PENZI LA MAMA NTILIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 615

  • @Mariam-fm8vq
    @Mariam-fm8vq Рік тому +99

    Huyu dada namkubali sanaaah yaan anajua kisha anajua tena 🔥🔥🔥

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Рік тому +18

    Bailam na vay muko talented nawapenda 🥰🥰👌👌na kicheche pumbavu zake 🥰🥰🥰🥰🥰👌👌👌👌siwezi wamaliza majina nyote nawapenda

  • @francescafrancesca8901
    @francescafrancesca8901 Рік тому +135

    Wanao unga mkono hii team kwa kazi nzuri wanao ifanya tujuwane kwa 👍. Merry Christmas kwa team na kwa mashabiki wa team yetu kipenzi.
    Mungu awalinde.

  • @elishajohn455
    @elishajohn455 Рік тому +36

    Afadhali leo mmetupumuzisha na neno MALAYA. Big yes mmefanya kazi nzuri sana

  • @ahmedyhassan4059
    @ahmedyhassan4059 Рік тому +36

    Nampenda uyu dada mwenye kijola Anaweza mno sana

  • @nicksonmwala9855
    @nicksonmwala9855 Рік тому +12

    Hapa hamna comedy,bonge la bongo movie 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻

  • @ndayijeanclaude5094
    @ndayijeanclaude5094 Рік тому +27

    Baby wangu Vai leo kapigwa mpaka naumia. Pole bby.
    Bregadia atakukumbuka

  • @petermaro9852
    @petermaro9852 Рік тому +66

    Vai is more than actress and I really like her diction when she acts.She and Bailam have a perfect chemistry.

  • @Mushalotelevisionkiswahili
    @Mushalotelevisionkiswahili Рік тому +37

    Hii team naikubali sana. ZAIDI BAILAM,VARIET,QUEEN,KICHECHE

  • @sultanngaugia3336
    @sultanngaugia3336 Рік тому +15

    Kicheche we unajua sana zaidi ya sana kiujumla wote mko vizuri

    • @kelvinpacha4193
      @kelvinpacha4193 Рік тому

      hahahaha pumbavu zangu mbwe weewe kicheche noma

  • @nasirmohamed6329
    @nasirmohamed6329 Рік тому +18

    Hii team kwann isichukue tunzo ya short clip Yani kazi yao zinafunza sana mm binfsi from Zanzibar nawakubali ila neno Malaya punguzeni kweli mna mpk watoto huku ni shabiki zenu mungu awajalie Kila l kheri

  • @Frank-yq5pj
    @Frank-yq5pj Рік тому +15

    Uyu vailet nampnd sana Kwa Kazi yake dah ,, ilove vailet

  • @yudithamwambenja3775
    @yudithamwambenja3775 Рік тому +33

    Vai jina kama la mdogo wangu nakupenda bure Mungu aendeleee kubariki kazi yako 💕

  • @Halimamaere
    @Halimamaere Рік тому +16

    VAI NKUPENDA WEE MDADAA 🥰🥰🥰NA UNAJUA SANA ADI RAHA🔥🔥🔥

  • @marrialmary3510
    @marrialmary3510 Рік тому +11

    Akii Vai unajua mpaka nashindwa kuelezea mpenziy 💕💞💞

  • @dayanaamoit6951
    @dayanaamoit6951 Рік тому +253

    Wapi kelele ya team KICHECHE😍😍🥳🥳, angusha like za kicheche jamani tujuane mbwa sisi😅😅🙌🙌

  • @dubadontv8387
    @dubadontv8387 Рік тому +47

    hii team ni 🔥🔥🔥🔥🔥 kama unawakubal like tuwe sawa

  • @danielmjarifu8546
    @danielmjarifu8546 Рік тому +8

    Yani ilianza kama comedy ila mtaa unawaelewa NYIE jamaa bring it for our country 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @issaskighanga3199
    @issaskighanga3199 Рік тому +24

    Kicheche ndie mwamba pumbavuzake 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @asinajasna3347
    @asinajasna3347 Рік тому +23

    Ila kicheche akili zake anazijuwa mwenyewe 🤣🤣🤣

  • @gspofficial7977
    @gspofficial7977 Рік тому +3

    Vailet I love you mwaa njoo acha mbwa izooo 😂😂😂 kicheche makofia mbwa mie nakupenda sana

  • @VELON-f7j
    @VELON-f7j 9 місяців тому +2

    I love kicheches movies they are so amazing,feel supported from Kenya by kenyans

  • @ibrahimadan7653
    @ibrahimadan7653 Рік тому +8

    Huyu sista manze unimaliza sana.naeza pata namba yake jo niko doha Qatar now baby ur so beautiful

  • @hunaydajuma3046
    @hunaydajuma3046 Рік тому +43

    Naipenda Sana hiii team❣️❤️km ww unaipenda like

  • @directorimmah_vfx3043
    @directorimmah_vfx3043 Рік тому +8

    Ilaa Kiukweli kabxaa kwny story mko pow sanaa... na Actin pia mko pow sanaaaa yaaaaan

  • @benjaminkangolo2017
    @benjaminkangolo2017 Рік тому +11

    lidada ili lina juwa ku jikiza adi raha big up good job

  • @zephaniamwangu9857
    @zephaniamwangu9857 Рік тому +12

    Kicheche ni bonge la star!!!

