Kicheche unapiga kazi nzuri sana gonga like kwaajili ya wazungumzaji wote wa lugha ya Kiswahili ambao wapo nje ya Tanzania 🇹🇿 Tunakupata sana huku Malawi 🇲🇼 Mbwa mimi😂😂
afu mbona huyu demu 'mke wa kicheche' kwa hii filamu anatumika sana kwenye scenes za ukahaba,kuchepuka na umalaya,,,anyway, #CLAMVEVO, #Kicheche,much love from kenya
Kicheche, tuna kupenda sana uku mz, gonga like zenu kama unampenda kicheche, from Moçambique and mocimboa da praia 🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Moçambique wapi iyo
Mocimboa da praia brow
MC da praia a representar
Uku kenya kicheche tuna kupenda sana🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Yes indeed
@@PapaTheKingMKenya nice
Kicheche nakubari sana umbwawee unanipa furaha kutoka Rwanda Kigali 🇷🇼🇷🇼
Kigali wapi nipo rwanda pia
ndugu zangu
Mmbwa mm napenda film yenyu sana nikiwa kenya wapi like za cheche
Sasa nanyinyi mulishawaona dada wakazi murembo kama uyuuuu jameni ninavo mupenda uyuu dada❤️❤️
Wapo wazr
I like this vidéo
@@oscarkitambala😂😂
Kicheche 🔥🔥 jmaa unajuwa san
Hilo koti kama mpeleka posa au mjumbe wa nyumba kumi kazi mzuri sana ongereni sana.
Kicheche king of the comedy 🙌 🙌 🔥 I liv in usa 🇺🇸
Nawapenda sana alafu hyo nyimbo n tamu San ningependa kujua yaitwaje jmn🥰
ua-cam.com/video/ejCGIMWaPHs/v-deo.html
Ata mmi nimesearch cjui aki
Pamoja Sana mbwaa mfanya kazi 😗🤣🤣🤣
Nawapenda sana kweri kutoka Burundi 🇧🇮 #YOMBA TV#
Nimechanga Sana mama na mutoto kweli 🤭🤦🙏🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Jina la nyimbo jmn mbwa kicheche one love ✌️💕 from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Mwenyew naitafuta hata sjaipata
Kicheche kaka ume tixha natamani kufanya kazi na wew
Kicheche umbwa sis 🤣🤣🤣🤣🇧🇮🇧🇮🇧🇮❤❤❤🇹🇿🇹🇿🙏🙏
Kicheche safi sana tunakufuatilia kutoka Lilongwe,Malawi
Upo lilongwe mjini apo
Mmbwa nyinyi wote mpo vizuri sana sijawah kupoteza mb zangu kwa mambo ya kipuuzi ila kwenu inanibidi sina namna mnajua sana
Kicheche wewe hatari ubwawewe Kama unamkubali kicheche mbwa mwenyewe nipe like
Mbwa kicheche 🤣🤣🤣 hii nimeipenda kwa kweli. Huku 🇰🇪 tunasemaga "kimeumana" 😅😅😅
kicheche never fails, he is a true comedian...keep it up bro..watching from Nairobi
Nami ni munyarwnda na wafuata kila mala video za nyie niziri
@@ericbahizi6526 ni nzuri si nziri
Il
Xxx, fc GB ccc ccc
Mashallah nipeeni Likes za kicheche na team yake
Kicheche nampenda sana huyu kaka kutoka kenya much love from tiger Mr kicheche
Kazi nzuri Mon vieux kicheche , tupeni jina yamwenye iyo song
Kicheche keep it up wotching from Kenya
Mbwa kicheche nakukuba from🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮BURUNDI ♥️🥰🥰🤣🎈🥰♥️
Haa hatali sana 🤣 from 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Wapi watu wa Nairobi🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
yaan huyu kicheche noma sana🔥🔥🔥🔥🔥
Safi Sana kicheche
Nakubali sana brother
Anae kubali kichch apige ma like kama yote
Mbwa kicheche🤣🤣🤣🤣
Jamaaaaa anajuaaa saana😀
Mbwa kicheche😂😂😂
@@adamabrhani nachekaga hata kabla sijasikia kilicho ongelewa nahuyu kicheche because anajua sana 🤣
@sheshi beshi 6
Love
Mbwa kicheche 🤣🤣🤣 ,,much love from Kenya 🇰🇪
Hii ngoma inaitwa vp
Gooood job
Nawapenda sana ❤️❤️
Yani da vai nakupendaaaaa❤
Kicheche nakupenda sana ❤❤❤
Iyo nyimbo ameimba Nani na inaitwaje
Hivi uyo dada wa kazi anaitwanani
Ety unijui kama mi mmeo ni taila 😁😁😁😁🤣🤣 uyu kweli mmbwa kicheche
Clam msengee kwelii 🤣🤣🤣🤣eti naenda chumbani!!chumbani kwangu 🤣🤣🤣🤣🤣🙌
