Manshaallah shekhe kishiki ALLAH akuzidishe hekima. Na hili mashekhe wote unganeni huyu sharifu anaupotosha umma Tena kupitia kivuli Cha uisilamu huu ni msiba
Shekhe tunakuombea na tuna zidi kukuombea Allah akuufadhi shekhe mawaiza yako huwa binafsi yananigusa sana na yamenifundisha mengi Allah azidi kukulinda shekhe wetu
Alhamndulillah na mshukuru Allah kwa kukupa ujuzi wa dini yake ni seme tena Allah akuifadhi Allahumma Ameen 🤲 🤲🤲 na uzidi kutuelimishe ili tuipate nusrah ya Allah wewe na sisi Ameen yaarabby 🤲🤲🤲
Ya Allah mpe nguvu na hekima shekh wetu kishki na utuelekeze pamoja naye kwa njia iliyonyooka na utupe mwisho mwema hapa duniani na Kesho akhera, Aamin Aamin Aamin
shekh wangu mimi nakukubalisana kwa mafundisho yako baba natamani ningekuwa tanzania nina amu yakukuona face to face kabla sijafariki nikutane nawewe shekh
Safar Moja nilikua kwenye muhadhara korogwe tukaambiwa njoni namaji nunuen hapo mlipo tutayasomea sie Tena sawa siku yapili njoni nachumvi nandiz nikasema hii shilki nikatoka mbioooo
sahihi maneno yako me nakukubali sana Masha allah hongera wapo kweli watibabu wazuri wala hawatumi ushirikina wala sio waongo wala sio wenye kudhulumu wala kusema uwongo wapo kwa ajili ya allah s w ila lipo kundi la pili wenye kufanya kinyume nautaratibu watiba hawa kazi yao niuwongo kudhulumu kudanganya watu wapo kisa nikutaka mahitaji yao ya waende tuu na aliyekuwa anajuwa hajitangazi km yy ajuwa jambo fulani
Shukran kishki maan kuna watu bado wapo kwenye giza..katagaza kichinjo ngo'mbe 60 mbuzi 70 kwa siku moja tena kwa akina mama tu watu wanatolewa kafara bira kujijua
Assalam aleykum warrahmatulullahi wabarrakatuh. Nadhani sisi wa islams, imefikia hatua ya kudhalilishana kwenye media., nadhani kitu muhim tungekua tunashauliana uso kwa uso. Maana hizi media sio nzuri wallahi
Kwanini dini ya mwenyezi Mungu mnaanza kuigawa badala kuwafundisha waliopotea mnagombea mtukuiita sharifu waisilamu watanzania badala ya kuzungumzia mambo ya mana mnakaa kugombania jina
Asalam alleykum warahama tullah wabarakatu sheikh wetu mungu akujeze Imani kupambana akupe nguvu kseli wanaharibu uislamu lkn mungu atawa atawaharibu wao inshaallah waende huko huko kanisani Wala wasiwachiwe kutuchezea hao washirkkina
Shekhe kishik tujua unatetea uislam tuwe na imani imani ila waganga wabajua unawavunjia dawa zao hawatauza ukweli mkubali aliyesoma Quran tukufu aminii kama kuna sharifu akatoa uchawia
Acheni njeaa fanyeni kazi tanzania uchumi upo mabonde yapo leo kwanini hatutaki kulima tufanye mipango ya kugombanisha watu hajui mambo ya ushirikina leo ndio watoto wanapote wanakatwa viungo haya yote nanasababishwa nahawa washirikina wanafika mpaka kuuwa wazee kuuwa walemavu wangozi chanzo hawa watu washirikina haufai ushirikina tumuogope mungu tuache usanii
Eti atakuonesh atakuonesh nini huyo mtoto mdogo tu kwako na alie muislam hamfanyii mwenzake ubaya mtume wetu Muhammad rasulullahu hakuwah kumfnyia Mt ubay
