HAKI WAMEANZA KUIJUA ACHANA NA UBISHI WA NDACHA MSIKIE ANAYEJITA NABII MKUU NA MZEE WA UPAKO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 26 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 280

  • @qwerqasd8597
    @qwerqasd8597 Місяць тому +18

    Subhanallah ahadi ya Allah imefika akhra zamani watu watasilimu kwa wingi inshallah na hao watakuja tu

    • @martinmkoba361
      @martinmkoba361 Місяць тому +1

      Kitabu kinachosema kweli ni biblia.kila kilichoandikwa lazima kitimie Quran imesema nini tangu iandikwe kikatimia??

    • @fadhilngalanda7520
      @fadhilngalanda7520 Місяць тому

      ​@@martinmkoba361Quruan imesema kuhusu wewe kuidharau hiyo Quruan na leo inatimiza
      Biblia ni Kitabu kilichotungwa ili Roma empire itawale dunia na mnapingana na uislamu kwasababu mnajua huku ndio kuliko kuwa na haki na kweli

    • @HassanJaphari-rx7jy
      @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому

      inshaAllah ☝️🕌🙏🙏🙏

    • @NoorynMody
      @NoorynMody Місяць тому

      ​@@martinmkoba361Kimetimia nn na makosa ndo hyo wanayaongea wachungaji wenu kasome Quran co wakija kukikisoa na ujakisoma

    • @RonjoSalum
      @RonjoSalum Місяць тому

      kuruani imetia kabisa maana bibilia haina amri yakuawaambia muoge janaba hata dua yakumuingilia mkeo hujui ​@@martinmkoba361

  • @jasminmohamed6145
    @jasminmohamed6145 Місяць тому +4

    SUBHANALLAH
    LAILAHA ILLALLAH WAHDAHU LASHARIKALAHU LAHULMULKU WALA HULHAMDU WAHUWA ALA KULLISHAIIN KADER WAANNA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    ALLAHUMA SWALLI ALA SAIDINA MUHAMMADIN RASULULLAHI SWALLAAHU ALAIHI WASALLIM WA BARIK ALAIHI
    Barakallahu Feek

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Місяць тому +15

    Ukweli ukidhihiri uongo unajitenga,waislamu Takbyr

  • @AlYasri-s3t
    @AlYasri-s3t Місяць тому +2

    Mzeeee silim ili ufe ,ukiwa mwenye faida mim nilisilim mapemaa naiv Inshallah naswali Allah azid kunijalia daima

    • @AllyAme-h9e
      @AllyAme-h9e Місяць тому

      Aamin

    • @Nim68182
      @Nim68182 Місяць тому

      @@AlYasri-s3t we mbona hujafa???? Nyie wajinga Sana 🤣🤣🤣
      Amesem kuwa YESU kristo ni mwokozi wa Dunia, so unatak aje kumuombea muhamad ,
      Hata hajui alikoenda 🤔🤔🤔🤔

  • @HabibuUrasa
    @HabibuUrasa Місяць тому +8

    uislamu rahaaaaa. ukafiri ni taabu tupu hapa duniani hadi akhera motoni milele

  • @jumaramadhan1013
    @jumaramadhan1013 Місяць тому +7

    Mzee wa upako uko sawa kabisa ,Mungu ni mmoja tu

    • @HemedSerious
      @HemedSerious Місяць тому

      Swadakta 😂😂😂 ewe Allah tuokoe na adhabu ya moto sisi wadhaifu tusioweza kuhimili adhabu zko ameen

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau Місяць тому +10

    Ndacha pia yuwajua ila yuwaona haya kusema ukweli kwavile anavobishana😂

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      Walim wa kiislam wathibitishe Kwa maandiko waache kulia mitandaoni.

    • @SuweidJuma
      @SuweidJuma Місяць тому

      Km ushaona ukwel fuata kijana ​@@GeraldMswazi-bp2kw

    • @Nim68182
      @Nim68182 Місяць тому

      @@FatwimaZahrau ndacha kumbe mnajua kuwa nikiboko yenu 😂😂😂 atawanyosha mpka asubuhi alooo

  • @IsaKitagame
    @IsaKitagame Місяць тому +4

    Mungu ni moja tuu na yes ni mtume kama vile Muhammad

    • @Nim68182
      @Nim68182 Місяць тому

      Muhamad Malaya tuu mbakaji

    • @allyseluanja3534
      @allyseluanja3534 Місяць тому

      ​@@Nim68182matusi yako haya muongezei Wala haya mpunguzii Kuna kweli iliyo wazi basi ifuate

    • @elishaalexander-ky1vf
      @elishaalexander-ky1vf Місяць тому

      Acha kumfananisha YESU MWOKOZI WANGU na wanadamu YEYE NI MUNGU

  • @sayeedmsct4255
    @sayeedmsct4255 Місяць тому +4

    Subhanallah

  • @HassanJaphari-rx7jy
    @HassanJaphari-rx7jy Місяць тому +2

    Alhamdulillah kwa neema ya Nuru ya Uislamu ☝️🕌🙏🙏 🙏

  • @hamisimwagarashi9501
    @hamisimwagarashi9501 Місяць тому +3

    Wakristo mtakao msikia mzee wa upako msitukane bali someni.
    Mzee wetu wa upako kama jina lako MUNGU akuongoze usilimu.

