Nyimbo ya Hamiss wa Bss na Harmonize kwa mara ya kwanza kwenye jukwaanu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 31 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 652

  • @halimafuketi8369
    @halimafuketi8369 5 років тому +36

    Kama kuna mtu amemuona madam white akilia gonga ka like apa chini

  • @mektridahango3963
    @mektridahango3963 3 роки тому +14

    Aise huuuu ndo mziki tunaoutaka very amazing.
    Touching.
    So sweet

  • @vickydotto9003
    @vickydotto9003 5 років тому +105

    Jaman huyo dogo namwombea sana najikuta namsikiliza yeye tu mpk MB zinaishia kwakwe jaman kama unampenda na wewe gonga like hap

  • @tameemothman8192
    @tameemothman8192 5 років тому +19

    Ww noma hata kama hawakutaki nimekusikiliza mpaka nikalia u sing on soul God be with u forever

  • @floshkitchen3061
    @floshkitchen3061 5 років тому +25

    Hamisi amenifanya nikaupenda huu wimbo mpk nimeu download,God bless you Hamisi ufike mbali

  • @twalibmakau8380
    @twalibmakau8380 5 років тому +10

    Wakimtoa tu dogo mimi na washkaji zangu hatuangalii tena bss na tuomba haki endeke.. We like the boy ✔️✔️✔️✔️ hongera bss kwa kukisaka na kukipata hiki kipaji

  • @ireneshayo413
    @ireneshayo413 5 років тому +25

    God bless you bro Hamiss, unajua sana. Na unakipaji kizuri sana Mungu akuongoze uendelee hivo hivo 🔥

  • @twahirumtunguja4136
    @twahirumtunguja4136 5 років тому +17

    Madam dogo kakuimbia wee apo mungu kakushusha kwaajili yake upate kumtoa na kipaji chake na rangi yako Kama unaoga mafuta nimemuelewa Sana Nani mwingine kamuelewa twende like

  • @mwitamarwa2277
    @mwitamarwa2277 3 роки тому +15

    The boy is humble, down to earth yet super talented!! Big up!! The future is bright and holds big. Press on Soldier Hamisi!!

  • @yusuphmgaya9879
    @yusuphmgaya9879 2 роки тому +9

    Kuna wakati njia yako ya maisha Mungu anakuandalia haijalishi utapitia magumu kiasi Gani never give up play for God

  • @joharjohari6705
    @joharjohari6705 5 років тому +106

    sichoki kumuangalia hamisi, bss mfanyie haki

  • @aminamakacha6258
    @aminamakacha6258 5 років тому +72

    Kuku penda. Sichok khamis wallah💕💕💕

  • @nurathhassan7323
    @nurathhassan7323 5 років тому +6

    Hamic yuko vizur....ila mmemfanyia vbaya kumtoa binafc imeniuma sana hamic.........nakupenda hamic nmelia sana kwa ajili yako mungu atakuongoza kwa kila ktyu uckate tamaa.....inshallah mungu yupo🙏🙏🙏🙏🙏

  • @jonnykish4868
    @jonnykish4868 5 років тому +14

    I'm from 🇰🇪 but I will support him 100% 👌👌

  • @aminashq1181
    @aminashq1181 5 років тому +23

    Anaweza hamisi🔥🔥🔥

  • @ridhiwanijuma1544
    @ridhiwanijuma1544 5 років тому +35

    hamis ningekua nauwezo flani ivi ungependa mwenyewe nkupenda sana hamisi unajuakuimba ila we imba kihisia tu ndugu yangu wala usiwe na haraka

  • @elishabukwimba3730
    @elishabukwimba3730 5 років тому +26

    Maumivu yamapenzi nayaogopa sana ata wivu sina roho ya chuma tunavyo ishi wanadhan tunadanganyana dondosha like kama umeelewa hii ngoma

  • @marthadaiman3316
    @marthadaiman3316 5 років тому +2

    Upo.. Vzr Hamiss Mungu akusaidie uweze shinda Bss unanifany niiitizame Bss kwa ajir yko upo vzr sana.... 👍

  • @salumkiya3925
    @salumkiya3925 5 років тому +36

    No more like Hamisi big Up

    • @raphaelezekiel4406
      @raphaelezekiel4406 5 років тому

      Very good huku ndiko nchi inako elekea watu sahihi kwenye sehem sahihi umeti shaaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @aishawangoni8911
    @aishawangoni8911 5 років тому +26

    Hadi raha yaani

  • @angeljohn6116
    @angeljohn6116 5 років тому +4

    Hamis anaweza kila kitu, ila ubinadam kaz wengine wanasema Hawez imba Daah, inaumiza sana Mungu akutangulie Amina👏👏