Tuzingatie Qur an na sunnah zina sema nini kuhusiana na swala kama hili, isipokua kama kitu ukijui hupaswi kupinga wala ku judge tayari tupo kwenye globalization tukiona wote masheikh sasa kama wanapingana waoh sisi yatupasa kuangalia nafsi zetu kwa kusoma qur an hadith na sunna za mtume m (s.a.w) siku ya kiama tutaona mengi allah atupe pepo tu kwakweli waweza kuona sheikh mkubwa akaambiwa pita kulee kushoto
Hii ni dini,,mambo ambayo hayako kwnye dini lazima yasemwe hakuna kupepesa mambo katika dini ya Allah,,hizi njaa ndo zinapelekea watu kufnya mambo ambayo Quran na Hadithi hayapo,Sheikh Kishki hana makosa tuache janja janja waislamu lazima tukemee UJINGA wakupoteza waislamu
LEO WAISLAM TUNAGOMBANA SS KWA SS HATUELEWANI TUNASEMA TUNAKASHIFIANA KTK MEMBARI TUNAWAPA KUSEMA WASIO WAISLAM ANAPOKOSEA MTU AFATWE AELEWECHWE SIO KUSEMANA
Tumia akili mtu anayoyafanya anayafanya public na watu wanaona kumsikiliza kila siku so hawezi kufatwa kimyakimya lazima sheikh abainishe ukweli kwa watu wote wafaham hii na haq hii na baatwil na hapo bwana sharifu ana mpaka tv yake so anazidi kupoteza watu kila siku acha aambiwe na sisi tujue ukweli ni upi
SHEKH KISHKI ASALAM ALYEYKUM NISIKILIZE KWA MAKINI HUU UTAPELI WA KUTUMIA QURANI KUTAPELI WATU NAHAKIKA HATA WEWE UMEHUSIKA KUFUGA MATAPELI WANAOJIFANYA WANAOTUMIA DAWA ZA KISUNA NA DUA KUPONYESHA WATU SASA HIZO TIBA ZIMEFIKIA MAHALI PABAYA YAANI UGANGA WA KIENYEJI UMEINGIA MISIKITINI KUNASIKU NIMEWAONA MATAPELI WANAONYESHA MAZINGAOMBWE KTK TV YAKO WANAOJIFANYA WANATOKA SIRI ZA MATAPELI KUMBE NAWAO MWISHONI WANATANGAZA DAWA ZAO NAWEZA KUSEMA NA WEWE NI MMOJA WAPO UNACHANGIA SASA UNAONA WANAPIGA PESA UNAONA WIVU WEWE NI MMOJA WA HAO WANAOJIFANYA WANATIBU KWA KUTUMIA MAJI YA ZAM ZAM NA MAFUTA YA MZAITUNI MUNGU AWALAANI NYINYI MNAE DANGANYA KUTOA TIBA KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI NA MISIKITI,
Sisi wachangiaji tuwe makini na JUU YA michango yetu jeee tunayo elimu juu ya kumuunga mkono sheikh au kumpinga lasiivyo tukasomeni dini yetu ili tusichangie kuugawa uislamu
Kwaiyo unataka kusema shekh hayuko sahihi ww usitupumbaze din yetu ni yahak hayo mambo kwenye uislam hayapo kishik wakemee mpaka wanyooke wanataka kuchafua sura ya din yetu
Eti kugawa watu katika dini wakti wengine wengi hawapo katika dini, kwa mfano Maulid sio dini ila watu wanafanya, sasa mtu akiwa katika upotevu lazima arudishwe katka dini
Sheikh kasema kweli, lazma misingi na taratibu zinakubalika. ila yale mambo ya kumwagia watu maji au mafuta huo ujinga, sahz makristo wanasema et oh naona sahz ndugu zetu waislam wanakuja kwenye mfumo, sasa huku ni kudhalilisha waislamu na Uislamu
Uislamu hauna jambo lisilo na asili. Utumiaji wa maji na mafuta kwa waislamu una asili na ni jambo la kawaida kwa karne zote wala haijaiga kutoka kwa wakristo. Shida ya baadhi yetu tumekuwa hatusomi bali ni ushabiki tu.
