habari imefik iyo....

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 28 днів тому

    Mnyonge ni wewe kuma wee fanya maisha yako

  • @tatuaamuuinyi9633
    @tatuaamuuinyi9633 27 днів тому

    Zaa upended.jamani karimastori kapendeza

  • @mrcaro4141
    @mrcaro4141 28 днів тому +2

    Pesa ni Siri ya mtu mbona unamdharau sana kiba unaona kama Hana pesa sio kweli pesa ni Siri ya mtu

  • @zaitunimashambo2104
    @zaitunimashambo2104 27 днів тому

    Kweli we hamnazo ulitaka afanyeje zaidi ya pale kwendrrrraaaaa

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 28 днів тому +1

    tuipe muda 👑

  • @abdallahkambangwa7215
    @abdallahkambangwa7215 28 днів тому

    acheni kutudanganya

  • @user-gv8gx3ed7x
    @user-gv8gx3ed7x 26 днів тому

    Huyu demu ni muongo sana Crown media ipo tofauti na redio zingine sasa anataka anacho kifanya diamond na alikiba afanye huo ni uwongo

  • @christopherandrew8592
    @christopherandrew8592 28 днів тому

    Hana jipya huyo

  • @JUMA3DTZ
    @JUMA3DTZ 26 днів тому

    Uyo dada anatafuta kazi crown ila sisi mashabiki hatumtaki😅

  • @user-qo8eu1br6f
    @user-qo8eu1br6f 28 днів тому

    Carma story mie nakuelewa kuhusu Alikiba amepoa sn hata kimziki angalau siku hizi ndiyo najitahidi kuchangamka

  • @AngelmackieCharity
    @AngelmackieCharity 28 днів тому

    Malaya carry

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 12 днів тому

    Ww wasaf inapotea sasaiv

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 24 дні тому

    Yuko sahihi kabsa

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 27 днів тому

    Uyu carry ni mimi kabisa mkweli sana 😅😅😅

  • @shwaibukhatibu2838
    @shwaibukhatibu2838 27 днів тому

    Elezea vizur kapoa kivipi

  • @rajumrecords711
    @rajumrecords711 26 днів тому

    Huyu Carry mbona Haelewi maana ya Biashara. One should be unique. Hafikirii nje ya Box

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 28 днів тому

    mbona media kafanya vizuri sana hivi anajua anacho kiongea,,Kiba ni cooparate Dada uwezi kufananisha wasafi na crown ni vitu viwili tofauti mbingu na ardhi

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 28 днів тому

      Dada anaoto mchana wasafi iliisha

  • @hamisijumanne4137
    @hamisijumanne4137 23 дні тому

    App kwa haria umeongea kitu

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 28 днів тому

    Hajui chochote tena mkinhoji uyu dada tutaiacha kuifuatilia ihii media

  • @zamaliabdulkarim5598
    @zamaliabdulkarim5598 28 днів тому +1

    Nili taka kusikiza hii lakini nilipo gundua kama huyu kalipwa kumsema vibaya ali nime achana nahuu usenge

  • @shaurimhawila6052
    @shaurimhawila6052 28 днів тому +1

    Hapo mastery umekariri hizo ndio swaga za kiba na ndio watu wanampendea xaxax ww unalazimisha aje na swaga za mondi Acha kufeli ww
    Hapo umezingua kwenye hii interview

  • @Shokolokobango9385
    @Shokolokobango9385 28 днів тому

    Kama una heka unaweza kuzuia chochote point of correction HAPANA kuna wenye pesa kama Manji na Mengi ila hatunao dunian Mwenyez Mungu awarehemu

  • @rajabdibwa6415
    @rajabdibwa6415 24 дні тому

    Carrymastory anaongea fact jamaa hayuko serious kivile

  • @mussandikumana3561
    @mussandikumana3561 24 дні тому

    Njo tunaanza weye subiri ila ni seme kweli umependeza
    Sisi atuvai misaraba

  • @Abdul-oc1ul
    @Abdul-oc1ul 27 днів тому

    Unaumwa mavi crown imepowa wp mm ht cjui wasafi ndo maneno

  • @suhaylaabdullah4261
    @suhaylaabdullah4261 28 днів тому +1

    Hiyo ya Diva kuondoka ni uwongo kiki tu hapo umechemka dada akili yako imeshapotea

  • @JosephEleneus
    @JosephEleneus 26 днів тому

    Sisi crown a2fanyi vit kihemko

  • @Dareaziz
    @Dareaziz 23 дні тому

    We bwga

  • @MrOnii255
    @MrOnii255 28 днів тому +6

    tatizo uko bize na umalaya sister uwezi elewa ila crown ndo imeshika Africa sasa

  • @abdallahdataguy
    @abdallahdataguy 26 днів тому

    Dada amejikirimu sasa hivi anang'aa. Dada zetu rangi nyeusi hawaitaki kabisa...

