- 27
- 61 684
DreamStar tv
Приєднався 29 січ 2024
@trending #subscribe_me
Liks
Facebook profile.php?id=100084841313767
Liks
Facebook profile.php?id=100084841313767
Відео
HUKUMU YA KIFO KWA WALIO MUUA KATIBU WA CCM KILOLO
Переглядів 6215 годин тому
#ccm#habari#kunyongwa#kifo#mahakama
GWAJIMA ATAJA LISTI YA MAWAZIRI WATAKAO KUFA MWAKA HUU KWA FREEMASON 2025
Переглядів 4919 годин тому
#samiasuluhuhassan #gwajima #tanzanianyoutuber #20242025 #bunge
AFARIKI KWENYE UPASUAJI, AKIJIGEUZA KUWA USO WAPAKA
Переглядів 752 години тому
#mirleft #bongotrending #dreamstar
KUMBE NI MTOTO WA CHIEF GODLOVE? HII NI KAFARA YA WAZI INATISHA
Переглядів 21 тис.19 годин тому
#jojoladiespoint#jojo#greysonkanyenye#dodoma
MAAJABU MALAIKA ASHUKA #LIVE WAKATI WA SIFA MKOANI SONGEA,,, @sponsored
Переглядів 849Місяць тому
MAAJABU MALAIKA ASHUKA #LIVE WAKATI WA SIFA MKOANI SONGEA,,, @sponsored
NAKUTAMANI BY DAUDI JUSTIN @clamvevo6472 @mpemba_comedy
Переглядів 231Місяць тому
NAKUTAMANI BY DAUDI JUSTIN @clamvevo6472 @mpemba_comedy
HISTORIA IMEANDIKWA UBATIXO WA KWANZA |2024/11/17| KLC Tanzania
Переглядів 65Місяць тому
HISTORIA IMEANDIKWA UBATIXO WA KWANZA |2024/11/17| KLC Tanzania
watu wakishiriki kikombe cha damu ya Yesu
Переглядів 642 місяці тому
watu wakishiriki kikombe cha damu ya Yesu
WIMBO HATARI WA KWAYA UINJILIST KWAYA RUAH MBUYUNI KKKT IRINGA
Переглядів 3010 місяців тому
WIMBO HATARI WA KWAYA UINJILIST KWAYA RUAH MBUYUNI KKKT IRINGA
Tuendelee kupewa taarifa
POLE MATHA,JIPE MOYO,YATAISHA WANASEMA IVUMAYO HAIDUMU,
Kwanza kabisaa kama huyo Martha anatumikia Mungu na halafu ni mtu mzima anatetewa zuri na baya alitakiwa kuimba pamoja na mdogo wake ili wamtukuze Mungu kwa pamoja na hayo mengine yanayojitokeza ni mahalibu ya shetani kutaka kuwaangusha muungane kwa pamoja muyashinde majaliu mkiwa kama ndugu na huyo joani aondoke zake
Wewe pia haukumuerewa vizuri Beatrice mbona hakuongea kwa ubaya muwe munaerewa kwanza kwani hujui kama huyo joan ni mchonganishi?
Kwani wewe unaongea hapa ni nani? Mbona mnaharaka wabongo
We pepo acha kuchafua wenzako. Huna uhakika.
Boyaa mkubwa ww hizo video ziko wapi?
