Wanaenda kwa Mwamposa kwa sababu, kila mtumishi wa Mungu ana kitu cha tofauti na mwenzake; hivyo basi, kile alicho nacho Mwamposa ndicho kinachowafanya waende kwake. Hata mimi nimependa ucheshi wa huyu mch, mstaafu, naye ana kitu kizuri cha pekee sana. Mungu awabariki watumishi wake.
@@davyadamsontz Neno la Kristo ndichi kioo Cha kumthibitisha mtu kama ni WA Mungu au la,maana Mungu hufanya KAZI pamoja NAO wampendao na kuwajulisha AGANO lake
Mwamposa Ni tishio ;ss warutheli hatushibi kondoo hatushibi tunaenda kwa Mwamposa kushiba neno linaminywa matangazo ,michango kwa wingi wengine wanapeta siasa Kanisani Bwana Yesu apewe sifa.Barikiwa chomoza
@@deograciakashaigili5973 miujiza ni sehemu ktk utendandaji na udhihirisho wa nguvu ya matendo ya ile Imani, maana Imani pasipo matendo imekufa nafsini mwake biblia inasema, Tena Yesu ameagiza wanaomwamini kwajina lake watatoa pepo,kupoza wagonjwa,kutakasa wakoma kufufua wafu sasa Kama unaingia kanisani na ugonjwa na unatoka nao je Kuna YESU hapo? Vipi sasa kuhusu ufalme umekuja hapo?
@@frankjohn8706 Imani haba inaponza. Mungu yupo mahali pote. Ni Imani yako tu popote utapokea uponyaji. Hata mkristo binafsi nyumbani anapokea muujiza akitulia kwa MUNGU.
@@deograciakashaigili5973 watu Kama tatizo ni kutulia mbn basi wasimiminike kwenda kuponywa huko kwenyekutulia? YESU asema penye mzoga ndipo wakusanyikapo tai sasa ni ubishi tu ukikataa ubatizo huwi wa Kristo maana BWANA hufanyakazi bamoja nao wampendao, pia imeandikwa mtu awaeyote asiekua na Roho wa Kristo huyo si wake
@@deograciakashaigili5973 yesu mwenyewe alikuwa anatenda miujiza soma maandiko wewe na watu walikuwa wanamkimbilia ili kuponywa. hata sasa ni yule yule jana na hata milele
Tunachofahamu kulikuwa na ujinga fulani kati ya chomoza na huduma ya mwamposa,,, Ushauri wangu ya Mungu mwachie Mungu mtajitafutia laana isiyowahusu.fuatilia clip zake mwanzo mwisho ni zile zile,nenda kwamwamposa ukajifunze.
Kila mtumishi wa Mungu ana Neema yake. Jinsi Watumishi wa Kilutheri walivyo na Neema yao na Mtume Mwamposa anayo Neema yake kubwa tu na inaonekana. Mungu ni wetu sote jamani
@@frankjohn8706 mafundisho Lutheran yapo na Arise and Shine yapo. Kinachonisikitisha sisi wote ni wakristo lakini tunapenda kunyosheana mikono. Mungu yupo sehemu zote. Na hakuna kanisa ambalo halina mafundisho. Upande wapili watoto wa mama mdogo huwezi kuwakuta katika nyumba zao za ibada wakinyosheana mikono e.g. kanisa hili na lile, mchungaji huyu na yule, msiende huko njooni huku, yule mbaya hana neno, neno liko huku. Yeye anatumia maji..yote hayo ya nini, kila mtu Mungu kamwita kivyake na karama na mafunuo yake alopewa. Chamaana ni sera zako ni Wewe wakija kanisani kwako chapa injili, okoa roho za watu, watu wamjue Mungu hilo linatosha. Hukumu niya Bwana na si ya mwanadamu.