Hawana kalama wala Quran ila tunawafata kwavile wanapata nafuu kwa buku maji buku ubani chumvi hizo ndiyo dawa zao na ukienda kwao jua ujaenda kwa shekhe sema naenda ngende siye tumezaliwa zamani na tunajua jamani na anaemda kwa sharifu ajabalikiwa wale ni waganga wa kieneji adi kazu zao wakivaa zinawaonesha kama waganga
Upo sahihi sheh kwenye mwenyezi mungu ukimsikiliza anasema biz mungu hata kuitamka kwa kiswahili haiwezi yani huyu tapeli tena mkubwa nenda tanga huko mbalamo ukaludi kibogoyo kamakweli wewe mganga
Matusi si dawa kama huna hoja sinibora ukimyee tu huo ndio wisiliam ujasiri huo munatpa kwan hamuoni aibu wabana wawatu hinitambia yakukosa madali sote niwanafunzi mwalimu Al kuwa mutume wetu Muhammad (s.a.w) sisi ukikumbushwa makosa yakariri kwa uzuri munatutia aibu wababa wakisilamu unaraauka kuswali ukingia oline matusi acheni hii tabia haifai nduguzangu tumuogopeni Allah kwa ukweli wa kumuogopa heshima muhimu
Imezidi hawa naniaibu hata ndugu wenzetu wa cristo wakipitia coment zetu kitu kidogo shekhe akikosoa mwingine mpuzi mjinga hailet picha nzuri niaibu wenye hizi tabia tupunguze ama tuache kabisa haifai
Sheikh unasema ukweli mtupu waace kutuzinguwa Dini ya Kislam wala hayicezewi wa Islam hatukubalianagi nahayo mambo tuaciye mambo yaajabu Sheikh mazinge tunakukubali saaaaana tena saaaana ila kwahilo umenishangaza saaaana sasa ndaca utamwambia nini nawakati umeanza kutetea mafuta ya upako
Uyo firdaus ayo maji anayatumia vibaya, kwanini asiwe anagawa chupa kwa kila mtu?lakini yeye anamwagia watu mwenyewe, aho izo sura alizo somea yeye wengine awawezi kuisomea aweke wazi ni dua ipi tusomee wenyewe.
Ulikiona anaoza kitabu kitabu kipi kauza nakakitunga wapi na kinaitwaje hicho kitabu tupe ushahidi kinaitwaje hicho kitabu alichouza kitaje hicho kitabu hamtaki mnasihiwe hataki mkumbshe
Nurudin hata wewe tabia yako yakutafuta hrla kupitia.mlqngo wq.Dini ya Allah hata wewe upo kupitia taasisi za mashule yasiekuwa na maadili sahihi ya Kitabu cha Allah na Sunna anzeni myie mnaejiona mkoo juu kisha hata wao watawafwata kuwa wakweli kwa kila jambo hebu angalia hata unavyongea hakika ni sifa zimekutawala hajafanya hayo wala hajatufundisha Mtume wetu Sala na Salaam zimfikie
Kwel sharifu kama sharifu yy hatumii maji wala mafuta yy kauli yake tuh bc tosha na wallah sharifu akitamka kwa mdomo wake lazima liwe MAFUTA TENAA SIO SHARIFU HUYO NAMUUNGA MKONO SHEKHE WETU KISHIKI
We huna ulijualo mwamposa ni mkristo na Dada zetu waislam wanakwenda kwa mwamposa Kwa hiyo unasapoti waende kwa mwamposa au waende kwa muislamu mwenzako
Njaa hakuna jengine zaidi ya njee kama kunawatu wanafika kuuza viwanja vya waislamu pale changombee wameuza uwanje kunamisikiti mingapi wameuza njumba za wakufu leo watu wakisema hatukuaminini mnasema wanatubagua punguzeni njea ziopeni haki za wakufu
Sheikh wewe ukizindua vitabu vyako unauuza misikitini masharifu wakiuza mafuta misikitini unasema ni haramu kufanya biashara misikitini hebu masheikh muwe waadilifu mnatuchanganya sisi maamuma
Kijitamfyomi sikia pia uisome dini kufanya biashara msikitini ni vibaya sana wala kutoa matangazo ila ndio tunajifanyia tuu kuna mambo ya kufanywa msikitini kuna mambo hayaruhusiwi
From mombasa kenya … nyie mashekhe wa kitanzania mlikofikia sasaivi ni kuiharibu dini kupitia media zenu . Sikuhizi hamna hoja za msingi ni ushenzi tu wa kutafuta views na likes kwenye page zenu . Mtu kafanya kosa mtafute face to face mrekebishe sio mizozano kwenye media mnaonekana kama vile wote hamna akili tunachotaka kuona kwenye page zenu ni mada zenye ilmu sio mabishano yasio na msingi . yanini kuoneshana ubabe kwenye maswala ya dini acheni sifa zisizo na msingi mnasinya bana. waislamu wote ni wamoja msitake kuleta team this and team that
