Alhamdulillah yangu ilipita bila ya haya mashaka ya sasa hasa hasa Unguja kwa kweli tunamkosea sana Muumba hata kama ni siku ya furaha ila haikua hivi yaani mambo mnayabadilisha kwa nguvu ..tumuombe Allah SW atujaalie haya yaondoke na atupe mwisho mwema..inshaallah
Waisilamu wasasa weengi ni mashaallah tu kwa kila kitu asiye jua dini na anayejua pia weeengi nihivo2 hta watu wakifrahisha maibilisi pia Tu ni Mashaallah, mashallah mashallah ... Unajua maana yakeee??
Yaani hata kwa sherehe iliyo hivi simple n beautiful those hollier than thou Islam's want to paint it badly. Tuko duniani ahera tutapigiwa hesabu sote wacha tuburudike 🇰🇪. Mwapendeza
Binaadam hatuna hata huruma eti mtu anamwambia Mungu akuzidishie , ukitizama hicho cha kuzidishiwa ni dhambi , daaah 😭 Mie nakuombea kwa ALLAH akutoe dhambini hapo ulipo akulete ktk HAQQI uelewe dini yako kabla ya mauti yako 🤲
mkiulizwa na Allah maswali ya mambo hayo yasiokuwepo katika dini yenu mtajibu? kumbukeni dadangu dunia ni mpito tu maisha ya uhakika yanaanzia kaburini muogoni Allah😭😭😭😭😭😭😭
Wakati wa mtume kulikua na harusi mtume akawa amelikwa akaenda yeye na nana Aisha walipo fika wakanyamza kupiga ngoma mtume akamuita nana Aisha kumwambia waambie leo ni furaha ya harusi basi waendelee na ngoma
@@habibabanga1670 ndio Kuna ruhusiwa madufu kwenye harusi lakini waonee wasichana tu na so wavulana Kwan huku mtandaon kuna both genderr na ukiona wanacheza juu hizo no shubha tupu
Suis congolais habitant de Kinshasa, j'aime beaucoup cette chanson ,vraiment, félicitations mama
Ni nini watu wana complain huku,,huu wimbo ni pambe kabisa❤😊🇰🇪
😭😭😭😭😭😭 DAAA NAUMIA KUONA NDUGU ZANGU WANAPOTEA
Bila mahari haiswihi ndoa,mm naipenda sn qaswida hh na mm ndio mwanzo na itizama ,nimeirudia zaidi ya mara10 ❤❤❤❤❤
Mnaaribu uislamu makers sana
Alhamdulillah yangu ilipita bila ya haya mashaka ya sasa hasa hasa Unguja kwa kweli tunamkosea sana Muumba hata kama ni siku ya furaha ila haikua hivi yaani mambo mnayabadilisha kwa nguvu ..tumuombe Allah SW atujaalie haya yaondoke na atupe mwisho mwema..inshaallah
Taarabu imekuja kwa staili nyengine niupuuzi tu wemuimbaji jua ALLAH anakuona kwaupuzi unao ufanya
Wanawake muogopeni Mungu
Insha allah
Allah atuongoze
Wapo kweny harusi jmn waacheni wafurahi mbn hawajavua nguo kuonesh maungo Yao,Allah atusameh lakn sijaon baya mbn wanacheza kwa ustaarabu tu
Mashaallah Alf mabrook unatukumbusha mbali kweli Allah awaweke
Mashallah nyimbo ya zamani lakini maudhui yake mazuri na pia umedamshi
Ll to ll
Kwa kweli n pambe mno na inadhamira
Els
Hii tarabu au Kaswida au maan si kwa vitendo hivyo
Nakupenda nitakuita kenya.haruc.yamwanagu
Nakupenda ukt riziki pambe
Waisilamu wasasa weengi ni mashaallah tu kwa kila kitu asiye jua dini na anayejua pia weeengi nihivo2 hta watu wakifrahisha maibilisi pia
Tu ni Mashaallah, mashallah mashallah ... Unajua maana yakeee??
😂😂😂😂😂😂
Hii kaswida naipenda sana yaarabii muongoze njia ilionyooka❤❤❤❤
Mashallah nzuri sana allah ibarik wamependeza sana ❤❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊
Mashalahu dada zangu mungu awajalie zaidi na zaiddy
Jaman safi sana dada mm nimkiristo lakin napenda sana nyimbo zako za haluss
Usiwe na shaka hiyo ni taarabu haina uhusiano na Uislamu
😅😅😅😅😅😅😅😅Ni taharabu hiyo haisuiani na Uislam
Wazanzibar hizi munatuimbia sio qaswida ila taarab
Kweli kbsa
Mashallah sauti nzuri mungu azidi kukubariki
Kaswida Safi kabisa hingereni sana🎉🎉🎉🎉🎉
Machallah Machallah Mngu nadjeliye mhome inchallah
Dada unanipa utamuu tupu! Weee. ❤🧡✌🏽🕺🏾💃🏿🥊
❤❤❤❤ Allah akulind dad yang
Hi from Ghana I enjoyed you music much
Fantastic music,and what a sweet voice from the beautiful Ukhty Riziki. Keep it up ❤❤❤Well done 👍
Hongera kwa zenu, ni nzuri na imenigisa.
