Це відео не доступне.
Перепрошуємо.

Mtoto Wa RAIS NYERERE Aliyepigana VITA Bila Baba Yake Kujua Mpaka Kushinda Vita

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 лис 2019
  • Mtoto Wa RAIS NYERERE Aliyepigana VITA Bila Baba Yake Kujua Mpaka Kushinda Vita

КОМЕНТАРІ • 29

  • @walawioutreach4055
    @walawioutreach4055 4 роки тому +4

    FAMILIA YENYE HOFU YA MUNGU WALIWAPENDA WATANZANIA WENZAO KAMA MARAFIKI ZAO,HAWAKUJIONA KAMA WATOTO WA IKULU MUNGU AENDELEE KUWATUNZA,AMEN

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 11 місяців тому +1

    Mmmm MUNGU Mwema Ubarikiwe hear you Have The Best fureture it touches

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому +7

    Mwl angekuwa na roha ya korosho ya tamaa angemkabidhi mwanae Uganda kuitawala lakini hakufanya hivyo. Upendo ulioje.

  • @aliathuman2078
    @aliathuman2078 3 роки тому +4

    Hio sauti ya kicheko chake kama ya babake tu🤣🤣

  • @alfredcharles8029
    @alfredcharles8029 2 роки тому +2

    Tufikie wakati tumuenzi Baba wetu wa Taifa kwa vitendo tuwakumbuke wanae...Makongoro apewe urais

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 роки тому +3

    "Lakini kweli Mungu yupo"

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому +2

    Good hearted person

  • @MolelMoran
    @MolelMoran Рік тому +1

    Kama sikosei huyu Mhe alikuwa kwenye kikosi cha mizinga chini ya Col Tumbi ( RIP ) au Col Mongi.
    Baba wa Taifa Mwl JK Nyerere hakupendela Watoto wake.

  • @williammbuzimai5744
    @williammbuzimai5744 3 роки тому +2

    Duuu
    Usimwage kuku wengi,
    Kwenye mtama kidogo.

  • @justinaninga2679
    @justinaninga2679 4 роки тому +3

    Hadi kicheko cha fanana na nyerere daa atakumbukwa kwa mengi nyerere

  • @kijokombao5345
    @kijokombao5345 4 роки тому +4

    Interview iko funny sana haichoshi💪

  • @fatmasalim8293
    @fatmasalim8293 2 роки тому +1

    Mashallah kama babake anajielewa

  • @sundayjonas6869
    @sundayjonas6869 4 роки тому +3

    Selekali yetu inawajali kweli watoto wa wasisi wanchi yetu ya tz

  • @kahawathungu
    @kahawathungu 4 роки тому +2

    Mwalimu mtupu mpaka anavyojikuna kichwa. The apole does not fall far from the tree

  • @qc5clickclick558
    @qc5clickclick558 4 роки тому +3

    Mzee wa humor 😁😁😁😁😁

  • @gamechanger9646
    @gamechanger9646 4 роки тому +4

    A rich man's joke is always funny

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 11 місяців тому +1

    makongoro mchumia tumbo njaa inamsumbua kweli

  • @ramadhanibrahim7619
    @ramadhanibrahim7619 4 роки тому +3

    Makongoro mchangamfu sn

  • @raheebraheeb-vd7qv
    @raheebraheeb-vd7qv 5 місяців тому

    Ssut ya babba wa taifa kabisa

  • @mwanyongamama4407
    @mwanyongamama4407 11 місяців тому

    Unatukumbusha mbali

  • @lululivingstone8298
    @lululivingstone8298 4 роки тому +1

    mtu wa watU

  • @lazarosule7761
    @lazarosule7761 2 роки тому

    Duu

  • @yeasrmsafi7152
    @yeasrmsafi7152 4 роки тому +2

    Huyo ndio anaitwa nani?

  • @januarimagobe59
    @januarimagobe59 4 роки тому

    O