@@nancymorenje3880 Mungu yupo sehemu zote na anawalinda hata wachawi wakiwa kwenye nyungo hawanyimi oxygen lkn kwa habari ya Wana Yuko makini chakula Cha watoto watupii mbwa.. ndio maana alipnya wanafunzi kuhusu makristo na manabii wa uongo, Tena kasema nao watafanya ishara na miujiza kwa jina lake, sasa kwa matunda yao mtawatambua, ivi mtu hata ubatizo hajabatizwa na ukimwambia anakubishia kwa siasa na maneno Kama kweli, kujazwa Roho Mtakatifu hakuna kwake lkn anajitetea ati amejaa Roho wakati matendo yanashuhudia hamna Ila Kuna kuasi inajitetea sio kila mtu anene kwa lugha sio kila mtu awe na karama ya kuponya au miujiza... Sasa hao wauongo ndio hujikuza na kusema wao ndio sahihi na Hawa wanaoliishi Neno sio kitu japo waumini wa dini ya kikristo tumetoka kwenye dini tunakuja kwa YESU na tunaona magongo yanaachwa watu wanatembea wenyewe, watu kuwekwa huru kutoka vifungo vya magonjwa na majini alafu mtu kashiba ugali aseme wote ni watumishi nguvu ya ugali na nguvu ya Roho wa Mungu sio
@@frankjohn8706 asante kwa mawazo yako. Sasa kwa Taarifa mimi nimetoka Lutheran nimehamia Arise and Shine kunachakula cha kutosha na tunashiba pia karibu na wewe ubarikiwe
Mchungaji mwenye karama na kipaji cha kujua Biblia yote kwa kichwa. Utadhani ni utani lakini ukifungua Biblia unakuta yupo sahihi kabisa. Mie kipekee naona anakubalika sana kwa jamii.
Miujiza pekee siyo kipimo cha kumcha Mungu. Ili tujue wewe ni mcha Mungu tutaanza na mienendo yako kauli zako na utakatifu wako na iwapo unaishi sawa sawa na Neno la kristo.
Kumchunguza mtu utakatifu sio kazi ya mtu tukiziungama dhambi yeye atuondolea udhalimu wote, Mungu hana upendeleo ukristo upo wa kweli na wa uongo ,miujiza ipo kwa wakweli na ipo kwa wauongo ,lkn je , wasiofanya miujiza wako wapi? Maana asema ukiwa uvuguvugu nitakutapika
@@frankjohn8706 kama humchunguzi mtu kuhusu utakatifu wake utaangukia kwenye madhabahu ya shetani bila kujua. Imagine mtumishi ameingia mkataba na Lucifer wewe unajipeleka kwake kisa tu Mungu ndiyo mwenye kuhukumu ujue utakuwa unashirikiana naye. Maandiko yanasema tuchunguze kila roho.
@@JUNGLETOURS injili NI uweza WA MUNGU uletao wakovu KWA kila aaminie NI kweli lazma iambatane na MATENDO hata waswahili husema maneno matupu hayavunji mvupa ,au majimoto hayaunguzi nyumba, so kama MTU atakua na maneno matamu kayapangilia kitaakam nakayavalia MAVAZI Maalum halafu hayatatui changamoto za watu , yakobo ASEMA Imani bila MATENDO imekufa ni kama mtu pasipo Roho amekufa, eel amefaliki
Kwani nn mwamposa nitishio mwamposa sio tishio bali nimtume wawatu ana maneno mengi pia kasimama kwenye sam yake anajua anacho fanya nicha mungu nasi cha mwanadam nasio mpelelesi kwa watumishi wezake mungu kampa marifa akima na busara
unaingia na amani ya bwana unatoka na amani ya bwana shida vifungo mizim mila zimetukamata amani nitaipata wapi shida mpaka kwenye kope buldoza ndio kila kitu
Hakuna Mungu asiye na mipaka usitudanganye ndugu. Kila Mungu ana utararibu wake juu ya namna watu wake wanapaswa kuishi ili wampendeze ama wajilinde nafsi zao na uharibifu, utaratibu huo ndio mipaka yenyewe.
Nyie mnaojiita WATUMISHI someni neno la Mungu ''' acheni kuwafatilia watumishi wengine '''' Mungu mwenyewe anajua walio wake '''' bible inakurasa nyingi sana '' achen kuwaongelea wenzetu
Kulala usingizi kanisani ni ishara ya kutekwa na nguvu za giza sasa utamchekeshaje mateka? Soma zaburi 1:1 hatupaswi kufanya mzaha tunapokuwa kwenye ibada. Kwanini mtu asisinzie nyumbani kwake aje kulala kanisani?
