TAZAMA MFANYAKAZI wa NDANI wa NANDY AKICHAPA KINGEREZA/ZUCHU APIGWA DONGO?

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 397

  • @eunicekahindi-by2zq
    @eunicekahindi-by2zq 2 місяці тому +8

    Ata hajui aseme nn 😢😢😢😢sijui kwann wafanyikazi tunadharaulika😢😢

  • @puritdana
    @puritdana 2 місяці тому +17

    Congrat nandy kudress ni yy angedress vizuri sio mdogo ..haswa angekua majuu angedress hvio imagine nakupendaaaa sanaaa much love from kenyaaa

    • @annndunda3953
      @annndunda3953 2 місяці тому

      Kulingana na vile anaongea she's not a good boss, ni wale WA kupimia MTU hewa

    • @puritdana
      @puritdana 2 місяці тому

      @@annndunda3953 labda dem mwenyewe ako sawa umesikia amesema boss wake Ni mzuri mama akikuja na huku saudia weeeuh wanachonyonga watu but ukipata boss anakupenda kula kitu iko nayo shukuru dressing ni ww mwenyewe

  • @ZubedaOmary-t2y
    @ZubedaOmary-t2y 2 місяці тому +17

    Mungu ampe zuchu maisha marefu maana yy ndo mwenye roho zuri

    • @FedhaNdungangowe
      @FedhaNdungangowe 2 місяці тому +2

      Ila kumkosesha raha kwenye Midian hawaachi zuchu ni mtu kabisaaa

    • @queenzuchuuu
      @queenzuchuuu 2 місяці тому +2

      ❤❤❤❤

    • @JoyceNdinda-l9i
      @JoyceNdinda-l9i 2 місяці тому +2

      ❤❤❤❤❤

    • @momryan
      @momryan 2 місяці тому

      As zuchu anakujaje hapooo jaman akin

    • @SalomeMalimi
      @SalomeMalimi Місяць тому +1

      Kweli zuu apewe maua yake

  • @Nyiransaba-d7j
    @Nyiransaba-d7j 2 місяці тому +8

    She can’t do it for her house keeper because house keeper she’s very beautiful than her ❤❤❤❤

  • @KashindiRamazani-b1h
    @KashindiRamazani-b1h 2 місяці тому +75

    Nandi umekosea sana dada wakazi kujuwa kingereza siyo tatizo ilitakiwa apendeze sana kuliko wewe siku ya happy birthday ya mwanao

    • @marymanoni5536
      @marymanoni5536 2 місяці тому +8

      Ss nyinyi mkoje mnataka apendeze kupitiliza apendezaje khaaa

    • @Alice-o5f
      @Alice-o5f 2 місяці тому +2

      Kabsa

    • @aboudijaaboudija
      @aboudijaaboudija 2 місяці тому +5

      wako anapendeza kuliko wew??

    • @magrethmbangama1199
      @magrethmbangama1199 2 місяці тому

      ​@@aboudijaaboudijahapo sasa vitu vingine vya kijinga kweli yaan,kila mtu anapendeza kwa viwango vyake jmn hebu tuweni wakweli looh

    • @sfiaalanazi5479
      @sfiaalanazi5479 2 місяці тому

      ​@@aboudijaaboudijahilo nalo neno tena hata aibu haoni

  • @Young.wise.2
    @Young.wise.2 2 місяці тому +17

    Nandy atausitetereke mwaya achana na hao watu wanao fatilia maisha ya watu yao yamewashinda

  • @Rehemamakuka
    @Rehemamakuka 2 місяці тому +35

    Kingereza ndo nn watu tupo na nywele acha roho mbaya kama huwezi jifunze kwa wenzako nywele kam mfanyakazi wa uarabuni🤣🤣🤣