  • @judithmelvinealuchio8968
    @judithmelvinealuchio8968 5 років тому +44

    congratulations baby boy you're a future super star 🙏🙏👏

  • @angelakimjohn2708
    @angelakimjohn2708 5 років тому +12

    Jamani umeliza boy😭😭😭😭how I wish ningekua na uwezo wa kutosha nikusupport,but I know there's God 🙏🙏🙏utafanikiwa

  • @patrickwarioba3381
    @patrickwarioba3381 5 років тому +5

    My young sina cha kukupa ila nakuombea kwa mwenyezi mungu akujalie kila la heri katika kufikia malengo yako

  • @mariyaal5366
    @mariyaal5366 5 років тому +58

    Anaweza sana mpaka raha yani

    • @dullayraschal8582
      @dullayraschal8582 5 років тому

      Mariya ni wats up niko msa +254715934763

    • @shahaupunda301
      @shahaupunda301 5 років тому

      Mtapata aibu ngoja tuone

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 5 років тому

      @@shahaupunda301 hakuna aibu mi namini mpaji ni Mungu2 asipopata Hamis riziki yake ipo 2

    • @baisitv4073
      @baisitv4073 5 років тому

      Mariya Al kabsa

  • @salimumtaita2850
    @salimumtaita2850 3 роки тому

    Binafsi ningelikua nauwezo ningejaribu kukufanya uwe zaid ya hapo ulipo ila naimani mungu hubariki kazi za mikono yetu waja wake kipaji unacho haipingiki salute kwako

  • @sonianicitegeste5690
    @sonianicitegeste5690 5 років тому +2

    Wamemuonea anaimba vizuri kweli.Hamiss my favority superstar wa BSS

  • @alverztv6272
    @alverztv6272 5 років тому +31

    Huyu dogo mpeni support jamani.... Bidii aliyo nayo na akiangalia maisha yake ndio yualia ivo... Madam Ritah jamani mpeni dogo support

  • @patrickmwenda7613
    @patrickmwenda7613 4 роки тому +3

    Pure talent. Hakuna kitu analazimisha huyu. Vitu zinaflow zenyewe tu yaani. 😀

  • @mwanahyusuph8142
    @mwanahyusuph8142 5 років тому +3

    Khamic Bss anaimba vizuri sanaa Allah amfikishie lengo Insha Allah

  • @massudbiz9828
    @massudbiz9828 5 років тому +42

    Super star wangu Hamissi saidi👏👏👏kweny bss

  • @agathaachuchi4410
    @agathaachuchi4410 5 років тому +22

    i like that voice ,it touched me so much

  • @athumankinguji5863
    @athumankinguji5863 5 років тому +45

    Kaka konde zama bbs ucheki vpaji wadogo mi konde nimemkubali sana hamis usimuache dogo mpe tafu

    • @muhirwandarwubatse753
      @muhirwandarwubatse753 5 років тому +1

      Kabisa unajuwa 💝💝💝💝💗💗💗💗💖💖💖😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘💝💝💝💝💟💟💟💟💟♥️♥️🖤💙💚

  • @mohamedabdallah3411
    @mohamedabdallah3411 5 років тому +5

    Hamis I love you so much 😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😍😘😘😘😘🤩🤩🤩🤩🤩

  • @sabrinakassimu
    @sabrinakassimu Місяць тому +1

    2024 tunao rudiya❤

  • @rahimsaidy1076
    @rahimsaidy1076 3 роки тому +1

    Respect my brooh because u know so big up.

  • @dephorahnyangarisa2252
    @dephorahnyangarisa2252 4 роки тому +16

    love this guy, the voice is amazing, Hamisi you rock my world of music, i love you, i support you all the way from Kenya

  • @kibasamohamedi8029
    @kibasamohamedi8029 5 років тому +8

    Haaaaa dogo anaimba konki. Safiiiiiiiiiiiii sanaaa

  • @selinakirui9488
    @selinakirui9488 5 років тому +14

    Congrats ... all the best young boy. I like him big up.

    • @selinakirui9488
      @selinakirui9488 5 років тому

      Big thanks to Madan Ritta for taking this boy back. God bless you.

