INASIKITISHA KIKONGWE WA MIAKA 75 AUWAWA NA VYOMBO VYA DOLA PEMBA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 50

  • @bashiryusuf9670
    @bashiryusuf9670 20 днів тому +7

    Kwenye umma huu hamna kiongozi muaadilifu zaidi ya mtume wetu muhamda swala aleihwasalam musitarajie kwa hao munao waita viongozi mtegemeeni Allah pekee yake dunia mzima hamna viongozi wahaki wote nimakatili Allah atatulipia kesho akhera

    • @vincentcharles4385
      @vincentcharles4385 20 днів тому +1

      Allah Ndo Nani

    • @mussammanga7791
      @mussammanga7791 20 днів тому

      @@vincentcharles4385 Aliyekutoa wewe kutokana na maji machafu yanayonuka.

    • @IsmailJuma-zb5ni
      @IsmailJuma-zb5ni 19 днів тому

      @@vincentcharles4385 Muumba wa mbingu na nchi na vyote vilivomo ndani yake

    • @Asiaha-l7q
      @Asiaha-l7q 17 днів тому

      Aliye kuumba wewe na Mimi tumboni mwa mama zetu we wafikir NI nani​@@vincentcharles4385

  • @AbdulAbdallah-j4k
    @AbdulAbdallah-j4k 16 днів тому +1

    أيها الزوج، يا الله، ساعد الضعفاء غير القادرين على محاربة الظالمين لأنك ملجأنا

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 20 днів тому +6

    Innaa lillah wainnaa ilaih rajiun
    Allah anasem ktk qur.an" Na iogopeni siku ambayo mtarejeshwa kwa allah kisha kila nafsi ilipwe kwa ulioyachuma na wao hawatazuliwa.

  • @shadyahamad3724
    @shadyahamad3724 20 днів тому +1

    Ya raby tunakwenda kwa mwenyezi mungu tunakwenda kulizwa kwa mwenyezi mungu tunayoyafanya😭😭😭

  • @bakariWahida
    @bakariWahida 16 днів тому

    Allah atufanyie wepesi na mambo haya

  • @yonasimion3130
    @yonasimion3130 16 днів тому

    Kumbe nyongachinja ipo na Pemba !!! Nilijuwa Bara TU.poleni.

  • @bakariWahida
    @bakariWahida 16 днів тому

    Poleni sana Wana familia

  • @sulaymanmohammed6448
    @sulaymanmohammed6448 20 днів тому +3

    Halal badr ina faa iki wezekana

  • @SharhabilMuhamed
    @SharhabilMuhamed 20 днів тому

    Poleni sana ndugu zetu mungu ndo shahid kwaa hayo na malipo apa apa duniani

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah6893 19 днів тому

    😢😢😢😢😢😢innallillah wainnaillah rajeun hii nchi ni ujinga mtupu yaani chakuna haki hakuna aman ni ushenzi tu

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 20 днів тому +1

    Binaadamu akikosa elimu,imani na ufahamu sahihi wa uwepo allah basi huwezi kutumika kama mnyama!!

  • @kassimiddi5294
    @kassimiddi5294 16 днів тому

    HASBIA ALLAH WA NIIMAL WAKIL

  • @hamidamussa593
    @hamidamussa593 20 днів тому +3

    Jamaa zangu fanyeni kafara au halbadiri

  • @bakariWahida
    @bakariWahida 16 днів тому

    Jamani mpaka lini mambo hayoo

  • @ahmedalbalooshi8518
    @ahmedalbalooshi8518 21 день тому +3

    Washazoea kuuwa,na hawakuanza leo,kila ukikaribia uchaguzi hizo ndio sera

  • @MonaJuma-cp3jg
    @MonaJuma-cp3jg 15 днів тому

    Someni alibadiry bayana

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 20 днів тому +1

    Ww mwinyi mm sina iman na ww maan yanatokea mauaji huchukui hatua yeyte lkn haya Inshaallah Allah atayalipa hapa hapa duniani Inshaallah

    • @SalumRwambo
      @SalumRwambo 20 днів тому

      Unamlaumu mtu si kila linalo fanyika yeye anajuwa

  • @humoudseyd7310
    @humoudseyd7310 20 днів тому +1

    Kila kiongozi ni mchunga ataulizwa uchungaji wake.mbele ya hakim wa.mahakim Allah..ukisha fanya dhulma mara.mojq.basi utaendelea tu.....

