ASANTE MUNGU HATIMAE TUMEMALIZA TAMTHILIA YETU PENDWA YA KIBENTEN,, ASANTENI SANA MASHABIKI KWA UPENDO MLIOUONESHA KWENYE TAMTHILIA HII,, HII IMETUPA NGUVU ZAIDI YA KUANDAA KAZI NZURI ZAIDI KWA AJILI YENU WATU WETU,, TUNAWAPENDA SANA TUKUTANE KWENYE TAMTHILIA IJAYO ASANTENI🙏🙏
❤❤❤MANZEE NILIJUA TUH KICHECHE NDO ATAKUWA GATE MAN😂😂😂😂 SAWA NAKUBALI SANA LUTA HE IS BRINGING IT INTO REALITY.....MANZEE KICHECHE GOOD WORK PLEASE TOA NEXT SEASON SOON. THANKS SANA ..
I followed it from the beginning, it's wonderful, amazing. When watching, I sometimes feel sorry of myself because I find that I take part inside while outside and become one of characters. Keep it up 💯
Gaai Tanzania,,, congratulations 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i have enjoyed watching the whole series ,,,, i really appreciate this,,, I LOVE YOU MUCH GUYS ❤❤❤❤❤ 🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️👆❤️🇰🇪 LUTA MAN 💝💝💘💘💘 TIFAH MANN,, KICHECHE MAN GWANDA MAN,,,
Asante sana wote kwa kutuburudisha kwa tamthilia hii. Kusema ukweli mliianza kama mchezo lakini hatimae mkaifanya ni yenye kuvutia, kuburudisha, kupendwa na uzuri zaidi ina mafunzo vile vile ndani yake... Kwa ushauri tuu naomba mkija na ingine mtuletee yenye mafunzo zaidi ya hii wanangu man... Nasema tena Hongera sana kwa kazi safi kama hii, one ❤
Nmefuatilia mwanzo mwisho...was fantastic movie creativity and talent made a difference with other movies... am really appreciate it and congratulations @kicheche and u're team bravo 👏 bravo 👏 bravo 👏🎉
Movie safi yenye funzo Rutoman mbarikiwe. Maisha ni gwaride wakwanza anakiwa wa mwisho na wamisho anakiwa wakwanza . Usimzarau usie mjuwa man like❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Hii tarf kwang imekuwa kama msiba manak mmmh niltaman iendelee hata mwaka ama zaid asant pia kongole kwa kaz nzur inshaa` Allah Allahu awakubal 😭😭😭....🙏🙏
ASANTE MUNGU HATIMAE TUMEMALIZA TAMTHILIA YETU PENDWA YA KIBENTEN,, ASANTENI SANA MASHABIKI KWA UPENDO MLIOUONESHA KWENYE TAMTHILIA HII,, HII IMETUPA NGUVU ZAIDI YA KUANDAA KAZI NZURI ZAIDI KWA AJILI YENU WATU WETU,, TUNAWAPENDA SANA TUKUTANE KWENYE TAMTHILIA IJAYO ASANTENI🙏🙏
Kakaa ii atarii
Asante sana man tunawapenda sana man❤😂
Mapua😂😂😂😂
Asante Sanaa hongereni
Kicheche namimi unaweza kunipa kazi yoyote hata ya kukufulia napenda sana kazi yako nipo burundi
Yaani kicheche angajua hii movie tunaifuatilia walai angeanza tu kupanga ingine😊😊😊anaekubali like tia like 😅😅
ndio kabisa 😅😅
Tunashkuru sana kwa kutuletea filam yenye mafunzo makubwa sana kicheche tunaomba utuletee na nyingine kama hii
Luta man you played your part nicely much love from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Great movie, Great characters, Great final.
We need another one like this...🔥🔥🔥🔥🔥
Kama umetazama kibenten mwanzo mpaka mwisho naomba likes zangu
have it
Uzipeleke wapi masikini wewe
Uwakaka unyam mwing
Congratulations Ruta Man, kicheche mlinzi kweli mahabuba amemuacha kicheche.
😅😅😅
Wow tulikua wote EP 1 hadi ya 17 Asante sana timu kibenteni ❤❤❤❤❤ one love from zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 one zambia one nation
Much love from BURUNDI 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮 never disappoint kicheche 😂😂😂😂
Nawewe kumbe uba urino🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Kicheche never disappoint I love this man kumbavu zangu mbwa mimi 😂😂upwiruu😂😂 mpange sasa mtoe ingine
Dah jamanii kibenteni yetuuu 😢 tulikupenda ila kicheche kakupenda zaidi, mnisaidie like 5 tuu maana sitaiona tenaa 😢😢😢😢 daah
Daaa ilikua tam xan aiseee 😢
Kicheche nakuombea mazur zaid kwa mungu, uko kwenye nafasi yako itumie, Kwan kila kitu kina wakati wake, huu ni wakati wako!!! ❤❤❤🎉🎉🎉
❤❤❤MANZEE NILIJUA TUH KICHECHE NDO ATAKUWA GATE MAN😂😂😂😂 SAWA NAKUBALI SANA LUTA HE IS BRINGING IT INTO REALITY.....MANZEE KICHECHE GOOD WORK PLEASE TOA NEXT SEASON SOON. THANKS SANA ..
