Kichunna_AQAZ ladies_Msomaji Riziki Ally, Da Riy (Video Qaswida)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 213

  • @philipfrankmakutsa9663
    @philipfrankmakutsa9663 3 роки тому +12

    Wallahi nyimbo nzuri Sana...ila naomba niwaambie mnaoponda na kusema Inna lillahi mnakaje Sasa zipigwe nyimbo za kina diamond au nyimbo gani maana dada zetu wanajitahid kuimba nyimbo za kuburudisha mmekazana Inna lillahi...wekeni hizi comments pia zikitoka nyimbo za wasanii wa bongo fleva maana waislam wanaoimba bongo fleva pia wengi...tumewachoka kiukweli mmezidi mnakatisha watu tamaa

    • @zuhuramerisho3010
      @zuhuramerisho3010 3 роки тому

      Kweli kabisa

    • @ummyayman9449
      @ummyayman9449 Рік тому +2

      Wanaoimba bongo fleva inna lillah na hawa pia inna lillah wala hatukatishi tamaa ila kidini hili nikosa hatuna budi kusema inna lillah wainna ilaihi raajiun

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому +3

    Jamani msiolewe watto wadogo wakajiendeleze kusoma. Waume wa zanzubari hawajui mapenzi rangi gani nyekundu au nyeupe. Utaweka ndani kupika. Hsyo sio maisha. Maisha wote wawili wafanye kazi sio kumtegemea mume ndio ndows hazikai unguja.

    • @khadijajuma266
      @khadijajuma266 3 роки тому

      Tutafunga ndoa unguja ukuu😅

    • @nassorhaji2637
      @nassorhaji2637 2 роки тому

      Ww unaumwa nn

    • @ummyayman9449
      @ummyayman9449 Рік тому +1

      Anhaa sawa kwahyo wewe unayajua maisha kuliko mungu na mtume???Allah alowabebesha wanaume jukum la utafutaji kisha akambebesha mwanamke jukum la ulezi hajui wewe ndo unajua?haya wote tokeni acheni watoto wenu majumbani wakichinjwa na kulawitiwa na wafanyakazi

  • @rizikially345
    @rizikially345 Рік тому +3

    Wallah nimeona jina moja umeniripuka nikasema ngoja nisikilize sauti lailhaillah saut yangu kabisaa nimefurahii MASHALLAH ♥️

  • @khadijaally3650
    @khadijaally3650 2 роки тому +1

    Wooooow!!! ukhtiy nmeipenda hiyo mashaallah sauti umejaaliw Allah azid kukuruzuku hko kipaji pae zaid

  • @AbdallahMohamed-z6g
    @AbdallahMohamed-z6g Місяць тому

    Mashallah msalimie ukhty adila

  • @chamritaabdul1592
    @chamritaabdul1592 3 роки тому +5

    Wako wapii wale pale, wanataka kucheza wanaona hayaaaaaa, 💖💖💖

  • @SubraBweta
    @SubraBweta 7 місяців тому

    Yaani hii qaswida kama nyimbo yawasomali mashaallah nakpnd bure

  • @سعدالشراري-ظ7غ
    @سعدالشراري-ظ7غ Рік тому +2

    Maashaallah qaswida nzuri ❤

  • @almashaaribububu1214
    @almashaaribububu1214 3 роки тому +3

    Mashallah ukhty riziki kichunna imekukubali kazi nzuriii sana. Karibuni wapendwa ktk UA-cam channel yetu kaswida muruwa mashallah kazi nzuri sana

  • @aishamussa9586
    @aishamussa9586 Рік тому +1

    Qaswida nzr maashaallah✨❤️

  • @RaziaMusa-l5q
    @RaziaMusa-l5q 8 місяців тому

    Mashallah jazakanllahu khaira my size ❤❤❤❤❤❤💯🙏💞💕

  • @zuhuramerisho3010
    @zuhuramerisho3010 3 роки тому +2

    Bi haruc naye sihaba maashallah amependeza

  • @FunnyDiamondRing-ur5od
    @FunnyDiamondRing-ur5od 11 місяців тому

    Mashallh dad yang mung akuzidishie

  • @Nanahshubayra
    @Nanahshubayra 10 місяців тому

    Mashallah ❤️ waambie 😘 wapone my dada 💕👌

  • @zuhuramerisho3010
    @zuhuramerisho3010 3 роки тому +3

    Maashallah kaswida pambe hadi raha jaman,,,,jazakumu llahu khayr

  • @fatmasuleiman80
    @fatmasuleiman80 3 роки тому

    Naomba kuuliza kdg kwan huyu hana kaswida nyengine tofaut na hiyo kaiganda kama kaitunga yeye

