- 1 746
- 5 803 494
Helbeth Mlelwa 🎖️
United States
Приєднався 23 гру 2017
OKOKA UBADILIKE SIO KUJIUNGA NA KANISA AU DINI. MUNGU HAANGALII MAISHA UNAYOJIONESHA KWA WATU, BALI ANAANGALIA KIWANGO CHA KUJINYENYEKEZA KWAKO, USAFI WA NJIA ZAKO AU UTAYARI WA MOYO WAKO KUBADIKIKA, NDIPO ANAKUBADILISHA KWA UTUKUFU WAKE NA KUKUWEZESHA KUISHI MAISHA MATAKATIFU.
1 PETRO 5:6-8 ; YEREMIA 6:16.
1 PETRO 5:6-8 ; YEREMIA 6:16.
Kongamano la watoto wa Mbarikiwa, KAHAMA. Njoo unolewe kuvaa wokovu kamili.
Kongamano la watoto wa Mbarikiwa, KAHAMA. Njoo unolewe kuvaa wokovu kamili.
Переглядів: 95
Відео
Leo niko kwenye Kinanda @HelbethMlelwa @Mbarikiwa_Mwakipesile
Переглядів 1244 години тому
Leo niko kwenye Kinanda @HelbethMlelwa @Mbarikiwa_Mwakipesile
WENGI WATAINGIA JEHANAMU KWASABABU HII; TAMAA YA MALI INAWAFANYA WASHINDWE KUABUDU MUNGU
Переглядів 777 годин тому
WENGI WATAINGIA JEHANAMU KWASABABU HII; TAMAA YA MALI INAWAFANYA WASHINDWE KUABUDU MUNGU
MBARIKIWA AHUBIRI KWA NEEMA AKIWA KAHAMA; WOKOVU UKUFANYE UWE UNATABIRIKA, IWE UHAKIKA KUFIKA MWISHO
Переглядів 1039 годин тому
MBARIKIWA AHUBIRI KWA NEEMA AKIWA KAHAMA; WOKOVU UKUFANYE UWE UNATABIRIKA, IWE UHAKIKA KUFIKA MWISHO
MGOGO ACHA KUFUNDISHA UMALAYA MADHABAHUNI. MCH. Helbeth Mlelwa amvaa DANIEL MGOGO
Переглядів 47414 годин тому
MGOGO ACHA KUFUNDISHA UMALAYA MADHABAHUNI. MCH. Helbeth Mlelwa amvaa DANIEL MGOGO
GWAJIMA KAWAPASUA VIONGOZI WENZAKE wa "CCM" akiwa "MSIBANI" kwa FAUSTINE NDUNGULILE
Переглядів 40114 годин тому
GWAJIMA KAWAPASUA VIONGOZI WENZAKE wa "CCM" akiwa "MSIBANI" kwa FAUSTINE NDUNGULILE
MTAFUTE MUNGU KWA NGUVU ZOTE, YAANI FANYA IBADA KUFA NA KUPONA
Переглядів 8514 годин тому
MTAFUTE MUNGU KWA NGUVU ZOTE, YAANI FANYA IBADA KUFA NA KUPONA
HAWA VIJANA WANAABUDU KWA MOYO WOTE; KAMWE USIMWABUDU MUNGU KIZEMBE
Переглядів 18219 годин тому
HAWA VIJANA WANAABUDU KWA MOYO WOTE; KAMWE USIMWABUDU MUNGU KIZEMBE
MPUMBAVU WEWE unasema "MUNGU AMENIOKOA, GHOROFA IKIYOPOROMOKA KARIAKOO"
Переглядів 67521 годину тому
MPUMBAVU WEWE unasema "MUNGU AMENIOKOA, GHOROFA IKIYOPOROMOKA KARIAKOO"
Ogopa sana kuishi bila kufanya wajibu wa kuishi kwako
Переглядів 100День тому
Ogopa sana kuishi bila kufanya wajibu wa kuishi kwako
Kifo cha MBUNGE NDUNGULILE, kiwashtue CCM na WATAWALA, geukeni "HATA NINYI MTAKUFA"
Переглядів 232День тому
Kifo cha MBUNGE NDUNGULILE, kiwashtue CCM na WATAWALA, geukeni "HATA NINYI MTAKUFA"
SOLOMONI MKUBWA HUKU UNAKOENDA UNAPOTEA. MCHUNGAJI AMHUZUNIKIA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.