  • @DondoMaujanja-yj3xj
    @DondoMaujanja-yj3xj Місяць тому +2

    Ukisema yesu sio mungu nafurah sana kumbe wakristo waelewa mpo

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому +13

    Uislam ndio dini ya haqq Wallah

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      Uislamu ni Dini ya haki hata majini mapepo wachafu mashetani wapo kwenye hiyo Dini mpaka yanajitamba 72:14 6:128 46:29-31 Dini Dini Dini ya majini hoyeeeeeerr😂😂😂😂😂😂

    • @sadikiissa7756
      @sadikiissa7756 Місяць тому

      @@prochesernest5439
      Leta andiko linalosema Uislam ni dini ya Majini.
      Acha kufuata mkumbo bali Soma na ufanye Utafiti Kwa yale yasemwayo ili ujue ukweli ni upi.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      @@sadikiissa7756 andiko Hilo hapo Quran 72:14 majini ni waislamu mpinga Allah wenu

    • @samxx411
      @samxx411 Місяць тому

      ​@@prochesernest5439hujakosea uislamu ndio dini ya haki kwa viumbe wote ila wapo walioasi katika Majini na watu Hawa ndio makafiri waliomkana Allah na kufanya viumbe kuwa ndio Mungu wao..

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Місяць тому

      @@prochesernest5439 Hiyo Dini ya MAJINI Unaijuwa Wewe . WALAWI 17:7 NYAKATI WA PILI 11;5 MAJINI Hyo Ndani ya BIBILIA 🤣🤣🤣

  • @ShekhMufyd-mn9zn
    @ShekhMufyd-mn9zn Місяць тому +1

    Ewe Allah mjaalie Mzee Wa upako aweze kutamka shahada

  • @rajabmpamwa9051
    @rajabmpamwa9051 Місяць тому +2

    Yesu hajasema yeye mungu ila sasa cha ajabu wakristo wanamlazimisha kua yeye mungu😂😂😂😂.
    Utasikia nyie mnamjua kimwili hamumjui kiroho 😂😂😂

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543 Місяць тому +1

    Qulhuwa llahu ahad, allahu swamad, lam yalid walam yuulad, walam yakun llahu kuf"an ahad.

  • @Maarifa_Film
    @Maarifa_Film Місяць тому +4

    Mwamba sana huyu Mtu anawaweka wazi,Yaani kama Liza Kila kitu ndivyo walivyo Wenye Kuishi kwa Kuuchukia Uisilamu! Wajanja wanajua Ukweli njaa2 ndizo zinawafanya waendelee kubak uko

  • @amraniissa530
    @amraniissa530 23 дні тому

    Wote hawako sawa na nyinyi mpokeeni Yesu kristo awe Bwana na mwokozi wa maisha yenu bila Yesu hamwezi kwenda mbinguni msijifiche kwenye hiki kichaka Cha waongo hawa

  • @AzizSalumu
    @AzizSalumu 26 днів тому

    Allahu wahidu kweli mungu ni mmoja

  • @husseinomar4294
    @husseinomar4294 Місяць тому +1

    Alhamdulillah bado kidogo tuu Allah ni muweza wa yote .

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana8928 Місяць тому +8

    Wakristo wanepoteya sana 🤔

  • @jacksonmwafongo1917
    @jacksonmwafongo1917 Місяць тому

    Asante sana lusekelo Kwa mesege nzuri

  • @jafarmohd5217
    @jafarmohd5217 Місяць тому +1

    Kidogo kidogo dozi inawaingiya ila musilie san ndiyo kutakwa na maraz mtapowa tuu inshallah

  • @RAMATHANI-eu5dk
    @RAMATHANI-eu5dk Місяць тому

    Mashallah ukweli unaanza ficuka. Allah Akbar. Mungu Akulipe kilaheri.

  • @ramlajuma5317
    @ramlajuma5317 Місяць тому

    Alhamdulillah alaa niimatil isilaam

  • @SalmaMsangi-n2m
    @SalmaMsangi-n2m Місяць тому +2

    Allahu akbar

  • @uwesumandwanga1818
    @uwesumandwanga1818 Місяць тому

    Laa ilagh ila llah muhammadu lasulullah hapana mola apasae kuabudiwa kwa haki ispokua mungu ni mmoja na muhammadi ni mtume wake

  • @OscarJr-yu9so
    @OscarJr-yu9so Місяць тому +3

    Huyu ndacha hawaoni wenzake wanakuwa wakweli yeye sasa kubsha tu navle mungu kampa saut yakuwa tchiya watu n
    Tunafata haki ilipo

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      Waislam wote motoni Na Dini yenu mpya.

