Are you being serious. This time last year the final was already up on UA-cam. Now we are still watching things we have seen in 2020. Think about us abroad
Eleweni kwa hii show inafuatiliwa na watu kutoka nchi tofauti. hatuna uwezo wa kutizama kila jumapili kwa runinga hivyo ni bora kama mngezingatia: mpangilio wa episodes updates kwa wakati
@@beautyibrahim8428 we na we kuwa muanzilishi wa shindano sio lazima uwe chief judge, hili shindano linahitaji watu wanaojua mziki vizuri sana, Sasa madam Rita bado haujui mziki
Maoni yangu tuy me naona yule dogo Abdul na shedrack ndo walitakiwa wabaki yan huyo brow anaeimba gospel cjui ndo enock hata cmwelewi nahis awaachie hao wa secular tuy 🏃🏃🏃🏃🏃
ua-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/v-deo.html 👆👆👆👆👆👆 Kama ni muoga 😨 usifungue hii video 😭 tazama kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera inatisha😨😭 nimekuwekea video
Hiyo tm ya mwisho siyo kuwa hamja zoeyana ni kwamba hamja changamka tuu, alfu wimbo umlio changua ulikuwa ume poa kama nyie mlivyo, kuzoena nini wakati mpo kambi moja
Sema wamemtoa mcongo nimesikia vibaya.. Kama ulimkubali yule dogo mcongo gonga like. Rep 🇰🇪
Salama....Hawa jamaa!!! Hatari Sana...Those are International Gospel Songs.
Petro’s voice is out of this world. His voice is deep and so so beautiful ❤️
Mnatuchoshaaa. Mnapost bila mpangilio. Everything else is on point, Lkn tunahitaji mpangilio maalumu wa hizi video.
dah ase kweli wanachosha mm nilikuwa naitaji ya 6 wameweka 7
Kabsaa mpak kuangalia haihamasishi
Washamba xana hawana lolote paka weusi hawa
ukweli dadangu
Wamekuskia wakaeka na episode 6
Huyo duet ya kwanza Safi 😍 huyo mdada ana vibe la Vanessa mdee I like her ❤️❤️❤️
Wapi Episode 6 you should understand that we are watching this From Diffrent country soo How can you miss one Episode...?????????
Waxhamba xana hao hawa maana kbx paka weusi hawa
@@elickmaendeleo1141 I Dont Know what system are they using, to air there episode but wako na utoto mingi
Daah yule jamaa wa njano kaniuma sana aiseeh, kama na wewe umeumia kama mim toa like yako tujuane.
Maskin Bella wangu,pole Kakaangu kutoa maamuzi ni ngum sana kwa kweli 🤔🤔🤔I love you Bella🥰🥰🥰
Waaauuuu I solute u guys the voice was so cute....I mean the collabo one
We r the children 🎼🎼🎼🎼
nimekubari sana
Watanzania tupo juu daima
wanjelya ur good bect since schools😘😘😘
Just love this team so much
#We are the world
is the best song forever
Ommy Dimpoz hiyo miguno yako nisamee 🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
TEAM CHRISTIAN BELLA NI KIBOKOOOOOOOOO🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Hatari motoooooo
Nice song in form of band whoooooh that's amazing
It's just a joy watching them sing 🥰
Are you being serious. This time last year the final was already up on UA-cam. Now we are still watching things we have seen in 2020. Think about us abroad
Eleweni kwa hii show inafuatiliwa na watu kutoka nchi tofauti. hatuna uwezo wa kutizama kila jumapili kwa runinga hivyo ni bora kama mngezingatia: mpangilio wa episodes
updates kwa wakati
Wanaosubiri team ya Master J tuko wangapi
Khaaa duet ya 3 nomaa😍😍😍😍❤️❤️❤️❤️
Neema Swai.....Abdul Issa....keep going💪
😢Abubakar unanimaliza c sauti c kuwa cute😍umebarikiwa na kila kitu yaani 😋
Ni wa31 mhhhh I can't wait to see finally ooooh my goshhhhh
Me commenting in 2023 IDRIS weeeeeeeeeeeeh
Lingala lingala for me🥰🥰
Kundi likikua gum sana sana yaan hapo kilicho angaliwa ni kakosa kadogo ili upungua
Kila siku unabadilisha heading kivingine lakini video Ni Ile Ile siuseme tuko toleo la ngapi Kwa marudio
Duet ya mwisho wimbo mzuri 😍😍😍
Yani ukiwa team bella usirogwe ukaimba nyimbo ya kikongo ana kukata ..... Huyo mwenye sweta la njano ni mkali sana nimeumia jamani
Christian Bella ni Mkali haki ya Mungu. Alafu huyo jamaa ameimba associe ni mkali kweli kweli
Nice
Ila team Bella Moto Sana Sana yaani
Episode 6 please👐👐👐👐 its missing
Shedrack ni hatar sana 💥
Best of Pangamelody 🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂
Ila Idris wew sio mtu mzuri🤣🤣🤣🤣
Sikuhizi munazingua munatuekea za zamani wasenge nyie
Finally tareh nne au siiiio
Mimi ninachojua ni hiki, Petro Jairos was told to back stage so that Christian Bella and audience can enjoy lakini alikuwa ameshapita kitambo.
