Askofu GWAJIMA akielezea ushujaa wa KAKOBE. Ndio maana Mbarikiwa aliuliza "YUPO WAPI KAKOBE"?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 сер 2024

КОМЕНТАРІ • 86

  • @hajimnzava1972
    @hajimnzava1972 Місяць тому +4

    Hongera gwajima,kwakutambua,samani ya watu wamungu

  • @jimmundakega9480
    @jimmundakega9480 Місяць тому +2

    Mungu akubariki Kwa elimu hiyo juu ya Mungu.

  • @ugalidona-cs2yn
    @ugalidona-cs2yn Місяць тому +1

    Kazi ya MUNGU iendeleee mbele kwa wote kuwa mstari wa mbele kutetea wanao onewa na Udhalimu, Dhuluma, na kulia Pamoja na wanao lia, kupinga na kuukataa Ufisadi wa kila Namna.

  • @sumembena1667
    @sumembena1667 Місяць тому

    Nimekuelews Bishop Gwajima!

  • @davidtarimo8415
    @davidtarimo8415 Місяць тому

    Nakuelewa

  • @omariabeid3291
    @omariabeid3291 26 днів тому

    Ila mwamba bado tunakusubiri Umfufue baba yetu kipenzi

  • @johnvenus7507
    @johnvenus7507 26 днів тому

    Bashite yumo?

  • @piussimtala5111
    @piussimtala5111 Місяць тому +1

    Mh.Makonda nakuona

  • @BarakaMwakalinga-sn5sp
    @BarakaMwakalinga-sn5sp Місяць тому

    Sasa hapo mbarikiwa wenu anakuja je? Yaani mtu wenu mnamfanya mungu wenu kabisaaaaa, kila kitu kikiongelewa na watumishi wa Mungu , mnamwingiza chizi wenu kana kwamba yeye ndo aliwapa hiyo kazi.?

  • @pastormoses8411
    @pastormoses8411 Місяць тому +2

    Kakombe kaanza 1989 kulola kaanza EAGT 1990

    • @healingclinic698
      @healingclinic698 Місяць тому

      Kulola 1992 ndio kanisa lilizaliwa ila harakati zilianza 1990

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Місяць тому +1

      Huo Ni uongo Kulola 1974 alikuja kigoma akitangaza injiki yakee...wakati huo Kskobe alikuwa hajukikani.. kumbuka mwanzo kulikuwa na TAG KABLA YA KUVURUGANA.,Ndio Kulola akaanzisha EAGT. msiwe mbasema vitu vya uongo.

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 Місяць тому

    Aisee ngwajima yuko bright kinyama

  • @emmanuelmwakibolwa735
    @emmanuelmwakibolwa735 Місяць тому

    Huyo anayeuliza Kakobe yuko wapi, hakumwita yeye kwenye utumishi wala hajui maagizo aliyopewa na Mungu.

  • @user-ic4cg5fx2f
    @user-ic4cg5fx2f Місяць тому

    Hadi Raha Yani kwa upendo huu kama tuko mbinguni.

  • @AnnaMbossa
    @AnnaMbossa Місяць тому +1

    Jamni acheni kulaumu unajua anapitia wapi,

  • @cosmasnghanga7107
    @cosmasnghanga7107 Місяць тому

    Uliyeposti hii Naomba ukiiona hii unijibu,
    Mungu ni mmoja, Yesu, Biblia ni moja, Kwann hawa maaskofu walitofaututiana kwenye kipindi cha Korona, Leo hii wako pamoja tena? Au Roho mtakatifu au Roho mtakatifu aliwafunulia tofauti kila mmoja 😀

    • @HelbethMlelwa
      @HelbethMlelwa  Місяць тому

      Hiyo ni ya 2019. Pili, uhubiri wa kweli ni kifo. Mtu akiona hayupo tayari kufa anachepusha kidogo injili ili aendelee kupiga ugali kidogo siku zisogee.

  • @JacksonMbites
    @JacksonMbites Місяць тому

    NINATAMBUA HUDUMA YA BISHOP KAKOBE NA DR GWAJIMA HAWA NDIO WATUMISHI WA MUNGU WA UKWELI TANZANIA

  • @alphonceassenga4596
    @alphonceassenga4596 Місяць тому +3

    Acha UONGO Gwajima. King Henry hakuwa askofu Bali alikuwa mfalme wa wiingereza na alianzisha anglicana Kwa kuwa alikuwa anataka kuoa mke wa pili Kwa kuwa mke wake wa kwanza hakumpatia mtoto wa kiume. Kabla hujaongea tafuta ukweli. Unadanganya maelfu ya watu

    • @stephenkalidush5446
      @stephenkalidush5446 Місяць тому +1

      elewa concept

    • @BarakaMwakalinga-sn5sp
      @BarakaMwakalinga-sn5sp Місяць тому

      Ulikuwa unakaa kwake? Yaani umepitia pitiable3hako ka historia unaanza kukosoa watu na kuwaona waongo 😂😂😂😂😂😂 na yeye akija na historia yake inayoaminisha hayo anayosema niya kweli utafanyaje?

