Kicheche na group lako mnatuletea vitu vizuri vya tofauti tena ni maisha halisi kabisa hongereni sana endeleeni kutuletea vitu vizuri zaidi nawatakia kazi njema.
ila kicheche nimeona kabisa maisha yau maskini inaumiza sana tena sana sababu matatizo inazidi mpka imenitiya uzuni sana kicheche ila ongera sana kicheche tunapenda kazi zako kaka ila umekuwa tafauti n'a clam vevo yeye anavuma mu vitu vya mzimu ila wewe unapambana n'a vitu vienye avinaga mzimu apo uko poa nau ndo usani sasa baba ila mimi nakufata sana kutoka Congo DrC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche huu mwaka umetisha sana mwanangu nakukubali ume mufanya rutamani anakuwa musani mkubwa sisi tuko kongo tuna fatiliaga sana mambo yako naitwa imani tokeya pande za bukavu & kamituga
Kicheche wew ni tumbili, kenge, hanangwe,kongoro, supu ya pweza, zumbukuku, yai vinza na kashata, big up from rugombo Burundi 🇧🇮 kwao zungu la unga, natowa shikano hata kama nakuzidi umri salute 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Aiseee dada angu unapitia matatizo makubwa sanaaa wazeee vijana tutafute heraaaa wake zetu wasizalilishwe ivoo .. magonjwa mengne yanasababishwa kwaajili ya umasikini Kama Apo vai kalala na wanaume wawili kuokoa familia na mwingne kwaajili ya Kodi tutfteni heraaa jmn kunusru haya matatizo🙏...@
KAMA NAWAKWAZA SEMENIIIII😂😂
Hautukwazi tajiriii,, unaweza sana, bravooo💪💪
Uto kwanza tajeri 😅😅
Mimi njo wakwanza soma comment
Kibenteni iendelezwe
Ongela sana Kaka kicheche
Nimekuwa number one buana! Wenye wanamkubali kicheche gongeni like zenu niwaone!
Nzuri kbs
😊🎉
Nakubali sana mze wangu kicheche makoti naishi Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
The king of new génération nakukubali sana mutu wangu,from Congo 🇨🇩 Kinshasa
Kicheche na vai mnajua sasaaaa🎉
Watching from Nairobi Kenya 🇰🇪🇰🇪 namkubali kicheche 👌👌👌asilimia mia.wafuasi wangu kutoka nchini Kenya let's gather here
Kwani wew ni nani
Best bongo series ever ebu kama hujajalibu unyango visit there
Ni kweli
Nimekua wa Kwanza jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂😂😂
Mwenye Nyumba Amehingiya Sas Hapa Lazim Waseme Shikamo Baba Shikamo Mama , True Love Never Die Vai And Kicheche Love You So Much 🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
Kicheche na group lako mnatuletea vitu vizuri vya tofauti tena ni maisha halisi kabisa hongereni sana endeleeni kutuletea vitu vizuri zaidi nawatakia kazi njema.
KICHECHE una Watu Sana Big up Sana Kwako KICHECHE Yaani Kila MTU yuko Sirius Na Kazi. Oya weee Gonga like kwa KICHECHE ♥️🙏🙏🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bazi mim WA pili.... Naobeni like Zeno, from Moz🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿Nakukubai kicheche
Love much from Burundi 🇧🇮 kicheche & Vaileth 🔥🔥 ❤❤❤
Wakwanza from bunda mara tz kama unamkubali 😂😂kicheche gonga like nawapenda wote ❤❤❤❤❤
Ok bro uko bunda na me mwenyew nae niko bunda ndug
Uko maeneo ghan
Jaman kicheche nilijuwa unaumwa kumbe ni clip ya series nyengine we noma kweli🔥
Mbwa kicheche anahonga pesa ya matunda kwa Bibi kizeee😮
Anatisha san kicheche kuhonga tu ana bayaaaaa!!!!!!!!
Kicheche unajua sana mpaka unakera🔥🔥🔥
Number one from Burundi I Love guys 💙❤️💙
🇧🇮✌️
Assistindo diretamente de Moçambique 🇲🇿 ongera sana
Huna baya kicheche bigup💪
A see kicheche umeniuzi kitu kimoja mbona ruta mani😮 ayupo a see kicheche unaferi aaaa a see like kwawingi Sana 🎉🎉
❤
Tunao mkubali huyu jamaa wahovyo tujuane ♥️🙏🙏👍
😅😅😅 wahovyo au siyo
Wakwnanza nipeni like much love from Kenya kicheche mbwa😂😂😂😂
Wenye kukumbuka ile nyimbo ya bahati bukuku, gongeni hapa!