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Місяць тому

      Andiko naomba​@@GeraldMswazi-bp2kw

    • @Nim68182
      @Nim68182 Місяць тому

      hao wenzak wamesema YESU kristo ni mwokozi wa Dunia , vp kuhus wew unalikubali

    • @GeraldMswazi-bp2kw
      @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

      @@Nim68182 bila yesu huwezi kuiona Pepo Kwa kila mwenye Mwili.

  • @NassibUkasha
    @NassibUkasha Місяць тому

    Na huu ndio ukwel Allah awafanyie wepesi wakuelewa insha'Allah

  • @husseinomar4294
    @husseinomar4294 Місяць тому

    Maasha alla wanatuelewa sana ila huenda wapo huko kwa mazoea na maslahi tuu.

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Місяць тому

    Akili itawakaa sawa tu inshallah tutaelewana tu bado miaka kama hamsini ijayo wakristo waanza kujificha

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 Місяць тому

    Je kama wakati mgawanyo wa kazi Huenda Yesu aliiumba roho ya Adamu ama nafasi au moyo, Jiulize haya ndugu
    Yesu anaokoa

  • @FatherMadereck
    @FatherMadereck Місяць тому

    Masha Allah

  • @ashuramuhammed3257
    @ashuramuhammed3257 Місяць тому

    Leo nimeamin wakiristo wasomi wanajua yesu sio mungu ushauri wa Bure Mzee wa upako jua linazama silimu kabla hujafa ukiristo sio din ya haki

  • @Ismaelnoton2543
    @Ismaelnoton2543 Місяць тому

    Allahu Akbar

  • @leomika8473
    @leomika8473 Місяць тому

    Wewe nimpumbavu uakitu uyo yesu ndo mungu mwenyewe Kama ujui

  • @YusuphLyanga-e8j
    @YusuphLyanga-e8j Місяць тому +1

    Yesu kristo ni siri ya Mungu,,,ndio maan hat wayahudi aliwaambia ninyi hamnijuii wala baba yangu hamumjuii
    Hata leo waislamu kwa wakristo mamilioni hawamjuii yesu kristo ni nan....📌📌✅️

    • @jumajuma3670
      @jumajuma3670 Місяць тому +3

      Sasa Wewe Umemjuaje 😂😂😂..Bhangi Hizi

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j Місяць тому

      @@jumajuma3670 sawa mkuu lkn huo ni ukweli,,,

    • @RajabJr-r6y
      @RajabJr-r6y Місяць тому +3

      Ww tu ndio humjui ila waislam tunamjua kua ni mtoto wa maryam ,mtume na nabii wa mungu ni mtu km ww na mm alikua anakula ,analala ,anaenda chooni

    • @Maarifa_Film
      @Maarifa_Film Місяць тому +2

      Hawa ndio wale, Unamjua kimwili lkn humjui kiroooho 😂😂washapotezwa na Wachungaji wao kwa kupandikizwa Chuki na Mafundisho ya kipagani

    • @YusuphLyanga-e8j
      @YusuphLyanga-e8j Місяць тому

      @@RajabJr-r6y fresh kak,,tatzo dini zmewafanya mmekosa uhuru wa dhamiri,,unalazimisha kukalili ulichofundishwa...kwanza mm nikikwamby BIBLIA imeandika historia yote ya kukua kwa UISLAMU unaweza kubali?😂😂,,soma ufunuo 8 na 9 yote najua huwezi kuelewa atleast tafta mtu akusaidie ,,ni vile2 wakristo wa leo hawana neno la kweli lkn BIBLIA hakuna kitu haijaandika✅️,,history ya dunia yote ipo,uislamu kukua,G7,kuanguka kwa majengo marekani 2001,,n.k broh sitaki niandike mamb mengi lkn kam unatak kumjua Mungu usikalilishwe,,,ndo maan nikasem yesu alivyofunulia agano la kale na jipya,,wakristo wengi 99% na waislam hawajuii✅️✅️

  • @SaidAlnaamani-z1o
    @SaidAlnaamani-z1o Місяць тому +1

    Ndacha na Daniel in future wataongeya laukweli nawatasilimu

  • @abuhassan9552
    @abuhassan9552 Місяць тому +1

    Munaamini sasa kuwa Mayahudi wamesema si Miaka na miaka waislamu wawaeleza lakini hamutaki kusikia

  • @reganpaul8542
    @reganpaul8542 Місяць тому

    Hapo chief watakuelewa tuu unajua wanadamu malezi Yao ndio chanzo Cha kucoment hovyo na kiujumla hawasomi wanasubiri kusomewa ndo maana wanajibu hovyo Mimi nakurispect baba yangu wa kiroho miaka 120

  • @babazungu3180
    @babazungu3180 Місяць тому +1

    Wakristo ni watu wa ajabu sana,yesu anasema mim siyo mungu wao wanasema ni mungu,yesu anasema hajui siku ya mwisho wao wanasema anajuwa 😂😂😂

  • @abdulrahmankafuku3449
    @abdulrahmankafuku3449 Місяць тому

    Innallilah wainna illaih rajiun (msibaaaaa huuu)

