Ah! Natamani na mimi ningekuwa kama yeye.Huu ni wema mkubwa sana lkn inatakaka moyo.Allah amzidishie huyu Hajjat kuwa mwema zaidi na mahasidi wanaomzunguka Mungu awatokomeze.
MUNGU akubariki sana mama na kukupa maisha marefu kwa ajili ya viumbe wa MUNGU! Maisha ya nchi za nje ni vigumu sana kwa watu wengi kukumbuka nyumbani lakini wewe MUNGU amekuwezesha! Heri ya tumbo lililokuzaa
Mungu akujaliye afya njema Mama yangu,ukuzidishiye uhayi Na uyo moto wakuyowa, apana awo wanaoshika franga,kisha ziwana wachanganya wafika wanajiita niwa MUNGU na kutaka Watu wawa abudu ewo, Mungu Awa ajali,
Huwa napenda mahojiano kama haya kwa kutumia Lugha yako ya nyumbani huo ni uzalendo, sio kama wale wakihojiwa wanachanganya na Lugha isiyo yetu utadhani watanzania wote wanaelewa. Hongera sana dada....
Ukiona hivyo ujue hawajakuwa wanakuwa ni sawa na masela nondo wale wavaaji Wa macheni mengi shingoni kama waliofungwa na shetani kuzimu lakini huyo mama ni mtu mzima katulia anajua anachofanya. Safi Sana uwe ni mfano na kwa wengine walifanikiwa kuwamumbuka wa kwao
Nitafanya hivo pia napenda kusaidia wengine, Nilichokupendea ni kwamba umeishi uingereza miaka ishirini na huna shobo na kizungu licha yakukijua vizuri, Yaaani umezungumza kiswahili vizuri.
Mimi niko tangu 1996 na nnazungumza lugha yangu hata kazini hapa niko na mkenya na mTanganyika na tunazungumza lugha yetu . Na nnajiproud kwa hilo na wanangu wa mwanzo ana 26 kazaliwa huku km kazaliwa Africa .
@@jackyluns8224 Oops . Hiyo ni mbaya punguza mwili , hauna faida ila hasara ukizingatia ni mdogo wala usidanganywe kuambiwa wewe una jadi ya unene hata ukifanyajee mwili unao niuongo ukijicontrol nakuambia unaondoka . Mimi kwetu unene uko na kuna watoto wa sister walikuwa wanene huyo boy akiitwa bonge kila siku nikiwapigia kelele sasa hivi wamelose weight . mmoja girl aliolewa akakaa niaka 3 hajapata mimba akaambiwa ana mayoma apasuliwe , nikamkataza ili bora kwanza apunguze mwili inawezekana ni mafuta tu alifanya juhudi akapunguwa sana na ziwa alikuwa nalo hadi anaumwa mgongo na kifua na mapumzi muda wote lakini alhamdulillah alitoka ziwa akawa yuko okay yeye mwenyewe akajipenda na hakuchukuwa muda akapata mtoto na hivi sasa ana mimba ya 2 yule hajafika miaka 2 . Na huyo bonge sasa kakonda sana naye tatizo sasa anamagozi na miziwa imeangukia km mwanamke namwambia auliziye kwa Dr wa cosmetic km ataweza kufanyiwa operation atolewe yale magozi ila nahisi anaogopa .
Niliona kule makete mkoani njombe kwa kuwa kuna milima mingi ina vyanzo vingi vya maji hivyo wale waliobahatika kuwa na uwezo wamesaidia Sana kujenga matenk na kuyasambaza maji kwa wananchi pengine karibia kijiji chote.
Asante hajat zahra nimefurahi kurudi nyumbani kwa maendeleo na kutusaidia mpango mzima wa maji.tunaomba wilaya ya karagwe uijali kwa visima vya maji japo umeikumbuka lugera lakini hata vijiji vinginevyo bado ni tabu tupu tunaomba mkono wako ufike vijijini karagwe.allah akufanyie wepesi.
Nashukuru. Kuna vitu vingi hatutangazi ila wakati mwingine kutangaza kunasaidia wenye shida watutafute na pia wafadhili waweze kutoa misaada tuwasaidie walio wengi. Allah SWT anaelewa zaidi na atusamehe kunako mapungufu
Maa shaa Allah Allah azidi kukuongoza hajjat zahra Hii yote ukiwa na hofu ya mmungu ndio unafikiria wenzako ili kupata radhi za mola wako. Na pia wengi hatujui km Allah akikupa mali hio sio yako unatakiwa ufanye heri na usaidie wasionacho kupitia wewe ila inataka akili.mmungu atuongoze
Umetoa sadaka kubwa Sana ya maji kila tone la maji malaika wanakuombea dua Allah akulipe kheri,nasi atuwezeshe kutoa angalao kidogo tulichonacho,amiin amiin
Mama ubalikiwe sana 🤝 mwenyezi mungu akupe maisha marefu 🙏 na mtangazaji uko vzr unaiweza Kaz yako
Hongera sana Hajjat.Maa Shaa Alla
Hiyo
Sadakatul-jaariya
Allah akupe pepo mama🙏
Mwenyezi Mungu akuzidishie dada, achana na hao viongozi wetu wanakazi yakutuminya wanainchi, tunaotafuta kwa nguvu zetu.