Dunia Haina huruma
Dr alieokoa maisha yako ndo mwenye huyu mtoto 😅😅
Duh hatar
Mbwa kicheche mgawanyo wa hela umemuumiza sanaaa😀😀
Kicheche ndio fund pekee bongo nzima
True story about our life, Big up kicheche with your team ❤from 🇧🇮
Dokita wache na maincha yaao
Leo mimi babaako wamcongo kutoka Burundi Niko wakwanza naomba like zangu😂😂 love from Bakame Comedian burundi
NAnyinyi jitahidi kutengeneza mvi nzuli basi
Ndio maana nawaambia kila siku mtu anayesababisha mke kuchepuka ni mume mwenyewe puuu🙌🙌🙌
Mbn unajitetea sana !!!!ukichepuka ww n mzinzi hvyo vyengine nivisingizio2 !! Kunawangap wamepitia majaribu Km hayo na hawajachepuka??😂😂😂
ila kicheche nimeona kabisa maisha yau maskini inaumiza sana tena sana sababu matatizo inazidi mpka imenitiya uzuni sana kicheche ila ongera sana kicheche tunapenda kazi zako kaka ila umekuwa tafauti n'a clam vevo yeye anavuma mu vitu vya mzimu ila wewe unapambana n'a vitu vienye avinaga mzimu apo uko poa nau ndo usani sasa baba ila mimi nakufata sana kutoka Congo DrC🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Huu ndo uhalisia wa maisha tuliyo nqyo mtaani ety
Kwer kaka
Huu ndo uhalisia wa maisha yetu....hivi ndvyo tulivyo ukipata pesa shida nazo zinaonekana
Kicheche iiiii umeua bro it's more than kibenten ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤.
Kicheche kwasasa ni zaidi ya Mond😂 yaani ndani ya dak 30 views 13000🎉🎉🎉🎉
Hongereni sana wote mmeitendea haki igizo yenu🎉🎉👏👏👏
Duuuh hi noma sanaaa kicheche mng akupe maisha malef xan🙏🙏
Woooooow mumeanza vyema yaan jina linafanania kabisa na matendo ya hii move tunawapenda san 🎉🎉🎉🎉
To be frank there is a very big lesson in this project .....!!! This is the best guys keep it up @Kenyan fans
Kicheche huu mwaka umetisha sana mwanangu nakukubali ume mufanya rutamani anakuwa musani mkubwa sisi tuko kongo tuna fatiliaga sana mambo yako naitwa imani tokeya pande za bukavu & kamituga
Haya mapenz yapo ktk movie tu pesa mtaani inaharibu future za watu saanaa
Alafu hizo dakika mmeanza nazo ziwe hivo Hadi EP mwisho, msiniuthi😂🎉❤p..
Anyway kazi nzuri 🎉
Una bundle!😂
@@rajabukipara3008 ..Situmiagi bundle raja, jiamini Dunia ikukubali😏
Wewe Ni masta kweli bro tunakupenda sana 🇨🇩❤❤❤
Kicheche u are the best from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲
pole Sana Vai kusrma ukwel nimetikisika maisha ambao unayapitia Mungu akubadilishie sipendi uendelee hivyo
Kuna mdada nimemuona hapo japo kidogo DEKO jamani huyo ni hatari lazima kuna kitu kimeongezeka humu. SAFIIII DIRECTOR 🎉
Kicheche nataka like kutoka kwako 😂😂😂😂
Utajuaje imetoka kwake?
Leo nimekuwa wakwanza nipe like za kicheche 🎉❤
Kicheche wew ni tumbili, kenge, hanangwe,kongoro, supu ya pweza, zumbukuku, yai vinza na kashata, big up from rugombo Burundi 🇧🇮 kwao zungu la unga, natowa shikano hata kama nakuzidi umri salute 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Mbwa shaboko we zombie mi ndo kicheche na macheche wa upwiru. Ngonga like hapa chini me I from Zambia I love movie fo kicheche.
kicheche nakubali sasahivi ucheshi tena unafunza sasa hongera sana bro natokea lubumbashi 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
From Rwanda 🇷🇼 but nasikia Roho inauma sana kwa sababu ya hii filamu. Asante for this movie. Tanzania is on the top...
Rwandais😂😢
Nyabogogo hejuru
Nyie watu mnajua sana jamani duuuuh kisa hadi kinasisimua fanyen chapu msicheleweshe sehemu ya pili❤❤❤
hapan hutukwaz ila tunaisubilia PASTOR SAIMON vp mbon ipo kimy sana
Kazinzuri sana team kicheche vaireth nakupenda sana
Wa kwanza leo❤❤❤ nipe like zangu from 🇨🇩🇨🇩🇨🇩
I love so much this episode is nice ❤🎉
Waah much love from Kenya 🇰🇪
We ndo full comedian kicheche,,,, mwaga like apo ka zote By ZQ 🧡💙💚
Qumamaqe mmekuja kufanya mapinduz ya bongo movie walah wew kicheche na clam mko fire balaaa pumbavu zenu
Wa kwanza🎉
😢
I SEE MYSELF INNA MOVIE....