  • @Prosperitytales
    @Prosperitytales Місяць тому

    Hii ya lini hii😅

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Місяць тому +3

    Kama wewe ni mpentekoste ukashindwa kumjua na kimtaja Kulola..nina wasiwasi na wikovu wakoo

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 Місяць тому

      Kulola ndio Nani?

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Місяць тому +1

      @@mwigarleysaid5406 hata wewe humjuwi Askofu Mozes Kulola?huyo ndie mpetemtekoste wa Kwanza kabla ya Kakobe. Yeye Gwajima anampamba tuu Kakobe.aache kudanganya waumini

    • @edwinmbunda6709
      @edwinmbunda6709 Місяць тому

      Kakobe alikuwa mtanzania wa kwanza kuanzisha kanisa, kumbuka kulola alikuwa TAG ambayo imeanzishwa marekani,badae kulola nae akasajili kanisa la EAGT​@@eliakazilo6078

    • @UswegeJohn-ov3ym
      @UswegeJohn-ov3ym Місяць тому

      Kabisa,MOSES KULOLA ni baba wa kiroho wa Kakobe,na ndio maana kwa heshima Kakobe alimualika kanisani kwake KULOLA na Mkewe na kukiri kuwa ni mtu aliyejifunza mengi sana toka kwake.

  • @CheerfulHighway-op8tf
    @CheerfulHighway-op8tf Місяць тому

    ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Місяць тому +1

    Halafu napenda nikujulishe kuwa Freemason wamekuwepo nchini Tanzania tangu mwaka 1952 nenda posta kuna jengo lao jeupe utaona limejengwa mwaka gani usikurupuke kutukana watu kwa jambo usililijua kama una chuki zako binafsi na Gwajima hili usituletee kwenye mitandao

  • @dicksoncyprian9511
    @dicksoncyprian9511 Місяць тому

    MBONA WATU WANAMTAJA KULOLA NA HAWAMTAJI MWENZAKE WALIETENGANA NAE TAG

  • @adrianmgode6409
    @adrianmgode6409 Місяць тому

    Martin Luther akaona mambo hayako sawa akahama wakaja pentecostal baada ya kuona Lutheran kuna makosa ,baadae watokea babtist baada ya kuoana makosa,sahv kuna mitume na manabii baada ya kuona pentekoste kuna ujinga mwingi😂😂😂😂 akili za mbuzi ukiwa mtu wa mazabauni jitahidi kunyoosha ukweli wa mambo sio chuki dhidi ya imani fulani

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Місяць тому +1

    Uongo huyu jamaa muongo mpuzeni, freemason miaka 1964 haikujulikana. Na moses kulola na kakobe wamejitenga na makanisa yao miaka ya 64-70 walikuwa wameimalika. Huyu jamaa mpuzen.kwanza kakobe ametanguliwa na kulola

    • @richardrobert2203
      @richardrobert2203 Місяць тому

      Hujaelewa, Kulola alianzisha kabisa! Au dhehebu??

    • @samsonhamery3809
      @samsonhamery3809 Місяць тому

      Wewe hujui historia ya kanisa ndio maana maana unaanza na matusi badala ya kuanza na Neno la kubariki
      Bahati mbaya nadhani hata darasani Mwalimu alikuwa akifundisha unatoka kapa:Moses kulola alikuwa mu AIC alijiondoa miaka 70 iliyopita akajiunga na TAG mwaka wa 90 Akaanzisha huduma yake ya EATG sasa Kakobe tayari alikuwa ametangulia hiyo EATG

    • @user-wj6zj1ly4e
      @user-wj6zj1ly4e Місяць тому

      @@samsonhamery3809 hyo huduma ya EAGT Ailianzishwa na watu wawili? Hv mkoje nyie watu, umesema akaanzisha huduma huku umesema kakobe tayari alikuwa ameanzisha nn fact poit yako? Founder ndo nan wa EAGT?