  • @issafaquedalaura8279
    @issafaquedalaura8279 Рік тому +1

    Masha Allah Unanikumbusha Mbali Masha Allah

  • @stumaimagoja4777
    @stumaimagoja4777 7 місяців тому

    Hawajai vikombeni sembuse kwenye sahani mwaaaaaaaaa♥️♥️

  • @zulaikha6007
    @zulaikha6007 3 роки тому +3

    Mashallh jaman nikiolew biidhin allh nutakufta

  • @zuhuraadinani8819
    @zuhuraadinani8819 3 роки тому +2

    Dada unajitaidi sana kuimba Allah akuzidishie kipaji

  • @hadijamatola5230
    @hadijamatola5230 3 роки тому +2

    Wanataka kutunzaaaa wanaona hayaaaaa

  • @philipfrankmakutsa9663
    @philipfrankmakutsa9663 3 роки тому +2

    Kwani hamjui sanaa maana yake Nini!!!

  • @rehefehe8890
    @rehefehe8890 Рік тому +1

    Mashaallah kaswida nzur

  • @eibrahimramadhan7053
    @eibrahimramadhan7053 2 роки тому +1

    Maashallah naipenda Sana kwa kwel

  • @SaumuSuleiman-y7n
    @SaumuSuleiman-y7n Рік тому

    Masha allah qaswida nzuri❤

  • @ShahibuIddi
    @ShahibuIddi 4 місяці тому +1

    Nyimbo tamu sana wallah

  • @stevenmongi5976
    @stevenmongi5976 2 роки тому +1

    Mashallah nzuri sana

  • @munamuna8602
    @munamuna8602 3 роки тому +2

    Mashaallah nimeipenda san pongez kwa muimbaji

  • @abdalaomari2889
    @abdalaomari2889 3 роки тому +2

    Nimependa sana

  • @hadijamuya55
    @hadijamuya55 2 роки тому +1

    Mashallah Nakupenda Dada

  • @ashadanga6470
    @ashadanga6470 3 роки тому +2

    Mashallah daah hadi rahaaa

  • @FakiiAllyKunneka-qb1dg
    @FakiiAllyKunneka-qb1dg Рік тому +1

    Shekh hafidh qaswida ya 2020

  • @mkapajoseph3390
    @mkapajoseph3390 3 роки тому +2

    Mashallah mzur sana

  • @abdalaomari2889
    @abdalaomari2889 3 роки тому

    Mashalahh samahani eti mko maene gani naombeni no yenu

  • @omarylukaranga7582
    @omarylukaranga7582 3 роки тому +2

    natafta mke hapo jamn kati yenu inshaalah

  • @shanishamsi9576
    @shanishamsi9576 3 роки тому +2

    Riziki ilo jina nalipenda maan ni jina la mom wangu

  • @ilhamabdallah4012
    @ilhamabdallah4012 3 роки тому +2

    Mashallah bi harusi ila poda kajazwa

  • @rujainatz222
    @rujainatz222 3 роки тому +1

    Naipend sana

  • @naylafauz9689
    @naylafauz9689 3 роки тому +3

    Mashallahhhhhh😍😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @mwanatumujuma4973
    @mwanatumujuma4973 3 роки тому +3

    Masha Allah nimependa hii qaswida

    • @nasliasuleiman6954
      @nasliasuleiman6954 3 роки тому

      Dada ungemuimbia mumeo ingekuwa vizuri mn unasauti tamuu hatari hatotoka njee

  • @wahdahkimolo2926
    @wahdahkimolo2926 2 роки тому +1

    Mashaallah wamepeza

  • @munirayunusi7664
    @munirayunusi7664 3 роки тому

    Ukhuty riiii nime kukubali Ile Ile yan

  • @naeemahassan8064
    @naeemahassan8064 3 роки тому +1

    Mashallah jmn verry nice

  • @haithamrubea1726
    @haithamrubea1726 3 роки тому +1

    Mashaallah riziki na kichuna chako datuu

    • @utaani1
      @utaani1 3 роки тому

      Na wewe pia mzuri sister masha Allah

  • @hamisi_kwichu
    @hamisi_kwichu 3 місяці тому

    Wallah mmenikosha"