Ubarikiwe Sana Mama,Mwenyezi Mungu azidi kukufungulia milango.
Ubarikiwe sana mama. Mwanganga wa milelele uwe juu yako duniani na akhera...eeemin
Huyu dada ni mjanja sana anatafuta pepo yake mapemaaa ataacha alama kubwa sana. hongera kwake.
Masha'Allah. May Allah bless u.
Ah! Natamani na mimi ningekuwa kama yeye.Huu ni wema mkubwa sana lkn inatakaka moyo.Allah amzidishie huyu Hajjat kuwa mwema zaidi na mahasidi wanaomzunguka Mungu awatokomeze.
Aamena YaRabbi 🙏🏾
Great Job! U are doing! GOD! Bless U Always. Proud of U good Creation of GOD.👌👏🤝👍🏽🙏💖
yn mama loooo yko nasula yako tafika mbali sana huna loo yakimasikin safi sana mama anguu yn ww ni mama wakuigwa see nandomana mungu anakupa saaaa
mashaaAllah mashaaAllah God bless you mother
Hongera sana mama, nimependa unachokifanya.
Maa Shaa Allah Sadaka kubwa hiyo ya maji na hospital Allah akubariki 🙏❤
Miaka 22 Uingereza na kiswahili kimenyooka.Ubarikiwe mama kukumbuka kwenu👏👏👏
Dini ya kweli, ni ile inayo saidia ,yatima, wajane,wagane,masikini na wote wa sio jiweza,, Bwana Yesu akubariki sana aunt
Mashallah ALLAH kuzidishie uliko toa akujalie Afya mjema uzidi kusaidia
Hongera mama ubarikiwe na Allah itakuwa vizuri zaidi wengine waige mfano wako mama
Mashallah hongera sana ndugu yangu katika Imani 😘🙏Allah akulipe kher inshallah 🙏
MaaShaaAllah MaaShaaAllah.
Shukraan sana kwa jitihada zako. Jazakallahulkhayr.
Umefanya biashara na M/mungu umetengeneza sadaka yenye kuendelea,,,Allah akulipe duniani na Akhera Inshaa Allah
Aamiin
Allahumma Aamiyn
MUNGU akubariki sana mama na kukupa maisha marefu kwa ajili ya viumbe wa MUNGU! Maisha ya nchi za nje ni vigumu sana kwa watu wengi kukumbuka nyumbani lakini wewe MUNGU amekuwezesha!
Heri ya tumbo lililokuzaa
Jamani naomba number yahuyo mama..
Ubarikiwe sana dada kwa kujitoa ,mtangazaji uko vzr,hongera.
Mashallah ALLAH barik
Katonda akubere,akuwe omugisha gwena
Kasambya kwetu. Mungu akubariki
Hongera sana,,, Mama,,Allah atupe yalo mema
Hongera sana
So so proud of you mama... Wanawake tunaweza
Mashallah, tunajivunia uwepo wako, Allah akulipe Mala dufu😘💋😘😘😘🥰🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Masha allah, Mungu akusaidie ili usaidie zaidi. Hongera kutoka Comoros
Ahsante mama Mungu akubariki sana mpaka ushangae barikiwa sana Karibu Kyamulaile.
Mungu akujaliye afya njema Mama yangu,ukuzidishiye uhayi Na uyo moto wakuyowa, apana awo wanaoshika franga,kisha ziwana wachanganya wafika wanajiita niwa MUNGU na kutaka Watu wawa abudu ewo, Mungu Awa ajali,
Hongera sana mama na Mungu akubariki sana kwa kuwajali wengine
Mtangazaji uko vizurii....endelea kijitengeneza utakuwa juu
Masha Allah. Hajasahau kwao n hajasahau asili yake..wengine hataki hata kuongea kiswahili au atabadili lafdhi yake
Ongera sana mama Mungu akubariki kwa huduma yako hakika ni wito kutoka kwa Mungu .,🙏
Hongera sana hajati dhahara Mungu akulipe
Khofu ya Mungu ndo Msingi pekee wa mafanikio yake.