Переглядів 551День тому
SOLOMONI MKUBWA HUKU UNAKOENDA UNAPOTEA. MCHUNGAJI AMHUZUNIKIA MWIMBAJI WA NYIMBO ZA INJILI.
MAHUBIRI YA VICHEKESHO/MIZAHA NI YA KUZIMU
Переглядів 31014 днів тому
MAHUBIRI YA VICHEKESHO/MIZAHA NI YA KUZIMU
MCHUNGAJI HUYU KAWAVAA TENA WALOKOLE WA KISASA MNAUPENDA ULIMWENGU, KUMPENDA BABA HAKUMO NDANI YENU.
Переглядів 17514 днів тому
MCHUNGAJI HUYU KAWAVAA TENA WALOKOLE WA KISASA MNAUPENDA ULIMWENGU, KUMPENDA BABA HAKUMO NDANI YENU.
MCHUNGAJI AMVAA BELLA KOMBO NA WALOKOLE WA KISASA; HAWA NDIO WAPINGA KRISTO na WAPO NDANI YA KANISA
Переглядів 28814 днів тому
MCHUNGAJI AMVAA BELLA KOMBO NA WALOKOLE WA KISASA; HAWA NDIO WAPINGA KRISTO na WAPO NDANI YA KANISA
WAKATOLIKI WAKATAA SADAKA YA RAIS. SISI HATUWEZI KUWA MCHAWA KAMA MANABII UCHWARA
Переглядів 31914 днів тому
WAKATOLIKI WAKATAA SADAKA YA RAIS. SISI HATUWEZI KUWA MCHAWA KAMA MANABII UCHWARA
Utoshelevu wa maisha ya mwanadamu haumi katika vitu vya maisha haya || Helbeth Mlelwa
Переглядів 11421 день тому
Utoshelevu wa maisha ya mwanadamu haumi katika vitu vya maisha haya || Helbeth Mlelwa
PASCHAL CASSIAN AIANGUKIA SERIKALI, KUANGUKA KWA GHOROFA KARIAKOO. NANI ALAUMIWE?
Переглядів 19421 день тому
PASCHAL CASSIAN AIANGUKIA SERIKALI, KUANGUKA KWA GHOROFA KARIAKOO. NANI ALAUMIWE?
MCHUNGAJI AWAWEKA SAWA REV. MAGEMBE NA TAG, MNAOMBEA AJIRA AU WATOTO KANISANI?? Yesu alikuja kwa ...
Переглядів 14821 день тому
MCHUNGAJI AWAWEKA SAWA REV. MAGEMBE NA TAG, MNAOMBEA AJIRA AU WATOTO KANISANI?? Yesu alikuja kwa ...
Bella Kombo na Tony Kapola WAWASHIWA MOTO. UKISHIKA WOKOVU KAMA HAWA HAUTAKUFIKISHA POPOTE
Переглядів 38921 день тому
Bella Kombo na Tony Kapola WAWASHIWA MOTO. UKISHIKA WOKOVU KAMA HAWA HAUTAKUFIKISHA POPOTE
HII NDIO SABABU YA TARIMO KUNUSURIKA KUTEKWA?. NCHI HII IMEFIKA PABAYA.
Переглядів 1,1 тис.21 день тому
HII NDIO SABABU YA TARIMO KUNUSURIKA KUTEKWA?. NCHI HII IMEFIKA PABAYA.
Sheikh AMVAA PADRE KITIMA; KWANINI UMEMTUKANA MAMA SAMIA??
Переглядів 7 тис.21 день тому
Sheikh AMVAA PADRE KITIMA; KWANINI UMEMTUKANA MAMA SAMIA??
