UKIANGALIA UTATOKWA NA MACHOZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • usisahau ku like,comment,share na ku subscribe youtube channal yetu alfatah tv online, kwa maelezo zaidi piga simu +255 777 858490

КОМЕНТАРІ • 86

  • @swabirali1276
    @swabirali1276 4 роки тому +5

    Alhamdullillah ......tafadhalini waislamu sote tufanyeni juhudi yakusaidia wenzetu ....Allah ndio mwenye kupeana na ndie mwenye kukunyima ..tutoeni kwaajili yake

  • @sleimanalisleiman1238
    @sleimanalisleiman1238 4 роки тому +2

    Asalam alaikum jamani huyo mama usaidiwe nijambo muhimu sana lakinipia serikali inawahifadhi wazeekama hao wenye maisha magumu huyo mama apelekwe katika nyumba za Wazeee akatulie nafsiyake

  • @duidala3228
    @duidala3228 4 роки тому +1

    Leo munge kuwa muko mbali kama sio mapenduzi 1964 👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻👏🏻 poleni sana

  • @rayaalaisari4592
    @rayaalaisari4592 4 роки тому +6

    Asalam Alaykum ndugu zangu tumsaidieni huyu bibi hata kwa chumba kimoja tu.... Alivyokuwa tayari kwa msaada mkono juuuu

  • @zuzhabsia3852
    @zuzhabsia3852 4 роки тому +3

    Yaallah inasikitisha kwakweli allah atupe nguvu tumsaidie mama yetu

  • @aishaomar4318
    @aishaomar4318 4 роки тому +4

    Maskini kwa apo msaada wa mwanzo asaidiwe kula nguo na ilobanda japo chumba na choo lirekebishwe liwe latofali wasiingie machatu.

    • @amnesalum5390
      @amnesalum5390 4 роки тому

      Subhanallah allah muifazi mjawako mtengenezee maisha hapaduniani nakesho akher

  • @shamsahaji6202
    @shamsahaji6202 4 роки тому +7

    😢😢😢ya Allah tupe moyo zaidi wa kutoa .

  • @omanseeb8609
    @omanseeb8609 4 роки тому +2

    Allah atamfarij na yup nae ishaallah

  • @user-br9lp8dy2e
    @user-br9lp8dy2e 4 роки тому +1

    Masikini wanaonyesha imani,

  • @masoudyrashidy9041
    @masoudyrashidy9041 4 роки тому +3

    Waislam jamani pepo hii tuinunueni kwa mali yake Allah

  • @aminamusini8781
    @aminamusini8781 4 роки тому +1

    uyo Bibi anatkiwa asaidiwe

  • @maulididdy-zq2ii
    @maulididdy-zq2ii Рік тому

    Subhanallah viongozi tuliokalia viti tuko wapi ?? Inasikitisha sana

  • @TulloMhombo
    @TulloMhombo 5 місяців тому

    Jamani hivi viongozi mnayaona haya? Hebu tuchukue hatua, Hawa wazee tuwasaidie,tusiwazie jinsi kukusanya kura za udiwani au ubunge tu.

  • @hamidmussa838
    @hamidmussa838 2 місяці тому

    Hata kuhoji hamjuwi

  • @asmaAsma-oi1pm
    @asmaAsma-oi1pm 4 роки тому +1

    Masoud manganga nilikumiss ,,ktv kumbe uko Huku,,

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 4 роки тому +1

    Tunamsaidia vp sasa

  • @salhakhamis4629
    @salhakhamis4629 4 роки тому

    Yaaarabi tujaalie tuwe wepes wa kutoa inshaaallaah

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 4 роки тому +1

    Masikini Bibi anatia huruma.

  • @makamemufadhil627
    @makamemufadhil627 4 роки тому +1

    Allah ampe wepes

  • @jimjam4162
    @jimjam4162 4 роки тому

    SUBHANALLAH.

  • @fatumamunye5756
    @fatumamunye5756 4 роки тому +1

    Mnaonajee?