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 Місяць тому

      Kulola ndio Nani hapo tunaongelea ministry hatujadili Mambo yenu ya dini za TAG ,EAGT Ni dini za wazungu. Hazikuanzia nchini Tanzania uwe unaelewa maada😂😂😂pimbi wewe

    • @mwigarleysaid5406
      @mwigarleysaid5406 Місяць тому

      Licha ya hivyo TAG hazikuanzia Tanzania Hapo kinachosemwa Ni kilichozaliwa Tanzania siyo kolola aliyeanzia na dini za wazungu. Assemblies of God haikuanzishwa kwetu

  • @dorcaskarago2876
    @dorcaskarago2876 Місяць тому

    Hii ni video ya zamani ao

  • @Hapomwanzo
    @Hapomwanzo Місяць тому +1

    Kwa kuona hiyo najifunza kwamba imani ni sawa na mbio za marason, tunahitaji kufunga mkanda sawasawa, maana kakobe alikuwa fire usipime.

    • @CharlesMbunda-og5tn
      @CharlesMbunda-og5tn Місяць тому

      UNA KIPIMO CHA KIROHO KWAAJILI YA WATU WA MUNGU!? NA UJASIRI HUO WA KUWAPIMA WATU WA MUNGU UMEUPATA WAPI!?

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Місяць тому

      @@CharlesMbunda-og5tn Mengine hauwezi kuyajua mpaka utakapokuwa, cha kufanya endelea kukua.

    • @CharlesMbunda-og5tn
      @CharlesMbunda-og5tn Місяць тому

      @@Hapomwanzo Mwenye kipimo cha hali zetu ni Yesu peke yake. Yeye mwenyewe kwa maneno yake anasema:
      "....NA MAKANISA YOTE WATAJUA YA KUWA MIMI NDIYE ACHUNGUZAYE VIUNO NA MIOYO...." (Ufu 2:23).
      Kwa maana potofu yako wewe na wenzio, mnadhani mko daraja sawa na Yesu. Haya! Nyie ndio mnakaa kwenye kiti cha hukumu kumlipa kila mtu kwa kadri ya matendo yake!?
      Huko siyo kukukua kiroho. Ni kiburi ambacho mwisho wake ni mbaya sana!

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Місяць тому

      @@CharlesMbunda-og5tn Ndugu usikifanye kiroho kuwa kama kitu cha kijinga kama unavyofikiri, hivi mtu anapoanguka dhambi(pengine amezini bila nyie kujua), huwa mnajuaje? hapo ni macho na akili ya kawaida huwa inatumika, acha ujinga kwa kubeba imani usiyoifuata
      Haya hebu sasa niambie paulo alipowaambia wagalatia mlianza katika roho na sasa mnamaliza katika mwili, hapo alipata ufunuo?? ni yesu alichunguza viuno vya wagalatia???

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Місяць тому

      @@CharlesMbunda-og5tn Nimekwambia ukikua utaanza kuelewa, acha huu ujinga uliobebeshwa na kuambiwa ni imani kumbe wendawazimu tu!.
      Paulo anawaambia wagalatia, mlianza katika roho na sasa mnamaliza katika mwili GALATIA 3:1........, haya sema kwa hapo paulo alifunuliwa au yesu alichunguza viuno vya wagalatia?.

  • @eliakazilo6078
    @eliakazilo6078 Місяць тому +1

    Moses Kulola na Kakobe nani alianza kuanzisha upentekoste? Tanzania?

    • @Hapomwanzo
      @Hapomwanzo Місяць тому

      @@eliakazilo6078 Cha kukusaidia, fuatilia historia ya kakobe ya kuokoka kwake aliokokaje, hapo majibu utayakuta.

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 Місяць тому

      Hujaelewa vizuri

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 Місяць тому

      Alianza Kakobe

    • @anthonyjoseph1675
      @anthonyjoseph1675 Місяць тому

      Kulola

    • @sautikuu212
      @sautikuu212 Місяць тому

      @@anthonyjoseph1675 kulola ni zao la TAG baada ya mgogoro kutokea. Kakobe alianza mwenyewe bila kugombana wala kugawana washirika

  • @alanusrespicius1796
    @alanusrespicius1796 Місяць тому +1

    Wewe ni kigeugeu. Wewe ni wakumkandamiza mpina kweli? Mnafiki mkubwa

  • @elijiusdaniel9817
    @elijiusdaniel9817 Місяць тому +2

    Aiseeee Kakobe kwa sifa hizi kweli ameamua kukaa kimya kabisa,shida sio unavyoanza ni shida ni vile unavyoamaliza je, unamalizaje? hapa ni kukaza sana mpaka mwisho kwa namna yoyote.

    • @CharlesMbunda-og5tn
      @CharlesMbunda-og5tn Місяць тому

      KWA HIYO AMEMALIZA SAFAFARI?!

    • @juliusjohnii7823
      @juliusjohnii7823 Місяць тому

      Unafahamu maono ya Bishop kakobe Zachary kwa sasa?.