  • @josephlemi8084
    @josephlemi8084 Рік тому +3

    Hongera xana mnaweza Ila naomba kujua jina la huo wimbo bora nibaki mwenyew 🔥🔥🔥

  • @saumukahindi3795
    @saumukahindi3795 Рік тому +35

    Duuh uyo mwanamke imeniuma sana 😥😥

  • @MuedasomosnosMML
    @MuedasomosnosMML Рік тому +15

    Vailet nimekupenda bure ningekuwa Tz ningekuowa lakini nipo Mozambique 🇲🇿🇲🇿

  • @alexmachioni2
    @alexmachioni2 Рік тому +7

    Nakupenda hii team tengezeni filamu ndefi

  • @alifungo6794
    @alifungo6794 Рік тому +31

    I like this team especially kicheche he is 💥💥

  • @vince0044
    @vince0044 Рік тому +33

    my vai & bailam their perfect combination without forgetting umbwaa kicheche their vibes comes at one place 👌👏👏👌💜

  • @jackiekavugho3252
    @jackiekavugho3252 Рік тому

    Namimi namupenda kicheche,ok kaka kicheche ni kongo🇨🇩

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz233 Рік тому +12

    Vaiii mzurii 😍

  • @yohanatulito1182
    @yohanatulito1182 Рік тому +4

    😭😭 Yaaaani ukimwaangalia Hawa Watu Wana kitty Kikubwa Sanaa walianza Kama comedy Lakini Hawa niwalimu ukiwafatilia fisuri utawaelewa sanna 🔥🔥🔥💯💯🙏🙏

  • @jumaradhomary8591
    @jumaradhomary8591 Рік тому +8

    Tunapenda kazi zenu,na tumeanza kuwafatlia ktambo,ila kwenye hii y leo.MMEZINGUA MWISHONI.

    • @kashindijohn5145
      @kashindijohn5145 Рік тому

      Wamezingua kivipi bro, lete correction tuelewe, because we learn through mistake basi tueleze.

  • @iraakasubete8287
    @iraakasubete8287 Рік тому +5

    Sema nakukubali sana Bailam huwa unafaa kuigwa kwa msimamo wako

  • @rachelmikey5493
    @rachelmikey5493 Рік тому +5

    Ivi wanaume wana nini...mi cijui kama ntaja penda tena...MUNGU nisaidie tu nilee watoto wangu.

  • @yusuffacota1953
    @yusuffacota1953 Рік тому +6

    Nakubali sana , punguzeni neno malaya, iyi Safi sana

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 Рік тому +2

    huyu dada NI noma ana kipaji utahisi kama kweli hivi 🔥🔥🔥🥰🥰

  • @jacksonchamwinji3897
    @jacksonchamwinji3897 Місяць тому +1

    Vai ni bonge la mwanamke nakubali sana💘💘

  • @lightnessgoodluck8123
    @lightnessgoodluck8123 Рік тому +1

    Naipendaa Sanaa hii timu mwajuma ,vai ,kicheche nyieee

  • @mwljuliuskiwovele
    @mwljuliuskiwovele Рік тому +4

    Huyu Dada Asma sijui ndio ndoige anajua sana kwanza mimi nakataa siku zote huyu dada ni actress mzuri sana na sio comedian.

  • @callistobarasa-yo2gm
    @callistobarasa-yo2gm Рік тому +1

    nakupenda xana wewe Malaya ndoige coz unajua kuigiza shikilia tu hapo but punguza ku heart break wanaume poa but kenya mnapendwa❤❤❤❤❤❤❤💖💕💓💓🌺💞💓❣️👌

  • @shamsahasan2748
    @shamsahasan2748 Рік тому +8

    Kumekucha 😀😀😀😀😀😀bailam ww,yani kicheche yupo makini 😀😀😀😀 kwa uchawa

  • @ignancenshimiyimana8267
    @ignancenshimiyimana8267 Рік тому +2

    Kicheche much love from that country🙏🙏🙏🇷🇼🇷🇼🇷🇼

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 Рік тому

    VAI MUCH LOVE FROM KENYA MAMA.NAKUPENDA BURE KIPENZI

  • @vincej9275
    @vincej9275 Рік тому +4

    Asanteni sana Vai na Bailam, you are the best.

