Maa shaa Allah 🥰 a vry nyc song Ukhty Dida....keep it up....tunatarajia nyimbo mpya na nzuri zaidiiii....Allah akuepushe na midomo mibaya na hasadi....much love and thanks from Kenya...a very gud song....maa shaa Allah 🥰
Mashallah very nice voice nafurahi sana I wish I will be there together with you haki swadkta mamii kept up ucirundi nyuma husda zixikufike haki napendwa xauti yako
Utapata. Kwa jili. Ya. Molo. Wetu. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mola. Wangu
Nilkuwa naomba kuwasiliana na ww ukhty dida kuna kazi nataka tufanye kama hutojali
Nakupenda sana dida huna baya❤❤❤❤😅😅😅
Ma Sha Allah ukhty dayda vipi waeza kuja Kenya au vipi
Masha Allah. Dida. Munguakujaalie. Kipatochema. ♥️♥️♥️♥️♥️💋💋💋💋💋♥️
Aamin
Dida Mashaaallah.....cjui nikusifuuu na mangapy ctamalizaaa ...ukooo mwaaaahhhh unaaamshaaa snaaaaa ....Ahimty pambeeeeee
Mashaallah ukhty dida nakupenda sana unaimba vzr
Tunaotafuta mishono like hapa tujuane
😂😂😂😂😂
mashaAllah 🥰 penda sna
I’m christian but i love her songs ❤️
is just a wedding song there is no relationship with religion
Maa shaa Allah 🥰 a vry nyc song Ukhty Dida....keep it up....tunatarajia nyimbo mpya na nzuri zaidiiii....Allah akuepushe na midomo mibaya na hasadi....much love and thanks from Kenya...a very gud song....maa shaa Allah 🥰
Mashallah
@@muniramohamedy2903 d3 9
mashaallah ukhut did
Manshallah ❤️ mungu akuhifadhi
Mashallah ukhty dida mm nakupenda na kisauti chako cha kasuku unanikosha
Allah akuzidishie kipaji ukht
Masha Allah mambo yalikuwa pambeee kuwapenda tu team AHimt mpo vizur mnoooo
Mashallah dida kipenzi mungu akupe umri mrefu tuzidi kufurahia qswd nzuri😘😘😘🔥🔥🔥🔥🥂❣️❣️❣️❣️unajua mama sauti mashallah hongera sana
Wajina wanguuu
Ameen
Mashallah ...Mwenyezi mungu na akuzidishie kipaji
Penda dida, nice voice umechangamka, mashaallah, napenda nateam yako wakicheza, wanachangamsha shughuli
Kiu yangu imekata wallah Diyda wewe nakupendea hapooo tyuuu kununa hujuagiiiii
E
Mashaallah pambe🤗🤗😘😘 pend sana dida mzenj mwenzang
Mashaa Allah huwa nasikia raha sana kusikia sauti yako dida nataka nikukodi kenya nina harusi ya mwanangu
Machallah napendeza sana jameni hapo ni kaka Mustapha kutoka DRC congo❤❤❤❤🎉🎉
Oyooooooooh💃💃💃💃Tambaaa Didaa👌umependeza, Asante kwa burdani, kukupenda ndo najuaga🥰🥰
Dada💜💓💜💓💜💃🏼😋😋🕊💃🏼💃🏼💃🏼💜💓💜💃🏼💃🏼💃🏼💃🏼
Ilikuwaatalb si. Mwend 🤳🤳🤳🤳🤳🤳🤳🤳🤳🎂🎉🎉🎉
from somalia ipo sawa nazipenda kaswida za dida sana
Mashallah ukhty🥰🥰🥰🥰🥰wakenya hatuwachi kukupenda 🥰🥰🥰😙😙
Mpende peke yako
@@abubakarsalim1505 kizuri kitabaki kizuri hata ufannyeje upo weee😏😏
Mashallah pambe nimeipenda
Mungu akuzdishie Masha Allah na kipaj chako
Hongora sana nimeipenda
Mashalaah dada uko vizuri
Masha'Allah subhanaallah!!! Nilitamani suku yá ndowa yangu uwepo Dadá 💓😄💓💓💓
Mfungo ngapi Nami nije
@@abduliali7911 huwezi kusha 😄😄😄
Mshallah from somalia I love you and I love all Africa 😍😍😍😘😘😘😘😘😘
My ppl 🇹🇿🇸🇴❤
Me more ❤❤❤❤
MASHALLAH napenda Sana kaswida zako dadangu mngu akulinde Na husda.
MAneno yatakua mengi ila ss chawa wako tu wekaa kimya ss ndio tutajibu hongera kazi nzuri pata risk yako dada
ekhele
Maa Sha Allah nakupenda dyda uje unitolea qawida harusini kwangu in sha Allah
Wakombalinhawafiki mpsje wafytwee SEMA wew dudaa watajuhjaa wenyeew
mashaallah Mrs Dida naikubali sana kazi yako......