Ukweli lazima usamwe. Uislamu ni kuongea ukweli mengine ni wewe kuamua na mungu wake. Uislamu imeruhusu kuhoji mada yyote kutumia Quran na Hadith. Ukweli uko wazi na Mungu amlinde sheikh kishki na ampe hikma
Mashaallah shekhe Allah akupe umri mrefu ill uzidi kutuelimisha
امين يارب العالمين
Manshaallah shekhe kishiki ALLAH akuzidishe hekima. Na hili mashekhe wote unganeni huyu sharifu anaupotosha umma Tena kupitia kivuli Cha uisilamu huu ni msiba
My best shekhe …. Allah aendelee kukupa afya njema na maisha marefu amiiin
Aamin
Shekhe tunakuombea na tuna zidi kukuombea Allah akuufadhi shekhe mawaiza yako huwa binafsi yananigusa sana na yamenifundisha mengi Allah azidi kukulinda shekhe wetu
Alhamndulillah na mshukuru Allah kwa kukupa ujuzi wa dini yake ni seme tena Allah akuifadhi Allahumma Ameen 🤲 🤲🤲 na uzidi kutuelimishe ili tuipate nusrah ya Allah wewe na sisi Ameen yaarabby 🤲🤲🤲
Ya Allah mpe nguvu na hekima shekh wetu kishki na utuelekeze pamoja naye kwa njia iliyonyooka na utupe mwisho mwema hapa duniani na Kesho akhera, Aamin Aamin Aamin
MashaAllah TabarakkaAllah
Shukran ya sheikh Allah akujalie kila lakhreri
shekh wangu mimi nakukubalisana kwa mafundisho yako baba natamani ningekuwa tanzania nina amu yakukuona face to face kabla sijafariki nikutane nawewe shekh
Rehema abdul Allwah akuwafikishe na asimamie nia yako siku ukifika ukamuone
Mi nipo Tanzania sijabahatika pia kumuona sheikh kishk nadhan hajawah kuja kondoa watu wengi kondoa wanampenda sana sheikh kishk
MASHA ALLAH kondoa sehemu gan Mimi nyumbani kondoa bereko@@tztanzania2262
Allah akujaalie uonane na
Mashallah Mungu akufanyie wepesi
Dah umenifurahisha sana shekhe wangu kishki mwenyewe nilisema tunaenda wpi sisi kama sio ukiristo huu niupako bora umenisaidia nafsi yangu
اللّٰه اكبر
Allah akufanyie wepesi,yaan uko sahihi sheikh kishki..
Ustathi wetu mungu akulinde sana
M/Mungu mjaze Imani azidi kutuelimsha Amina
Allah akulinde shekhe wangu
Safar Moja nilikua kwenye muhadhara korogwe tukaambiwa njoni namaji nunuen hapo mlipo tutayasomea sie Tena sawa siku yapili njoni nachumvi nandiz nikasema hii shilki nikatoka mbioooo
Shukran sana sheikh kishk Allah ukupe umri mlefu piga msasa vizuri waache kutudanganya
sahihi maneno yako me nakukubali sana Masha allah hongera wapo kweli watibabu wazuri wala hawatumi ushirikina wala sio waongo wala sio wenye kudhulumu wala kusema uwongo wapo kwa ajili ya allah s w ila lipo kundi la pili wenye kufanya kinyume nautaratibu watiba hawa kazi yao niuwongo kudhulumu kudanganya watu wapo kisa nikutaka mahitaji yao ya waende tuu na aliyekuwa anajuwa hajitangazi km yy ajuwa jambo fulani
Shukran kishki maan kuna watu bado wapo kwenye giza..katagaza kichinjo ngo'mbe 60 mbuzi 70 kwa siku moja tena kwa akina mama tu watu wanatolewa kafara bira kujijua
Mashallah shekh Kishk
Mashalla Allah sheikh
Sheihk mwenyezi Mungu azidi kukupa afya na akida na akuepushe na husda za waja upate kutuonesha njia ya kheri
Swadakta sheikh 💚
🎉🎉🎉🎉chukuwa. Màuwa. Uendenayo rijana. ❤❤❤❤❤
Katika mashekhe tumebarikiwa katka nchi yetu wenye misimamo yakweli. Mmoja ni ww shekh wengi wap njaa tu Allah akuhifadhi
Ma sha Allah shenk
Assalam aleykum warrahmatulullahi wabarrakatuh. Nadhani sisi wa islams, imefikia hatua ya kudhalilishana kwenye media., nadhani kitu muhim tungekua tunashauliana uso kwa uso. Maana hizi media sio nzuri wallahi
Kweli kabisaa!