  • @martinmuthii1900
    @martinmuthii1900 Рік тому +11

    Kicheche nakukubali Sana👏👍

  • @zuberisalim2443
    @zuberisalim2443 Рік тому +6

    Huyu dada alofkuzwa jina lake nani...anajua sana kuigiza nampenda hatari

  • @andrewkilave3532
    @andrewkilave3532 Рік тому +11

    Hichi mlichoigiza ni kitu ambacho kipo kabsa mimi niliachana na mchumba wangu mtalajiwa kwasababu na yeye aliachana na mtu wake lakini jamaa alikuja kumwambia wewe ni wangu tu na Mwanamke akaniambia kuwa na mpenda sana mzazi mwenzangu daaah.

    • @Mary-vw6ur
      @Mary-vw6ur Рік тому

      1

    • @catherinescott9113
      @catherinescott9113 Рік тому

      Pole

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 Рік тому

      @@catherinescott9113 Asante japo bado hata sijapoa kivile

    • @catherinescott9113
      @catherinescott9113 Рік тому +1

      @@andrewkilave3532 ukitaka umesahau uwe bizee na kazi na kusikiliza nyimbo mbalimbali na usiwe unakaa pkee ako pkee ako

    • @andrewkilave3532
      @andrewkilave3532 Рік тому

      @@catherinescott9113 Asante sana kwa ushauri wako nitaufatilia

  • @abdallahswalehe1771
    @abdallahswalehe1771 Рік тому +1

    Kiukweli vay anajua sana kuigiza nampenda sana tena sana iclam naomba unikutanishe na vay plz mana wew nimeanza kukufatilia kitambo sana mpaka leo hii namjua vay kupitia wew

  • @ignassindabaha1813
    @ignassindabaha1813 Рік тому +2

    Vai hii movie umeuaaaaaa♥️♥️♥️♥️♥️😘mbwa kicheche 😂😂😂🏃

  • @rajabumihayo6235
    @rajabumihayo6235 Рік тому +1

    Daaaah yaaan Vai ni mzuri aise unafanan kabisa na x Wang

  • @AminaAmina-of5mv
    @AminaAmina-of5mv Рік тому +4

    Kazi nzury 🙌😍

  • @michaelshiraku7217
    @michaelshiraku7217 Рік тому

    Vaileti njo Kenya to much love mbwa mm❤

  • @JakoboKazilo
    @JakoboKazilo 2 місяці тому

    Nimewafuatilia hawa watu hii collabo ya vai na bairam ni hatari sana,,, wote mna filling 😥😥 kali sana za kuect 👋👋

  • @amish9amina899
    @amish9amina899 Рік тому +3

    Vaai nakupenda ❤️uko vizur sister 😊

  • @salimmasoud1253
    @salimmasoud1253 Рік тому +1

    Daah wewe Vai unaweza kupafom vzr hongera Sana

  • @monyaichimakuri537
    @monyaichimakuri537 Рік тому +3

    Leteni nyingine Basi I wish I marry Christmas

  • @nawalmohd3362
    @nawalmohd3362 Рік тому +11

    Napenda hii song ya humu❤

  • @nassorhabdalla1734
    @nassorhabdalla1734 Рік тому +2

    Nawakubali sans VAI na BAILAM. nyinyi ni Waigizaji wazuri Sana.

  • @lissaaminaamina8351
    @lissaaminaamina8351 Рік тому +1

    Nampenda Vai jamn hata sijui niseme anajuwa paka anajuwa tenaa

  • @anicethjanga6505
    @anicethjanga6505 Рік тому +3

    cograts vai,, then nataman nijue nyimbo inayoimba mwishon nan kaimba( bora nibaki na stress) kipande ikoo

  • @anolddeomassawe24anoldimas12
    @anolddeomassawe24anoldimas12 Рік тому +3

    Huu wimbo wanan naunaitwaje anaye jua aniambie

  • @amourshadhil2005
    @amourshadhil2005 Рік тому +7

    Huyu Vai. Hahaha. Hana zari

  • @bahatikaruma-fz7lz
    @bahatikaruma-fz7lz Рік тому

    Nampenda kicheche jaman....muse mnaigiz na cawina

  • @asahdhamza1034
    @asahdhamza1034 Рік тому +2

    Kicheche nakukubali mbwa wewe😂😂 like ya kenya hii

  • @irenefrancis4899
    @irenefrancis4899 Рік тому +4

    Huyu ni broo wangu kabisa na wifi

  • @marrysimon-h1n
    @marrysimon-h1n 4 місяці тому

    Nawakubar kinoma❤

  • @abasingande9276
    @abasingande9276 Рік тому +3

    Kichecheeee big up my brother

  • @clintonimara8483
    @clintonimara8483 Рік тому +9

    Huyu vailet ningepewa awe wangu duh mbwa Mimi ningetulia tuli

    • @evelynoscar5104
      @evelynoscar5104 Рік тому +1

      Hahahaaaaa mbwa ww umenivunja mbavu pumbavu zako😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @clintonimara8483
      @clintonimara8483 Рік тому