    • @leahkisendi1965
      @leahkisendi1965 5 років тому +1

      Dogo Yuko vizuri Sana hongera

  • @patridabernard9148
    @patridabernard9148 Рік тому

    Aiseee Yuko vizuri sana kijana mungu amzidishie

  • @bakariadamkobello9057
    @bakariadamkobello9057 2 роки тому

    Duh!..dogo umeniliza kiukweli, napenda sn mtu anaye simamia malengo yake.🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻Big Up👋🏻👋🏻👋🏻👋🏻

  • @mariabahati1264
    @mariabahati1264 5 років тому +3

    Yes ni mzuri saana MASHALLAAH

  • @FrankjumaNdakama-g1c
    @FrankjumaNdakama-g1c Рік тому +1

    20% alisema wenye vipaji wengi ni mafukara dar!!! dogo 🌷🌹unaweza

  • @GilbertChepseba
    @GilbertChepseba 7 днів тому

    From Kenya kazi nzuri brother🎉🎉🎉🎉

  • @hassanomedo-xn5cz
    @hassanomedo-xn5cz Рік тому

    Uko vizuri bro I salute you one love ✌️

  • @aliarkam9548
    @aliarkam9548 5 років тому +24

    Safi sana hongera sana

    • @gloryombela8547
      @gloryombela8547 5 років тому

      Dogo Yuko poa sana,katika wote akiimba had mwili unasisimka wengine makelele2 ,hamisi yupo juu

  • @MohamedSaid-jx3df
    @MohamedSaid-jx3df 5 років тому +37

    Wasisimua watu wazima ee

  • @chemashabani6912
    @chemashabani6912 5 років тому +3

    Aweee ameweza wallah appretiation tu younkonde usimuache

  • @preciousmremaro
    @preciousmremaro Рік тому

    Kwa kudra za Mwenyezi Mungu akujalie kil lenye kreri maishan mwako

  • @sharifamussa6131
    @sharifamussa6131 5 років тому +1

    Mungu aendelee kukuonyeshea njia Khamis

  • @frenkmisery8460
    @frenkmisery8460 5 років тому +1

    uko vzr sana dogo kaza buti utafika mbali.👏🏻👏🏻👏🏻

  • @ShariphIsimaily
    @ShariphIsimaily 2 місяці тому

    Uko vizuri dogo pambana

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 років тому +3

    Nice one 👌 hamis God bless you broo mungu Yuko pamoja nawe utafika mbali sana

  • @niceibrahim438
    @niceibrahim438 5 років тому +1

    Mungu ndo upanga kila kila kama IPO IPO tuuh uwez jua mung amekusudia nini juu ya maisha yako ameeeh

  • @kefasoneliakimumkeyembo1804
    @kefasoneliakimumkeyembo1804 5 років тому +1

    Yaani kusema ukweli mimi nasubiri Nyimbo zake,, Amenikuna sana👍

  • @BarakaSagamba
    @BarakaSagamba 6 місяців тому

    Mungu akuinue janja ukawe baraka kwa familia yako na taifa

  • @mishindeguwa3026
    @mishindeguwa3026 3 роки тому

    Hongera Sana Sana hamisi hamonaiz ajaribu kumuangalia amsaidie kwa kweli hongera hamisi jitahidi usife moyo so mwengine ni mama mpenda amani from 🇰🇪

  • @arikaa254tv9
    @arikaa254tv9 5 років тому +292

    Hapa Kenya tunakubali huyu dogo likes zije kama pia wewe wamkubali

  • @espoiretzmnyama1034
    @espoiretzmnyama1034 5 років тому +8

    Moto moto

  • @ashuramhando5285
    @ashuramhando5285 3 роки тому

    Namuona mbali Sana dogo kuleeeee alipo HAMO ♥️🔥🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @Elizakilisipinilikolika1996

    Nimelia sana una kipaji kizuli sana namini mungu atakufikisha mbali sana❤❤❤❤🎉🎉🎉

  • @Mbugokilonda
    @Mbugokilonda 5 років тому +3

    Top
    Kijana raha sana, burudani nzuri sana!

  • @allyflavour8005
    @allyflavour8005 5 років тому +6

    Huyu dogo anajua sana maisha yake ya nanidhamu ya hali ya juuu

  • @irentirop6304
    @irentirop6304 5 років тому +4

    Wow I really appreciate you hamisi

  • @AsmoreTune07
    @AsmoreTune07 22 дні тому

    Uliefuatilia vzuri kuna kitu kilitabiriwa akaambiwa atakuwa na mzungu baadae thats realy❤ now 2024

  • @mirrymariwa1544
    @mirrymariwa1544 5 років тому +3

    Daah unaimba vizur adi raha well done

  • @vickyvalery9005
    @vickyvalery9005 5 років тому +2

    Nampenda sana yuko vizuri

  • @laylatbeshy5901
    @laylatbeshy5901 5 років тому +28

    Nimekupenda bure. Madam Rita usiwe unalia bana unaniliza na Mimi mamaaaa.

    • @zulfahaji91
      @zulfahaji91 Рік тому

      Yaaani. Kanimaliza hisia zangu daaa!