MashaAllah MashaAllah ogera sana Allah hatakulipa kwa wema wako na hakupe afya njema na umuli mrefu
Huwa napenda mahojiano kama haya kwa kutumia Lugha yako ya nyumbani huo ni uzalendo, sio kama wale wakihojiwa wanachanganya na Lugha isiyo yetu utadhani watanzania wote wanaelewa. Hongera sana dada....
Ukiona hivyo ujue hawajakuwa wanakuwa ni sawa na masela nondo wale wavaaji Wa macheni mengi shingoni kama waliofungwa na shetani kuzimu lakini huyo mama ni mtu mzima katulia anajua anachofanya. Safi Sana uwe ni mfano na kwa wengine walifanikiwa kuwamumbuka wa kwao
Nimempenda hasa kiswahili kwanza
mashaallah may allah bless your future..here and akhera
Asante Mum,huko sawa.
Charity begin at home.
Masha'Allah, juhudi na budii kubwa mmezipitisha na nakuombea kwa Allah akubarikie kwa ulichotoa na ulichobakisha.
Wau umejiwekea akiba nyingi katika ulimwengu ujayo be blessed
Mashaallah da Zahra sikujua kama unakuja kufanya mambo makubwa kama haya Allah akulipe na akuzidishie inshaallah
Nitafanya hivo pia napenda kusaidia wengine, Nilichokupendea ni kwamba umeishi uingereza miaka ishirini na huna shobo na kizungu licha yakukijua vizuri, Yaaani umezungumza kiswahili vizuri.
Haswaa hana mashauzi hata kidogo mungu amlinde huyu mama
Mimi niko tangu 1996 na nnazungumza lugha yangu hata kazini hapa niko na mkenya na mTanganyika na tunazungumza lugha yetu . Na nnajiproud kwa hilo na wanangu wa mwanzo ana 26 kazaliwa huku km kazaliwa Africa .
@@kiri5807 oooh 96 hata sijazaliwa duuu ila ubonge nilionao ni hatari tukitangulizana naweza wewe ndio ukawa mdogo
@@jackyluns8224 Oops . Hiyo ni mbaya punguza mwili , hauna faida ila hasara ukizingatia ni mdogo wala usidanganywe kuambiwa wewe una jadi ya unene hata ukifanyajee mwili unao niuongo ukijicontrol nakuambia unaondoka . Mimi kwetu unene uko na kuna watoto wa sister walikuwa wanene huyo boy akiitwa bonge kila siku nikiwapigia kelele sasa hivi wamelose weight . mmoja girl aliolewa akakaa niaka 3 hajapata mimba akaambiwa ana mayoma apasuliwe , nikamkataza ili bora kwanza apunguze mwili inawezekana ni mafuta tu alifanya juhudi akapunguwa sana na ziwa alikuwa nalo hadi anaumwa mgongo na kifua na mapumzi muda wote lakini alhamdulillah alitoka ziwa akawa yuko okay yeye mwenyewe akajipenda na hakuchukuwa muda akapata mtoto na hivi sasa ana mimba ya 2 yule hajafika miaka 2 . Na huyo bonge sasa kakonda sana naye tatizo sasa anamagozi na miziwa imeangukia km mwanamke namwambia auliziye kwa Dr wa cosmetic km ataweza kufanyiwa operation atolewe yale magozi ila nahisi anaogopa .
@@kiri5807 nisaidie jamani mbona nakimbia sana lakin sipungui? Uwii alitumia diet gan
Mashallah Mwenyezi Mungu ndio atakae walipa
Mama mungu akupe maisha marefu sana
Safi umewa fungua nawenzio iwe darasa kwani nyumbani ni nyumbani nimekupenda ghafra na mwenyezi Mungu akuzidishie
Mashaallah , Safi sana mama❤❤❤
Aseee kazi nzuri sana ✊
Safi Sana mama kwa uzalendo, wangekuwepo watano Kama Hawa nchi itapanda sana
Niliona kule makete mkoani njombe kwa kuwa kuna milima mingi ina vyanzo vingi vya maji hivyo wale waliobahatika kuwa na uwezo wamesaidia Sana kujenga matenk na kuyasambaza maji kwa wananchi pengine karibia kijiji chote.
Shida kuna baadhi ya watu ni wapigaji misaada kutoka nje inakuja mabilioni ya pesa ila haipelekwi sehem husika
Safii saaan yaan wew ungefaa uwe hta kiongoz
Ni mfano nzuri Sana, mungu akubariki.
