MUUZA SAMAKI MWENYE DEGREE SASA ANA OFISI YA MILIONI 80

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • i

КОМЕНТАРІ • 93

  • @phiniasrobart8359
    @phiniasrobart8359 5 років тому +16

    BRO SAMAKI Asikwambie Mtu SAMAKI wana lipa sana ukifanya biashara ya SAMAKI lazima utatoka tu

  • @azizacleny8677
    @azizacleny8677 5 років тому +37

    kwa video kama hiz hutaon watu weng wakiview lakn weka ya umbea uone thank you millard

    • @badigrandson1728
      @badigrandson1728 5 років тому +1

      Very true my sis the world has changed something inspirational tunaona ni ujinga lkn sjui Amber lulu kafanya nny watu wote washangilia

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 5 років тому +1

      @@badigrandson1728 sjui tunaenda wap hii dunia napensa sana inspiration ili nijifunze zaid

    • @badigrandson1728
      @badigrandson1728 5 років тому +2

      @@azizacleny8677 uko sahihi mimi kimtazamo Wangu wengi tunaishi maisha ya u celebrity. Tunaona kuvaa na kuparty ndo life but mtu kama uyu akisema ametumia 80M kuunda hii saloon mjinga mmoja Mahali anapinga

    • @azizacleny8677
      @azizacleny8677 5 років тому +2

      @@badigrandson1728 tatizo la kutokujielew na watu huwa tunafat mkumbo na kujishusha kwan flan akiniona nafanya kitu atanionaje wkt ni kwafaida yako stupid fool tumelala kwenye mitandao wkt hii mitandao inatusaidia kujua kitu flan kinafanywa hiv watu hawatak na kuelew hamn nakerwa sana

    • @faaali244
      @faaali244 5 років тому +1

      Yani ni kweli wabongo umbea wanapenda sana tunakoelekea umasikini utaongezeka yani mtu anashindwa kufatilia vitu vya maana ambavo vitAmpa beneficial anafatilia ujinga

  • @marsgenesis7200
    @marsgenesis7200 5 років тому +3

    Pacha wa jonijoo,jamani muhojini na jonijoo wa time to shine the guy anajua biashara

  • @jaffaryhassany9832
    @jaffaryhassany9832 5 років тому +12

    Elim mbwembwe tu nimesoma ila elimu aikuwah kunisaidia kilicho nitoa ni MUNGU, juhud na kutokubal kukata tamaa basi elimu kama kachumbal tu uleta appetite 😀😀😀

  • @hassanaloobaidan25
    @hassanaloobaidan25 5 років тому +9

    Ila mwana unajiramba sanaaa

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 3 місяці тому

      Labda anashombo ya samaki

  • @iviejustified8109
    @iviejustified8109 5 років тому +6

    Hizo mambo za kwamba I am a graduate ndiyo inaumiza vijana wengi....
    Elimu ni sawa lakini kuna kitu kikubwa zaidi ... Taambua wewe ni nani tambua kiliyopo ndani yako...
    That's all folks..
    Well done Jombaaa

  • @mohamedalaraimi6813
    @mohamedalaraimi6813 5 років тому +6

    I say ayo sasa mntuletea mambo ya manufaa sana

  • @matingo-bk1248
    @matingo-bk1248 5 років тому +10

    Ayo tv siku hizi naona mumeelimika, munatafuta habari zenye manufaa kwenye jamii kama hizi. Sio kila siku wakaa uchi tu wanaojiita wasanii

  • @zawadimgonde7331
    @zawadimgonde7331 5 років тому +6

    Nc....kaka na mim ni mwalmu nimeamuaka kufungua kashule changu

  • @dicksonmajaliwa3296
    @dicksonmajaliwa3296 5 років тому +11

    Wape nguvu wasomi waliopoteza muda wa PhD bila ajira serikalin.ila weka wazi na madeni ulionayo

  • @shakurfaith
    @shakurfaith 5 років тому +16

    Mbona anajiramba sana! Au ndo utam wa hela?

    • @nachunachu7466
      @nachunachu7466 5 років тому

      Prince Shaks hela tamuuuu lazma uwe na pozz outomatic

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 5 років тому

      nachu nachu duh! Ila itakuwa kweli maana hata Bill Gates pia anafanya hivyo nadhani....

    • @shakurfaith
      @shakurfaith 5 років тому

      But yupo vizuri kwa alichofanya

    • @magejuliani5293
      @magejuliani5293 5 років тому +1

      Naona Ndivyo alivyo

    • @mwasitiramadhan5634
      @mwasitiramadhan5634 5 років тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @TheSalma1999
    @TheSalma1999 5 років тому +3

    Mzuri wow mash Allah smart hongera sana

    • @kamgomoli3650
      @kamgomoli3650 5 років тому +1

      salma luhombero. Wanawake akili yenu mnaijua wenyewe badala ya kujifunza alivyotoka ww unaaangalia uzuri??? Kweli TZ ya viwanda haitofikiwa

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 років тому +1

    Mashallah

  • @zakayojohn207
    @zakayojohn207 5 років тому +1

    Big up hom boy 🙌

  • @rebeccasawiga7641
    @rebeccasawiga7641 Рік тому

    Sijapenda anavyo kohoa kwenye mic

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 років тому

    Hongera sanaaaa Kaka.