    • @shakiraissa2517
      @shakiraissa2517 2 місяці тому +1

      😂😂😂😂😂😂watu tupo na nywele😅

    • @Zanha582
      @Zanha582 2 місяці тому +2

      Tumefanyaje wa uarabuni hapo jmn😂😂😂😂

    • @AidathRweyongeza
      @AidathRweyongeza 2 місяці тому +3

      ​@@Zanha582miaka miwili hujawai suka 😂😂😂 unacheza nipo Kama mwehu

    • @rehemaomary3493
      @rehemaomary3493 2 місяці тому +2

      Umejuaje kuwa wadada wa waarubuni hawasuki nywele 😅😅😅😅😅😅

    • @Rehemamakuka
      @Rehemamakuka 2 місяці тому

      @@rehemaomary3493 ananichosha 🤣🤣

  • @andrewelia6591
    @andrewelia6591 2 місяці тому +16

    Wasanii wetu na watu wa media kwenye kingereza bado sanaa jmn heee😂😂😂😂😂😂😂

  • @Ajijji12
    @Ajijji12 2 місяці тому +15

    Kiufupi boss na mfanyakazi wake wote hamjui english 😢

    • @Maftaha-k8m
      @Maftaha-k8m 2 місяці тому

      Umeona😂😂😂😂 wanaongea kama watoto wa pipi one alafu anasema ajui kiswaili na English niyakuangaika😅😅😅

  • @queenmilan2024
    @queenmilan2024 2 місяці тому +9

    Nandy hajui kingereza😅😅😅😅😅😅😅 Ina roho mbaya

  • @AyshaSalumu
    @AyshaSalumu 2 місяці тому +5

    Nimeamini sisi watanzania ni wanafiki sana jmn kwanza amjui anaishi vp akuna ambae kashawai kwenda kwa nandy ebu tuache kushabikia mambo tusiyo yajua bhn jmn yan sisi wabongo ni sawa na bendela fata upepo ukivumia uku tupo ukirudi uku tupo ndo maana tunakufa masikini

    • @NurahMummy
      @NurahMummy 2 місяці тому +1

      Umeongea kama watu mia

  • @EnjoyReonald
    @EnjoyReonald 2 місяці тому +37

    Una robo mbaya Kama binamu yangu flani hivi

  • @annathomas-wy8yt
    @annathomas-wy8yt 2 місяці тому +13

    Yaani watanzania sisi tunahangaika sana na maisha ya watu,kwani mavazi ndio nini,watu tunaangalia maisha sio kuvaa.

  • @JolotaErastoJuma
    @JolotaErastoJuma 2 місяці тому +5

    Mbona kama alikuwa anateteleka 😂😂😂😂 IGENI KWA ZUCHU NENDA UKAMUULIZE ALICHO MFANYIA ANJERA, ZUCHU 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤

    • @sameraakhf5605
      @sameraakhf5605 2 місяці тому

      Zuchu ni mzanzibar yule wanzanzibar sio wa choyo wanaweza kutoa kitu cha thamani usifananishe na wabongo roho mbaya na choyo

    • @lovenessabel2218
      @lovenessabel2218 2 місяці тому

      ​@@sameraakhf5605😢😢😢

  • @NadyaSaid-qh9kv
    @NadyaSaid-qh9kv Місяць тому

    Kweli kabisaaaa mwaya

  • @zainabuali9915
    @zainabuali9915 2 місяці тому +24

    Ila kweli yule mtot alionekan ovyo😂😂😂😂

  • @LuluMalima-j1w
    @LuluMalima-j1w 2 місяці тому

    Nandy you are a beautiful soul, unaonekana una roho nzuri na ni mtu wa upendo full time. Peace girl

  • @JescaRubern-u9u
    @JescaRubern-u9u 2 місяці тому

    Hatari

  • @josephinejoachim5847
    @josephinejoachim5847 2 місяці тому +1

    Kunawatu wanaishi na wadada wa kazi ovyo mnooo, ni vile tu kwasababu si kioo cha jamii hebu acheni maisha ya wenzenu

