HATIMAYE AFANDE ALIYETUMA BINT KUFANYIWA UKATILI APATIKANA MUDAHUU, WANASHERIA WA APA KUFA NAE!.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 11 вер 2024
  • HATIMAYE AFANDE ALIYETUMA BINT KUFANYIWA UKATILI APATIKANA MUDAHUU, WANASHERIA WA APA KUFA NAE!.

КОМЕНТАРІ • 150

  • @user-iu4du7ws6s
    @user-iu4du7ws6s 21 день тому +14

    Alotowa amri na alotekeleza amri ya afande wake wako hatiani asilimia 100

  • @dhahabukalama2635
    @dhahabukalama2635 21 день тому +2

    Haipenda sana inchi yangu kenya 🇰🇪. Hatufichi sura za majangili sisi. Angetolewa hadharani lakini nyinyi wenzetu sijui mukoje anyway kila inchi inasheria zake.

  • @user-pr5mz5cq9t
    @user-pr5mz5cq9t 21 день тому +15

    Na watoto wake watafanyiwa hivyo hivyo .malipo ni hapa duniani

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 18 днів тому +1

    Na kwanini afichwe uso kwa nini uharifu huo angefanya Raia msinge mficha uso tutaandamana

  • @SadaHasimu
    @SadaHasimu 19 днів тому +1

    Kwanza namuombea sana huyo Binti Hali yake irudi vzr iki atowe ushaidi wakutosha pili akamatwe uyo afande pili wakamatwe hao wabakaji kinachofuata nikufungwa wote kifungo cha maisha kama ushaidi wametowa wao wenyewe kwenye kujilekodi na kutuma vidio mitandaoni ushaidi WA Nini Tena wafungwe na wawahasi kuwatowa nguvu zao zakiume iwe kikomo na mwisho wao waubakaji uishiye apo inauma sana zaidi ya sana

  • @edsonnelson4464
    @edsonnelson4464 22 дні тому +6

    Kumbe nae ni askari ndiyo maana bosi wake alitaka kupotosha ili kusudi ionekane kesi haina mashiko, kwamba alikuwa anajiuza, halafu anaonekana ni mzito maaaana du,!!!!

  • @user-hw8bb9jo9j
    @user-hw8bb9jo9j 21 день тому +7

    Nae abakwe uyo mleten kwangu kwanz

  • @Sharifa-e7y
    @Sharifa-e7y 21 день тому +7

    No one above the law

  • @MomyMomt
    @MomyMomt 21 день тому +4

    Tunataka haki itendeke tunamtaka Afande

  • @nurumohammed1310
    @nurumohammed1310 18 днів тому +1

    Kwanini Afande asikamatwe au kwa kuwa yy askali jmn inchi hii kwahiyo Afande anaruhusiwa kufanya umfiya Afande akamatwe 😭😭😭

  • @teddymassawe3583
    @teddymassawe3583 21 день тому +2

    Afande gani huyo,akafie huko Magereza mjinga kabisa

  • @stellahwilfred5762
    @stellahwilfred5762 21 день тому +2

    Kelele zetu ziheshimiwe😢😢
    MUNGU Tuheshimishe

  • @AnitaKway
    @AnitaKway 8 днів тому

    Hii kesi kwa kweli askari wanalindana na sioni kama haki itapatikana.

  • @mayaalrawahy5470
    @mayaalrawahy5470 21 день тому +1

    Swadacta wewe kama mumeo hajatulia pambana nae yeye sio mabint wawatu nawe ni mzazi je huyu umemfanyia haya mwengine siutauwa

  • @CikeTanzania
    @CikeTanzania 21 день тому +3

    Alhamdulillah haki kwa kila mmoja.

  • @dennishyera5448
    @dennishyera5448 21 день тому +1

    Aibu ofisa mzima, unamfanyia binti mdogo ukatili kama huu. Kweli uzuri wa mwanamke sio urembo. Haki itendeke.