Maaaaaaashallaaaah dada Allah akuongezeee
Amuongoze kwenye taarabu sio 😢😢😢
Umetisha mama
Mashallah Aunty umeweza iko mwaaaah 💋💋💖💖
Jazzakah Allah khair 🇰🇲🇰🇪
The beats are in another level..so amazing 👏
Ihjkbv
U
Mcheni Allah stara zenu ni mtihani
Yaani hata kwa sherehe iliyo hivi simple n beautiful those hollier than thou Islam's want to paint it badly. Tuko duniani ahera tutapigiwa hesabu sote wacha tuburudike 🇰🇪. Mwapendeza
Binaadam hatuna hata huruma eti mtu anamwambia Mungu akuzidishie , ukitizama hicho cha kuzidishiwa ni dhambi , daaah 😭
Mie nakuombea kwa ALLAH akutoe dhambini hapo ulipo akulete ktk HAQQI uelewe dini yako kabla ya mauti yako 🤲
Mungu akuzidishie riziki kwa maneno yako matamu
Masha Allah so nice voice my dear
Asante ukhut rizki nakukubali sana dada yangu
Aslm harusii nzuriii yajaa ishallah
Masha Allah Dada uko vzr jamn
Stop saying mashalah on such things
naipenda naomba yte
Nmemkumbuka lsaa matonaa💕💕
Mimi nakutaka kama hujaolewa mzuri sana ukhti
masha-allah nyimbo zko mwahaaa
Zaza a plagié un peu cette musique lol en tout cas je suis comorienne et je kiffe cette chanson.
Wee Ukhty poa wewe!🌹
Mashallah mumependeza ❤
Mashaallah hii kaswida nimzuri💓💋😘
Masha Allah 🇰🇪🇰🇪🇰🇪👌🇹🇿🇹🇿🤝
Alhamdulilah munapendeza
Nakuona somu wangu riziki
Mashallah , Hadi rahaaa
Majina y riziki mashallah
Woow nyimbo ina maudhui mema 🇶🇦
TAARABU NZUR YAAN PAMBE KBSAA
Upo juuuu mashallah
Mashallah very nice all the beast
Tujihadhali siku ya kiama ninzito,sijaona maandiko kuwa mwanamke afanye hayo Allah atulinde na laana za dunia
From Mombasa Kenya, tunasikiliza
MashaAllah 🤲🇰🇪
@@hannanjabal5914 uutututuuuuuutuuuuuuuuùuuuuuùuuuutuutttutuuuuuutyutuuùututttttuttuttut
Mashallah fundi
Mumezid qaswida gn izo
Ata mm mwmywe nawashangaa hawa wenye kuimba hzi qaswida🙄
Sio qaswida iyoo ni Taarabu
Masha Allah. Kilgoris tunasikiliza kabisa
Mashaallah Tabarakallah 🥰
Hii mijangiri ya dini musiite ukhty munachafuwa jina hawa wanawake hawajiheshimu wapo mbili na dini niwaimbaji 2 kama alivo zuchu nawao sawa 2
Amazing song 👏🏾👏🏾🥰🥰❤️❤️❤️🔥🔥🔥
huna baya mashaallah ❤
Nakupenda sana hukt
Naipenda
Maa shaa Allah tunasikiliza
Tamu sana
Nakupeda sana kwangu mie Wala hauchiji mpka raha
Upuuzi ufasik ndiyo tunavyozipamba harusi zetu za kiislam ,eti yasini 3 pssss .tena wenyewe wanacheeka .Ndomaana ndowa zetu hazidumu kwa upuuzi kamahuu
Na umeisikiliza mpaka mwisho mashaAllah 😍
Nakukubali da riziki
From UK 🇬🇧
Good work ❤
Mashallah❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mtajijuwa mbele ya allah
Ukhty ikky mamb super
MashaAllah Yaan ukhty ikky pambe
Wow amazing ❤️❤️👌👌
Hii sio qaswida ni taarabu ya Issa Matona
MashaLLAH 🥰
Mashall dad
Jamani mbona mwajisahau ndugu zangu waislam? 😱😱😱😱
Moto sio uko
Wamejusahau na nini sasa na wewe kama si una ngebe
mkiulizwa na Allah maswali ya mambo hayo yasiokuwepo katika dini yenu mtajibu? kumbukeni dadangu dunia ni mpito tu maisha ya uhakika yanaanzia kaburini muogoni Allah😭😭😭😭😭😭😭
😇😇😇😇
Wakati wa mtume kulikua na harusi mtume akawa amelikwa akaenda yeye na nana Aisha walipo fika wakanyamza kupiga ngoma mtume akamuita nana Aisha kumwambia waambie leo ni furaha ya harusi basi waendelee na ngoma
@@habibabanga1670 Asante Habiba
Aslm and the family and
@@habibabanga1670 ndio Kuna ruhusiwa madufu kwenye harusi lakini waonee wasichana tu na so wavulana Kwan huku mtandaon kuna both genderr na ukiona wanacheza juu hizo no shubha tupu
Hii siyo kaswida ni nyimbo ya harusi
Haina noma ndugu😂
Wanawake mumuogopeni Allah dunia ni mapito, , hamna hata sitara, , alowaambieni kuwa huo uwislaam ni nani??
Mashallah ukhty riziki umebarikiwa
Wacheni wivu aki mazito yatendeka mengi Tu amuoni
Sichoki kuckiliza hii nyimbo jaman
Asante madada
From Mombasa Kenya, hii nyimbo ili n gusa tamuu🥰🥰
Tamu.sana
Herow
Mashaallah😍😍
Mashallah nice qaswida ❤️
Sio qaswida hiz ni taraabu
Nyimbo mzuri sana
Taarab YA mzee matonya
wanasega ni kaswida
Mashaa Allah tabaraka Allah
Umependeza Ila ongeza stara kidogo ukhthy
Nayitamani Sana.
Imekaa poa dar mmepedeza sanaa
Maashwalla