🤣🤣🤣🤣🤣🤗🤗🤗
Mbwa data wa kazi kicheche my guy you rock
🤣🤣🤣🤣🤣mbwa dada wa kazi
Nawakubali 🔥🔥🇨🇩
Tena mukijistiri wabongo ndio mnapendeza kuliko kuvaa nywele za bandia za shetani hamupendezi kichwa wazi
Naenda cumbani 😢😢😢😢chumbani kwangu 😅😅😅😅
Kicheche kwelii kweli from tarakea Kenya tz
Kicheche ❤ 🤍 💙 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
🎉
Kicheche unapiga kazi nzuri sana gonga like kwaajili ya wazungumzaji wote wa lugha ya Kiswahili ambao wapo nje ya Tanzania 🇹🇿
Tunakupata sana huku Malawi 🇲🇼
Mbwa mimi😂😂
POA SANA kicheche🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Kicheche tunakukubali sana Nairobi baba🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Am watching you guys from Zambia, you are doing great
I love this guy acting master mbwa wewe
Huyu jamaa hana style yake tu ya kuongea Ubwa huyu... Dah mm namkubali sana huyu Mwamba basi Burudan iendelee kicheche
Kicheche nakukubali sana brother
Mtulinga ❤ representing from Kenya
Keep up bro kicheche. flex from Kenya endelea kutupea content nazipokea sana mbwa mimi😂😂
Sautiiiiii haina sauti baba mbwa sauti
Kicheche nakupenda sana kutoka congo🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩 mbwa wewewwww 🐕🐕
afu mbona huyu demu 'mke wa kicheche' kwa hii filamu anatumika sana kwenye scenes za ukahaba,kuchepuka na umalaya,,,anyway, #CLAMVEVO, #Kicheche,much love from kenya
Nakukubali saana bro ,toka🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Kicheche weye na kuoneya uruma nipe like
Mbwa Mimi pumbav zang
Afu uyu kicheche sio mzee 😅 ni kijana mpuuz mbwa yeye 😅😅
Cheche namkubali sana pumbavu zake
Kicheche noma xana
Anaeona kam clam ndie Bola kuliko kicece agonge like tujuwane
respect kbs apa Rwanda tunawapenda sana 💕💕💕💕💕
Keep it up kicheche never give up with your dreams ☝️☝️☝️☝️☝️
Ww kicheche nakukubali bmbavuzangu mimi
Tafadhali nawaomba ndugu zangu mniambie tittle na msanii wa huo wimbo unaosema hapo mwisho, unasema hivi . Bola nibaki na stress ,haya mpenz.......
🤣🤣🤣🤣
Kazi mzuri
Kicheche never disappoint
Mhh kwa kweli kicheche amezidi dhh😕
Pumbavu kweli, clam na mama jmn🤣🤣🤣🤣🤣
i appreciate your work my brother keep it up.from kenya 🇰🇪in Tanzania🇹🇿.naomba title ya hiyo song
Natakazakinyambe
Huyu mbwa weyeeee ana vijineno vyake vinachekesha.
Daah hata sijacheka bali nimeudhunika kwa kilichotokea jamaji 😢😢 hapo kuna cha kujifunza 😂😂
Nakupenda mbwa kicheche
Napenda sana mbwa dada wa kazi @tycoon kutoka Nairobi tembea kenya kicheche nitakulipia hoteli ama ukae kwangu mbwa rafikiyangu😂😂😂😂😂
Sema anajua sana
kicheche from 🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷🇱🇷😅
Kicheche kimyaaa mbn hausemi mbwa mwanangu na mbwa mke wangu😂😂😂
Dah ! Penda sana kichechee 🤣🤣🤣 mbwa kichechee
🤣😂🤣😂🤣😂
🔥🔥🔥🔥🙌🙌❤️
Uyu dada nimalaya kweli aoo anatuingiziya tu maaanaa eeeeew acha tu nikunywe tu beer
Fireèeeeeeeèe kaka
huyu dada amefanana na lulu
Wow kicheche
Watching from Kampala, love you guys
Nice one much love kicheche❤😂😂😂😂😂
@kicheche imepenya iyoooo 🔥🔥🔥 mbwa wewe
Nakukubali cn kicheche king of comedy🔥🔥🔥
Kicheche nakupenda Bure 🤣🤣🇰🇪🤞🤞
Umbwa dada wa kazi🤣🤣🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥🔥👍👍👍
Big up kicheche from 🇧
Duh! Hii imegusa akili✌️
Pumbavu Sana mpuzii ww
Ebwana me nataka jina la hii nyimbo yenu
Yaani hapo mtoto kavizia chumba cha Dada wa kazi kamkuta mama kajiachia kama mdada wa kazi, mume naye kaja kuchepuka kakuta noma...
Big uppppp