  • @JehnMganga-p6d
    @JehnMganga-p6d 22 дні тому +10

    Kwani yeye hajawahi kutembea na wanaume za watu! Au analingia vazi lake?

    • @JuliethNgowi-n8f
      @JuliethNgowi-n8f 21 день тому

      Tena utakuta linetembea nawana ume za watu sana mpka likachoka mshenzi sana huyo mama

    • @Jumukibaya-np2qh
      @Jumukibaya-np2qh 21 день тому

      Msenge sana huyu

    • @lydiadaudi4076
      @lydiadaudi4076 21 день тому +1

      Na utakuta hata huyo mume alimwibia mwanamke mwingine

    • @user-re4ve4nf3p
      @user-re4ve4nf3p 21 день тому

      ​@@lydiadaudi4076yule mwanamke n mpumbavu sana

    • @juliuswantere6864
      @juliuswantere6864 20 днів тому

      Akumbuke kuwa hilo vazi alilovaa siyo lake ni vazi la wananchi;wamelinunua na kumvalisha kwa kulipa kodi zao

  • @SmilingCityMap-xb9md
    @SmilingCityMap-xb9md 19 днів тому +1

    Hivi binti angeenda mwenyewe kulipoti police kubakwa swali langu wangekamatwa au ingekuwaje

  • @hajrabokoboko5166
    @hajrabokoboko5166 13 днів тому

    Safi sheria ifate mkondo wake hakika mfany vizuri ila tunatak kuona sura na tujue Jina lake mbona wabakaji wameoneshwa vip mtumaji sura imefichwa au kisa ana cheo 😮

  • @RamadhaniKitala-gx6wc
    @RamadhaniKitala-gx6wc 21 день тому +1

    Kwani huyo afande fatma ki..... ni nani hapa tz sii akamatwa liwe fundisho kwa wengine

  • @sebastianjacob8915
    @sebastianjacob8915 21 день тому +4

    Kwani mheshimiwa Rais mamaetu mpendwa Yuko wapi siatoe tamko tu huyo afande aje mahakamani kwanini anaogopeka hivyo hadi Rais kamkaria kimya shughurikieni mpaka la gekuru maana nalo imekua kimya hatujawahi hatakujua liliishia wapi au Sheria ipo kwa wasio nakitu.

  • @suddytele3692
    @suddytele3692 20 днів тому +1

    Mumewe alimkuta kigoli?

  • @FATUMAPASKAL
    @FATUMAPASKAL 20 днів тому +1

    Unatoa wapi ujasil wa kumfanyia bint wa watu hivyo.. Uyo. Mwanaume ulimzaaa ww.. Cha peke yako. Kabur. Na UNaonekana.kwa maamuz hayo mchafu ndo maana mumeo. Anachepuka. Maana hata ndani hutakua unatumia cheo chako

  • @HAROUNSADIK-b1g
    @HAROUNSADIK-b1g 16 днів тому

    Pia natamani tatizo la genge la wahalifu lililopo kigoma mjini lililovamia wananchi 39 nakuwahalibia makazi kubomoa nyumba zaidi ya 20 wakamatwe nao kwani uchunguzi umeonyesha wazi kua taasisi hiyo haipo ni hewa. Naitwa Haroun Sadick nipo Dodoma.

  • @ZawadiSaid-x6f
    @ZawadiSaid-x6f 20 днів тому +1

    Pia ushahidi upo mnawachelewesha nini kutoa hukumu?