Tusiwasemeshe semeshe watumish wa mungu, kumbuka kilichompata Miriam na haruni mungu alikasirika na wengine wengi tu WAM EPA TWA na balaa. Kimsingi kila mtu kaletwa na lake kwa na kwa majira fulani. Tunapoenda huko na huko tunatafuta lada na uponyaji mkamilifu kwa neema tu isiyotabirika ya mungu tu
Hivi unajua maana ya kusaidia? Utamtambuaje mtumishi wa shetani? 1. Hakemei dhambi 2. Hafundishi kurudi kwa Yesu 3. Hafundishi kuwa kuna jehanamu 4.hafundishi ufalme wa mbinguni 5. Hafundishi hukumu ya mwisho. Wanapenda kufundisha 1. Kufanikiwa hapa duniani 2.kuondolewa mikosi na laana 3.wanafundisha kuhusu upendo wa Mungu. Haya ni kwa uchache tu zaidi soma Yeremia sura ya 23.
Watumishi hawana mbingu mwenye mbingu ni Yesu pekee. Hivyo vigezo vya kuingia mbinguni ni utakatifu na haki na si vinginevyo. Haya mengine ni taarabu tu hazimsaidii mwanadamu, kanisa linazamishwa na dhambi kwa mafundisho dhaifu ya ukombozi na mafanikio. Swali huyo Mwamposa mnayesema tishio je mnajua ni roho gani iliyonyuma ya huduma yake?
Yesu asema mtu asipozaliwa Mara yapili hawezi kuingia ufalme wa Mbinguni vigezo vya ubatizo vipo mark 16:16--- ukivitimiza utakuwa mwanafunzi wa YESU ila usipotimiza utakuwa ukienda tuition tu kumsikiliza Yesu na tuition haitoi cheti Wala haikupi mtihani wa Taifa, Yesu kasema kwa matendo yao mtawatambua ,
Wanaenda kwa Mwamposa kwa sababu, kila mtumishi wa Mungu ana kitu cha tofauti na mwenzake; hivyo basi, kile alicho nacho Mwamposa ndicho kinachowafanya waende kwake. Hata mimi nimependa ucheshi wa huyu mch, mstaafu, naye ana kitu kizuri cha pekee sana. Mungu awabariki watumishi wake.
Sawa lkn kumbuka YESU ametofautisha wazi wakristo Kuna wauongo na wakweli manabii kuna wa uongo na wakweli mtawatambua kwa matunda yao
i guess it is quite randomly asking but do anyone know of a good place to watch new tv shows online ?
@@frankjohn8706 So una uthibitisho kuwa Mwamposa ni wa uongo?
@@davyadamsontz Neno la Kristo ndichi kioo Cha kumthibitisha mtu kama ni WA Mungu au la,maana Mungu hufanya KAZI pamoja NAO wampendao na kuwajulisha AGANO lake
Injili ni uweza wa Mungu.Injili ni rahisi sio ngumu.Mchungaji ni wa kizazi hichi,(speacil one)
Pambila~ Very excellent! I admire the Priest. Thanks to the Lord our God, Amen
Mchungaji mzuri sana huyu, anatenda kazi ya Mungu vizuri
Mwamposa Ni tishio ;ss warutheli hatushibi kondoo hatushibi tunaenda kwa Mwamposa kushiba neno linaminywa matangazo ,michango kwa wingi wengine wanapeta siasa Kanisani Bwana Yesu apewe sifa.Barikiwa chomoza
Acha uongo wewe. Semina.zinaongozana kanisani kwenu mbona hatukuoni? Miujiza ndio inakuvuruga. Mbinguni ni utakatifu wako tu!!!!
@@deograciakashaigili5973 miujiza ni sehemu ktk utendandaji na udhihirisho wa nguvu ya matendo ya ile Imani, maana Imani pasipo matendo imekufa nafsini mwake biblia inasema, Tena Yesu ameagiza wanaomwamini kwajina lake watatoa pepo,kupoza wagonjwa,kutakasa wakoma kufufua wafu sasa Kama unaingia kanisani na ugonjwa na unatoka nao je Kuna YESU hapo? Vipi sasa kuhusu ufalme umekuja hapo?