  • @RahmaAlly91
    @RahmaAlly91 2 місяці тому +31

    Una maajabu unaroho mbaya😂😂😂 jmn

  • @PendoMoris-zo4nl
    @PendoMoris-zo4nl 2 місяці тому +25

    Nandy ni mpare na wapare ni Wachoyo Sana yan adi kula wanamaind yan

  • @Hawatito
    @Hawatito 2 місяці тому +17

    Yan kashikwa Na aibu mpak kuongea Nishida duuh🤣🤣

    • @PreciousWatson-kc2xs
      @PreciousWatson-kc2xs 2 місяці тому

      Kwel aibu san

    • @zeynabmohamedzeynab4753
      @zeynabmohamedzeynab4753 2 місяці тому

      Bora ww umeona hilo😂😂😂😂😂😂 yn hana chakusema

    • @Hawatito
      @Hawatito 2 місяці тому

      @@zeynabmohamedzeynab4753 Yan kabaki kusema Kwanza hajui Kiswahili 😂🤣

    • @Hawatito
      @Hawatito 2 місяці тому

      @@PreciousWatson-kc2xs Yan limemshuka juso hatar

  • @MishiJuma-js2tj
    @MishiJuma-js2tj 2 місяці тому +5

    😂😂Yani Nandi ,dada wa kazi na wanahabari nyote hamjui kiingeleza

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 2 місяці тому +2

      We nawe hata kuandika kiingereza huwezi unaita "kingeleza" tukueleweje?😢

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 місяці тому +3

    Kingereza chenyewe kama Cha yule bibi nakachanganyikiwa mjukuu wangu I'm oves

  • @ashuramhandoashuramhando6798
    @ashuramhandoashuramhando6798 2 місяці тому +4

    Hatukuelewi tatizo Muonekano wake Mavazi mpaka Nwele la3 hana Furaha kwisha tueleze kuhusu hayo tupo kwenye kikao kukujadili sijui unatuelewa!

  • @Shufaashabani-u6w
    @Shufaashabani-u6w 2 місяці тому +2

    Acha kujitetea roho mbayaaa😢😢😢

  • @jkuser7593
    @jkuser7593 Місяць тому

    Yesuuu hicho kiingereza mweee

  • @ellenkijja1486
    @ellenkijja1486 2 місяці тому

    Hajui hata asemeje ameaibika

  • @Miriamerasmas-rk7nz
    @Miriamerasmas-rk7nz 2 місяці тому +1

    Iv watu kwann mnapenda kufatilia maisha ya watu na wakat wewe unaesema nandy anaroho mbay je wewe unaroho ya aina gani kikubwa ni kuombeana tu hii dunia ya Sasa usimhukum mtu usije hukumiwa

  • @givenessdavid3743
    @givenessdavid3743 2 місяці тому +1

    Wafanya kazi wa ndani wa uhakika wengi kuwafanya wawe smart mtihani sana....... Leo unamgharamia kesho unatamani hata hela yako ungelia chips

  • @KelvinThomas-j9t
    @KelvinThomas-j9t 2 місяці тому

    dad nakubali

  • @lucyanita1337
    @lucyanita1337 2 місяці тому

    Yaani TZ msichana wa kazi kukijuwa kingereza jambo la kuingelewa kiasi hiki...ilihali huku kenya that is every requirement for any house help who has to deal with kids...😂❤

  • @AshaSendoki
    @AshaSendoki 2 місяці тому +1

    Mbona birthday girl mwenyewe hakusuka,acheni unaa bhana ,nandy pambana mdogo wangu

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 місяці тому +37

    Katika wasanii wote duniani mwenye roho nzuri na nitakae muombea cku zote afanikiwe ni zuchu tu

    • @Pili-n3l
      @Pili-n3l 2 місяці тому

      Ww ulishaskia wa zenji tuna roho mbaya

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 2 місяці тому +1

      Baaaaas umefunga mchezo

    • @aishaally9756
      @aishaally9756 2 місяці тому

      Mnazo ,,hampendani wenyew kwa wenyew,, roho mbaya kurogana ,,na ndiyo maaana hamuendelei mko hapo hapo ​@@Pili-n3l

    • @LisaDequte
      @LisaDequte 2 місяці тому +2

      ​@@Pili-n3lhapo ndo ulipo haribu kwann useme wa zenji huo ndo ubaguzi tunao usema mbona hata bara kuna watu wenye roho kama hiyo au kwa sababu zuchu katoa mbele ya public acheni ushamba, kutoa au roho nzur ni moyo wa mtu ila siyo utaifa au mkoa fulani ni moyo, hata mimi nimependa alicho fanya zuuu ila ungemkosoa nandy kivyake👌👌👌😏😏😏😏😏

    • @Pili-n3l
      @Pili-n3l 2 місяці тому

      @@LisaDequte wabara wa naongoza kwa roho chafu makatili sana

  • @Polyn.123
    @Polyn.123 2 місяці тому +28

    Ukweli unauma sn 😅😂wanazungumzia kuusu kufaa na nyele😅😂siyo kingerez hahaaaaa rohooo mbayaa aibu