  • @othmanMoroko-zh8ct
    @othmanMoroko-zh8ct 21 день тому +4

    Akamatwe na awekwe ndani

  • @AmosiThomasi-no5sd
    @AmosiThomasi-no5sd 18 днів тому +1

    Tuta liwa mb washamba sisi kwenye ili tukioooo

  • @AlfredMajura
    @AlfredMajura 22 дні тому +6

    Akamatwe uyo afande nayeye apalekwe mahakamani

    • @AlfredMajura
      @AlfredMajura 22 дні тому +1

      Na sizani kama uyo afande ni mzalendo

    • @AminaOmary-sm4wl
      @AminaOmary-sm4wl 22 дні тому +1

      Nanyongwe tu mwanamke gan anaroho kavu kiasi hicho kama hajazaa vile kwa mwanaume gan

  • @LidyaLukumay
    @LidyaLukumay 19 днів тому +1

    Uyo afande analinda raia wapi kama yy ndie anafanya maovu ata kazn asingetakiwa kuwepo anadhalilisha wanawake na jesh pia

  • @BiubwaNasoro
    @BiubwaNasoro 21 день тому +1

    Sheridan irate mkondo wake tumefurahi kupatikana kwa Afande huyo gaining mkuba mungu Amlaani kama ss wanawake na wazazi tunaumia mama samiya tunaoba haki intended ushahidi wa kwanza video huwo ndo ushahidi kamili tunaumiya vizazi

  • @dorothtobias8053
    @dorothtobias8053 21 день тому +1

    Mmmmm jamani. Hivi tunaelekea wapi

  • @DivaMsukuma
    @DivaMsukuma 18 днів тому +1

    Angejuwa asinge fanyAilotukio

  • @EdwardOkemba
    @EdwardOkemba 15 днів тому

    kwani.hawa wabakaji walimtaja.jina huyo afande wakati walimbaka huyo binti wa yombo dovya je? hawa maafande mbona wametoka vitengo tofauti na kitengo sp Fatumah?

  • @MwashumuNassoro
    @MwashumuNassoro 20 днів тому +1

    Kwa allah hili litalipwa juuu kwa kila ajae katika wanae na ukoo uzima na alaniwe kama alivyo laniwa watu wa luti akageuke jiwe huku generezani huyu afande ni mbaya sana mpaka nyumbani kwake umelaniwa leo nakesho akhera auto iyona pepo

  • @estermpare4078
    @estermpare4078 21 день тому +1

    Na wamuonesha sura yakee !! Adharanii mbna binti wakati analawitiwaa walimuonesha livee

  • @IndalesioHenery
    @IndalesioHenery 21 день тому +1

    Mbona yeye mnaficha sura afande

  • @user-cw2nf6cf1c
    @user-cw2nf6cf1c 9 днів тому

    Huyo afnde achukuliwe hatu Kali iwe fundisho kwaukatiliunaoendelea

  • @user-bq2ss7eg2v
    @user-bq2ss7eg2v 7 днів тому

    Hukumu ndio itadhihirisha janja janja kwa mabosibosi imeisha na cyo kumfikisha mahakamani kiini macho.

  • @AminaHamis-u4b
    @AminaHamis-u4b 8 днів тому

    Akamatwe tu afande kwani maelezo yanajitoshereza kwani na picha zimetungwa? Mnapoteza muda haki itendeke

  • @lukomanomaliki5442
    @lukomanomaliki5442 21 день тому +1

    Kama haki ya huyo, itashindwa kupatikana.Tuungane watanzania tunaopenda haki tukapitishe kisomo cha Albadil hao mbwa wote waliohusika kumfanyia unyama huyo binti wafe.

  • @abuuahmad524
    @abuuahmad524 3 дні тому

    Unyama huu haifai kufichwa Sura kwani yy ni.kama.nani ili aweze kufichwa jina wala Sura binti alie fanyiwa kaoneshwa

  • @user-vn5mv6gn2b
    @user-vn5mv6gn2b 14 днів тому

    Huyu bibi amemzalilisha Rais Samia na kila mwanamke Tanzania.. ni kitendo cha ukatili wa kinyama

  • @dorisjulius2630
    @dorisjulius2630 19 днів тому +1

    Wafungwe

  • @FatumaAli-xm8di
    @FatumaAli-xm8di 19 днів тому +1

    Kwani makonda yuko wapi

  • @Maryam-yt8lw
    @Maryam-yt8lw 6 днів тому

    Katakana.hamkumkamata.ila.na.yye.atafanyiwa.mwanawe.japo.sio.leo.na.kesho.kwa.Allah.atajibu.wote.mana.serikali.ina.mficha.wanamJuan.ila.anafichwa.tu