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 Місяць тому

    Shida yetu makanisa mengi na mafundisho mengi sana sana...na mengi hatuyaelewi

  • @SeifHatibu-mo4wt
    @SeifHatibu-mo4wt Місяць тому +1

    Taqbiiiiir

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 Місяць тому

    Haya ni matokeo ya kukosa au kutoifaham Torati, na manabii na Yesu Kristo Kwa maneno yake km 10: 34 na

  • @blues4life633
    @blues4life633 Місяць тому

    Wewe na hao kina lusekelo 😢 unatatizo la afya ya akili bila shaka

  • @mwinyiswaleh8388
    @mwinyiswaleh8388 Місяць тому

    Ndacha anajua vizuri isipokua anaangalia riziki

  • @Nim68182
    @Nim68182 Місяць тому

    Jesus is my everything,
    Hata mseme vp YESU yuko hai,siwez kwenda kw mbakaji mtu ambaye hajui alikoenda,

    • @allyhassan7522
      @allyhassan7522 Місяць тому

      We baki na ujinga wako hujalazimishwa kuelewa.Mazuzu kama wewe mbona wapo wengi tu.

    • @Nim68182
      @Nim68182 Місяць тому

      @@allyhassan7522 😂😂😂😂😂saw mi zuzu ila vp kuhus ww unaemuombea mtume wamungu???
      Mtume wa Mungu mbakaji, ndo kutwa mara 5 mnamuombea rehma 🤔🤔sas hizo rehma nizanin Kam si uzinzi wake 😂😂😂
      We ukiona wapi mtume anaombea ilihali ashakufa 😂😂 acheni matani

    • @krizofrancisco5310
      @krizofrancisco5310 19 днів тому

      ​@@Nim68182punguza chuki na uislamu jifubze ili uelewe umelishwa sumu nyingi

  • @YehudabanYerushailēm
    @YehudabanYerushailēm Місяць тому

    Yaan waislam wao kuhusu ukristo tuu

  • @SarhaSaid
    @SarhaSaid Місяць тому

    wataelewa tu inshaallah

  • @sportsmantv8397
    @sportsmantv8397 26 днів тому

    Ukiona wezi wa sadaka manabii wa uongo wanakataa utukufu wa Kristo huwezi kushangaa😂

  • @GodenBMDaniel
    @GodenBMDaniel Місяць тому

    Kwamatendo yenu TU, tunawatambuwa, siku za mwisho jiandae ndugu yangu.

  • @Nim68182
    @Nim68182 Місяць тому

    Mmemsikia mzee w upako, amesema Yesu ni mwakozi wa dunia😂😂 hiyo inatosha kenge nyie cjui mnataka nini,
    YESU kristo ni mwaokozi wa dunia fullstop😂😂😂

  • @gilbertbidimbuka9104
    @gilbertbidimbuka9104 Місяць тому

    Haki haipatikani wala kujulikana nje ya Kristo.
    Huko kwingine mmepotea tu njooni kwa Yesu muokolewe na kuhesabiwa haki bure

  • @abdulnasuma9729
    @abdulnasuma9729 Місяць тому

    Sasa hawa watu mpaka leo awamjui mungu wanategemea nini

  • @professorkimolo8118
    @professorkimolo8118 Місяць тому

    WAZIDI KUONA HAQI WARUDI KWENYE DINI YA KWELI YA KIISLAMU

  • @nicolaskalunde
    @nicolaskalunde 27 днів тому +1

    Kwa msomi hafuati mkumbo. Hata Waislamu maamuma hufikiri huyu jamaa anapinga Ukristo ni HAPANA.
    Fahamu ktk inani ya Ukristo Kuna madhehebu mengi sn hata usiyo yajua. Kila dhehebu na utaratibu wake wapo Wala Nguruwe Wapo Wanywa pombe wapo wasiogusa kbsa hivyo vitu. Kwahyo Yesu Mungu na wapo Yesu sio Mungu. inategea na dhehebu lako. mm ni Mkristo ila Yesu sio Mungu so, nikijirekodi niseme Yesu sio Mungu basi nasilimu is not true. Anachosema huyu Kiongozi ni km ktk Uislamu Wako wanao Muamini Hussein, nawapo Wanao Muamini Mhamadi pia Kuna madhehebu km Ahmadia, Shia, Suni, na ninyi ambao Hanna jina la dhehebu mnajiita BAKWATA na Mengine Hadi ya Kihidi, (Jamatini) na ktk ibada za madhehebu haya yote kunautofauti. Hata Biblia zipo tofauti Tofauti na Qurani hivyo hivyo wengi hufikiri Quran ni hii tu yenye aya 114 hapana ipo nyingine yenye haya 7 ambayo inaaminiwa na Maqadian waislamu. Someni hadithi ktk kitabu cha wakeze mtume wakubwa bi Aisha anachoeleza. Tatizo viongozi wenu hawatoi ukweli hadharani km walivyo Wakristo niwakali ropoka uone. Leo hii mnanabii Yuko Kibaha Misugusugu anaitwa Elyasa (ingia YTube) huyo nabii Hana amani kwa mikwara aliyopewa. Hakuna freedom expression ktk Imani yenu. Lisekelo amesema kweli. No God after God but only God's Messengers Naomba niache swali nikipewa jibu Naahidi kuslimu haraka sn najirekodi kbsa Kisha nawatumia hapahapa Y'Tube. Swali..Je, ni akina nani walio andika kitabu Cha Qrn ktk makaratasi haya yaitwayo kitabu.ikiwa mtume yy hakuandika ktbu mpaka umauti wake. Mwisho kbsa Wakristo tumepokonywa salamu yetu ya "ASLAMU ALYKUM" nisikilize vyema usipaniki Yesu ndiye alianza kuja kabla ya Mtune alichagua wanafunzi wake. Na alikuwa akiwasalimu kwamaneno haya AMANI IWE JUU YENU Yoh 20:21. Mtume nae akaiga kuwa na masaaba pia Salamu ileile ASLAMU ALYKUM yaani amani iwe juu yenu.Tofauti ni lugha tu, MKURESH na MYAHUDI, tambua Lugha ya Yesu inaitwa ARAMAIC haipishani sn na Kiarabu km vile Mpare na Msambaa wanavyo elewana lugha. Nafahamu mengi kwakuwa nayasoma sn.