Wacha wanyoshwe tu wame yakanyaga kama hawataki kukubali walipo kosea bac itabidi wafundishwe wasipotoshwe
sahihi maneno yako
@@MuhammadJaffary-uu6zlwazo lako alipo kibusala
❤❤
Amna sharifu waka nabii wote wanaenda ngende kama tuliowazoea huko nyuma manyanyau kina hoko na hawa wameenda huko huko
Nakupenda kwa Ajili ya Allah
Ameeni rabbina alameen
Allah ampe nguvu kishki kuwazidi watu wabidaa wapenda pesa kwawatu. 😮😮😮😮
Shekhe kishki. Uposawa kazamwendo hawa vibaka wanapotosha dini
ALLAAH. Akbar
Kwanini dini ya mwenyezi Mungu mnaanza kuigawa badala kuwafundisha waliopotea mnagombea mtukuiita sharifu waisilamu watanzania badala ya kuzungumzia mambo ya mana mnakaa kugombania jina
Jamani mashekhe Wangu kila shekhe anakula kwaulefu wake
subhunaAllah 33
alhamdullillah33
AllahuAkbar33
Asalam alleykum warahama tullah wabarakatu sheikh wetu mungu akujeze Imani kupambana akupe nguvu kseli wanaharibu uislamu lkn mungu atawa atawaharibu wao inshaallah waende huko huko kanisani Wala wasiwachiwe kutuchezea hao washirkkina
Nakumbuka maneno ya shekhe msimu wa babu wa loliondo na yalitokea
Allah akuhifadhi popote ulipo
Shekhe kishk sema Kila siku na Kila atakaekuja kwa namn km hio au nyengine waambie vzr usiwaache wote
Yupo sahihi kishki
Shekhe kishik tujua unatetea uislam tuwe na imani imani ila waganga wabajua unawavunjia dawa zao hawatauza ukweli mkubali aliyesoma Quran tukufu aminii kama kuna sharifu akatoa uchawia
Sheikh, ombi ukae na mazinge umfunze sheria hizi maana yeye nae ana lingania dini japo hana bahari hii
Acheni njeaa fanyeni kazi tanzania uchumi upo mabonde yapo leo kwanini hatutaki kulima tufanye mipango ya kugombanisha watu hajui mambo ya ushirikina leo ndio watoto wanapote wanakatwa viungo haya yote nanasababishwa nahawa washirikina wanafika mpaka kuuwa wazee kuuwa walemavu wangozi chanzo hawa watu washirikina haufai ushirikina tumuogope mungu tuache usanii
Umenena sawa, Allah akulinde ww na sisi.
Wape vidonge vyao wakimeza wakitema shauri yao ukweli usemwe tu tusiwaogope
Shehe inatosha kufikisha ujumbe mara moja tu
akikubali sawa akikataa sawa ujumbe ushafika
Sh, kishki yupo sahihi ww kama ni tim sharif endelea na njia yako.