  • @rukundoibrahim807
    @rukundoibrahim807 3 роки тому +1

    nishujaaa.

  • @johnsonfrodianus6237
    @johnsonfrodianus6237 5 років тому +1

    Safi sana

  • @hasanially9294
    @hasanially9294 5 років тому +10

    Maisha popote elimu ni kitu kingine na biashara haihitaji elimu
    Wasomi wengi wameajiliwa na wajinga

  • @bashiruhassani1017
    @bashiruhassani1017 Рік тому +1

    Anaongea amelizka kama vile amemalza maisha

  • @bensonkaile9606
    @bensonkaile9606 3 роки тому

    Aisee!

  • @bernardmanuva982
    @bernardmanuva982 5 років тому

    Vzry kijana

  • @ashazaharan1750
    @ashazaharan1750 5 років тому +1

    Nikweli kaka utajiri akilin kwako na mikono yako

  • @petromsigwa1380
    @petromsigwa1380 5 років тому +1

    Mbona wasio na elimu walopoka2! Labda hamjui lengo la Elimu. Lengo la Elimu ni kutoa gonjwa mojawapo UJINGA ila ukiwa na elimu kuna uwezekano wa kupata ajira.na umuhimu wa elimu sio kupata ajira tu! Elimu inakufungua na kukupa mianya ya kutazama fursa za kimafanikio

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 років тому +5

    Tusidanganyane utajiri unasiri kubwa iliofichwa yanayowekwa wazi ni vigisu tu

  • @barakamwalongo8551
    @barakamwalongo8551 5 років тому

    Ahsant millard..nmepata elimu ya kutosha...

  • @stellawatison6142
    @stellawatison6142 3 роки тому

    Vizuli sana

  • @mariamukajiru1898
    @mariamukajiru1898 5 років тому +1

    Hapo mbona sijakuelewa unasema umemaliza UDOM 2013 halafu inarudia kwa kusisitiza twenty sixteen na kulamba midomo kama umekula Azam Ukwaju.

  • @glorystevenmnken533
    @glorystevenmnken533 3 роки тому

    lips zina asali

  • @norman4332
    @norman4332 5 років тому +1

    💥💥💥 NJOO UONE JINSI NILIVYO UNGANISHA SURA YA ZARI NA TANASHA IKAWA SURA MOJA BONYEZA PROFILE PICHA YANGU HAPO KUSHOTO 👈

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 Рік тому

    🙏

  • @fathermore9772
    @fathermore9772 5 років тому +1

    weweeeh ...unajikosha tuu hapo wachaga wanga kama nini wengi tuu mjini hapa mnahela zakichawi chawi , usije ukawa kama yule mpiga debe aliekua anamiliki shule kule mbeya kumbe anatoa roho za watu

    • @fadhilinyengo7853
      @fadhilinyengo7853 5 років тому +2

      Akili mgando wewe waache wanaofikili kutumia ubongo wafanikiwe wewe endelea kufikiri kwa kutumia matako

    • @misschagga8042
      @misschagga8042 5 років тому +1

      Na wewe nenda katafute uchawi uone kama utatoka kama hao wachaga.niuongo hamna uchawi bidii tuu.mmezoea kumwita diamond freemason wakati ameanza kutafuta mkimuona kwa macho yenu na hela inaingia kwa macho yenu mnaona lakini bado mnamwita freemason.

  • @robertdaud9894
    @robertdaud9894 5 років тому +2

    Sema ukwel 80M cyo mchezo labda kuna nyuma ya pazia ulifanya

    • @allyderossi9742
      @allyderossi9742 5 років тому

      Robert Daud;hapo cjui wa2 kama hawajanywa ????!!!mm mwenyw nimechoka mtaji wa 100,000 na ushee kwa dunia ya sasa hata uwe professa wa uchumi.

    • @fadhilinyengo7853
      @fadhilinyengo7853 5 років тому

      Kwa level zako wewe cynical ndiyo unaona siyo mchecho lakini kwa wachakalikaji ni kawaida tu. Wake up and get life dude

    • @adammolla8380
      @adammolla8380 2 роки тому

      Kweli watu wavivu ukitajirika wanawaza ufreemason pambana wewe

    • @adammolla8380
      @adammolla8380 2 роки тому

      Kweli watu wavivu ukitajirika wanawaza ufreemason pambana wewe

  • @priscadaniel7
    @priscadaniel7 3 роки тому

    👍

  • @femmachroots2041
    @femmachroots2041 5 років тому

    Alawi umbwe product

  • @elisantenjau4352
    @elisantenjau4352 5 років тому

    Namimi nakuja kupambana mkuu umenipa siri ya mafanikio

  • @onaikim4191
    @onaikim4191 5 років тому

    Alawii

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Рік тому

    Elimu ni mhimu inakusaidia kufanya biashara yako. TUACHE USHAMBA WA KUSUBIRI KUAJILIWA BAADA YA KISOMO TUJIAJILI VINGINEVYO TUTAKUFA MASIKINI.KASUMBA YA WAKOLONI TUISAHAU

  • @wahidawahida6675
    @wahidawahida6675 5 років тому +3

    Huo mdomo ni pozi au??