Mnyeti aitaka sekta ya umma kuwa mfano kwenye NaneNane 2024

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 вер 2024
  • Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Alexander Manyeti amezitaka taasisi za Serikali zinazoshiriki kwenye Maonesho ya kimataifa ya wakulima (NaneNane) kuwa wabunifu na kuonesha bidhaa bora ili sekta binafsi waweze kujifunza kutoka kwao.

КОМЕНТАРІ •