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 місяці тому +2

      😅😅😅😅Yani kaona abu sana aisee

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 місяці тому +1

      Sory aibu hiyo 😅😅 anasema na macho anayatoa 😅😅😅 kwa jins alivyojisikia vibaya

    • @FaridaKaduguda
      @FaridaKaduguda 2 місяці тому

      Mdada sauti ya unyonge duuuh!! Umempanga toka hapa😅😅😅 na yeye maskin anaogopa kukosa ka rizq kake😅😅

    • @HappyFania-ry2ch
      @HappyFania-ry2ch 2 місяці тому +1

      Tena aibu kubwa yeye anavaa mawigi ya galama alafu anaemtunzia mtoto hampi hata ya kusuka

    • @HappyFania-ry2ch
      @HappyFania-ry2ch 2 місяці тому +1

      Hamna lolote mpe hela binti apendeze kama wewe 😂😂😂😂

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 2 місяці тому +23

    Hujaulizwa kujua kii ngereza umeulizwa kuwa hamumtunzi k wahiyo ni vitu viwili tofauti jibu swali kwanini hamumtun zi Dada wa kazi huja ulizwa kuwa anajua kiingereza au hajui jibu swali mbona ha mumtunzi bint wa kazi

    • @AvrealKisoma
      @AvrealKisoma 2 місяці тому +1

      Kwani si analipwa jamn 😢.mbona mnakuwa namakasiliko

    • @AnastaziaSebastian
      @AnastaziaSebastian 2 місяці тому +2

      Wadada wakazi nimeishi nao wengi lakini unakuta wazazi wanachukua mshahara wote ,na wengine wakisha pendeza wananiona kama bosi .bora apewe mshara wake tu basi nihatari

  • @pendomason8582
    @pendomason8582 2 місяці тому

    Kabisaaa

  • @momryan
    @momryan 2 місяці тому

    Maisha marefu kwako dada angu kipenzii❤

  • @uweraclarisse284
    @uweraclarisse284 Місяць тому

    Watu huvaa vile wanataka sio lazima kwambia vile atavaa nandy muwacane nayeye

  • @ShadrackAnalo
    @ShadrackAnalo 2 місяці тому

    Kwani. Tanzania issue ya kingereza ni kubwa Sana kwenu

  • @onesmotendega5304
    @onesmotendega5304 2 місяці тому

    Unaroho mbaya, cku ya birthday party ya mwanao ulipendeza sana ila dada wa watu ulimvalisha maronyaronya,na wakt kutwa nzima unazurura na yeye ndio anamzingatia mtt,so my dear tunakupenda sana ila acha ROHO MBAYA kwa herufi kubwa.

  • @Anamika-w1h
    @Anamika-w1h 2 місяці тому +1

    Nandi nae yuko na maringo sana

  • @rachaelmapenzi8747
    @rachaelmapenzi8747 2 місяці тому

    Ukweli usemwe alivaa kama kadama wa saudii😂😂😂 na nandy mwenyewe kavaa vizuri minywele kama chizi yeye haezi kukuongea vibaya juu wewe niboss wake so kunakitu anajaribu kukuheshimu😏

  • @stamillusatila9084
    @stamillusatila9084 2 місяці тому

    Issue iliyokuwa inajadiliwa sio kingereza ni muonekano wa mavazi mabaya aliyovaa kwenye party ule mtisheti mweusi wa Daaah hapana kwakweli. Sijapentraaa

  • @SakinaNgunga
    @SakinaNgunga 2 місяці тому

    Nandi mwenyewe hajui kingereza

  • @BarnabasMajengo-f6h
    @BarnabasMajengo-f6h 2 місяці тому

    Umekuma bna ndoo mana amekuma ukweli

  • @happybakari643
    @happybakari643 2 місяці тому

    Wambea washenzi hao ndo wanasababisha wadada wetu wa kaz wawe wanakimbia kisa midomo ya majiran, umewajibu good sana

  • @NeemaJosephat-xy3kl
    @NeemaJosephat-xy3kl 2 місяці тому

    Kujua kingereza c tija bhana nandy hukufanya vyema kwa mfanyakazi wako ilibidi apendeze hata kidogo jaman

  • @OlivelyDavidy
    @OlivelyDavidy 2 місяці тому +2

    Una loho mbaya acha unafiki unalelewa Mtoto guo tuu umeshindwa kununulia achakuji safisha