      🤣🤣🤣🤣mbwa mm ndo bligidia mwenyewe pumbavu zangu hizo

    • @clintonimara8483
      @clintonimara8483 Рік тому

      @@evelynoscar5104🤣🤣🤣🤣🤣

  • @mariamundayikengurikiye9266
    @mariamundayikengurikiye9266 Рік тому +4

    Nyinyi wanaume nawachukia nawachukia,nawachukia tena ila mungu anisaidie

  • @soomzoomdon5335
    @soomzoomdon5335 Рік тому +5

    hii team ndoinge nawapenda pure pumbavu zangu

  • @salmamgeni5016
    @salmamgeni5016 Рік тому

    Nyimbo ilotumika ni nzuri mashallah❤

  • @AaSs-x7v
    @AaSs-x7v 22 дні тому

    Asante..hii ipo vizuri saanaaa

  • @ibrahimmahinda9547
    @ibrahimmahinda9547 Рік тому

    Naupenda huo wimbo mwisho... mwenye kuujua aniambie guyz

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 Рік тому

    Uyu dada anaeliaga anaitwa nan asee ni anajua mpaka anajua tena siku lamata akimuona mta enjoy zaidi na mtaona ukubwa wake zaidi

  • @Neclar-wn3yp
    @Neclar-wn3yp Рік тому

    From 🇰🇪 am in Love with that lady mwenye analia aki someone anifanyie connection please Kicheche nipee huyo

  • @cheka_264
    @cheka_264 Рік тому +5

    Vaileth nyota yako inang'aa sana nakuombea ufike mbali

  • @abeidmsimange7840
    @abeidmsimange7840 Рік тому

    Nampenda sana huyu vaileti hakika huyu anakipaji chahali yajuu wakati anaigiza wengne machozi yanatoka kwamanyanyaso naukatili anao fanyiwa hakika anakipaji chahaliyajuu

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 Рік тому +1

    Mupo vizuri. Wabunifuaa mafunzo poa

  • @johnmaula4081
    @johnmaula4081 Рік тому +3

    🔥 sanaa mko good sanaaa

  • @aishatwaha7863
    @aishatwaha7863 Рік тому +4

    Some one kiss my comment pls mbwa kicheche🤣🤣🤣🤣 watching from qatar

  • @ntiharirizwashani1438
    @ntiharirizwashani1438 Рік тому +2

    Vai nampendag saan wallah anajua had anajua ten❤️😍🇧🇮

  • @killamanempire
    @killamanempire Рік тому +1

    Kicheche njo wangu kabisa

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Рік тому +1

    Leo ameact vizurii vaii akiii nakukubali kama niya chrismas shuaaa

  • @EzekieliMose
    @EzekieliMose Місяць тому

    kwakwel Hawa jamaa wanajua wadaue gongen ❤❤❤❤😅

  • @nadzuamrema5837
    @nadzuamrema5837 Рік тому +1

    Waaah mwanaume mpaka uniambie huna hisia na mim waaah nasubir nin jamanii naenda 2

  • @shugunderitu8999
    @shugunderitu8999 Рік тому +3

    Mbwa zake aka bregedia,I love you😂😂

  • @EstarThadeo
    @EstarThadeo Рік тому +1

    Mumetisha sana

  • @satobuzelengule3304
    @satobuzelengule3304 Рік тому +2

    Unaweza dada big up

  • @teacherd
    @teacherd Рік тому +1

    Huyu dada anajua saana.. anajua mnooo

  • @michaelsukwa4371
    @michaelsukwa4371 Рік тому +2

    Hongereni sana mmeigiza vizuri sana

  • @michaelshiraku7217
    @michaelshiraku7217 Рік тому

    Mbwa ss watching from Nairobi ❤❤

  • @mititokevin6878
    @mititokevin6878 Рік тому

    Nakupenda kicheche unapenda kusema ukweli baba

  • @sungwevalentin743
    @sungwevalentin743 Рік тому +2

    Dah uyo dada anajuwa kuigiza

  • @mbungewakujitegemea1399
    @mbungewakujitegemea1399 Рік тому +2

    Mwendelezo tupatieni
    Maswali kwa VAI & BYELAM ivi nyie ni wanandoa mbona mov zenu ni za kweli san duu nami ni mwigizaji huwa nafuatilia kazi zenu na huwa darasa kwangu hongelen san na Mungu awape miaka mingi na kipaji zaidi

  • @marthawillium2547
    @marthawillium2547 Рік тому +1

    Jmn huyu dada mbn anafanana Sana na Lulu wa majay