  • @GeraldMswazi-bp2kw
    @GeraldMswazi-bp2kw Місяць тому

    Shafi wakati wa mdahalo unashindwa kuthibitisha inabidi utafute video za wakristo ufanye editing,Wacha uvivu thibitisha Wacha kulia lia.

  • @yassinm69
    @yassinm69 Місяць тому

    Huyu mzee ni mkristo kweli

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому

      Wewe unataka adangabye ndio unuamu kwamba ni mkristo au wewe unaamini yasu nimungu au haya maandiko niyauongo jifunze ndugu USIWE unashabikia ujinga maana maandiko yapo wazi yesu anasema mwenyewe wakujue wewe Mungu wapekee na yesu uliemtuma kumanisha yesu katunwananungu

    • @yassinm69
      @yassinm69 Місяць тому

      @@zaidiissa3714 hebu ondoa ujinga wako hapa ,

  • @RahmaDua-u6r
    @RahmaDua-u6r Місяць тому

    nabado mtasema tu Allah hashindwi😂😂

  • @AbdallahKifundo-t5e
    @AbdallahKifundo-t5e Місяць тому

    Wakristo kiongozi wao hata akiwapondea dini yao wanampigia makofi tu..duh, sisi waislamu sheh akiipondea dini yetu tutafunga milango kwanza

  • @FahadMasoud-io4mb
    @FahadMasoud-io4mb Місяць тому +1

    Anajielewa huyu pasta

  • @augustinecassian1242
    @augustinecassian1242 Місяць тому

    Hawajui lolote hawa,Wachungaji wa mshahara

  • @JustinePascal-i1t
    @JustinePascal-i1t 9 днів тому

    Hawa ni wafuasi wa Shetani ndiyo maana wanaropoka, hawa ndiyo waliotabiriwa maana hakuna sehemu inasema mtu ujiite nabii hawa ndiyo waliotabiriwa, MASHETANI wakubwa.

  • @Elecovid
    @Elecovid Місяць тому

    Ww ni mmoja wa viumbe wa shetan wapotoshaji wa maandiko

  • @dicksonmambo8623
    @dicksonmambo8623 Місяць тому

    Huyu hajui anachoo gea

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 Місяць тому +2

    😂😂😂 mzee wa upako , na jo devi, na wakinapetro ,yohana , Paulo mtu wa saniedrin chini gamarieli waliofundisha Yesu ni Mungu na hizi kenge mbili unalinganishaje😂😂😂 pole sana shafiihi , mzee wa upako aliitwa na bishop ngonyani akatee kua Yesu sio Mungu akaishia mitini

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому

      Sasa kati ya yesu anaemuabudu mungu nawewe unaemuabu yesu kama mungu katiyayesu na wewe nani yupo sahihi maana yesu alikesha usiku kucha tena mlimani akimuomba mungu je swali yeye kama ndio mungu alikua anamuomba mungu Gani??? Ikiwa yeye ndio mungu???au alikua anajiomba mwenyewe

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      @@zaidiissa3714 unazingumzia Yesu akiwa duniani , likua kama mwanadam , Kwa asilimia 💯 na NI Mungu asilimia 💯 kuna muda alikua anazungumza kama mwanadam na kuna Muda alikua akizungumza kama Mungu

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      @@zaidiissa3714 mfano Yesu anaposema Mimi sio mwema ila mwema ni Baba pekee, then anakuja kusema Mimi ndo mchungaji mwema , inategemea nazungumzia nini

    • @saidsuleiman9018
      @saidsuleiman9018 Місяць тому

      Wewe km hujaaaelewa walimu wako huwaelewi tena na ndio utakuja kuingia ktk matatizo na mpinga kiristo jwa sababu hujielewi​@@francisjoseph1074