  • @user-qt5kd3xk5d
    @user-qt5kd3xk5d 19 днів тому +1

    Auwawe huyooo

  • @user-rc8tq9ip7i
    @user-rc8tq9ip7i 19 днів тому +1

    Yupo wapi tumuone

  • @abuuahmad524
    @abuuahmad524 3 дні тому

    Kwa nn haoneshwi Sura MTU yyte Aweza vishwq Tu gwanda Ikawa sio yy aonehswe watu wamuone ili iwe funzo kwake na wengine

  • @user-jh9ow3xz8d
    @user-jh9ow3xz8d 22 дні тому +7

    Huyo dada yeye ni mwanamke anawezaje kuamlisha uuaji akamtwe

  • @Ashora-m8w
    @Ashora-m8w 21 день тому

    Mungu akubariki mauridi kitege🎉🎉🎉

  • @user-gs2ir3bg4j
    @user-gs2ir3bg4j 20 днів тому +1

    Uyu nimualifu kama walifu wengine mbona munaficha sula yake

  • @HAROUNSADIK-b1g
    @HAROUNSADIK-b1g 16 днів тому

    Nasikitishwa na matumizi mabaya ya madaraka kwa baadhi ya viongozi wanaodhani kua wapo juu ya sheria watanzania tunatamani afande aliyeandaa shambulio la ubakaji afikishwe Mahakamani

  • @KevinDamasi
    @KevinDamasi 2 дні тому

    Wafungwe maisha nahuyo afande

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 21 день тому +1

    Yani huyu ndio mwenyekosa kubwa kushinda wote sasa mtu mzima hana hekima

  • @Rahabu-i1d
    @Rahabu-i1d 21 день тому

    Msitudanganye kama niyeye kwanin mmfiche sura yake yote kwayote kesho tunatarajia kumuona akiwa mbele ya msafara

  • @user-sp4jr4vw6t
    @user-sp4jr4vw6t 21 день тому +1

    Tunamtaka AKAMATWE MBONA WAO WALIANIKA UJINGA WAO WALIOUFANYA JE YEYE NI NANI C ALIJIAMINI KUFANYA HAYO KWA UJASIRI YA NN KUMFICHA AKAMATWE NA TUMUONE KILA JICHO LA MTANZANIA LIMUONE HUYO KAMANDA WETU LINDA AMANI YA WATANZANIA AKIVUNJA SHERIA ANAZOSIMAMIA(AKAMATWEEEEEE)

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 14 днів тому

    Kweli zuchu uko sawa

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 21 день тому

    Sisi Wana inchi hatuta elewa mpk afande na yy afungwe na pia afukuzwe kz NI Nini taaluma ya uaskari wake

  • @PeterMahona-zd3oz
    @PeterMahona-zd3oz 14 днів тому

    Selekali hayo ndiyo yakufanyia kazi ila mnabuza mnaifatilia chadema tu

  • @Aminmwansile-we8vn
    @Aminmwansile-we8vn 21 день тому

    Tanzania nchi ya vilaza mtu amefanya uhalifu. Alafu mnaficha sura mharifu mnaficha sura?

  • @EvaHassan-i9c
    @EvaHassan-i9c 15 днів тому

    Tunamtaka hyo afande aoneshwe hiyo sura yake na yey mna mwenzetu aliyefanyiwa hvyo aoneshwa sura mpk utupu yey hyo afande ni nani akamatwe na achukuliwe hatua

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 21 день тому

    Kwanza wanasheria wanawatetea wabakaji kweli Tanzania Amna aki

  • @KevinDamasi
    @KevinDamasi 2 дні тому

    Wafungwe maishaa

  • @AzizaMohhamed
    @AzizaMohhamed 21 день тому

    Sasa hivi wanakanaa,,hawajabaka,,pia ushaidi wa nini wakati wamejioneshaa wenyewee. Piaa na huyo binti kwanini wamemshikiriaa ?naa endi mahakamanii ?nini tena wanachotakaa kumfanyiaa?

