ZACK BERRY NA ASIBE HAPPY

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 сер 2024
  • Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 14 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
    :Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
    Bongo Star Search
    Follow Our Pages
    Facebook: / bongostarsearch
    Twitter: / bongostarsearch
    Instagram: / bongostarsearch
    SnapChat: BongoStarSearch
    TikTok: bongostarsearch
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: / slidedigitaltz

КОМЕНТАРІ • 26

  • @neylumujr4876
    @neylumujr4876 7 місяців тому

    Huyu si kutoka zanzibar jmn

  • @godfreysimon-pr2rn
    @godfreysimon-pr2rn 7 місяців тому +2

    Jamani nimekua wa 1 nipeni like zang 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @kensonyjulius5691
    @kensonyjulius5691 7 місяців тому +1

    Ukweli ni kwamba kaimba vibaya
    Hakunaga nyimbo mbaya ila kunauimbaji mbaya
    Bro leo umeniangusha
    Namuunga mkono master j

  • @Paplick9
    @Paplick9 7 місяців тому

    All the best bro I see you talent from beginning 🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 7 місяців тому

    😂😂😂anasauti nzuri awe anachagua nyimbo nzuri

  • @samsonnishimwe8294
    @samsonnishimwe8294 7 місяців тому

    Burundian are happier for you. Kidumu ❤

  • @AnitherSalum-ly6fd
    @AnitherSalum-ly6fd 7 місяців тому +1

    Jamn mpost na wanaotoka tuwajue ety sijui kwann hampostig tukaju

  • @artisthusnatalal3099
    @artisthusnatalal3099 7 місяців тому +2

    *This guy's vocals are very pure! I will advice this guy not to come to BSS. You're wasting your time. Start performing on your own. Master J you seem to be jealous of this guy* 🤔🤨

  • @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc
    @NiyongabiremelchiorDesir-wi6kc 7 місяців тому

    Nakubali

  • @magreciousthomas3527
    @magreciousthomas3527 7 місяців тому

    😂😂😂watu wamekaa km hawaelew

  • @FUNNYVIDEOS-ek1cm
    @FUNNYVIDEOS-ek1cm 7 місяців тому

    Huyu jamaa anatakiwa aimbe nyimbo za..Bensoul kama alizoingia nazo Audition,Anajua mkali sema wanakuchukulia poa ila unajua sanaa..Hata kama hautashinda ila unajua Mkali sanaa

  • @simonjoe7314
    @simonjoe7314 7 місяців тому

    Jamaa wanamuonea sasa duh kila siku

  • @ddaddytz
    @ddaddytz 7 місяців тому +1

    Binafsi sijaelewa

  • @bushbabytz
    @bushbabytz 7 місяців тому +1

    KAHARIBU NYIMBO YA KIDUMU, HOVYOOOO ATOKE TU HATA SIJAMUELEWA

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 7 місяців тому

      😂ajatoka,lia sasa

    • @bushbabytz
      @bushbabytz 7 місяців тому

      @@nancyg8664 ni suala la muda tu usitukane mamba kabla hujavuka mto

    • @nancyg8664
      @nancyg8664 7 місяців тому

      @@bushbabytz hayo ni mashindano iwe isiwe lazima apatikane mshindi mmoja so ata kama akitoka ataendelea na kipaji chake tu.

  • @ellyitete938
    @ellyitete938 7 місяців тому

    L na R ajitahd kirekebisha

  • @poulmbogo1770
    @poulmbogo1770 7 місяців тому

    Mbona jamaaa fundi sem mnatak nyimbo za kucheza ila jamaa vocal yake ni talent sem master j hampend jamaa tu

  • @faithgideon7766
    @faithgideon7766 7 місяців тому

    Ana sauti ila nyimbo anazoimba izo... bado choices

  • @profit_wakitaa123
    @profit_wakitaa123 7 місяців тому

    Mbn kama nd mshindi huyu

  • @charlesmagoti2306
    @charlesmagoti2306 7 місяців тому

    Kuimba umeborongaaaa ila vocal broo imetulia.

  • @nyamaumekiller7761
    @nyamaumekiller7761 7 місяців тому

    😅😅😅😅 jamaa ana vocal kali sana ila master j kamkanyagia