UMASIKINI WANGU I RAUHIYA I QUEEN OF ZANZIBAR I DIRECTED BY GRADY FX PICTURES 2023
Вставка
- Опубліковано 10 лют 2025
- Asslm allykm
Umasikini wangu ni Taarab nzuri kabisa kutoka kwa Rauhiya Queen of zanzibar
usisahau ku Subscribe. like share pamoja na ku comment video hii Asante #rauhiya #gradyfxpicture
Hii sio kaswid hii ni nyimboo jmn 😅😊😊
Piga kazi rauhiya n halima ila halima nimemmiss ❤
Naipend iyo 2:50
Mashallah Qween of Zanzibar ❤❤❤ NYC song
dada umeweza qaswida maua yako 🎉🎉🎉🎉
Mashallah nice song❤
Hiy nikasida au taarbu mbona tunaidhalilisha din
Mashallah kipenz❤❤ nakupenda bure
Subhanallah, uchaMungu usiwe ndio kichaka cha maovu, hii ni qawida ama taarab, munajificha kwenye mwamvuli wa kujidai kwamba munasoma kaswida kumbe wala hamusomi kwa Kaswida ni nyimbo na taarabu tu tuzindukeni jamani tunaelekea wapi Waislamu wa zama hizi???
hebu tulia
Kwan wap imeandikwa qaswidah
Mbona hajaandika kama ni kaswida, ye kavaa ushungi tu sio tafsiri kuwa ni kaswida 😂😂😂😂
Kwan tofauti ya tarabu na qaswida ni ipi?
Uwo ni ujinga waachen watu wafurah kama uwelew kaa chonjo wadau tupo, 4:06 4:15
Mashallah ukhty rauhiya huna mbya hapana chzeea❤
Jamani twaelekea wapi waislamu hyo ni taarabu cio qaswida hta kidgo twadhalilisha dini jamaniiii ndugu zngu
Uoslamu unaruhusu
Pambeee si pambeee❤❤👌👌
Wapi matajiriii kula chuma,iyoo
Mashaallah habibbty❤
Acheen ujinga wenu mwaidhalilisha dini Mcheni Allah hiyo ni kaswida au tarabu mmh tena hapo mlipo fikiya ni pabaya ndungu zang
Hana dhambi eleweshwa
Jamani hiyo taarabu haina shida yoyote ina maneno mazuri mi nimeipenda Ina ujumbe mazuri sana Ina funzo kubwa tushukuru kwa kila tunachojaaliwa kiwe kikubwa ama kidogo na hata tukikosa tuwe wavumilivu
Pambe 2
Me ntk mnand so ntk nk zenu
Nice one ukhti rauhiys❤😊
Nimependa san
Kwan qaswida na Taraabu kuna tofaut gan tarabu ni kiswahili qaswida ni kiarabu ni lugha tu hapo
Hiyo ni Taarab ...hiyo c qaswida
taarabu
Subhna Allah
Ukweli mtupuu
❤❤❤❤
Mbona hizi qaswida hazimbwi na matwari
Mimi nakumwagia mauwa tu kipenzii umegusa,moyoo wanguu mpaka naitikia huku japo mimi masikinii katuu sijiweki nyuma ipo siku nitawini kipandee nakipendaa sana
😢😢cjui ata mm nisemeje
Mashaallah ♥️🎉
Wow
❤❤❤
😢😢cjui ata mm nisemeje❤ 6:11
Taraabuu
❤love u baby
Achen ujinga mnadhalilisha dini iyo sio qaswida
Ukiongea kwa ukarimu ni bora zaidi
Izo ni kasweda kwa ajiri ya shereh hapo sio msibani
But hajandika kuwa ni qaswida na wamejistiri shida iko wap jamani
Waimba qaswida wote muwemuna imba vizuri na si tarab😅😮😢
Cjui ata mm nisemeje😢
washenz t haw
Rauhiya kwan mpk ucheze km unakimbiza tren😅😅
Wanatumia sauti zao kuimba chochote alafu kuweka kwenye kundi la kawaida wanakosea wafate nyayo za arafa sanjar
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
😢😢
Nitarabu iyo hahaha
A
But hii nyimbo ni Ya Mwanahawa Ally. 😂 Simtunge zenu?, you would have indicated that it is a COVER UP for Mwanahawa Ally!
Nimependa san
❤❤❤❤
❤❤❤❤