  • @JustinePascal-i1t
    @JustinePascal-i1t 9 днів тому

    Hawa waislam mnafurahi hawa MASHETANI wanavyobwabwaja, furahini ila mjue huu ndiyo mwisho uliotabiriwa. Huyu katumwa kutoka kuzimu, mengine anasema kwel mengine anapotosha

  • @HalimaKinyashi-w7h
    @HalimaKinyashi-w7h Місяць тому

    Yule sio Ndacha ni Ndaza

  • @abuuahmad3238
    @abuuahmad3238 29 днів тому

    Bado wanawaita mayahudi.." ni watu wa mungu watukufu...the chosen people of god.
    Hao hao mayahudi wanawaita wakristo washirikina waliopotea...wnamuita yesu mtoto wa haramu...bastard child...
    Lakini wagalatia bado tu wanawathamini na kuwaona wenye maana...kweli huu ni msiba ...

  • @TheBsilver
    @TheBsilver Місяць тому

    TAQBIIIR

  • @NursamiaKiligaliga
    @NursamiaKiligaliga Місяць тому

    Ukweri mchungu bora umesema ukweri

  • @NyangeSempindu
    @NyangeSempindu Місяць тому

    Haya yameshanunuliwa na shetani, hayataki kwenda peke yao motoni kama shetani yanakokota roho za watu motoni

  • @LaughKey-f8x
    @LaughKey-f8x Місяць тому

    Ssa Hawa ma freemason ndo mnasema wanaamin 😂😢

    • @focusernest5610
      @focusernest5610 Місяць тому +1

      Ndyo nashangaa Sasa dini Yao wanajiona wako sahihi coz dini Yao inaendeshwa kimabavu Zaid kimwil kuliko kiroho vingnevyo niseme kitu kizuri ndiyo kinapigwa vita mwisho yesu alisema watakuja makristo wauongo

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому

      Sasa kati yako wewe na yesu nani ananuabudu mungu

    • @LaughKey-f8x
      @LaughKey-f8x Місяць тому

      @@focusernest5610 Yesu alisema wakati dunia itakapokua imefika mwisho kutatokea makristo wauongo nao watatenda miujiza naishara nao ndio Hawa wapinga kristo

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 Місяць тому

    Yesu ni mtoshelevu, ni Mungu,; Natumfanye mtu Kwa mfano wetu na Kwa sura yetu, unadhani. anayeshirikishwa hapo ni nani? au ni Mungu yupi?
    Yesu alisema kipofu akimuongoza kipofu watatumbukia shimoni pamoja

  • @FrancisMsemwa-z6r
    @FrancisMsemwa-z6r Місяць тому

    Ma kanisa ya mifukoni lazima yapotee njia

  • @daudimichael7338
    @daudimichael7338 Місяць тому

    Hawa ni wajjinga tu, hakuna haki wanayoanza kuijua.

    • @KasimuLipili-jy8qy
      @KasimuLipili-jy8qy Місяць тому

      Mjinga ndo wew broo,hao wanasoma hiyohyo Biblia.Tafakari

  • @AllyAme-h9e
    @AllyAme-h9e Місяць тому

    Bado shadada tu huyu mzee

  • @paulokaflete6557
    @paulokaflete6557 Місяць тому

    Rusekero ulevi unakusumbua kichwan

  • @Hamis-ks1sy
    @Hamis-ks1sy Місяць тому +1

    Wakristo wakiona wanaumia lakini hawajui wafanye nini njia ni1 kusilimu2 basi.Hivi hawaoni wachungaji na walinganizi wengi wa kikristo wanasilimu!! Washaona masheikh wangapi wanaritadi? Muislamu ukiona karitadd mara nyingi basi ni njaa2.

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      Haki mpaka mapepo wachafu majini wamejiunga kazi mnayo waislamu kuijitamba majini yananukaika nanyi 6:128 quruan

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      😂😂😂 Yani Mimi nione mbwa ana kula jalalani harafu niumieee

    • @prochesernest5439
      @prochesernest5439 Місяць тому

      @@paulmushi2428 wengine wanatimiza maandiko 24:24 mathayo tuwaombee wajiludi ni wakwetu Yesu kristo yupo kuwapokea

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy Місяць тому

      @@prochesernest5439Huwez elewa qur an ukiwa akili yako bado yaamini Gwajima anaweza kufufua mtu.

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 Місяць тому

      ​@@prochesernest5439mtakalia ujinga huo huo na chuki kusoma ili muelewe hamtaki mkiambiwa ukweli matusi ndio majibu yenu! Ivi pamoja na kusoma kwenu biblia kuna andiko yesu kasema kuwa yeye ni Mungu? Em punguzeni ijinga mjibidishe kuitambua niia sahihi sio mnabisha kila jambo ata kama lina ukweli ndani yake.

  • @AidanoSilvestreSabiniSabini
    @AidanoSilvestreSabiniSabini Місяць тому

    Wewe Safhi, ni mpumbafu shana kwanini unaubiri mengine ongea lako. Wewe ni mpungufu wa akili.

