Yanayofanywa na Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwenye 88 jijini Mbeya!

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Mratibu wa Maoneshi ya NaneNane 2024 kutoka Wizara ya Mifugo na Uvuvi kwa kanda ya Nyanda za Juu Kusini Bw.Edwin Chang'a anaeleza teknolojia mbalimbali zinazooneshwa na Wizara yake katika maonesho hayo ikiwa ni pamoja na zile zinazohusu ufugaji bora wa ng'ombe bora wa maziwa na nyama na aina mbalimbali za malisho ya Mifugo.

КОМЕНТАРІ •