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 роки тому +1

    😭😭😭😭😭😭😭😭ilo chatu mwenzangu😭😭😭😭😭

  • @mariammimiapayani6990
    @mariammimiapayani6990 4 роки тому

    Vip ameshapata wa kumchukua

  • @fidesbenard3270
    @fidesbenard3270 4 роки тому

    Sasa akiumwa anasaidiwa na nani

  • @melindakessyb9860
    @melindakessyb9860 4 роки тому

    😢😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @saidal-hind5338
    @saidal-hind5338 4 роки тому

    namba ya kuchangia ?

  • @user-lr1oi6xp8o
    @user-lr1oi6xp8o 4 роки тому

    Bibi je! uko tayari nikunusuru uwe mke wa nne?🙏🙏🙏 😎

  • @carolyneziro2959
    @carolyneziro2959 4 роки тому +1

    Pole sana bibi mungu atkutolea njia

  • @fatmanassor7616
    @fatmanassor7616 4 роки тому +1

    Allah amfanyie wepesi inshaallah tujitahidini waislam kutoa unachokitoa ndio chako

  • @emamuharamain4552
    @emamuharamain4552 4 роки тому +1

    Sisi tuliokementi je tunamsaidiaje..ushauri apatikane mmoja wetu ambae anauwezo wa kufika hapo alipo na aangaliwe nini tunamsaidia kwa kumchangia chochote...awe na imani mmoja wetu ya kupokea michango na kuifikisha...

  • @shd6820
    @shd6820 4 роки тому +5

    Akikubali kuchukuliwa je mi nipo tyr nije niishi nae msikilizeni

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 4 роки тому +2

      Kweli utakuwa umefanya jambola maana naam akasikiliwe kwa imani yakoutapata tu watu wa kukuunga mkono

    • @aishaomar4318
      @aishaomar4318 4 роки тому +3

      Napia atakua hajihisi mpweke

    • @saidaahmed364
      @saidaahmed364 4 роки тому +2

      Allah akubarik atakulipa kwa wema wako..mchukue Allah atakuwa na ww

  • @salimmohamed694
    @salimmohamed694 4 роки тому +4

    Wallah Allah Raheem Allah ni mkubwa jaman bibi uyu anaishi mwenyewe lkn Allah amempa afya na amani 😭😭😭😭

  • @abuuyusuf9434
    @abuuyusuf9434 4 роки тому +1

    Subhanallah.tunpoziona shida zetu ngumu tuangilie wale wazaidi yetu.

  • @himaryamhaidar5612
    @himaryamhaidar5612 4 роки тому +1

    Maskini mama anahuzunisha daaaah mungu yupo pamoja na ww mama

  • @SAYFANMUSSA
    @SAYFANMUSSA 4 роки тому +8

    JAMAN WAISLAM TUNA MSAIDIAJE MM INANIUZUNISHA

  • @nailatanzania7376
    @nailatanzania7376 4 роки тому +1

    Pole sana mama yetu .Allah aleta wepes inshallah

  • @fsaad5116
    @fsaad5116 4 роки тому +1

    Inasikitisha kweli jamani Alfatah msaaidiani nyumba yenyewe yavuja mtafutie watu wakiishi nae kuna ugonjwa jamani dooo

  • @user-uo1bw8hl5x
    @user-uo1bw8hl5x 4 роки тому +2

    hawa ndio w2 wakuangaliwa nakusaidiwa ela serikali iliyopo haijitambui kabisa

  • @nabillsuleyman5188
    @nabillsuleyman5188 4 роки тому +1

    Kwa kweli ni sad kubwa duniani kwa kweli tuna mitihani wanadamu tumuombe Allah atuondolee mitihani inaskitisha hii video kwa kweli machozi yatiririka

  • @hawaahassan4152
    @hawaahassan4152 4 роки тому +5

    Yaa Allah tupe moyo wakuwasaidia maskin hata kwa kidog tulichonacho

  • @hawampendu3107
    @hawampendu3107 4 роки тому +1

    ssomtu ana mungu yeye ndie atakaejibu maombi yake inshaallah

  • @fatumamunye5756
    @fatumamunye5756 4 роки тому +2

    Mm naona kwanza chakula na huku tunamjengea nyumba japo chumba kimoja,jiko,ukumbi na choo