  • @franciscomtambakuluca2830
    @franciscomtambakuluca2830 Місяць тому

    Pasta ndacha ni Mwalimu anasema ukweli

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Місяць тому

      NDACHA Hamna Mwalimu hapo, Anaficha kweli na Kusambaza UONGO, Ndio Maana Siku Zote Anapo kaahifu UISLAMU Hawezi kutumia QURANI , Anajimbilia Sijui MAYUNGA, Cjui MKWELI MWAMINIFU , Cjui UKIMWENGU WA MAJINI, hivyo vyooote Ni VITABU Vilivyotungwa na Kuandikwa na WANADAMU na KITABU CHA MAISHA YA MUHAMMAD. Lakini Yeye Akisomewa KITABU Kimoja tu Cha PASTA MKOROFI Anakipinga,🤣🤣🤣

    • @shabbymakapane
      @shabbymakapane Місяць тому

      Kama Huamini , Chukua QURANI Kisha NDACHA Akitoa Aya Isome hiyo Aya Halafu Msikilize Anachokisema ndio Aya inavyosema? Na Hawezi kutoa Aya Zaidi ya 3 Ndani ya QURANI Lazima Akimbilie Kwenye VITABU Nje ya QURANI Huko ndiko Anakoona Anaopatia USHINDI

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Місяць тому

    😂😂😂

  • @Msemakweli058
    @Msemakweli058 Місяць тому

    Waisilam hamtumii akili sasa huyo nabii mkuu mfanyakazi wa shetani na mzee wa upako ndo muwaamini wanasema ukweli nyinyi mmepotea nae wanaosilimu washakataa pepo

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      Wasiotumia akili ni hao apo kanisani pamoja na wewe au ni waislam? Umeelewa wewe kweli?

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Місяць тому

      Sasa hao walijaa makanisani ndio hawana akili au waislam?

    • @Msemakweli058
      @Msemakweli058 Місяць тому

      @@fatumamwalimu5765 kanisa la mungu ni moja pekee ambalo linashika amri na sheria za mungu tofauti na hapo waisilam na wakirsto njia yenu ni jehanam

    • @Khalidmwangwai4651
      @Khalidmwangwai4651 Місяць тому

      Akili wew ndio hauna yesu anasema wakujue Mungu wa pekee na mim yesu ulienituma

    • @Msemakweli058
      @Msemakweli058 Місяць тому

      @@Khalidmwangwai4651 sawa ukimjua mungu ndo unakuwa muisilam au? Hacha ujinga kumjua na yesu ni kutii amri za mungu

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 Місяць тому

    Hhhhhh ndio wajinga wakristo wengine wajielewe sasa

  • @samsonmwaipaja4839
    @samsonmwaipaja4839 Місяць тому

    Yesu ni Mungu, kihivi , unafahamu kilichoandikwa katika Kitabu Cha mwanzo ni HIKI Natumfanye mtu Kwa mfano wetu na Kwa sura yetu, wewe unadhani anayehusishwa hapo ni nani?na nikupeleke Kwa Selemani kitabu chake Cha Mithali :Bwana alikuwa. NAMI katika mwanzo wa njia yake kabla ya matendo yake ya kale, Nalitukuka tokea milele, tangu swali kabla haijawako Dunia, Wakati visipokuwako vilindi NALIZALIWA
    Alipokuwa hajaiumba Dunia Wala makonde
    Ndipo nilipokuwa pamoja naye kama stadi wa kazi

  • @jjtm164
    @jjtm164 Місяць тому +1

    Wachungaji wa tanzania wamepotoka

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v Місяць тому

      Wanawafikishia ujumbe kuwa uislaam ndio dini pekee ya M/Mungu ila wapo na nyinyi Bado wanayahitaji mafungu ya sadaka waendelee ishi maisha yasiyo na tabu

    • @Khalidmwangwai4651
      @Khalidmwangwai4651 Місяць тому

      Hawa wanaelewa wew ndio hujitambui

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому

      Sasa wamepotoka nanini ulitaka wamuite yesu mungu ndio ujue waposawa?? Sasa katiyako wewe na yesu nani nikweli?? Maana yesu alikesha usiku kucha tena mlimani katika kumuomba mungu sasa alikua anamuomba mungu Gani wakatihuo ikiwa yeye ndio mungu mwenyewe au alikua anajiomba mwenyewe???

  • @ZakariaJackson
    @ZakariaJackson Місяць тому

    Swala lingine la ajabu na ambalo limefichwa ni kwamba waliwauwa maswahaba wa mtume ili wasije kutoa siri mkawasingizia wamekufa kwa urevi anzeni leo kuzunguka kwenye virabu vyenu vyote tanzania watu wanalewa kila siku mpaka wanazima wengine adi wanabakwa lakini awafi sasa hao maswahaba wenu inamaana walikuwa warevi kupita warevi wa gongo wanaozima kila siku lakini hawafi?