@@frankjohn8706 Imani haba inaponza. Mungu yupo mahali pote. Ni Imani yako tu popote utapokea uponyaji. Hata mkristo binafsi nyumbani anapokea muujiza akitulia kwa MUNGU.
@@deograciakashaigili5973 watu Kama tatizo ni kutulia mbn basi wasimiminike kwenda kuponywa huko kwenyekutulia? YESU asema penye mzoga ndipo wakusanyikapo tai sasa ni ubishi tu ukikataa ubatizo huwi wa Kristo maana BWANA hufanyakazi bamoja nao wampendao, pia imeandikwa mtu awaeyote asiekua na Roho wa Kristo huyo si wake
@@deograciakashaigili5973 yesu mwenyewe alikuwa anatenda miujiza soma maandiko wewe na watu walikuwa wanamkimbilia ili kuponywa. hata sasa ni yule yule jana na hata milele
Tunachofahamu kulikuwa na ujinga fulani kati ya chomoza na huduma ya mwamposa,,, Ushauri wangu ya Mungu mwachie Mungu mtajitafutia laana isiyowahusu.fuatilia clip zake mwanzo mwisho ni zile zile,nenda kwamwamposa ukajifunze.
Namkubali sana Mchungaji huyu! He is the best one
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Amubariki sana
Safi saana tusikose kipindi chake
Anajua sana aisee
MUNGU akubarik mtumishi
Yuko vizuri na anaitendea kazi vyema kanisan wafanye watu kufurahi
Acheni maneno Maana Mungu awajua waliowakwake, ndiyo maana alisema acheni magugu na ngano vikue pamoja
Maguguna Nagano vikue pamoja point
hakika
Mchungaji Hananja yuko sawa kusema tuition kuwa ni nyongeza. Na amesema wasizuiwe waende Mtihani siku nyingine. Mtangazaji mpumbavu Sana.
Baada ya shule tution utafaulu vizuri
Upo vizuri sana aisee!
Kafanana na marehemu Mzee Majuto😄😄
Ubalikiwe,,san mtumish
Una ongea sana
Kila mtumishi wa Mungu ana Neema yake. Jinsi Watumishi wa Kilutheri walivyo na Neema yao na Mtume Mwamposa anayo Neema yake kubwa tu na inaonekana. Mungu ni wetu sote jamani
Mungu ni wetu sote ila tunachotofautiana ni ubatizo na mafundisho
@@frankjohn8706 mafundisho Lutheran yapo na Arise and Shine yapo. Kinachonisikitisha sisi wote ni wakristo lakini tunapenda kunyosheana mikono. Mungu yupo sehemu zote. Na hakuna kanisa ambalo halina mafundisho. Upande wapili watoto wa mama mdogo huwezi kuwakuta katika nyumba zao za ibada wakinyosheana mikono e.g. kanisa hili na lile, mchungaji huyu na yule, msiende huko njooni huku, yule mbaya hana neno, neno liko huku. Yeye anatumia maji..yote hayo ya nini, kila mtu Mungu kamwita kivyake na karama na mafunuo yake alopewa. Chamaana ni sera zako ni Wewe wakija kanisani kwako chapa injili, okoa roho za watu, watu wamjue Mungu hilo linatosha. Hukumu niya Bwana na si ya mwanadamu.
@@nancymorenje3880 Mungu yupo sehemu zote na anawalinda hata wachawi wakiwa kwenye nyungo hawanyimi oxygen lkn kwa habari ya Wana Yuko makini chakula Cha watoto watupii mbwa.. ndio maana alipnya wanafunzi kuhusu makristo na manabii wa uongo, Tena kasema nao watafanya ishara na miujiza kwa jina lake, sasa kwa matunda yao mtawatambua, ivi mtu hata ubatizo hajabatizwa na ukimwambia anakubishia kwa siasa na maneno Kama kweli, kujazwa Roho Mtakatifu hakuna kwake lkn anajitetea ati amejaa Roho wakati matendo yanashuhudia hamna Ila Kuna kuasi inajitetea sio kila mtu anene kwa lugha sio kila mtu awe na karama ya kuponya au miujiza... Sasa hao wauongo ndio hujikuza na kusema wao ndio sahihi na Hawa wanaoliishi Neno sio kitu japo waumini wa dini ya kikristo tumetoka kwenye dini tunakuja kwa YESU na tunaona magongo yanaachwa watu wanatembea wenyewe, watu kuwekwa huru kutoka vifungo vya magonjwa na majini alafu mtu kashiba ugali aseme wote ni watumishi nguvu ya ugali na nguvu ya Roho wa Mungu sio
@@frankjohn8706 asante kwa mawazo yako. Sasa kwa Taarifa mimi nimetoka Lutheran nimehamia Arise and Shine kunachakula cha kutosha na tunashiba pia karibu na wewe ubarikiwe
@@nancymorenje3880 ameen ubarikiwe tuko pamoja
Mti wenye matunda hupigwa mawe siku zote. MUNGU Asante kwa kumwinua mtume Mwamposa.