@@paideacram subscribe
Mungu atawachoma kwa moto kwa uongo tunajuwa vyombovyenu vinaweza kufanya uongo wowote mamboyote siyoya kuongea huniuongo duniya inafika mwisho.matayo 24 : 15 -20 duniya ya leo inanyonyesha zambi na kunyonya zambi tukimbiliye kwenye milima tutafute Bwana yesu kirsto wa Nazareti anakuja upesi sasa🎉❤❤❤
Wacha kuedit vitu wewe
Yaaaa umenibariki sana kabisa umezungumuza maneno yenye kujaa hekima sana Jambo linasemewa Congo ni ya uongo sana mimi nipo Congo mimi naishi Congo ni maneno ya uzushi mukubwa kabisa Ila Nina waombea Mungu awasamehe wote kwa maana hawajuwi walitendalo Hawajuwi walitendalo
❤❤❤❤❤❤❤
@@ChristopheAmani-t1o wewe kuishi congo ndiyo kujua mambo yote acha ushamba
Aminaa
ASANTE SANA BABA MTALEMWA MWOMBEE ATEBA AFUNGE ZAIDI
Uyu jamaa kamuwekea ateba mzimu wa dube asaivi afungi maskini anatetemeka tu kwenye boksi daaah kweli usiamini vicheko😢😢😢😢😢😢😢mchungaji tuludishie ateba wetu wazamani tupo chini ya miguu yako😢😢😮😮😮😢😢😢
Huyu vipi?
Wedogo imeshindika
Tuonyeshe picha ng'ombe hii 😂😂😂
Hizo picha zikwapi mbona ujatuonyesha
Acha upumbavu, Kwani ww una ushaid kuwa Beatrice alitembea na mume wa dada yk?!? Halafu mpaka bite aseme ujue kifamilia lilishindikana, Mjinga we!
Pumbavu au matha hawala yako
Kwenda huyo matha nimalaya
Mambo ya kifamikia yaishie ktk familia.❤
Haya mambo SI yawe Siri dah ndio maana haitimii wiki tayar kasharogwa tena
Hivi unaelewa mama alivyosema kuwa wameshindwa kusulihisha??? Muwe mnaelewa basi sio mnachangia TU msamaha wa kwenda wapi waoga ndio watakaoomba misamaha ili shetani aendelee kutukuzwa na ameshindwa katika jina la yesuuuuu
Mmmh mbona hakuongea Beatrice kwa ubaya jamani
Mtu maarufu sio mtu ?asiyetakiwa kuabishwa kwenye vitu vya aibu ?wao watuhubirie watuabishe kwa sababu ya makosa yetu ila sisi tusiwaibishe wala tusiwahubirie maarufu hawa ,huyo anayeongea hayo ni uchupi na ni uchi , upuuzi kabsa , Martha katubu kwa Mungu,kamuombe mama msahama umaarufu wako si kitu mbele ya mama ako na Mungu wako achana na hizi shauri za uchi na kuwambiwa endelea kusagana tutakutetea ,msisema wazi mtandaoni, nyinyi nyinyi wapuuuzi wa kumshauri mwenzenu ushetani tokeniiiiii
Jinga sana uyomasa anajiona bola nakusaliti ndugu
😂😂😂😂😂😂😂 Kweli kabisa Dunia imengia kanisani aya ndiyo ya kule TAG😂😂😂😂
Wewe ni mjinga kabisa kama unataka wartha akufikirie kafie mbali unaanza kuwachallenge watumishi wa Mungu unataka ushahidi wa nini.Badala ya kumwambia atengeneze unasema hakuna ushahidi ka huna cha kuongea si nyamaza.
Nice sana
Dunia imejaa majitu mapumbavu sana hakiamungu
Mme ni nani ky familia pumbafu wewe dogo
Pastor more blessinh kwa kweli umemsaidia mchezaji wetu waombee na team ya yanga nzima aiseee🙏
Nami naomba maombi
Subsribe
😀😀😀😀Ateba si anafunga jamani
Yesu kajibu
Asante Sana muchungaji mungu azid kukupa uzma umetuponeshea dube wetu ❤❤ mungu yu mwema
Yesu ni jibu
Kwani huyu mchungaji yuko wapi jamani
Ameecha sadaka shingapi. 😅😅😅😅😅
Mhhh hatari sana umetisha 🎉🎉🎉🎉
Our Fantastic player of Young African club..we really appreciate your super decision.
GOD IS GREAT AND AMEN ❤❤❤❤
RIGHT DESICION
#congo
Sunscribe
Subscribe tafadhali
Utukufu kwa bwanaaaaa😅😅😅😅
😊😅😅😅😅😅😅😅
Uongooo
@sponsored
❤