I hear tears knocking my eyes... and I Don have anyway to stop it. Kicheche G.O.A.T inna league of minds😢
Wa kwanza leo 😂😂😂kwenye episode mpya😅😅😅like zangu😊
Itour kicheche Ulicha anza tocha bitu bizuri akuna bitusi ya buwerewere
😭😭😭😭😭😭,, Emungu baba naomba niondoleye maisha ya umasikini haya yasije yakanikuta🙏🙏,, ongera saana Mzee kicheche.🎉🎉
Love from GOGO LOVE OFFICIAL to BURUNDI
Huyu manzi mke wake kicheche nakubali sana anachokifanya ❤
Uweke na behind scene 🎉🎉❤❤
Kusema ukweli kicheche hii move iko vizuli umeupiga mwingi baba unajitaidi sana
Samahani , mbona sio uendelezi wa kicheche, .. mwatuchanganya😮
WA Kwanzaa naombeni likes zangu🔥🔥🔥
Vai nakupenda
Hongera sana kbx my Bro umeharibu kinyamwezi👍✅daaaaa!!!!!!💗💝💞💘🎁 Upewe mauwa yako asante
uruma umezid sana upunguweee mashabik zak wot siyo wenye matatizo tiy na scene za shishaaa na tungi
Mungu akueke sana mwamba uzidi kutupa.vitu vya kishua
Good work love from Kenya 🎉🎉❤
Wa kwanza from Kenya wapi likes zangu jamaani
wakwanzaaaav🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 mambo ni motrooooo
Aiseee dada angu unapitia matatizo makubwa sanaaa wazeee vijana tutafute heraaaa wake zetu wasizalilishwe ivoo .. magonjwa mengne yanasababishwa kwaajili ya umasikini Kama Apo vai kalala na wanaume wawili kuokoa familia na mwingne kwaajili ya Kodi tutfteni heraaa jmn kunusru haya matatizo🙏...@
Dah ad huruma mnajua san iyo ishawakuta weng ktk maish ongeren nyote namwanangu wa kgm doctar twalibu mvulungu
😂😂 washenzi sana nyie mnang'ang,ania wa kwanza haya na mimi wa kwanza sasa naomba like
😂
🤣
Kila siku mim wa kwanza ,aya mimi wa mwisho naombeni like
Kicheche NEVER disappoint,,, great work buddy from kenya Nairobi
Nimependa sanaa suprise ya latifa na baby wake
Kuna wengine tungekosa ndoa 😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂@@nasraabdallah8566
Nimeogopa sana sijaipenda hii suprise
Kaz nzr San
Sijui niandike nini maana dakika chache hizo mmemaliza kutoa ujumbe kamili wa maisha ya watu wote,daaah nimeipenda sana mnooo from Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮
ombi langu ni moja, hizi nyimbo na soundtracks kali sana muwe mnaziweka online tunazipata, kama hii kali sana
Kabisa isee Yani kawimbo frani iv amvacho kanatafakalisha sana
Life's realities. Bigup from Congo DR. 💪💪💪
Like it ❤. Hongereni sana Team kicheche.
Kicheche umecheza sana iyo move
Kwahyo kicheche dam ndo zinakuaga na rangi hyo
Thank you team kicheche for this movie your next level big up Sana👏👏👏👏👏🙌🙌🙌🙌🙌
Welcome all to another season hopes to be entertaining more than kibenten ❣️🥰 much love from Kenya ❣️❣️❣️🥰🥰🥰🥰
Kazi njemaaa kaka kicheche
Kicheche asanteni kwa film nzuri
Kicheche WE noma kbs nawafata kutokeya Congo drc uvira
Leo wakwanza Mimi like nyingi kwa kicheche
Kam unamkubali kicheche goga like🎉🎉
vai unajua kipenzi toka nianze kufuatilia comedy nimekuwa nafurahi kwa uwezo wako mkubwa are so amazing mama much love to you❤❤ keep on lamama
Nakubali xana kicheche makoti, gonga like nyingi kwanguu
Sijawahi kuangalia movie nikaumia kama hiiii hakiyamingu tuombeee2 maisha yetu yasiwe kama hayo kiukwel inauma sana sana san sana
Big up kicheche this move its so marvelous it reflects our real life situation
Me ndio wakwanza naombeni like Zang 😂😂
Kicheche my man keep it up with good work bro
Nice job bro mungu anampambania yule anaepambana IPO SIKU HII NCHI UTAISIMAMISHA
Dah kicheche anamkera bibi wawatu😊