Mchungaji mwenye karama na kipaji cha kujua Biblia yote kwa kichwa. Utadhani ni utani lakini ukifungua Biblia unakuta yupo sahihi kabisa.
Mie kipekee naona anakubalika sana kwa jamii.
wanakwenda tuition kwa vile wanachofundisha humo ruthelan hayawatoshi watu tunataka deep tumJUE MUNGU
@@jesuspower2390 hakuna Tena muda wa blablaa ,Ni wakati wa kumjifunza Mungu kwa Nguvu zote ,kwa akili zote,na kwa Moyo wote.
Hongera mtumishi
Miujiza pekee siyo kipimo cha kumcha Mungu. Ili tujue wewe ni mcha Mungu tutaanza na mienendo yako kauli zako na utakatifu wako na iwapo unaishi sawa sawa na Neno la kristo.
Kumchunguza mtu utakatifu sio kazi ya mtu tukiziungama dhambi yeye atuondolea udhalimu wote, Mungu hana upendeleo ukristo upo wa kweli na wa uongo ,miujiza ipo kwa wakweli na ipo kwa wauongo ,lkn je , wasiofanya miujiza wako wapi? Maana asema ukiwa uvuguvugu nitakutapika
@@frankjohn8706 kama humchunguzi mtu kuhusu utakatifu wake utaangukia kwenye madhabahu ya shetani bila kujua. Imagine mtumishi ameingia mkataba na Lucifer wewe unajipeleka kwake kisa tu Mungu ndiyo mwenye kuhukumu ujue utakuwa unashirikiana naye. Maandiko yanasema tuchunguze kila roho.
@@JUNGLETOURS injili NI uweza WA MUNGU uletao wakovu KWA kila aaminie NI kweli lazma iambatane na MATENDO hata waswahili husema maneno matupu hayavunji mvupa ,au majimoto hayaunguzi nyumba, so kama MTU atakua na maneno matamu kayapangilia kitaakam nakayavalia MAVAZI Maalum halafu hayatatui changamoto za watu , yakobo ASEMA Imani bila MATENDO imekufa ni kama mtu pasipo Roho amekufa, eel amefaliki
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Duu nimemkubali sana
Ameen bwana yafute machozi yangu Ameen mtumishi
Mwamposa juu Yesu ana vyombo
Kizur kitasemwa mwamposa juu
Ulipata vipi utume utume haupatikani maka mungu akuchaguwe nawewe ulipewa kitabu gani
Kwani nn mwamposa nitishio mwamposa sio tishio bali nimtume wawatu ana maneno mengi pia kasimama kwenye sam yake anajua anacho fanya nicha mungu nasi cha mwanadam nasio mpelelesi kwa watumishi wezake mungu kampa marifa akima na busara
Bado hamjasema mwamposa ndio habari ya mjin mafuta ya upako na maji ya upako yanatusaidia tunaamin tu hatuogopi
unaingia na amani ya bwana unatoka na amani ya bwana shida vifungo mizim mila zimetukamata amani nitaipata wapi shida mpaka kwenye kope buldoza ndio kila kitu
Yupo vizuri mchungaji🙏
Kwenda tuition kwa mwamposa maana yake ni kwenda kutafuta ziada Kama hujatosheka na mahubiri yake.