    • @Gyver8636
      @Gyver8636 Місяць тому

      Unajua ata unacho ongea😂 au wewe mwenyew ushalewa na hizo gongo

  • @EliaMwangobe
    @EliaMwangobe Місяць тому

    Yesu nakupenda u mali yangu ❤️❤️❤️

    • @AhmadSalim-dm4uk
      @AhmadSalim-dm4uk Місяць тому

      😅😅😅

    • @nasserm.nasser5087
      @nasserm.nasser5087 Місяць тому

      Siku ya mwisho wengi wataniiita Bwana. Watasema, ‘Bwana, kwa nguvu za jina lako tulihubiri. Na kwa nguvu za jina lako tulitoa mashetani na kufanya miujiza mingi.’ Ndipo nitawaambia waziwazi, ‘Ondokeni kwangu, ninyi waovu. Sikuwahi kuwajua.’
      Mathayo 7:22-23

    • @zaidiissa3714
      @zaidiissa3714 Місяць тому +1

      Sasa yjimpenda ndio atabadilika nakuamungu??

    • @hilalkhalfan1452
      @hilalkhalfan1452 Місяць тому

      Sote tunampenda kwasababu Ni Mtume WA Mungu.

  • @francismauya6110
    @francismauya6110 Місяць тому

    Wamesha kengeuka hawa yamebaki majina tu lakin ndani yao Fkra zimepofushwa

    • @RastaSuma
      @RastaSuma Місяць тому

      Huu ndo ukweli kwa mwenye akili.

  • @francisjoseph1074
    @francisjoseph1074 Місяць тому

    Mzee wa upako na ndacha waliitwa na Bishop ngonyani waende wakatetee hoja kua Yesu sio Mungu , wakaishia mitini , shafihi nakwambia hao uliowapost , sio lolote sio chochote kuna mtu anaitwa bishop makarius ngonyani , the master geneous fundi wa maandiko alimwita ndacha akatetee sabato na atetee hoja kua Yesu sio Mungu ndacha akaishia mitini shahidi simulizi tv , kwahy wasiongelee chumbani , waje mezani

    • @AhmadSalim-dm4uk
      @AhmadSalim-dm4uk Місяць тому

      Hoja anazo ama hana?😂

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      @@AhmadSalim-dm4uk ndacha aliitwa akatetee Mada ya sabato akakimbia , nakwambia hivi kama unamwalimu wako anajiamini anakaribishwa jogoo mbezi bichi wapo TV, jamaa anajua Biblia sio poah! Nafikili waiinjiri wanakazi ya zaida kusoma biblia na wanapaswa wajifunze wale shule Kwa bishop ngonyani

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Місяць тому

      @@francisjoseph1074 we upo upande gan kwamba Yesu ni Mungu au

    • @francisjoseph1074
      @francisjoseph1074 Місяць тому

      @@Yu-jr9uf mi naamini kua Yesu NI Mungu

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 Місяць тому

      ​@@francisjoseph1074kwa vigezo gani unaamini yesu ni Mungu

  • @lilhydon452
    @lilhydon452 Місяць тому

    Nyie waislam ni hata shetani akiwaambia ukristo sio dini ya MUNGU mnafata nyuma hata kama atakua anawapeleka motoni😂😂kwahio ni vyema nyie kufurahi

  • @paulmushi2428
    @paulmushi2428 Місяць тому +1

    Maamuma Shafii kila siku unakatakata vi clip kumwonyesha Ndacha Kwa kweli Ndacha alikupiga vibaya mpaka hata ukilala usingizini unaweweseka ukimuota Ndachaaaaaa!! mwenzako alishasahau kama alifanya mhadhara na wahadhiri wa Kiislamu pamoja na wewe😅😅

    • @TheAlman
      @TheAlman Місяць тому +2

      Paulina mushi kila siku unapambana kuukataa ukweli hata wa video hakiki ww ni likondooo lililopotea

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому +1

      ​@@TheAlman unasemaje Bedui 😅😅

    • @aasatt78
      @aasatt78 Місяць тому +1

      Tumekuzowea na vicomment vyako vya ovyo, silimu ndugu acha ukaidi ukiristo ni uwongo wa paulo

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@aasatt78 Nilisha silimu kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KWA NJIA YAKE

    • @paulmushi2428
      @paulmushi2428 Місяць тому

      ​@@aasatt78 Nilisha silimu kwa YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI AMBAYE NDIYO NJIA YA KWELI NA UZIMA MTU HAJI KWA BABA ILA KWA NJIA YAKE

  • @ChristiianKachare
    @ChristiianKachare Місяць тому

    We know there is no trinity in the bible. This junk is a myth made up by the Romans church. Mungu huapa Kwa nafsi yake tuu na si Kwa nafsi zake. Come back to bible.

  • @omarykalulu-cw5kt
    @omarykalulu-cw5kt Місяць тому

    Allah akbar

  • @AhmadSalim-dm4uk
    @AhmadSalim-dm4uk Місяць тому

    Allahu Akbar

  • @shaurikhamisi5689
    @shaurikhamisi5689 Місяць тому

    Allah akbar