  • @asmaAsma-oi1pm
    @asmaAsma-oi1pm 4 роки тому +1

    Waislam tushikane tumuokoe bibietu,,,

  • @alleymau6998
    @alleymau6998 4 роки тому +4

    Daghh leo ndio nineamini ukijiona ww ni maskini elewa kua kuna maskini zaidi yako😥😓

    • @faizasaid8262
      @faizasaid8262 4 роки тому +1

      Alley Mau unakaa sehemu gani mwenzangu ata ukaamini leo

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 4 роки тому +1

    Na nyie serekali muwawake nyumba za wazee kama hao mana ndani msitu kama huo ndio utakuja kusikia kabakwa mana washenz wapo tele. Mitihani kweli

  • @khfelkh5361
    @khfelkh5361 4 роки тому

    Bismillah rahman rahim.ALLAH akulipeni kwa jitihada izo na atutosheleze kila moja miongoni mwetu maana soote twamtegemea yeye aliyetukuka na ndo tajiri mwenye kujitosheleza.ila hakunagisi ingejengwa sehem yakuwakusanya watu aina iyi ?yakajengwa majumba yawazee ivo inakuwa wepesi katika kuwafatilia?ALLAH akupeni muongozi sahihi .

  • @ghairatmohd9912
    @ghairatmohd9912 4 роки тому

    itabidi apelekwe kwa wazee co kukaa peke yke sio maisha mazur inawezkn ikawa tatzo likitokea Hakuna wakumsaidia

  • @hamadally3312
    @hamadally3312 4 роки тому

    pole sana bibi allah atupe kheri ishaallah

  • @mwanaishahussein2635
    @mwanaishahussein2635 4 роки тому +1

    Masikini bibi, nivyema tujitolee kuwasadia wenzetu iwapo tunauwezo

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 4 роки тому +2

    Alfatah tv Online Dira ya Ummah

  • @hajielmi7518
    @hajielmi7518 4 роки тому

    Serikali watu kama hawa ndio wakusaidia

  • @clovetv_pba
    @clovetv_pba 4 роки тому +3

    Masikini Bibi anatia huruma.

  • @amnesalum5390
    @amnesalum5390 4 роки тому

    Allah muifazi mjawako hiyu mvue mazito alonayo

  • @saadikibinjazaa1511
    @saadikibinjazaa1511 4 роки тому +1

    Subuhanallah

  • @salemkambuteh1409
    @salemkambuteh1409 4 роки тому +1

    pole sana mama.

  • @fatmasaid5864
    @fatmasaid5864 4 роки тому

    Bora achukuliwe kwa wazee kwa sababu hana mtu itakua bora kwake

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 4 роки тому +1

    Muwe munaweka na namba pia ili iwe rahisi kutuma chochotr

  • @mozasaid3869
    @mozasaid3869 4 роки тому

    Duh! Bibi anatia huruma sana zaidi ya sana !!

    • @hudhud2022
      @hudhud2022 4 роки тому +2

      Anahitaji kua na mtu khasa wakukaa nae kujengewa hebu Waislam kweli tujiulize imani zetu ziko wapi Viongozi wako wapi lailaha ila llah tutakwenda ulizwa kesho mbele yaAllah

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz5982 4 роки тому +1

    sinalakusema😭😭😭😭

  • @aishasilivest8455
    @aishasilivest8455 4 роки тому

    Mimi huko sikujuwi,,,, nitampatajee huyo mama,,,, nitajitoleya kukaa nae Mimi,,,,napatikana nungwi 0620634029 namba zangu hizo

  • @aishasilivest8455
    @aishasilivest8455 4 роки тому

    Daa inauma kwa sasa anakaa wapi

  • @leyzworld4024
    @leyzworld4024 4 роки тому

    As salam aleykum...watu washare hii video kwa social media zote ili huyu bibi apate kusaidiwa kwa uwezo ya Allah

  • @khadijal9851
    @khadijal9851 4 роки тому +1

    How can I help I need contact pls

    • @tonysolomon2841
      @tonysolomon2841 4 роки тому

      Contact alfatah TV the woman has said will accept whatever you will donate for her. Thank you for showing interest of helping this old woman.

  • @faizasaid8262
    @faizasaid8262 4 роки тому

    😭