TONNY KAPOLA, HAPA UNACHOCHEA UMALAYA TU, HAKUNA WOKOVU KAMA HUU
Переглядів 2,2 тис.21 день тому
TONNY KAPOLA, HAPA UNACHOCHEA UMALAYA TU, HAKUNA WOKOVU KAMA HUU
MCHUNGAJI AMLIPUA PASTOR TONNY KAPOLA. WOKOVU SIO UHOLELA WA KUISHI VYOVYOTE, NAKATAA (YER 6:16).
Переглядів 2,3 тис.28 днів тому
MCHUNGAJI AMLIPUA PASTOR TONNY KAPOLA. WOKOVU SIO UHOLELA WA KUISHI VYOVYOTE, NAKATAA (YER 6:16).
AIBU KUBWA...CHRISTINA SHUSHO AKOSA CHA KUONGEA KWA BINTI YAKE ANAYEOLEWA. AMEKOSA CHA KUMJENGA
Переглядів 3,6 тис.28 днів тому
AIBU KUBWA...CHRISTINA SHUSHO AKOSA CHA KUONGEA KWA BINTI YAKE ANAYEOLEWA. AMEKOSA CHA KUMJENGA
MCHUNGAJI AWAVAA WAIMBAJI HAWA WENYE TABIA ZA UMALAYA; MNAIMBA UMALAYA MADHABAHUNI!!
Переглядів 1,2 тис.Місяць тому
MCHUNGAJI AWAVAA WAIMBAJI HAWA WENYE TABIA ZA UMALAYA; MNAIMBA UMALAYA MADHABAHUNI!!
LIVE; Maisha yangu, MIMI NI YETU TUU. Mbarikiwa na watoto wake. NYIMBO ZA UPENTEKOSTE WA ZAMANI
Переглядів 73Місяць тому
LIVE; Maisha yangu, MIMI NI YETU TUU. Mbarikiwa na watoto wake. NYIMBO ZA UPENTEKOSTE WA ZAMANI
Mbarikiwa ataja watu wanaohusika KUMTESA. RCO Andrew G. Kantimbo na STATE ATTORNY
Переглядів 667Місяць тому
Mbarikiwa ataja watu wanaohusika KUMTESA. RCO Andrew G. Kantimbo na STATE ATTORNY
Swali gumu la Mbarikiwa kwa Mungu. Mungu UNANICHUKIA??
Переглядів 168Місяць тому
Swali gumu la Mbarikiwa kwa Mungu. Mungu UNANICHUKIA??
Mbarikiwa atoa waraka kwa VIONGOZI WA SERIKALI. NIACHENI NIFE MWENYEWE
Переглядів 1,1 тис.Місяць тому
Mbarikiwa atoa waraka kwa VIONGOZI WA SERIKALI. NIACHENI NIFE MWENYEWE
Sadaka au mchango?
Amen 🙏
"wamejichanganya na dunia "" mmmh hi statement ina utata sijui wakinanani wapo mbinguni
Kweli kabisa, kila hatua ya Mtu katika imani, inagharama zake.
Tuko pamoja mtumish kazi njema
Kweli MUNGU aku bariki sana
We mzee ni fisadi tu kama nyerere huna lolote
Kwa hiyo hata Paulo aliposema katika wakorinto 'msinyimane' alifundisha umalaya?😂😂 Lakini sio mbaya hembu endelea kwanza hivohivo ili upate umaarufu huenda baadae utarekebisha kauli zako.
Naam
Mahubiri mengi ya kizazi hiki ni zaidi ya kuzimu
Kuna uvuvio mkubwa ktk maneno ya kinywa chako mtumishi,,,,,,,,Naamini Mungu aliye hai anaenda kufanya jambo jipya kwenye maisha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amiiina Sana kiongoz🙏🙏🙏
MUNGU NI MKUU.
Kazi yako ni njema songa mbele kiongozi
Mbaya zaid serikal inasapot wachungaj hao wanaosapot ngono.