    • @CharlesMbunda-og5tn
      @CharlesMbunda-og5tn Місяць тому

      ​@juliusjohnii7823 YUKO KWENYE MAANDALIZI NA UTUNGAJI WA VITABU VINGI MBALIMBALI VYA KIROHO, KAZI AMBAYO INGECHUKUA MUDA MREFU. NA HILO SISI KAMA WASHIRIKA WAKE ALITUAMBIA!! HII IMEKUWA KAWAIDA YAKE, KILA ANAPOPATA UFUNUO MKUBWA, HUJITENGA FARAGHANI KAMA ILIVYO KWA MANABII WENGINE WALIOMTANGULIA. AKIIBUKA HUJA NA JIPYA.
      USIMLINGANISHE NA KIJANA MBARIKIWA, WALA KUWALAZIMISHA WATUMISHI WENGINE WOTE, WAROPOKE HOVYO HOVYO, KAMA WATOTO WENZENU! MKIKUA, MTAACHA. VINGINEVYO UTOTO HUO, UTAZAA KIBURI CHA KIJINGA, AMBACHO MWISHO WAKE NI UANGAMIVU!

    • @emmanuelmwakibolwa735
      @emmanuelmwakibolwa735 Місяць тому +1

      Kumalizia kazi mtumishi wa Mungu, kunategemea wito gani amepewa na Mungu. Hakutegemei vile tunavyotaka wanadamu. Anayewatuma hawa watumishi ni Mungu, anawapa cha kwenda kufanya. Tukitaka wafanye vile tuonavyo sisi, ni sawa na kusema sisi ndio tuliowatuma.

    • @CharlesMbunda-og5tn
      @CharlesMbunda-og5tn Місяць тому

      @@juliusjohnii7823 KWA TAARIFA YAKO, MAONO YA BABA ASKOFU KAKOBE KWA SASA NI KUANDAA NA KUTUNGA VITABU MBALIMBALI VYA KIROHO. HUO NDIO UFUNUO AMBAO SISI WASHIRIKA WAKE ALISHATUAMBIA. KWA TAARIFA ZAIDI, FUATILIA UKURASA WAKE FACEBOOK; AMA INSTAGRAM; NA ZAIDI SANA UKURASA WA KANISA LA FGBF. KUJITENGA FARAGHANI NA BWANA, NI KAWAIDA KWA WATUMISHI WANAOONGOZWA NA ROHO MTAKATIFU, TANGU ENZI NA ENZI; HASA PALE WANAPOONGOZWA NA ROHO KUFANYA HIVYO.
      YESU, HATA BAADA YA KUKUA, HAKUKURUPUKA KIHUDUMA, ATI KWAKUWA YOHANA MBATIZAJI- SAUTI YA MTU ALIAYE NYIKANI YUKO KAZINI! HUKO NI KUFUATA MKUMBO; AMA KUTOTAMBUA MAJIRA. ALIANZA HUDUMA MIAKA 30 YA UMRI WAKE! KUTULAZIMISHA SISI KUONGEA-ONGEA KAMA NYIE MNAVYOTAKA, NI KUINGILIA MWITO BINAFSI WA MTUMISHI MWENZAKO; NA NI UTOTO WA KIROHO.

  • @Incredibleone7426
    @Incredibleone7426 Місяць тому

    Jasusi L.A. mbinguni

  • @user-wj6zj1ly4e
    @user-wj6zj1ly4e Місяць тому +1

    Mm nakupuuza ww maana ulaya ndo aliishi yesu na ukoo wake hvyo tunapaswa kufaata wazungu maana kwao ndo kuna makumbusho ya mungu

    • @brianshomi722
      @brianshomi722 Місяць тому

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Місяць тому

      Unesahau YESU ndie alitoa kibali kwa wale thenashara, ,nendeni ulimwenguni ,mkaisambaze injili..uwe UNASOMA Bibilia..Ile kusema kwa jina la YESU. Ni neno zito Sana katka maombi

    • @pascalthoya1594
      @pascalthoya1594 Місяць тому

      You're very wrong

    • @eliakazilo6078
      @eliakazilo6078 Місяць тому

      Hata Kama YESU alizaliwa ulaya..haimaanishi wote Ni wazuri..Ndio maana MuNGU katuwezesha tumejua mbichi na za kuiva..MuNGU Ni wotee haijalishi Ni wa Kanika gani..kinachotakiwa umpokee na unakubali.tena kwa Sala ya Toba na kubatizwa na maji mengi..utaona maajabu kwenye maisha yakoo..aliesemaga MuNGU sio athumani hakukoseaga