  • @nasmachilima9328
    @nasmachilima9328 Рік тому +1

    God bless you🙏

  • @KibwanaAbdallah-e4h
    @KibwanaAbdallah-e4h 8 місяців тому

    Kwakwer mpo vizur

  • @SherinNgala
    @SherinNgala 2 місяці тому

    Mashallah Tamu sana

  • @zayanambowe6333
    @zayanambowe6333 10 місяців тому

    Mashallah jmn💞

  • @jshdhdhdb2084
    @jshdhdhdb2084 3 роки тому +3

    mashallah bi harusi kapendez

  • @bubulibubulishrine701
    @bubulibubulishrine701 3 роки тому +2

    Mashaallah bi haruc kapendeza

  • @hibaalfarsi7756
    @hibaalfarsi7756 3 роки тому +2

    riziki ww unajuwa mashallah nimependa ❤️❤️❤️😘

  • @neemashabani9503
    @neemashabani9503 3 роки тому +1

    Hata kidogo imepoa japo Bibi harus kapendeza Sana

  • @entolonyonyomujuni3501
    @entolonyonyomujuni3501 Рік тому +1

    Mashaka allah🌹🌹🌹

  • @tauhidakhamis717
    @tauhidakhamis717 3 роки тому +1

    Hlf hjaipatia hii nyimbo , muachie mwnywe alieimba coz yy aliemba kaitokea asaa ww huna kazi mhhhh😀😀

    • @mamuhb4521
      @mamuhb4521 3 роки тому +1

      Sisi tunasonga mbele maneno yako hayatuvunji moyo👌🏻👌🏻👌🏻👌🏻🤭

    • @tauhidakhamis717
      @tauhidakhamis717 3 роки тому

      @@mamuhb4521 baadhi ya nyimbo zenu munaiga lkn munachafuaa

    • @nassrajaffar5386
      @nassrajaffar5386 3 роки тому

      Aaaah mbona kaisoma vizur wacha wivu

    • @ashirafhamad813
      @ashirafhamad813 3 роки тому

      Kila mtu anajikuna anapojipata bora ufanye kazi upeleke maisha mbele kuliko kulala ndani "
      Naikubali sana Aqaz Mungu ajalie izidi kugaara mufike mpaka New York kupafome kaswida zenu.

    • @mamuhb4521
      @mamuhb4521 3 роки тому +1

      @@ashirafhamad813 Asant tunakukubali pia

  • @juliusmziray8261
    @juliusmziray8261 2 роки тому +2

    Mashallah Mashallah

  • @Farida-uz3vr
    @Farida-uz3vr 3 роки тому +1

    Naipenda kweli unapatikana wapi

  • @saidhamad5484
    @saidhamad5484 3 роки тому

    So pw ukht RIZIKI

  • @rahmashekimweri4929
    @rahmashekimweri4929 3 роки тому +2

    Masha Allah kichunna hayahaya

  • @zuhrateyn593
    @zuhrateyn593 3 роки тому

    Hamuwez kuimba live nyinyi kazi kuimba nyimbo za watuuu imbeni live kama watoto wabajomba nyinyi

  • @twaibaaayub504
    @twaibaaayub504 10 місяців тому

    Mashaallha ❤❤❤❤

  • @SamiraFarid-ew2mp
    @SamiraFarid-ew2mp 6 місяців тому

    Mashaallah❤

  • @FariyaJuma-i3f
    @FariyaJuma-i3f 11 місяців тому

    Mashallah ❤❤

  • @chymaally3309
    @chymaally3309 3 роки тому +1

    Jamani nasra yupo wapii cku hizi mbon hawajakamilika ,🙊🙊🙊🙊

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 3 роки тому

      Mimi mwenyewe najiuliza sana kwan siku hzi nasra ameenda wapi maana tangia ameolewa Arafa nasra aonekani kwenye kaswida zaidi y ile aliyoma subra baada ya hpo ayupo tena