Hajakosea
Maana kwao ni kkkt ndiko msingi wao ulipo tuition haiwakamilishi lazima wrudi walikosajiliwa ili watihaniwe.
Arawa nimekuelewa
Dah ! Uyu angekuwa mchungaji kwa kileo wangemuona jau ! Maana ni wamda na ana materials kama mpya yani
So good
Wewe sijataja Mchungaji mtume mwamposa. Mimi nimesema Mwamposa. Na hakuna mtu anayemiliki jina la Mwamposa. Na huyo mtume Mwamposa hana tuisheni.
Ukikosea kuoa jua umepanda gari ya mkaa
Mungu hana mipaka.huu ni wakati wa neno la mungu limenwagwa.mwenye kiu atatafuta ili ashibe.msimfunge kinywa ngombe asiparue majani
Hakuna Mungu asiye na mipaka usitudanganye ndugu.
Kila Mungu ana utararibu wake juu ya namna watu wake wanapaswa kuishi ili wampendeze ama wajilinde nafsi zao na uharibifu, utaratibu huo ndio mipaka yenyewe.
Good job
Usivae brazia jikubali ulivyo😄😄
Unafurah wakat una natatizo kibayo fanya maombi mzee mwamposa Ana Story yeye Kaz tu uponyaji tu bwana yesu asifiwe
huyu mchungaji biblia kaishika kichwani, yaani mlango mzima anausoma bila kuangalia bibloa🙏🙏🙏
Yuo vzr
Kabisaa
kukalili biblia sio kipimo cha kuwa na roho mtakatifu,,, hata waislam wamekariri biblia
Nyie mnaojiita WATUMISHI someni neno la Mungu ''' acheni kuwafatilia watumishi wengine '''' Mungu mwenyewe anajua walio wake '''' bible inakurasa nyingi sana '' achen kuwaongelea wenzetu
Kibaya kipi alichokisema
Silewi anachongea.. Lete neno sio story
Kama mpaka mwaka huu hamjamuelewa huyu Mchungaji mkapimwe mkojo
Hapo nimemkubali maana anaenda na wakati.Watu wanasinzia sana kanisani.Huyu kiboko.
Kulala usingizi kanisani ni ishara ya kutekwa na nguvu za giza sasa utamchekeshaje mateka? Soma zaburi 1:1 hatupaswi kufanya mzaha tunapokuwa kwenye ibada. Kwanini mtu asisinzie nyumbani kwake aje kulala kanisani?
Kamua kuwachekesha maana watasinzia😄
Hii kichwa inaonekana ilipinda ujanani
dooh Mungu akuponye
Lazima waende hamna namna Mwamposa anakarama ya pekee! MUNGU KAAMUA KUMTUMIA KWA KIWAMGO CHA FLY OVER.
Tusiwasemeshe semeshe watumish wa mungu, kumbuka kilichompata Miriam na haruni mungu alikasirika na wengine wengi tu WAM EPA TWA na balaa. Kimsingi kila mtu kaletwa na lake kwa na kwa majira fulani. Tunapoenda huko na huko tunatafuta lada na uponyaji mkamilifu kwa neema tu isiyotabirika ya mungu tu
Amen
Mbaya kumsema mtumishi wa Mungu
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Mchungaji anastaafu jamani hawa
Umenipa raha mtumishi
Safi pastor Hananja
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Mtangazaji mkuda kwani waumini wakienda twisheni siwanaenda kupalilia walicholima shida ikowapi
Watumishi wote wamungu niwatenda kazi katika shamba moja.
Usipende kutupmbanisha.
Mbona amesema wanaoenda na waende ukuda wake uko wapi?
Mchungaji mtetezi wa vijana
😂😂😂😂😂
Mchungaji hapepesi
Mwamposa tishio,amesaidia wengi,wachungaji wanamwogopa,Munngu kamtuma kufungua watu
Hivi unajua maana ya kusaidia? Utamtambuaje mtumishi wa shetani? 1. Hakemei dhambi 2. Hafundishi kurudi kwa Yesu 3. Hafundishi kuwa kuna jehanamu 4.hafundishi ufalme wa mbinguni 5. Hafundishi hukumu ya mwisho. Wanapenda kufundisha 1. Kufanikiwa hapa duniani 2.kuondolewa mikosi na laana 3.wanafundisha kuhusu upendo wa Mungu. Haya ni kwa uchache tu zaidi soma Yeremia sura ya 23.