  • @erickndunguru1824
    @erickndunguru1824 5 років тому +89

    Mpigien kura sio mnasifia tu umu

  • @jimjimbo794
    @jimjimbo794 3 роки тому

    Mungu akufungulie uweze kusonga brother

  • @IsaacMwasenga-it1cl
    @IsaacMwasenga-it1cl 21 день тому

    Blessed TALENTED amazing 🎉🎉🎉

  • @VeronicaMassenga
    @VeronicaMassenga Рік тому

    Yupo vizuri mno, namwomba afike mbali

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 років тому +1

    Mungu akufikishe mbali

  • @kevinotieno7061
    @kevinotieno7061 3 роки тому +1

    Bonge la star Amisi one love from 254🇰🇪

  • @nelsonmaimu5805
    @nelsonmaimu5805 5 років тому +2

    Nimefatilia BSS kwajili ya hamisi nampenda sana

  • @chichimpole8462
    @chichimpole8462 5 років тому +7

    Jst love this young boy

  • @salamamzee2226
    @salamamzee2226 5 років тому +1

    Bss mnafufua vpaji vilivyomo uswahilin
    Kazi nzur maashaallah

  • @ayabukingshashu8018
    @ayabukingshashu8018 Рік тому

    Huyo yuko vizuri mno big up

  • @charleswanjau2679
    @charleswanjau2679 5 років тому +2

    Hubby wa the lightskin judge ndo nahurumia

  • @jumamachaga7865
    @jumamachaga7865 3 роки тому

    Big up brother mung atakusaidia

  • @mosesmbonde9760
    @mosesmbonde9760 5 років тому

    Dogo amefanya vizuri ,ilakilicho fanya mpaka atoke hakuwa na mbwembwe kwenye jukwaa,ila kipaji dogo unacho,,kaza buti,Ni Dr Moses wa Nairobi Kenya

  • @samuelerika7288
    @samuelerika7288 5 років тому +6

    Great bro,,,unaweza

  • @madofsolutions3056
    @madofsolutions3056 5 місяців тому

    Na saizi ako na Mzungu. This far the Lord has brought him congratulations to our beloved brother i only have one problem with him DRESSING CORD YAKE.

  • @djamalibrahim8825
    @djamalibrahim8825 3 роки тому +1

    God bless you and open his door for you

  • @kingmocy4372
    @kingmocy4372 5 років тому +1

    Dogo anaweza sanaaaaaaaa super brand

  • @verotony147
    @verotony147 5 років тому +11

    Big up kijana upo gud

  • @chrisgravity7997
    @chrisgravity7997 5 років тому +3

    Diamond /WSB muchukuwe uyu jama anaweza

  • @dosantosjulius9134
    @dosantosjulius9134 5 років тому +7

    Machaneli mengine bhana unachoandika na kinachoonekana vitu tofaut kabisa

  • @sophiasophiamwamburi5261
    @sophiasophiamwamburi5261 5 років тому +2

    Mabrouq khamis una kipaji Mashallah

  • @khamissilima6595
    @khamissilima6595 5 років тому +5

    Khamis Belle4 nakukubali hadi napata homa daahhh! Ww ndiee fundi wA bss 2019

    • @aishasalum908
      @aishasalum908 5 років тому

      Hamisi yupo vizuri sana jamani nduguzangu tumpe kula kwa juudi zote

  • @lesliesolomon3624
    @lesliesolomon3624 10 місяців тому +1

    Dogooo you killed it🎉🎉🎉

  • @tryagain-gr4gy
    @tryagain-gr4gy Рік тому

    Mungu amsaidie ❤

  • @noelbenson7160
    @noelbenson7160 5 років тому

    Yupo vizur sana. Salout kwake

  • @prettyhusna2997
    @prettyhusna2997 5 років тому +10

    daaa ata sielew niongee nin umetsha bro hamc

  • @eugenekimutai8786
    @eugenekimutai8786 5 років тому +3

    These boy nampenda wasanii muone hyu bonge la star

  • @bakarimrabu5127
    @bakarimrabu5127 Рік тому

    Congratulation Broo I support you brother 👏👏👏

  • @mardinhalfany1413
    @mardinhalfany1413 5 років тому +10

    Salute

  • @glorymrutu4544
    @glorymrutu4544 5 років тому +7

    Jamani mungu akufikishe mbali mdogoangu hamic

  • @azimaramjali7063
    @azimaramjali7063 2 роки тому

    Mungu akutangulie kaka,hakika choz limedondoka ila nakuombea sana

  • @VioletNamz-tq4tg
    @VioletNamz-tq4tg Рік тому

    Mungu amsaidie uyu mtoto.