    • @chymaally3309
      @chymaally3309 3 роки тому

      @@rehemabakali494 cjui ata kwann jaman Ila namkubali sanh nasra

    • @rehemabakali494
      @rehemabakali494 3 роки тому

      @@chymaally3309 tangia alipoolewa arafa nasra ndyo amepotea akaja akasoma ile kaswida y subra basi adi leo ayupo tena

  • @maryamiddi4187
    @maryamiddi4187 3 роки тому +1

    Jamani MashaAllah Ayyaayyaaaaaa

  • @rizikimaundu1624
    @rizikimaundu1624 2 роки тому +1

    Good Mashallah

  • @ladyeshia3968
    @ladyeshia3968 Рік тому

    𝐍𝐢𝐜𝐞 𝐪𝐚𝐬𝐰𝐢𝐝𝐚🎉

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed9245 3 роки тому +2

    Jamani hakuna kazi mkafanya kila mtu kasida katafuteni kazi mufanye. Sauti ya mmke kutoka nje haramu.

  • @hamiyarseif8181
    @hamiyarseif8181 3 роки тому

    Nakubali sana hiii

  • @mouzaseif1147
    @mouzaseif1147 3 роки тому +2

    Mzuriiiii mashallah

  • @YasinTabibu
    @YasinTabibu 6 місяців тому

    Mashalllh

  • @hamisiomar3813
    @hamisiomar3813 3 роки тому +1

    Tami xana

  • @mohamedkhamis8279
    @mohamedkhamis8279 3 роки тому +1

    Masha'Allah 😘 😘

  • @watendetuwa3137
    @watendetuwa3137 2 роки тому

    Watende tuwa

  • @fatmasalim7132
    @fatmasalim7132 3 роки тому +1

    Ukhty Riziki uko Zanzibar au?

  • @mamuhonestgirl4195
    @mamuhonestgirl4195 3 роки тому +2

    mashalah

  • @omarmwamanga7377
    @omarmwamanga7377 3 роки тому

    Ni nzuri

  • @halimamsonga9873
    @halimamsonga9873 2 роки тому +1

    Mashallah

  • @shumbanashabani9895
    @shumbanashabani9895 3 роки тому +1

    Mashallah🥳🥳🥳

  • @aishasufian1890
    @aishasufian1890 2 роки тому

    Asante kipenz

  • @halimaadani2467
    @halimaadani2467 3 роки тому

    penda sana paswida

  • @junayhaone874
    @junayhaone874 3 роки тому +1

    Maa shaa Allah

  • @aminaami4936
    @aminaami4936 3 роки тому +2

    MashaAllah qaswida nzuri

  • @djafrofunnyclips5584
    @djafrofunnyclips5584 3 роки тому

    poa pai

  • @amneamne7862
    @amneamne7862 3 роки тому +1

    manju anatambaa

  • @mariamjama2069
    @mariamjama2069 3 роки тому +1

    Maasha llah

  • @rizikibakari3598
    @rizikibakari3598 3 роки тому +4

    Masha Allah 🙏🇧🇭✌️🥰

  • @preciousderick8085
    @preciousderick8085 3 роки тому +1

    Nice

  • @mawnasomagalole784
    @mawnasomagalole784 3 роки тому +2

    Mashaallah nice

  • @rahimharuna6253
    @rahimharuna6253 3 роки тому +2

    Masha Allah

  • @shahasaid9608
    @shahasaid9608 3 роки тому +1

    Bi harusi pmbee

  • @aminajuma8326
    @aminajuma8326 3 роки тому

    Hzi taarabu holin

  • @ibrahimmohamed6571
    @ibrahimmohamed6571 3 роки тому

    Na mm n kichuna hhhhhhhh

  • @khadi-z4o
    @khadi-z4o 8 місяців тому

    Kichunaa

  • @juxjemc5768
    @juxjemc5768 3 роки тому

    Hv nyinyi munaoimba hamna waume wa ndoa??

  • @RahmajulisKastor
    @RahmajulisKastor 3 місяці тому

  • @khadijahali4837
    @khadijahali4837 3 роки тому +1

    Mwimbaj kachangamka kdg

  • @twalibsuleiman794
    @twalibsuleiman794 3 роки тому +1

    Mamu pink sija msikiya hapo

  • @mariamabdallah3809
    @mariamabdallah3809 3 роки тому

    Weeeee

  • @pamoles1303
    @pamoles1303 3 роки тому +1

    M