  • @joycendanundanu9218
    @joycendanundanu9218 2 місяці тому +1

    Kubali2 kimekuramba ukweli mchungu ila kidonge chako ushapewa😂😂utameza, utatema, habari ndy hiyo na hope utajirekebisha alfu kuzumgumza kingoso sio jambo jimya kwanza kizungu chenyewe hakina royko,karafuu, iliki😂😂so acha kutusifia na kizungu chako mtunze dada wa kazi

  • @SumahyaNyuni-o2s
    @SumahyaNyuni-o2s 2 місяці тому +1

    Acha izo nandy inamaana unataka kutuambiwa kwamba English cous ndo imemfanya asahau kiwahili duuuh hahahahahh we. Dada usijitetee jamani

  • @officialminamollel2948
    @officialminamollel2948 2 місяці тому +1

    ivi mbona wewe unajua kingereza na ulikuwa uko vizuri nandy umekosea sana

  • @Daftar-nc1lh
    @Daftar-nc1lh 2 місяці тому

    Ukweli unauma k2 kidogo2,,kimekushusha hdh,,, dada wa kazi ilitakiwa apendeze kama naya tena ungewavisha sale🔥 ungeonekana wa maana lakini pia itakuwa fundisho na kwa wengine

  • @Akauntil
    @Akauntil 2 місяці тому

    😂😂😂😂 pole nandy tunaijua hyo

  • @bdvc7107
    @bdvc7107 2 місяці тому

    Kupendeza inatakiwa uwe tayali mwenyewe kaz anayo mshahara analipwa mzuri ajataka kusuka uyo sio kila kitu mpaka nandi uyo bint anamarengo na pesa zake ajiweki kimjin

  • @AbdallahMajiba
    @AbdallahMajiba 2 місяці тому

    Muwache roho mbaya maboss ww unajipenda Ila dada wakazi umemfanya kinyago ww umemsomesha ili aje kumsomesha mwanao akirudi shule mshenzi

  • @victorianjau8856
    @victorianjau8856 2 місяці тому +2

    Uyo dada Mozambiquekiani siyo mbongo wasidunganye

  • @Billiah
    @Billiah 2 місяці тому

    Kweli kaa na mtu ujue tabia yake kwani alikosa kumurembesha mufanyi kazi wake roho mbaya sana

  • @HawaAbdallah-jb8ls
    @HawaAbdallah-jb8ls 2 місяці тому

    Kumbe Nandy mshamba etii English ndio unajaribu kuonyesha Nini lugha ndio inalea mpuuzi Sana

  • @saadabakar7750
    @saadabakar7750 2 місяці тому

    Hivi kwani Zuchu ndio aliemsema huyo dada hata ampige dongo au Zuchu ana mfanyakazi wa kumlelea sijafahamu hapa kichwa cha habari ukaandika hivyo.

  • @umfarooqjumbe1702
    @umfarooqjumbe1702 2 місяці тому

    Sio kweli usemwe ili iwe nn roho mbaya haijifichi

  • @sharifaelinest
    @sharifaelinest 2 місяці тому

    sasa unakuta Mt anasemwa mfanyakadhi akupendeza sasa kama mnauluma singeombanamba zake ilimumtumie ela iliapendeze kama mnaona anakosewa jaman embu muache makasiliko jaman sio pw

  • @ReginaJumanne
    @ReginaJumanne 2 місяці тому

    Jamn me sion kama ni ajabu hat hivy anafundishwa maisha kukaa na watu tofauti tofauti ni kujifunza walimwengu walivy ili ajue jinsi ya kuishi nao

  • @shakiraissa2517
    @shakiraissa2517 2 місяці тому +1

    Nampenda zuchu ana roho nzuri, huyo house girl angekua wa zuchu angemnunulia hadi gari

  • @wilbrodarapando1875
    @wilbrodarapando1875 2 місяці тому

    You will explain until you get tired. Your nanny was shaggy in your event period

  • @mariamjohn7444
    @mariamjohn7444 Місяць тому

    Muxenge tu mekapu ushukulu inakuxaidia huna sura shingo Nene Kama dume roho yako mbaya Kama ulivyo ww pumbafu muache zuchu wetu ndo maana umezaa mtoto mwenye komwe