  • @Zahara-or3cf
    @Zahara-or3cf 27 днів тому +1

    Carry ❤❤

  • @user-qv2cq3uc7o
    @user-qv2cq3uc7o 27 днів тому

    Huyu dem yuko mkoa gan!!?

  • @hubimogela9167
    @hubimogela9167 25 днів тому

    Carry unachosema mtu akikuelewa kinamaana sana icho ndicho majizo alifanya ili kuleta amsha amsha na wasafi

  • @kenyzach9124
    @kenyzach9124 27 днів тому

    huyu dada ana media lkn bado anahisi media inaongozwa na kiki😂😂😂.

  • @MrOnii255
    @MrOnii255 28 днів тому +1

    Ndo uchawi unaanzaga ivo ivo tu .
    Crown fimbo yenu alikiba kitu pesa mi naisi yeye ndo anazitengeneza

  • @JoseMauricioCristiano-ix8wr
    @JoseMauricioCristiano-ix8wr 27 днів тому +1

    Tanzânia bila kumsema vibaya kiba amuhendi kuma wewe

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 12 днів тому

      Ye huyo alikiba ni nani sasa nchi ....msanii anajiita king halafu Hata RED CARPET ya BET AWARDS inafananaje.....

  • @moizjohnston3841
    @moizjohnston3841 27 днів тому

    Hili tahira halina akili cjui limetoka chooni,et Diamond hawezi kuruhusu mfanyakazi wake kwenda Crown media cjui linaishi dunia gani

  • @user-px6xk6cs9h
    @user-px6xk6cs9h 28 днів тому

    Unataka afanyeje achauchuru

  • @BarakaAmosi-gb4ve
    @BarakaAmosi-gb4ve 27 днів тому

    Dada nahisi sm yako Haina bando

  • @Singa-stv
    @Singa-stv 26 днів тому

    Kwani uyudada anataka Kiba afanyeje haitakikukulupuka

    • @EmmyMo
      @EmmyMo 26 днів тому

      😂😂😂😂

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 28 днів тому

    Ww ulikuwa unachamba watu na Umbea mtandaoni sikuizi mbona umepotea na hatusemi

  • @Eddy_De_Change
    @Eddy_De_Change 26 днів тому +1

    Tanzania hakuna Radio inayofanya vizuri saiz zaidi kama crown media kama unabisha fatilia vipendi vya live afu angalia radio ipo inafwatiliwa sana watu wanaweka bando wana streem sana crown media

  • @jinsiyakutengezavijora8909
    @jinsiyakutengezavijora8909 28 днів тому

    Hujui unachokiongea

  • @willbroadpontion
    @willbroadpontion 26 днів тому

    Uyu dada ni muongo alikiba hajawai kumpenda diva

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 28 днів тому

    Ndo maana media yako imedumaa wenzio akina sns na Rick wanapasua tu

  • @benedictinelusambo069
    @benedictinelusambo069 28 днів тому +1

    Kwan wafanyakazi wangapi saiv wa WCB wameenda CROWN media

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 26 днів тому

    Mambo ya unafki yote ufanyika kimya,kimya.kila mnyonge hapendagi mambo yake yajulikane hazarani.

  • @starlily07
    @starlily07 22 дні тому

    Carry umeongea ukweli kabisa, kumuongeza Aaliyah kwa Ammy girl na Tambwe haina mvuto kabisa, Tambwe na Ammy girl wanaendana sana na ukiwasikiliza una enjoy.

  • @eliud21savage48
    @eliud21savage48 27 днів тому

    Anachuki

  • @DavidYamungu-rl5os
    @DavidYamungu-rl5os 25 днів тому

    Hujielew wewe Fuatilia Kwasasa Media gan Ni Habar ya mjin Nowadays 😂😂😂

  • @jinsiyakutengezavijora8909
    @jinsiyakutengezavijora8909 28 днів тому +1

    Ww so shabiki wetu ww nenda huko kenge mweusi kuma unakosha mikojo lkn mbwe ww

  • @ngulumbejr1759
    @ngulumbejr1759 22 дні тому

    Yani haya unayoyazungumza ni mwaka gani? Mana dunia yote ipo Crown media,sasa sijui wewe upo wapi!😂😂

  • @shefukoro6968
    @shefukoro6968 28 днів тому

    Wewe dada huelewiunachokiongea watangazaji 2 kiba kawachukua wasaf

  • @ReasonBehind-t1d
    @ReasonBehind-t1d 28 днів тому +4

    Wengi wanachukia kwa sababu wanajua kuwa anachokiongea Carry,ni cha ukweli. Huyu ni mtu mwenye maarifa zake

