Madam yupo sahihi mnaangalia wimbo kujulikana ana vocal salam nakioenda master acha unawatu wako tunajua unaowapenda kam kuna dada flan naulemav kidog wa mguu mm ni shaki yake na ana sauti nzri ila hujawah kumkubali master una roho mbaya ckupend
Madam lita dont crash every time the orher judges opnion why????.... Because they are correct.una haribu, kila judge apo anatakiwa atoe maoni yake according to his or her education on music....and so on!!!!!!.
Amefanya poa ila unatakiwa kupiga ngoma za fally zinazojulikana zaidi, pita hata na mayday, service, maria na maeloko Oyo,,,,,! We mkali Xana ila audience hawajui hiyo uliyopiga.
Du n'importe quoi, comme vous ne comprenez pas le lingala ,cela veut dire qu'il n'a pas bien chanté ? Vous êtes très égo dans vos jugements , ou soit vous fêtes la promotion du swahili??? Mziki hauna luga , some times na ji ulizaka mulisha wayi ku imba kweli ! Shilole na mu juwa ni mu imbaji tena mchezaji muzuri, wengine hatujuwi!!! Hawa tafuti vi paji hivyo ,pengine munge mupa hongera ana Changa luga, lingala ,swahili na french . ila mumoja wenyu aki chukiya dahh nyinyi wote Muna fanya the same, nawa fata from Congo drc. Big up bro razaq una imba fally very well
Anaejuwa anajua t kaza Buti sikio weka pamba mungu yupo nawe aminaa
Huyu jamaa ameshatuonyesha anaweza kila Aina ya muziki, ni noma sana
Razaq nice Sana 🔥🔥🔥🔥sisi wa congomani tunaipenda Sana
Unakwenda kuwa mshinda baba👯👯
This should be the Winner 🏆 mwaka huu bila janja janja, He knows that he knows🔥🔥🔥
Usiwaskilize hao madogo,hawajui kitu kuhusu mzikii.,, umeuwa sana mdogo wangu🔥
❤❤❤ 💪 💯💯💯💯💕🔥🔥🔥oyooooooo
Niuna tishaaa mwananguuu❤❤.
Aaa asateeeee kijana anajua nawapenda from Congo 🇨🇩
Razaq CONGRATULATIONS MY BROTHER utafika mbali
Hiyo tuna kwenda kushoto tunarud kulia ni ya Tukuyu sound my Tukuyu band 🔥 😊
Watu watakao chuana na kuchukua kibunda cha Bss ni Razak na King David. Trust me.
Team Razak 👑
Umesikiliza comments walizopewa?
weh😂 kuna Allan yule kaka kil akitok apo anatok na pesa
@@artisthusnatalal3099 nimerudi Nani kachukua mkuu😂.. Nilicho tabili ndicho kilicho tokea.
@@magreciousthomas3527 utabiri wangu umesha timia 😂
@@oneclick2023 Hamna neno 🤷♀️
This guy he is blessed 🙌
This guy is a genius
Madame Rita ameongea ukweli sana
bhana unajua mnooo
Noma Sana mshindi ni Huyu
Tokea akiwa Arusha, nasema huyu jamaa ni mkali kuliko mkongoman yeyote hapa Tanzania.
Uyu ndo mshindi sas 🎉.........
Naam Mada uko Saw kweli km sis watu wa Burundi tunapenda Razake uko saw
Dada mwenye vest nyeupe ni ana vibe balaa
Huyu ndio Mshindi 2024
Anajua
NICE ANAJUA SANA ❤🎉
Worriers forever🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩
Fan of Razaq
Ila mimi siielewi BSS wanatafuta vipaji kwa mtu kuimba nyimbo za wasanii wengine au ni jinsi mtu anaimba (vocal yake mwenyewe).
Mi mwenyew sijaelewa comment ya salama mwoshoni.. ila Madam Ruta ameshaconclude ✌
Sa zingine comments zao hazina maana, vocal ni nzuri, kacheza vizuri. Sidhani kama lazima waijue nyimbo ndio wajudge.
😂😂😂 hawajitambui labda
Swali zuri
Wanazingua sana
Mshindi tunaye
huyu jamaaa anajua sanaa
Madam yupo sahihi mnaangalia wimbo kujulikana ana vocal salam nakioenda master acha unawatu wako tunajua unaowapenda kam kuna dada flan naulemav kidog wa mguu mm ni shaki yake na ana sauti nzri ila hujawah kumkubali master una roho mbaya ckupend
Winner season 14
Tumependa
Sisi tumependa kbs
Mm huu wimbo siujui but ameua na yy ndo leo ameperfome show kali na live band na yule Dynamic
🎉🎉🎉
Madam lita dont crash every time the orher judges opnion why????.... Because they are correct.una haribu, kila judge apo anatakiwa atoe maoni yake according to his or her education on music....and so on!!!!!!.
Salma ww unaingea ukweli siku zt. Mastaer Jay anatinga eti kisa 😂😂😂
Talented
Huyu jamaa asiposhinda uchawi upo 😂😂😂😂😂
Amefanya poa ila unatakiwa kupiga ngoma za fally zinazojulikana zaidi, pita hata na mayday, service, maria na maeloko Oyo,,,,,! We mkali Xana ila audience hawajui hiyo uliyopiga.
Baba unawezaa ila chagua nyimbo maaarufu watu wacheze
Razaq kafanana na shemela Rotimi 😂
Huyu mwamba ana kila sababu ya kushinda
Majaji mnaboo na mambo ya nyimbo kwani mnajaji vipaji ama nyimbo za wassnii mnaojuwa
MNACHOTAKIWA KUJAJI NI UIMBAJI BUT SIO AINA YA NYIMBO ALIO IMBA NA ASIPOSHINDA HUYU BSS MTAKUWA WAPUMBAVU SANA
Du n'importe quoi, comme vous ne comprenez pas le lingala ,cela veut dire qu'il n'a pas bien chanté ? Vous êtes très égo dans vos jugements , ou soit vous fêtes la promotion du swahili??? Mziki hauna luga , some times na ji ulizaka mulisha wayi ku imba kweli ! Shilole na mu juwa ni mu imbaji tena mchezaji muzuri, wengine hatujuwi!!! Hawa tafuti vi paji hivyo ,pengine munge mupa hongera ana Changa luga, lingala ,swahili na french . ila mumoja wenyu aki chukiya dahh nyinyi wote Muna fanya the same, nawa fata from Congo drc. Big up bro razaq una imba fally very well
Mmmmmmmh!!!
Jameni hawa majaji wanaangusha. Kwani lazima watu waujue wimbo ndio iwe mwimbaji ameimba vizuri? No
Anaweza maashallah
Madam rita anatakiwa asiwe anacrush majaji wenzie
Huyu hana wakufananishwa nae wanampotezea muda tuu hapa wampe hela yake aende
Tangu wanaanza mimi nilisemaga jama atafika mbari sana na ndio mshindi
Salama huna baya madam lita huna baya shishi huna baya laki ilo libaba na kofia yake linaroho mbaya lione
Anayejua huu wimbo wa nan naomba msaada
Fall ipupa
@@agnesjohn9382 jina la wimbo?
Unakwenda kuwa mshinda baba👯👯