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 20 днів тому +1

    Subhanallah

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 20 днів тому

    Innalillah wainnaillah rajiun Allah amsamehe makosa yake

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma 19 днів тому

    Innalillah wainnailaihim rajiwn, inatisha sana

  • @abdimakame7929
    @abdimakame7929 20 днів тому

    Poleni sana ndugu zangu😭😭😭

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf 20 днів тому +3

    Jeshi la Askari la Mwinyi waanza mauwaji Pemba kabla ya UCHAGUZI mkuu unaokuja.

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 20 днів тому

    Poleni kwa msiba

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 20 днів тому +2

    Pigeni halbadir tu:: kitaeleweka mapema mola akitujaalia

  • @SaidiMohamed-bj2wg
    @SaidiMohamed-bj2wg 20 днів тому

    Yoote haku ya maalim seif kaikalia mwengine. Ila haku yamtu haipotei waliuwa mwanzo saiv wanaendeleza ata fir aun aliuwa hadi watoto kwakupenda madaraka

  • @SuleimanMuhammed-g7q
    @SuleimanMuhammed-g7q 20 днів тому +1

    Huyu mwinyi mnafiq sana

  • @Zanzibar-k3h
    @Zanzibar-k3h 18 днів тому

    Acheni ujinga nyinyi watu auliwe yy kama nani , mmeanza kupandikiza chuki za kisiasa na kuanza kuwaaaminisha watu kua ameuwawa na serkali hao ni wauza unga maarufu pia walikula unga Kwa kutaka kupoteza ushahidi , Dr mwinyi anahusika na Nini juu ya kifo hikii acheni ufalaa , aachwe Omo aje auliwe mtu kama huyo acheni ujinga, CCM ipo na itaendelea kuwepo Dr mwinyi 5 Tena

  • @shamissuleyman4894
    @shamissuleyman4894 20 днів тому

    Hasidi hana sababu au hujui

  • @MwinyiJuma-n4i
    @MwinyiJuma-n4i 20 днів тому

    Acha Wawaue waislam kwa maslahi Yao ila mungu ndio mtoa haki.kweli selikali sio mtu sikutegemea uongozi wate bara na visiwani ni waislam lakini haohao ndio wanatoa amri waislam wenzao kuuwawa

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 20 днів тому

    Dah ccm munafeli sanaaa acheni siasa mbovuuu

    • @mussasaidhamad1891
      @mussasaidhamad1891 19 днів тому

      watu wanahusisha hii tokeo na Sheha na CCM lakini sababu ya mzozo huu kuna jamii ya watu wanajiita Polisi jamii hao walimkamata kijana mmoja ambae aliiba baskeli sasa walipomhoji kumtesha na kumpiga ndio yeye akawataja hao watu watatu ndio walipochkukuliwa na na hao wanaojiita ni vikosi vya kuzuia madawa ya kulevya, cjui KVZ sjui ndio nani ila tuchukulie kwamba hakuna hukumu ya kuuwa aliowa atapambwa na Mola wake siku ikifika Allah hasahau hata chambe ajiandae

  • @HassanMchoro-b3r
    @HassanMchoro-b3r 20 днів тому +1

    Mm sina aman na jeshi la police hata siku moja nawaona saw na majambaz basi so jeshi la kulinda raia na mali zao

  • @athmanhassan
    @athmanhassan 20 днів тому

    Innalillahwainailayh rajiun

  • @maase2023
    @maase2023 17 днів тому

    Miaka 75 ni kikongwe kweli???

  • @abasamwame6583
    @abasamwame6583 20 днів тому

    Nendeni mukawaroge hao watu wao na familia zao wafekama kuiu Kama wataalamu wa kuwapiga ndum ba tunawafahanu

  • @milanozanzibar
    @milanozanzibar 20 днів тому +1

    duh

  • @Legends_Interviews
    @Legends_Interviews 20 днів тому

    Polisi ndo wauwaji

  • @BakariMakame-j5f
    @BakariMakame-j5f 20 днів тому

    Jamani Zanzibar yangu inaelekea wapi

  • @idirisakhamis-m3i
    @idirisakhamis-m3i 21 день тому +2

    Wameuliwa kw sababu gani?

    • @w4058
      @w4058 20 днів тому

      Kawaulize mwenyewe walouwa

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 20 днів тому

    Mm simmlaumu Mwinyi wala samia bali nawalaumu wanaojiita CCM ambao wapo madarakani na vijana wa Wa Ccm wanaoshangiria utawala ...ila mm nanyamaza kimya

  • @AliSalim-yu4mo
    @AliSalim-yu4mo 21 день тому +2

    Hata kama Wana tuhuma je ndio suluhisho Hilo?na Sheha dawa yake muipike na mumnyweshe!

    • @JabirHaji-vj2nf
      @JabirHaji-vj2nf 19 днів тому

      Na atanyweshwa kwa dhulma wanazofanya Allah atawahukumu na adhabu kali