  • @ALCADOJAMES
    @ALCADOJAMES 2 місяці тому +4

    Kingereza ata vijijini watu wanaongea kingereza hakimusaidii chochote tunaitaji vitu vya kumsaidia kwenye maisha yake pumbavu kabisa

  • @TinahMwaluko-m8m
    @TinahMwaluko-m8m 2 місяці тому

    Mimi nimesoma mwisho f4 ila mzungu akiongea sielewi labda aandike nisome😢 leo nandy kaongea nimemwelewa vizuriii sijui nini hii😅

  • @ednahmtawali8061
    @ednahmtawali8061 2 місяці тому

    Ssa jamani kigareza nikitu cha muim kweli adi unasema nilimpeleka sijuwi wapi yuwa jua kigereza ssi uku kwetu icho kigereza tunakikunywa na Chai usubui mamaa Nandi wwe ukiwa na mfanya kazi majukum ya mfanaya kazi ni yako kumbe masikini akipata matako ulia ngwata kumbe Nandi umekua kama warabu iiiih

  • @Kefridadaniel
    @Kefridadaniel 2 місяці тому +9

    Na t-shirt yake ya Daah ya mwez wa nne huko😢

    • @zulaika-mu8pc
      @zulaika-mu8pc 2 місяці тому

      😂😂😂

    • @Shakira-Nb
      @Shakira-Nb 2 місяці тому +2

      Et ya daah 😂😂itakua wanalipiza ile iphone alipewaga n billnass😂😂

  • @wilfredelimeleki4543
    @wilfredelimeleki4543 2 місяці тому

    unaulizwa kuhusu mavazi,unajibu anajua kingereza.Hujajibu swali

  • @KhadijaMasoud-m6u
    @KhadijaMasoud-m6u 2 місяці тому

    Kujua kiengereza angevaa vizuri pia sio kujua lugha tu ww ni Star lazima na yy angependeza

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 місяці тому

    Nandy achana na hao Wambea, Kama dada Yuko sawa na Wewe, na anampenda mtoto, hakuna haja ya Mambo mengi. TZ wambea sn.

  • @Amina124-gm9nx
    @Amina124-gm9nx 2 місяці тому

    Roho mbaya iyo acha

  • @AbdallahmallikMallik
    @AbdallahmallikMallik 2 місяці тому

    Watu katika maoni haya hawajui chochote kingine cha kusema au nini roho mbaya roho mbaya roho mbaya Nyie hata mioyo yenu ikoje 🙄

  • @AmaniManase-x1i
    @AmaniManase-x1i 2 місяці тому +33

    Nandi si mpare huyo ivi hamuwajui wapare ee niwa binafsi balaa

  • @joycegeofrey
    @joycegeofrey 2 місяці тому

    ❤❤❤❤

  • @meryorotha671
    @meryorotha671 2 місяці тому

    Kujua kingereza sio ishu ishu nikwamba kwanin wewe na mwanao mpendeze alf yeye mchafu vile umeshindwa ata kumnunulia gauni yaelf 20 tu na nywele yaelf kumi tu unatia aibu mpare wew hata kama unamlipa ungemuelekeza avae vizur ata unfemsimamia

  • @KijigoKalibuhave
    @KijigoKalibuhave 2 місяці тому

    Zuchu anaroho nzuri sana nawashangaa wabongo wanakusifia et nandy mzuri me sijaona uzuri wa nandy jaman kitu zuchu ndo namuelewa mno sio nandy

  • @RegKibria
    @RegKibria 2 місяці тому +3

    Naya his olead sleeping 😂😂😂😂😂 au mim nme skia vibaya 😅

    • @Qayler232
      @Qayler232 2 місяці тому

      ⁿᵃʸᵃ ⁱˢ ᵒˡᵉⁱᵈ ˢˡᵉᵖᵘᵘ😂😂😂

    • @florentinamuwaya2937
      @florentinamuwaya2937 2 місяці тому

      Ako najinsia mbili labda that's why she could he

  • @RukiaHussein-bi8ov
    @RukiaHussein-bi8ov 2 місяці тому +1

    Kujua kingereza sio ishu sisi tuko huku dubei tunalipwa milion tuna
    Vaa vizuri

  • @MalijitiMjami
    @MalijitiMjami 26 днів тому

    Mmmmhh ila bandit hiyo loo mbayA a ha mvishe huyo binti kingelezasio shidaaaaaa mmmhh wapale awapo hivyooo😜😜😜😜😜😜

