KUHUSU MARTHA MWAIPAJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 28

  • @ChristopheAmani-t1o
    @ChristopheAmani-t1o 24 дні тому +3

    Yaaaa umenibariki sana kabisa umezungumuza maneno yenye kujaa hekima sana
    Jambo linasemewa Congo ni ya uongo sana mimi nipo Congo mimi naishi Congo ni maneno ya uzushi mukubwa kabisa Ila Nina waombea Mungu awasamehe wote kwa maana hawajuwi walitendalo
    Hawajuwi walitendalo

  • @AnnaJavan
    @AnnaJavan 19 днів тому

    POLE MATHA,JIPE MOYO,YATAISHA WANASEMA IVUMAYO HAIDUMU,

  • @FabiolaTriphon
    @FabiolaTriphon 27 днів тому +2

    Jinga sana uyomasa anajiona bola nakusaliti ndugu

  • @saraoloo9251
    @saraoloo9251 25 днів тому +1

    Tuonyeshe picha ng'ombe hii 😂😂😂

  • @Musafiribahati-o7j
    @Musafiribahati-o7j 24 дні тому

    Mungu atawachoma kwa moto kwa uongo tunajuwa vyombovyenu vinaweza kufanya uongo wowote mamboyote siyoya kuongea huniuongo duniya inafika mwisho.matayo 24 : 15 -20 duniya ya leo inanyonyesha zambi na kunyonya zambi tukimbiliye kwenye milima tutafute Bwana yesu kirsto wa Nazareti anakuja upesi sasa🎉❤❤❤

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza 21 день тому

    Kwanza kabisaa kama huyo Martha anatumikia Mungu na halafu ni mtu mzima anatetewa zuri na baya alitakiwa kuimba pamoja na mdogo wake ili wamtukuze Mungu kwa pamoja na hayo mengine yanayojitokeza ni mahalibu ya shetani kutaka kuwaangusha muungane kwa pamoja muyashinde majaliu mkiwa kama ndugu na huyo joani aondoke zake

  • @NabiiAmosi
    @NabiiAmosi Місяць тому +1

    Mhhh hatari sana umetisha 🎉🎉🎉🎉

  • @edgercyprian964
    @edgercyprian964 26 днів тому +2

    Mmmh mbona hakuongea Beatrice kwa ubaya jamani

  • @Mari89wx
    @Mari89wx 26 днів тому

    Mambo ya kifamikia yaishie ktk familia.❤

  • @MagdalenaSamuhenda
    @MagdalenaSamuhenda 22 дні тому

    We pepo acha kuchafua wenzako. Huna uhakika.

  • @mmangasalum2195
    @mmangasalum2195 26 днів тому +1

    Hivi unaelewa mama alivyosema kuwa wameshindwa kusulihisha??? Muwe mnaelewa basi sio mnachangia TU msamaha wa kwenda wapi waoga ndio watakaoomba misamaha ili shetani aendelee kutukuzwa na ameshindwa katika jina la yesuuuuu

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza 21 день тому

    Wewe pia haukumuerewa vizuri Beatrice mbona hakuongea kwa ubaya muwe munaerewa kwanza kwani hujui kama huyo joan ni mchonganishi?

  • @paideacram
    @paideacram 22 дні тому +1

    Boyaa mkubwa ww hizo video ziko wapi?

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 25 днів тому

    Wedogo imeshindika

  • @HellenLemilya
    @HellenLemilya 26 днів тому +3

    Mtu maarufu sio mtu ?asiyetakiwa kuabishwa kwenye vitu vya aibu ?wao watuhubirie watuabishe kwa sababu ya makosa yetu ila sisi tusiwaibishe wala tusiwahubirie maarufu hawa ,huyo anayeongea hayo ni uchupi na ni uchi , upuuzi kabsa , Martha katubu kwa Mungu,kamuombe mama msahama umaarufu wako si kitu mbele ya mama ako na Mungu wako achana na hizi shauri za uchi na kuwambiwa endelea kusagana tutakutetea ,msisema wazi mtandaoni, nyinyi nyinyi wapuuuzi wa kumshauri mwenzenu ushetani tokeniiiiii

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 26 днів тому

    Kwenda huyo matha nimalaya

  • @magrethmwakifuna9792
    @magrethmwakifuna9792 27 днів тому

    Wewe ni mjinga kabisa kama unataka wartha akufikirie kafie mbali unaanza kuwachallenge watumishi wa Mungu unataka ushahidi wa nini.Badala ya kumwambia atengeneze unasema hakuna ushahidi ka huna cha kuongea si nyamaza.

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 25 днів тому

    Huyu vipi?

  • @ElizabethDaudi-b6v
    @ElizabethDaudi-b6v 26 днів тому

    Hizo picha zikwapi mbona ujatuonyesha

  • @HumphreyMapunda
    @HumphreyMapunda 21 день тому +1

    Kwani wewe unaongea hapa ni nani? Mbona mnaharaka wabongo

  • @ministerprincej7033
    @ministerprincej7033 24 дні тому

    Wacha kuedit vitu wewe

  • @MusaEmmanuel-u1l
    @MusaEmmanuel-u1l 28 днів тому +1

    Mme ni nani ky familia pumbafu wewe dogo

  • @stellajohn8486
    @stellajohn8486 26 днів тому

    Pumbavu au matha hawala yako

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 26 днів тому

    Acha upumbavu, Kwani ww una ushaid kuwa Beatrice alitembea na mume wa dada yk?!? Halafu mpaka bite aseme ujue kifamilia lilishindikana, Mjinga we!