Keisha kupa Jina, hana jipya
Hawa ndio kondoo wanapigwa
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Anawafungua!!!!! Yesu akasema, msifurahi kwakua pepo wanawatii Bali furahini kwa kuwa majina yenu yameandikwa mbinguni
Duh! Mchungaji kiboko, kuishi na mateja sio kazi ndogo ujue
Kwani kuna shida...
Mzee Mabaya Dastan anaongeaje? Dk Rose
Watumishi hawana mbingu mwenye mbingu ni Yesu pekee. Hivyo vigezo vya kuingia mbinguni ni utakatifu na haki na si vinginevyo. Haya mengine ni taarabu tu hazimsaidii mwanadamu, kanisa linazamishwa na dhambi kwa mafundisho dhaifu ya ukombozi na mafanikio. Swali huyo Mwamposa mnayesema tishio je mnajua ni roho gani iliyonyuma ya huduma yake?
Yesu asema mtu asipozaliwa Mara yapili hawezi kuingia ufalme wa Mbinguni vigezo vya ubatizo vipo mark 16:16--- ukivitimiza utakuwa mwanafunzi wa YESU ila usipotimiza utakuwa ukienda tuition tu kumsikiliza Yesu na tuition haitoi cheti Wala haikupi mtihani wa Taifa, Yesu kasema kwa matendo yao mtawatambua ,
Maana Yeye ni mpanzi mwema
Mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Elewa kustaafu sio kutokuweko,umesema "angekuweko angekuwa na ushawishi mkubwa" ,tambua Leo ana ushawishi.mkubwa zaide ya kale.
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Hahaha nmeongeza cku
Yaani nimejikuta nacheka kwa nguvu
🇧🇮🇧🇮💪💪
ANKO JIMI WEWE NI
MNAFIKI TU UNAWAPENDA
SANA WAGANGA WA KIENYEJI
WANAOTUMIA JINA LA YESU
KWA HAPA DAR WEWE NI
WAKALA WAO ACHA HILA
NA UNAFIKI.
Na wewe unatumia waganga gani?
@@lionofjudahtv8796
DAMU YA YESU NA
JINA LA YESU NI
KIBOKO YA MATATIZO
SASA LA MILELEE.
WAGA WA WAJADI
ANAO WANADI ANKO
WATUMIA JINA
LA YESU KUIBA IMANI
ZA WATU KWA YESU MA
KIWEKA LWENYE MAFUTA,
KEKI, MAJI NK TOKA
KUZIMU.
@@furahasanga2534 ancle Jimi mnafiki ?!je huko kwa wafanya mnapenda wote ?!ulijuaje hayo huyasemayo?!?!
Mmh
Unatishaa mno
Kuhani Musa ndo tishio
Mbona mwongo hakuna kibaya hapo
Nilijua italeta shida
Aheee tunaenda wewe usiende kama vp tuachie wenyewe na Mungu wetu
Ni mhimu kuwa na tuition
Saf
😂😂😂😂 hakuna Kama hananja
Kiukweli bibilia iniajilesa wasi kuwa nyakati za mwisho sikifika kutajitokesa wanabii wengi kwa jina langu ila mtumishi huyu yuko visuri
Mwaposa ananguvu ya Mungu... mnaumia Sana watumisih msio na upako mnamuonea wivu
Mwamposa anatishia nini??????????
Usiongeze neno wala usipunguze neno
Zehebu alikupeleki mbinguni
Kila mtumishi ananeema yatofaut
Huyu nahisi alishavuta bangi.
Ndiyo na aliacha
Mwaposa ni fernasion Wa ukweli
🤣🤣🤣🤣
Hahaaaa!
Mwamposa ni mfanyabiashara .
nawowe kafanye biashara tuje
upigwekwa jina la YESU
Mtangazaj unamalza mb zetu, unaongea sana vdeo inakuwa ndefu
Ukweli watu wanahangaika mno kutafuta miujiza mwishowe watapata wanachokitafuta
Mwamposa ni mganga
BASI NAWEWE MCHAWI ULIJUAJE