  • @rithamkude1656
    @rithamkude1656 21 день тому +1

    safi sana nae akalawitiwe na aozee jela

  • @GraceNdambala
    @GraceNdambala 8 днів тому

    Tunaomba hakiifanyike selikali ikowap mbna hayamambo yamekua mengi sana tusaidieni watoto wakike

  • @sameerchudasama42
    @sameerchudasama42 21 день тому

    Bado mmefanya ukatili kwa nn mumzibe uso na wakati alofanyiwa ukatili mmemuweka wazi,bado hamjatenda haki

  • @phinerjonathan2341
    @phinerjonathan2341 20 днів тому +1

    KUMAMAKOWW

  • @janejoel2465
    @janejoel2465 21 день тому +1

    Na mwanaume ambae alikuwa anatembea na huyo binti jaman mbona mnamsahau

    • @wadantz123
      @wadantz123 21 день тому

      Nae afisa uhamiaji kes ya watu wazito iyo

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 21 день тому

    IGP,si umtaje huyo afande aliewatuma wabakaji?

  • @JuliethNgowi-n8f
    @JuliethNgowi-n8f 21 день тому

    Yaani hili liafande linakula kodi zetu halafu linatuletea upuuzi wake wamapenzi tena lishamba takataka halina hofu ya mungu muuwaji mkbwa nakuombea kwamungu kabla hujatoka hapa duniani kizazi chako kipitie haya uliyomfanyia huyu bint

  • @RebecaKayasama
    @RebecaKayasama 21 день тому

    Wanafichwa sura zao zanin mbona wao wameonakana mbaka yup zao

  • @mariamuharubu6577
    @mariamuharubu6577 21 день тому

    Afande na yeye afanyiwe kama alivyo mufanyia uyo binti na uyo Mmewe na yeye akamatwe amuowe Kwa lazima maana YY ndo sababu

  • @songeza
    @songeza 21 день тому

    Hilo tendo tuombe mungu tu la sivyo watafutwa wengi kwa mtindo huo ukweli huyo binti anayo yote eeh mungu simamia hayo.

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6k 21 день тому +1

    Ina maanisha huyo afande ni polisi,na siyo capten wa jeshi,ndiyo raha ya kesi kila kitu kitakuwa wazi.

  • @aaminaasljbgbvf745
    @aaminaasljbgbvf745 21 день тому

    Kafu wanamsemo haaakiiiiiiiii sawaaaaaaa kwanäni kwaeoteeeeee twataka haki itendeke eeeeeee😭😭tunataka. Haakiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  • @mansooralaisri5200
    @mansooralaisri5200 21 день тому

    Muuza karanga tunae mlima karanga Yuko wapi?

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 21 день тому

    Apafikana kwan alikuwa hayupo au ajukikani ss mnamziba nn

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 21 день тому

    jeshi la police mnazingua,huyo binti mpelekeni TLS atawaeleza huyo afande aliekuwa akitembea nae na mkewe atapatikana

  • @user-vz8ty1ed5e
    @user-vz8ty1ed5e 21 день тому

    ao wote afande na ao wote wauwawe akuna kusoma kesi apo uyo raisi Samia anasubiri kitugani

  • @user-rk8ei3gx9e
    @user-rk8ei3gx9e 10 днів тому

    Tendeni haki

  • @reginamathayo4956
    @reginamathayo4956 21 день тому

    Kichwa Cha habari na habari yenyewe ni vitu viliwi tofauti😢

  • @JoyceKabula-in1sh
    @JoyceKabula-in1sh 21 день тому

    Afande na me wake wote wakamatwe hatuwaelewi kabisa

  • @CosmasMdede
    @CosmasMdede 21 день тому

    Kwanza watuhumiwa wote wanatakiwa kuonyeshwa sura zao vzr zaid na tunavojua ubindishaji wa haki katka nchi yetu hao watakuja kuachiwa na kuungana nao tena mtaan asa kwa nn tusiwajuwe sura zao wakija kuendelea na matukio hayo tena itakua wepes wakuwa tambua