We Say Thanks For This Opportunity To Give Us This Movie , We Proud Of You And Your Team🎉🎉🎉🎉
I followed it from the beginning, it's wonderful, amazing. When watching, I sometimes feel sorry of myself because I find that I take part inside while outside and become one of characters. Keep it up 💯
Wakwanza nahomba likes zangu ❤❤❤❤❤❤
Duhh yaan hii movie mmejua kuitendea haki mana imeishia pazur sanaaa bg up wadau 2naitaj tna 1 km hii ❤❤❤
Mko sure hii ni final?? Aky #kicheche but big up sana to you all, you did a big job with your team, okay then nipee likes zangu hapa wakwanz mimi 🥰
Aksante Sana.
Hapa ni Ruta man vs Kicheche
Ila Rutaman's story is one the untold truths kwa watu wa aina yake 🎉
LUTAMAN you deserve a GOLDEN CROWN 👑
Mbna final mapema congration to all kicheche family 🎊🎊❤️❤️❤️
Kicheche mlinzi,,,I LOVE YOU GUYS MUCH LOVE FROM KENYA 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪❤️❤️❤️❤️❤️
Kicheche for life ❤
Mbwa mimi pumbavu zangu you never dissapoint😂😂ulimkataa mama mzazi kisa mapenzi,daaah😅😅😅
Kicheche eti Final😂😂😂😂😂😂😂😂😂mze kicheche usiharibu season..bora Season II
Kule so kuzuli😂😂😂😊 ksema final
@@GeorgeNyoni-u4p kbs laza aendeleze!!
Gaai Tanzania,,, congratulations 👏👏👏👏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 i have enjoyed watching the whole series ,,,, i really appreciate this,,, I LOVE YOU MUCH GUYS ❤❤❤❤❤ 🇰🇪❤️🇰🇪❤️🇰🇪❤️👆❤️🇰🇪 LUTA MAN 💝💝💘💘💘 TIFAH MANN,, KICHECHE MAN GWANDA MAN,,,
Kwanini inaisha man twende paka 20 man more from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲 man
😂😂😂😂 kicheche mbwa 😢 ahsante kwa fundi na kutengeneza kiti kizuri big up 🫡
I like this movie i learn too much from this roota man respect broo kicheche na na wewe pumbavu zako mbwaa wewe nakubali sana man
Wakwanza naombeni like zangu ❤️❤️❤️🔥
Asante sana wote kwa kutuburudisha kwa tamthilia hii. Kusema ukweli mliianza kama mchezo lakini hatimae mkaifanya ni yenye kuvutia, kuburudisha, kupendwa na uzuri zaidi ina mafunzo vile vile ndani yake... Kwa ushauri tuu naomba mkija na ingine mtuletee yenye mafunzo zaidi ya hii wanangu man... Nasema tena Hongera sana kwa kazi safi kama hii, one ❤
Huyo dada askar anajuaa xnaa
Wa kwanza naomba like zangu ❤😂❤😂❤
Nmefuatilia mwanzo mwisho...was fantastic movie creativity and talent made a difference with other movies... am really appreciate it and congratulations @kicheche and u're team bravo 👏 bravo 👏 bravo 👏🎉
Although am late but I have watched 🥰 kicheche content is undefined much love from Kenya ❣️🥰❣️❣️🥰❣️❣️🥰❣️❣️
LEO MIMI WAKWANZA NAOMBA LAKE ZANGU APA😂😂
Natamani ata isiishe an daaah big up sana #Kicheche crew💪
Congratulations 🎉🎉❤❤ we love it make another one amazing like this please 😻
🎉🎉🎉❤❤🎉🎉nimependa kweli.. congratulations guys.. nimejifunza kitu katika maisha
Can't believe how good your mini series is.
Congratulations guys we love it 🎉🎉🎉
Thanks Mr kicheche for the move we hv been together since first ntill now God bless you man .... Just make another one that is much than this
Asante kicheche natoka RD Congo Kinshasa 🇨🇩💯💯
Daaah ,, kicheche the Genius 😅😂😂
Kenya tunashukuru kwa yote tumefollow..Nipeni likes🎉
Nipeni like zangu😂😂😂
Wakwaza Léo nipeni like hâta 30 jamani nawapenda ❤❤
Wa kwanza leo😂😂
KAWINA Seni Ya Mwisho Umenikosha sana Kaka Big up sana 🩸😭❤️
Movie safi yenye funzo Rutoman mbarikiwe.