  • @REHEMASAMI
    @REHEMASAMI 2 місяці тому +1

    Mnasikia mwaktalema lakn😂❤

  • @muzafarsharif9465
    @muzafarsharif9465 2 місяці тому

    kiengereza wakenya wanaongea hata waokota makopo sio issue kubwa kuongea kiengereza😂😂😂

  • @MwanamisiJuma-r3u
    @MwanamisiJuma-r3u 2 місяці тому

    Asaili mia 70%ya mabosi hapendi mfanya kazi apendeze anahisi atamzidi uzuri😢😢

  • @fatmaalnabhani3609
    @fatmaalnabhani3609 2 місяці тому +3

    Nandy English eeeemmhhh 😂😂

  • @MadinaAhmed-u9z
    @MadinaAhmed-u9z 2 місяці тому

    Jaman madasio kingereza mada ninywere nauvaaji hunarorote unaona haibu rohombaya mim naona hatachakura anapimiwa

  • @MichaelHakme
    @MichaelHakme 2 місяці тому

    Ukonaroho mbaya tena umeambilika kwani kiengereza ulimfunza wew

  • @sameraakhf5605
    @sameraakhf5605 2 місяці тому

    Nand kiufupi humtunz mfanyakazi wako tena usisahau ni mlezi wa mtoto wako una haki hata umjee nyumba ila si kwa choyo icho

  • @AnjelaJoseph-k3d
    @AnjelaJoseph-k3d Місяць тому

    Anashindwa hata kujieleza

  • @ZuhuraMasud-u2w
    @ZuhuraMasud-u2w 2 місяці тому

    Luhga imetokea wapi tena watu wanataka kujua mbona hajamvalisha vizuri maneno mengi 😅😅😅

  • @Thebossmama254
    @Thebossmama254 2 місяці тому

    Jemen hivi huwezi kumtengenezea nywele yan anakaa kama mfanya kazi wa gulf jemen

  • @lucyalto7320
    @lucyalto7320 2 місяці тому

    Hasa kumsomesha hiyo English course na kuwa na mwonekano mzuri vinahusianaje siku ile ya shughuri ya mwanao na yeye ndo anakuwa naye muda wote ilifaa apendeze hata ungempa ka laki tu ajifa yie maandalizi ya kigauni hata cha 25, vinywele vya 30 ilimradi avutie bado tu hukumjali course ni dada

  • @dorcasshadrack7757
    @dorcasshadrack7757 2 місяці тому

    Acha hzo mnunulie dada nguo apendeze kinge is not an issues

  • @WINFRIDARINGO
    @WINFRIDARINGO 2 місяці тому +1

    Nandi sio wa kulaumiwa jamani kuna baadhi ya wadada wa kazi hata awe na nguo nzuri kias gani kuvaa vibaya ni alivyozoea so huenda dada wa nandi kazoea kuvaa vile

    • @givenessdavid3743
      @givenessdavid3743 2 місяці тому

      Kama Mimi wa kwangu imefika hatua namuangalia kama alivyo.....hata umnunulie Nguo ya gharama vipi Hawezi tunza......umsuke msuko wa gharama kiasi gani siku mbili ahafumua kasuka mabutu mpaka nmemkatia tamaa

  • @OlivelyDavidy
    @OlivelyDavidy 2 місяці тому

    Hatuna hakika kama ume msomesha wew huenda ana fanya kazi anatafuta ada ajiendelezee kigeleza nini geli kila mtu ana ogea

  • @InzieuSany
    @InzieuSany 2 місяці тому

    So is that English nandy is bragging??. In kenya even our grandmothers , mama mboga , boda boda etc everyone can speak English. Ofcoz shes not stupid to admit tht her boss undermines her

  • @HajraRamadhan-x5f
    @HajraRamadhan-x5f 2 місяці тому

    Hajajibu swali bhanaa

  • @Bentiva
    @Bentiva 2 місяці тому

    Waty wambea Sana nandy fanya yako nkupnda Sana awooo waty waache waongeee

  • @Mammy-eq7ef
    @Mammy-eq7ef 2 місяці тому +6

    😂😂😂😂😂😂😂😂 sijaelewa hii kizungu ya nandy kabisa yan..??