  • @EliasCosmas-qp6gn
    @EliasCosmas-qp6gn 21 день тому

    Akamatwe huyo afande mbona mnamficha😢

  • @faridisalehe4302
    @faridisalehe4302 21 день тому

    Kila aliehusika kwa namna ye yote ya kufanikisha ukatili ule na uuaji ule akamatwe na afikishwe mahakani. Tumeisha ngamua mbinu zenu zote za kutowajali wananchi wa Tz.

  • @AyshaSliman-cg8dr
    @AyshaSliman-cg8dr 21 день тому

    Mungu ni mwema

  • @FaustaP270
    @FaustaP270 21 день тому

    Sasa wanamfixha sula lanini aonekane tumuoneee

  • @rajabually8894
    @rajabually8894 21 день тому

    Hawa vijana waache ujinga wamtaje huyo afande alio watuma

  • @KabysaMrutu
    @KabysaMrutu 21 день тому +1

    Zote hizo ni propogand to ss tunataka haki ya bint ivi mbon mnatuyumbish wakat video zipo na wahalifu mnao mnawajua na kingine tunataka jina la huyo mhusika alie watum hao vijan pil bint kwann mmnamfich bint km si kupotez ushahid mama samia ww ni mwanamke unaafiki hil jamb ukiw ww nichomb cha kwanz chadol kutoa hitimish na bint kupat haki yake

  • @FredymaswiMwita-oj6gv
    @FredymaswiMwita-oj6gv 22 дні тому +2

    duh

  • @EstherGoodluck-ep4ot
    @EstherGoodluck-ep4ot 21 день тому

    Akamatwe na apewe adhabu sawa nakundilake

  • @AhmedMohamed-zj8hi
    @AhmedMohamed-zj8hi 21 день тому

    Kichwa cha habari kingine unaanza kutueleza mengine!

  • @zabibusaidi1404
    @zabibusaidi1404 21 день тому

    Ñatamani hata huyo mume wa afande apewe miezi mitatu jela maana kamrubuni bint

  • @user-pd7bw6bd7c
    @user-pd7bw6bd7c 21 день тому

    Natunataka tumuone kabisaaa amna kumficha

  • @festinamwakipale3919
    @festinamwakipale3919 21 день тому

    Harafu wivu wa mapenzi watanzania elewa waume.zenu.wanawachukuwa.nyota wasichana ukiona mumeo mhuni.jua.anatumia.uganga msipaniki.wana wake fuatilien mjue ukweli

  • @JustineMwarabu
    @JustineMwarabu 8 днів тому

    Alicho kifanya sio jambo zuli sema apate Oyo kali

  • @Globalpeace123
    @Globalpeace123 21 день тому

    Samia anakaa kimya wala hakemei maovu yote yanayoendelea nchini as if hasikii wala kuona ni nini maana yake ?
    Jiulizeni watanzania je ni rais wa namna gani ambaye hawezi kusema chochote kuhusu maovu yanayoendelea nchini mara watu wametekwa mara watu wameuawa na watu waiojulikana lakini yuko kimya
    Anaona hayamhusu watajijua wenyewe duuuuh huyu rais ni hatari sana tena mwanamke

  • @maisaalawy8549
    @maisaalawy8549 21 день тому

    30yrs inamuhusu huyo afande no job.

  • @user-br4hg9tb5c
    @user-br4hg9tb5c 21 день тому +1

    Afande akale maharage na yeye jela...... Mshenzi kahaba mbaya wa kwenye biblia na mharibu watoto wetu....😠😡😠😡