Maa shaa Allah wajina from uk 🇬🇧
Mashaallah love sana Ukhty Dida from🇹🇿 to 🇧🇪 💙💙💙💙
Assalam aleykum nilivokuona dida nimefulahi sana mash Allah nakupenda dida na team yako.
Mashalllah my dior "My Allah blessing you my happiness".❤❤❤
Mashaallah we2 Dyda hpenda n hufurhia Qaswida zako zinaniliwaza kwa sna wngu dada Allah abariki kipaji chako pamoja na mabanati Inxhaallah
Masha allah
Asante kwa kazi yako dada mungu akujaalie kheri
Mashallah tabarakallah love 💖 you dear mashallah woooow congrats mashallah mungu akuzidishie kipaji chako ameen
so much mwaaaa yah ukhty dyda
Mi tabasam lako linanimaliza wallah
Sema naona km kijacho ukhty dyda MashaaAllah 🥰🥰sio shida zangu😂😂😂
😂😂🙄
Mashaallh mungu akuzdishie
Pambeee kitu roho inapenda mashaaallah mashaallah
Mashaallah dida kama dida hunaga mbaya💗💗💗💗
Mashallah ahmt nawapend kwa ajili ya Allah❤️❤️❤️❤️❤️
Hhhhh ukhty ww kiboko unajua mpaka unakera hata ukipiga kelele tu basi tu kwako itakua nzuri
Mashallah mashallah mambo ya pwani hayo
MASHAA ALLAH ,Allah akinijaliya uhai na uzima harusi yangu dyda ntakutafuta In shaa Allah 😘😘😘😘😘
From. Somali..mambo. nzuri
Kikweli dada angu didah umekuja mota hongera dada angu
Mashallah dyda pambe hasa leo umependez san mamy
Ukhti dida nataka kaswida ya posa uiweke shamra shamra lakini nataka iwe mchanganyiko kiswahili na kizungu
Nina zipenda sana qaswida za ukht dida❤❤❤❤
Nakupenda upo chaming xna
MashaAllah kipenzi huna mpinzani
Inapendezaaa ukhty dida kipnzzz
Dah izi kasida za sikuiz munavunja madili ya kasida ya zanzibar nawewe DYDA unawafuata akina ASHA ivi vidumbaki vyenu
Tena ulitaka afuate za kwako ama
Nawapenda sana
MashaAllah MashaAllah ukhty Dida😘😘😘
Mashallah very nice voice nafurahi sana I wish I will be there together with you haki swadkta mamii kept up ucirundi nyuma husda zixikufike haki napendwa xauti yako
Dida hukoseagi 🔥🔥👌👌
Allah akuzidishie
Mashallah ukhty diyda big up
From Kenya...much love
I would love to meet you if you’re in Kenya 🇰🇪 I’ll come to kenya from USA 🇺🇸 soon inshallah
Somo yangu nakupenda mpaka basi😘
Mashahallh
Napenda sana nyimbo zakoo Allah akurehemu
Amin. Rabil. Alamin. Nakupenda. Dida. Ilovesyou. Dida♥️♥️♥️♥️♥️💋💋💋💋💋💋💋💋💋♥️♥️♥️♥️♥️
Mashallah zikiekwa arcni lazma ucheze tu
Wallah ukhty hujuag kukosea ..mashallah😍😍
mashalla to my wedding inshaala you wiill come
Ukhty sau number moja!
Nataka bei
hao wanaume wanfanya nn haswa hapo kwa wanawake
Nahitaji namba yako aunt dida .au wapi nitakupata kwa kweli unaamsha waliolala mashaa allah
Mashaallah ukhty love you_💓 from Bagamoyo
Maa shaa Allah ❤ukhty dida 🔥💯
Very nice maashallh
Dida nakupenda kwajili ya Allah
Mashallah dida🍎🍎🍎🍎
MashaAllah ukty Dyda,,, much love 💝💝❤️❤️ from Bunjumbura
mashaallah love u ukhty
Mashllh very nice kasida
Penda sna ahimt 😍
MashaAllah ukhty very nice...I need mine pls...ntakupataje ukhty
Utapata. Kwa jili. Ya. Molo. Wetu. ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤mola. Wangu
Mashaallah joumaani ukhty 😘😘😘😘😘
Hujambo
Kweli watu wengi wanasubiri umbeya
Mashaallah sister I love your songs from USA 🇺🇸 ❤️
Huyo ndo dyda mkali wa Qaswida nitafute Ukhty
Jamani kicholo kidogo jamani 🤣
MashaAllah paaambeeee asikwambie mtu mpenzi...Dida dondosha namba zako dadangu nna harusi yangu ningependa uwe mgeni wangu dear
Ukipata num share please. Thanks
Mashaallah,love you all.
Mashallah mmependeza
Mashallah dd dida ❤❤
❤❤❤❤
Ahimt moto moto moto penda sana nyie
Huna mbaya dida
mashallah ukhty dida
Nakupenda dada huna baya kwangu dada 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘 hongera yako 🥰🥰🥰
Very nice God bless you
Mashaallah pambe jamani
Mmeepeendeza Sana dida umependeza sana