Mungu akuwezeshe insha Shalah
Mungu Akukumbuke sana mama
Mko wachache sana bi hajath....Allah atakulipa kinachostahili kwa mapenz yake Insha Allah
Allah akuzidishie
Karagwe Rugera nimewahi kufika.... 🙏🔥
Asante dada
mungu akubariki
Mashallah Mashallah. Mola azidi kukujaalia.
Mashaallah Allah akupe afya njema 🥰🥰🥰
Mungu akupe maisha marefu
Amen
Asante hajat zahra nimefurahi kurudi nyumbani kwa maendeleo na kutusaidia mpango mzima wa maji.tunaomba wilaya ya karagwe uijali kwa visima vya maji japo umeikumbuka lugera lakini hata vijiji vinginevyo bado ni tabu tupu tunaomba mkono wako ufike vijijini karagwe.allah akufanyie wepesi.
Ma sha allah
Dd. Zahra allah akubariki na akuhifadhi
Hongera Dada mungu akupe upeo zaidi sote wanawake tunahangaika da natamani unichukuwe nifanye kazi huko mie niko Omani nimekupenda
Wahaya wote km tulivyoongea huyu mama tumpe tuzo
Allah akulipe my dear
Mashaalah
Asante sana mfano mzuri sana ma Hajat
Mange kimambi kuna jambo la kujifunza kupitia huyu mama
good job
Ongera sana mama MUNGU aendelee kukubaliki
Masha Allah 💞
Ma sha allah dd
Shukran sn
Mungu akubariki mama
MUNGU AKUBARIKI SANA,
mama hongeraa sana kwakuongeaa kiswahili. Wengnee wakienda ulayaa wakirudii wanaongeaa kiswaenglish.yaan puwaapuwaaapuwaaa... Puwaa...puwaa.....puwaa..puwaaaa...puwaaaa...puwaaaa kabisaa
Masha Allah, Mwenyezi akusimamie mwenye kutoa kamwe hawezi filisika
Allah akupe afya njema watu wa bukoba wanajalisana maskini
Ant hongera sana kwa msada ila m/mungu kasema unapotoa msada usitangaze yani tolea mkono wakulia wakushoto usione kama baresa
Nashukuru. Kuna vitu vingi hatutangazi ila wakati mwingine kutangaza kunasaidia wenye shida watutafute na pia wafadhili waweze kutoa misaada tuwasaidie walio wengi. Allah SWT anaelewa zaidi na atusamehe kunako mapungufu
@@zahradattan4957 Nimekuelewa
Wanawake hoyeeeeeee!
Safi sana Mama!
Maa shaa Allah
Allah azidi kukuongoza hajjat zahra
Hii yote ukiwa na hofu ya mmungu ndio unafikiria wenzako ili kupata radhi za mola wako.
Na pia wengi hatujui km Allah akikupa mali hio sio yako unatakiwa ufanye heri na usaidie wasionacho kupitia wewe ila inataka akili.mmungu atuongoze
Zahra naomba nikutane nawe tafadhali nikutanishe mwenyezi mungu akuzidishie umri mrefu
Mashallah hongera sana mama sonia
Umetoa sadaka kubwa Sana ya maji kila tone la maji malaika wanakuombea dua Allah akulipe kheri,nasi atuwezeshe kutoa angalao kidogo tulichonacho,amiin amiin
Aamiin
Mungu akubariki Dada
Hongera Sana dada Mungu akusimamie
Safi mama
Wahaya sema mnajisahau hamfanyi maendeleo kwenu
Yuko uingereza miaka 23 lkn hajaongea kiingereza hata neno moja! Lkn sleikwin hapo! Tungekoma
🙈🤣
Haaaaaa_kweli
Mungu akubariki
Manshalah manshalah ameish miaka yote hiyo lakin anaongea kiswahili kizur tu. Sio kina fulani.. Miaka 4 tu haongei kiswahili bila kutia kingreza
Wow napenda sana kuifanya hiyo kazi uliyojiajiri
Hongera dada Alla azididi kukupa nguvu
Assalamu aleikum mama hajrat mwenyeze mungu akupe wepesi kwa haya unayafanya nikusikiliza vizuri sana. mimi niko oman
Waitu mwakola munonga.Hii ni miongoni mwa sadaka Mungu aipendayo.
Mungu akupeni mtazamo mpya wa kusonga mbele.
Mashallah Allah akuzidishie ulipo punguza umefanya jambo kubwa sana hii ni Sadaka tuljaria.
Woow vizurì sana mamy naiman ntapata kazi kwa campuni yako ntakutafuta nipo nasomea CAREGIVER hapa UAE DUBAI
Millardayo naomba namba zenu za simu please