Kweli team mavocals daah
Hatar
hua mnapost kama mumelewa ama vip
Jamani uyo Kaka aliyeimba bolingo ameua....kafanya adi nitafute wimbo..
Huo wimbo unaitwaje jmn
Fally ipupa-associe
Wow this team is very powerful
Vp
Wenzelya🎶🎶
Hii team ni⚡️⚡️🙌
Kubwa na nusu 🤩💥
#randykinamber
huyo kaka wa lingala wamemtoa bure anajua bana. mi ni big fan wake fro Kenya.
Habari,Mimi nashauri vipindi virushwe Mara mbili kwa wiki
show firee sanaa
Ila kaongea vizr jaji wao
Team Bella nawakubal sana kwa kwel...
Hii team naikubaliii
Baba umejuakunifurasha
Basi ikifika asubuhi mtaidelete hii episode yen hamkawiii kabisa
Game Moto 👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🔥
Petro jailoc matonya ndio mshindi wa msimu huu
Mbona inakata sauti
Hatariii
Mm nasubili kumuona yuzoo mwambaaaaa
ASANTENI TUPENI MWENDELEZO From OmAN
Episode ya sita iko wapi mbona haieliweki
Drop your likes here
ua-cam.com/video/hm8zssDlJ_w/v-deo.html
Siangmtoa uyo mdada kuliko huyo mkongo ata kma watu awaelewii
sema wameniuma kumtoa mcongo. huyo kaka anaweza saana kuimba
Idriss wew🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Madam ritha aachie ngazi, msimu ujao tunataka new chief judge
Amuachie nan na yeye ndio mwenye anaanzisha shindano ni sawa na kusema diamond aache wcb wakat ni lebo yake
@@beautyibrahim8428 Kuna watu hawaonagi mbele bora umemweleza huo ndo uungwana
@@beautyibrahim8428 we na we kuwa muanzilishi wa shindano sio lazima uwe chief judge, hili shindano linahitaji watu wanaojua mziki vizuri sana, Sasa madam Rita bado haujui mziki
@@cheiknamouna2058 🙏🙏🙏🙏😘😘😘
@@uncleelly4543 basi ndo ivo hayo ni mawazo yako atakuwa jaji mpaka atakapoacha kuandaa shindano
Maoni yangu tuy me naona yule dogo Abdul na shedrack ndo walitakiwa wabaki yan huyo brow anaeimba gospel cjui ndo enock hata cmwelewi nahis awaachie hao wa secular tuy 🏃🏃🏃🏃🏃
Yule mwenye sweta la njano jamani alitakiwa kubaki wakamtoa huyo wa gospel
@@lilianlenard4756 umeonae yan cmwelew hata kidogo coz hata hiyo saut yake n ya kuyuka kanisani huko hata mwonekano wake c wa huku ,🤣🤣🤣
Peter
Pia sina was wasi na bonge nazan ndio mshindi.
kuweni na mpangilio wa kutuma vipindi vyenu, mnatuma EPISODE YA 7 wakati ya 6 hakuna
Ya 6 walipost Wakafuta Niliangalia nusu baadae narudi haipo
Mim nimeangalia yote
Mnachelewa ku weka
TUNASUBIRI
Christian Bella nawe unaongea humalizi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ua-cam.com/video/X7ONvSSKZLs/v-deo.html
👆👆👆👆👆👆
Kama ni muoga 😨 usifungue hii video 😭 tazama kafara inavyotolewa hadharani watu wanachinjwa mbele ya camera inatisha😨😭 nimekuwekea video
Petro
Mbona marudioo jmni
Tunasubiria episode 6
Exactly
Yaan waliitoa kabla sijamaliza iangalia
@@bellabakera wanatuboa
🔥🔥🔥
Bongo star search mulicho kifanya si sawa kwanini mume delete ep 6 Alafu muna post ep 7 Uwo si uchamba kwanini amu vifatanishi ivyo vivideo vyenu 😏😏😏😏
Mbon ipo
😂😂 yani idrisa akili yke
Jamn nikumbushen jamaa wa jeneza yuko kundi la nan vile?
La ommy
Kilichoniuma kumtoa bruce
ua-cam.com/video/hm8zssDlJ_w/v-deo.html
Kwani bruce alitoka?
@@fenrearubeiy4170 katoka leo amerudi nyumbani
Duhhh! jmn nlikuwa namkubali saana, trillion kabaki?
Me sijaangalia
daaah! Jamaa mwny bleach katoka 🤯😏
Ajamfanyia poa
DAh bela kumtoa huyo wa sweta la njano hujafanya haki bella unakunja sanaa
Mbn amefanya pe
Hiyo tm ya mwisho siyo kuwa hamja zoeyana ni kwamba hamja changamka tuu, alfu wimbo umlio changua ulikuwa ume poa kama nyie mlivyo, kuzoena nini wakati mpo kambi moja
👏👏👏🥰🥰🥰But where is my Bruce😭
Bruce ni team Ommy
@@fenrearubeiy4170 Okay,asante kwa kunikumbusha mpndwa 🙏🙏🙏
Leo katolewa kabisa amerudi nyumbani
@@rtlusungu Realy?😳😳😳
Hivi hizo deslike hapo n za nn tena 🏃🏃🏃😂🤣 🤣