  • @DakorTrony
    @DakorTrony 22 дні тому

    Alikiba hana masomo so hata crown radio hawezi maana hana lugha na kizungu hajui. Alikiba I told him ni mnyonge na hana akili ya masomo. Hajasoma alikiba na hana say. Alikiba kiburi ndio shida

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 28 днів тому

    Tulia acha wivu

  • @nikkitokke8162
    @nikkitokke8162 27 днів тому +2

    Crown ndio habari ya mjini

  • @nittyswagger9091
    @nittyswagger9091 28 днів тому

    Sawa nimaoni yako lakini umekosea sana alafu huelewi ata uchokiongea 😢

  • @Ambaryeh
    @Ambaryeh 27 днів тому

    WWE dada msenge tu, hauna lolote

  • @user-hi8le2vb7z
    @user-hi8le2vb7z 22 дні тому

    Bogus,,unaongelea hisia za watu 😊tena kwa kujiamini.....ukiuliza kisa umbea😊..

  • @gibonykiyao9698
    @gibonykiyao9698 27 днів тому

    Malaya ww

  • @Avibrtz
    @Avibrtz 28 днів тому

    Ww carry toka Umejua kuoga Bwana hahaha umetumwa uchafue media ya watu Sasa ALIKIBA media yake haijachangamka kivip wakati ndo media inayokimbiza Mjini now subri basi baada ya miezi6 TU, uone kama hajakupitia subscribe wakati ww unamiaka 20 huku UA-cam

  • @user-sy4wf5ll4o
    @user-sy4wf5ll4o 12 днів тому

    Mbna watangazaji kibao wameenda. Boya ww

  • @Foodgrower112
    @Foodgrower112 28 днів тому +1

    Eeee kumbe uyu shangingi mind less kweli kweli

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 26 днів тому

    Achana na Alikiba ww muache na lifestyle yake usitake aishi ama abehave unavyotaka wewe tumbiri

  • @AmanaAmos-hv3yz
    @AmanaAmos-hv3yz 27 днів тому

    Unaongea really ila wenye brain 0 watabisha 7bu ya uteam wao

  • @jinsiyakutengezavijora8909
    @jinsiyakutengezavijora8909 28 днів тому

    Ww mbwa unaongea nini ya babaa ako kuma ww

  • @ISSASHABANI-sw7lx
    @ISSASHABANI-sw7lx 28 днів тому +1

    Kumbe cory na wewe ni matako yani ali kiba akamtake diva na unaanisha kwamba ali kiba kwamba hana pesa wewe ni team wasafi tuache unataka Ali kiba apost madem ili mupate content umesahau wewe watu tunafatilia kuma wee

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 28 днів тому

      Boya sana carry mastory mkimhoji huyu malaya hatutafuatilia tena hii media

  • @WendoJuma
    @WendoJuma 28 днів тому +3

    Mpaka saa Alikiba amechukua wafanyakazi wawili kutoka wasafi

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 28 днів тому

      Mwambie

    • @ericlowasa3097
      @ericlowasa3097 12 днів тому

      Kuchukua wafanyakazi wasafi siyo tatizo ..... tatizo ni hiyo media.....je itafanya vizuri....

    • @Brunotarimo10
      @Brunotarimo10 12 днів тому

      @@ericlowasa3097 saifi media namba moja tz ni crown na inafanya fisuri sana

  • @zainabuabdul7852
    @zainabuabdul7852 28 днів тому

    Anaongea nini jike dume Huyu

  • @DeodatuslivingKessy
    @DeodatuslivingKessy 22 дні тому

    Usimshauri ujinga wewe kilimtu aishi ualisia

  • @alexshabani2012
    @alexshabani2012 28 днів тому

    Anaongea pumba

  • @user-qo5it1uc9m
    @user-qo5it1uc9m 28 днів тому

    Labda umesahau wewe

  • @salimbilali5174
    @salimbilali5174 25 днів тому

    Fanya wewe...crown media ni Al-Jazeera hawana mbwembwe

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 28 днів тому

    Ujinga tu na makasiriko

  • @user-uf5eo9vy3d
    @user-uf5eo9vy3d 21 день тому

    Kwasasa crown ndio Media namba Moja nchini na na redio yao ndio redio pendwa kwasasa kwa maeneo inaposkka

  • @newgreeneaglestudio3089
    @newgreeneaglestudio3089 26 днів тому +1

    Carry nilikuwa nakusubiria uongele kwasababu najuwa unasemaga ukweli