Maisha ni gwaride wakwanza anakiwa wa mwisho na wamisho anakiwa wakwanza .
Usimzarau usie mjuwa man like❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉
From congo 🇨🇩 apa
Tulio fuatilia Kibenten mwanzo mwisho tujuane kwa Like💯Apa
Wakwanza from Rwanda 🇷🇼
Bite nawe ukunda kicheche
Nyabugogo hejuru
Vraiment 🔥🔥🔥 mrc Kicheche kwa movie iyi ( comedy ) wewe ni king of new génération
Kicheche the unstoppable Dude👏👏👏👏🌹🌹🌹🌹🤝🤝🤝🤝🤝
I congratulete you mr. Kicheche and i've appreciated it so much we are waiting for a next Thamthilia🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Pao bro
Mimi NGO wakwanza kutokeya Congo 🇨🇩
Congratulations to all people in kibenteni much love
Daaaaaaaaah kumbeimeisha mumejitahidi sana❤❤❤❤
Kkkkkkkkkkkk aise mwisho wakicheche noma sana adi mbavu zangu zimeumia
Naitaj like no1
Wakwanza nipeni like zangu❤❤❤❤❤❤❤
wakwanza mmi jamani 🎉🎉😂❤❤❤
Lutaaaa 💪 Nakupenda Man 😂 you nailed it
Imeisha vizurii sana sterling makotii hii nzuriii hii 🎉🎉🎉 hongera kwako kicheche na Team yako❤💥
Wakwanza from Kenya 🇰🇪
MWENYW NASHANGAA KWANN HATOKI VIPELE ❤❤❤❤❤❤❤❤😂🎉😂🎉
Bravo bravo brother it's has a been an interesting short scrip nakukubali sana Makoti .... waiting for more # tembeakenya
Kicheche kazi nzuri sana tunaomba tamthilia nyingine kama hii
Ni sikilizeni kibenten luta ndo number one🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Wakwanza leo likes za kwangu...❤❤❤❤
Good
Kazi nzuri Boy from 🇲🇿🇲🇿
Leo nimekuwa wa kwanza naombeni like zangu
Naitwa mpesa mpesa 🇨🇩 unafanya muzuri kabisa
Kicheche, Pumbafu zako Mwenyezi akubariki❤
Kaka hii Kali sana nimejifunza uvumilivu
Much love from Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Tulio angalia 1 mpaka 17 tupeane like❤😊
😂😂😂😂Kicheche Luta man pumbavu zako,I enjoyed it since ep 1 man big up Kicheche and your team big love from 254
Kichechee pumbavu zako kwweli Sasa umekuwa mlinzi tu kuvumba Na kuvumbuaa 😂😂
Kumbe kulinda mageti ya matajiri kuna mazare kma haya😂😂ntaka kuwa mlinzi😂😂
Nakukumbalia bro from Kenya 🇰🇪
Mimi ndoo wa kwanza like zangu ❤
Hongera sana ❤❤❤❤❤
This is awesome I reel enjoyed kibenten much love from kenya
Kuna funzo kubwa sana ndani yake Asante sana Kwa kuelimisha jamii Mr kicheche
Congratulation Kicece kwa Kutuburudisha kweli kweli 🇧🇮
Much love ❤❤❤from Kenya🇰🇪
Mimi wakwanza leo nipeni like zangu
Kibenten actors are all super! Tifr, vai, never disappoint, luta man,kicheche & all de rest we salute u. Teamkenya
Hii tarf kwang imekuwa kama msiba manak mmmh niltaman iendelee hata mwaka ama zaid asant pia kongole kwa kaz nzur inshaa` Allah Allahu awakubal 😭😭😭....🙏🙏
😂😂😂kichecha anashangaa ati awe mlizi tena 😂😂Good my people one love from kenya and Colombia
Wow the movie from kicheche ❤❤❤❤😂🎉😢😮😅😊❤❤❤🎉🎉🎉
Wakwanza Leo mm nataka like zangu
Aliye juu mgoje chini😂😂😂😂❤❤❤asanteni sana team kicheche
Ruta mwanang umenifunz San mdog wak 🎉🎉🎉🎉 big up pm1 San mungu akusaidiy ktk harakat Zak za maish
Wakwanza kwa veas naombeni like
Tumefika mwisho man😂😂😂😂 gonga like
Good job
Yeah man leo man nafurahia hiyi man msitunyoteze man nimejua ww man lutta man mchezaji man😂😂😂😂😂😂
Congratulations to you and your team God bless you all 🎉🎉