Kosa la uyu mama nini jamani shukulani inatolelawa vyovyote ila kwajina layesu ungu anatumia watu wowote mama mungu akubaliki naungana nawewe kama yesu asingewaluhusu usingekuwepo leo lakini ulipomwita yesu yesu akatuma watumishi wabeba mizigo kukuokoa yamkini waokaji hakuweza kusikia sauti yaysu ilipo waelekeza uwepo wako pale lakini wabeba mizigo waliweza sikia sauti ya yesu na wakakuokoa amina
Huyu mwnaume kichwani kwake kuna bangi
Mama yuko visuri sana
Hata kama ni semina za wakubwa,kwanini warecord na warushe kwenye mitandao jinsi kufanya staili za zinaa? Wanasema semina za wanandoa alafu wanazirusha mtandaoni asilimia kubwa wanaoangalia ni watoto wadogo kabisa,Yani hapo wanawasha tamaa za ngono kwa watoto na vijana... hii kitu imekaa hovyo sana ndani ya kanisa,, Dunia imeingia kanisani,Kanisa limepotelea Duniani.
Background sound iko juu sana mtumishi
MUNGU ndo Utushindia Mipango yetu. Amina.
Hamumvai Mwakasege bali unamvaa MUNGU WA MWAKASEGE
Ameeeen ameeeen kamanda
Ameeeen nakuelewa sana kamanda wa Kristo.
Thank you God
jacj
❤❤❤
Wewe huna dini mpumbavu MNAFIKI sana mnatia aibu Tena ukome kututia aibu.
Zimewaruka sio bure.akili hoviyo.takataka matako Huna .Malaysia tu
Huyu bwege fresh tu 4:27 inamaana kicha akiongea ukweli tusimuani eti kisa yeye nikicha? HAMNA HOJA
Mdogo wangu mlelwa nakuelewa huna baya pitia humohumo watanyooka tuu mwenye kiu ya haki atafuata haki mwenye kiu ya mafundisho kama hayo naafate.songa mbele tunaokuelewa tunakuombea.
Mngu aendelee kuwatia nguvu muendelee kuwashukia wahubiliwa na wahubili wajinga wajinga wamafundisho ya kijinga kama hayo
Huyu dogo huwa anaongea point sana
Kwani si ni Yesu alisema amekuja kwa ajili ya wenye dhambi au?
Hata mimi nakuunga mkono kwa hili Mungu akutunze
Kweli haya mhubiri yanapendwa sana na wahuni kutimiza hajazao au kuwapa kulea tabia zao mbaya kanisan i
kwel ni ujinga huo Mungu awarehemu
huyo diwani ata kama ni wa ccm wananchi wamchague huyo ni bora hapend kula haramu
Pd. Kitima ni daktari,wewe je?
HUYU SHEHE VIPI?
shehe dini haufundishi hivo pia sis ni waislam nchi ya mungu hii kaka usitupoteze yani niingia mskitin nikikuta wew ndo unaongoza sala natoka nikasali ata nyumban ata kama ni jamaa
Shehe shehena
Shekhe mohamed iddi kiukweli huja elewa ndio mana napenda nikumbuke maneño mazuri ya shekhe mziwanda alipo tunahitaji kiongozi anaejali masilahi ya watu siobinàfsi basi hata huyo alie sema nchi haiongozwi na mtu iaongozwa kiasheria maana yake ni kwamba nchi ina katiba asiamue maamuzi binafsi bali aongoze kwa kufuata katiba akemee maovu ndio mana yake tusiingize ma mbo mengine katika udini
Sasa amekosea nini wewe elimu huna hujasoma sema amekosea nini wewe tatizo elimu Toka bwana mjinga wewe
Nakubaliana na ww mtumishi haya mahubili Hadi wapagani wanashangaa sanaa ulokolee ndo huuuu?
Mlelwa hakuna wa kukutusi kwa hili ata mm mpaka nliacha kumsikiliza uyo mchekeshaji uwo ni ukweli mungu akubaliki
Mungu azidi kukutia nguvu.
Amen baba umepiga kwenyewe.