Eti atakuonesh atakuonesh nini huyo mtoto mdogo tu kwako na alie muislam hamfanyii mwenzake ubaya mtume wetu Muhammad rasulullahu hakuwah kumfnyia Mt ubay
SHEKHE UMEMPA NONDO ZAKICHWA SHARIFU FECK AK , KIBOKO YA WACHAWI SHARIFU
Shekh.kweli.unayosema
Sheh unajuw💯💯
Kama anaponyesha aende muhimbili wagonjwa wanaumwa kweli asiwafate huko mikoani aende muhimbili ndio tutamjua yeye sharif
Sisi wasilamu tunaloho mbaya sana
Tuzingatie Qur an na sunnah zina sema nini kuhusiana na swala kama hili, isipokua kama kitu ukijui hupaswi kupinga wala ku judge tayari tupo kwenye globalization tukiona wote masheikh sasa kama wanapingana waoh sisi yatupasa kuangalia nafsi zetu kwa kusoma qur an hadith na sunna za mtume m (s.a.w) siku ya kiama tutaona mengi allah atupe pepo tu kwakweli waweza kuona sheikh mkubwa akaambiwa pita kulee kushoto
Itakuwa walipwa na makafiri watupoteze ila mungu ata tu sitiri na mashek wangu musi choke
Hii vita kali sana ngoja tumsubiri firdausi atakuja na jibu gani hapa wanapigana vijembe tu
VIZUKA WA ZAMA IZI 😊
Hii ni dini,,mambo ambayo hayako kwnye dini lazima yasemwe hakuna kupepesa mambo katika dini ya Allah,,hizi njaa ndo zinapelekea watu kufnya mambo ambayo Quran na Hadithi hayapo,Sheikh Kishki hana makosa tuache janja janja waislamu lazima tukemee UJINGA wakupoteza waislamu
Swadaqta
بارك الله فيك
LEO WAISLAM TUNAGOMBANA SS KWA SS HATUELEWANI TUNASEMA TUNAKASHIFIANA KTK MEMBARI TUNAWAPA KUSEMA WASIO WAISLAM ANAPOKOSEA MTU AFATWE AELEWECHWE SIO KUSEMANA
Tumia akili mtu anayoyafanya anayafanya public na watu wanaona kumsikiliza kila siku so hawezi kufatwa kimyakimya lazima sheikh abainishe ukweli kwa watu wote wafaham hii na haq hii na baatwil na hapo bwana sharifu ana mpaka tv yake so anazidi kupoteza watu kila siku acha aambiwe na sisi tujue ukweli ni upi
SHEKH KISHKI ASALAM ALYEYKUM NISIKILIZE KWA MAKINI HUU UTAPELI WA KUTUMIA QURANI KUTAPELI WATU NAHAKIKA HATA WEWE UMEHUSIKA KUFUGA MATAPELI WANAOJIFANYA WANAOTUMIA DAWA ZA KISUNA NA DUA KUPONYESHA WATU SASA HIZO TIBA ZIMEFIKIA MAHALI PABAYA YAANI UGANGA WA KIENYEJI UMEINGIA MISIKITINI KUNASIKU NIMEWAONA MATAPELI WANAONYESHA MAZINGAOMBWE KTK TV YAKO WANAOJIFANYA WANATOKA SIRI ZA MATAPELI KUMBE NAWAO MWISHONI WANATANGAZA DAWA ZAO NAWEZA KUSEMA NA WEWE NI MMOJA WAPO UNACHANGIA SASA UNAONA WANAPIGA PESA UNAONA WIVU WEWE NI MMOJA WA HAO WANAOJIFANYA WANATIBU KWA KUTUMIA MAJI YA ZAM ZAM NA MAFUTA YA MZAITUNI MUNGU AWALAANI NYINYI MNAE DANGANYA KUTOA TIBA KWA KUTUMIA VITABU VYA DINI NA MISIKITI,
Uislam ndo Dini ya kwel na hakhi, shekhe wambie ukweli hao matapeli
Shekhe unaongea jambo lililo nyooka sana kale katoto kajinga et anakunyoosha na ndimu60 muhuni mkubwa hata mazinge kasha jipotexa😢
Makadiria ndiyo yanatuchafulia dini👈👈👈
Sisi wachangiaji tuwe makini na JUU YA michango yetu jeee tunayo elimu juu ya kumuunga mkono sheikh au kumpinga lasiivyo tukasomeni dini yetu ili tusichangie kuugawa uislamu
Kwaiyo unataka kusema shekh hayuko sahihi ww usitupumbaze din yetu ni yahak hayo mambo kwenye uislam hayapo kishik wakemee mpaka wanyooke wanataka kuchafua sura ya din yetu
ALHAMDULILLAH NAFURAHI NAWEZA KUTAFAUTIASHA
Shekh kishiki weka wazo madudu yote
Uhuni na unababaishaji kwa dini hakuna. Dini iko wazi na sheikh k yuko sawa.
Eti kugawa watu katika dini wakti wengine wengi hawapo katika dini, kwa mfano Maulid sio dini ila watu wanafanya, sasa mtu akiwa katika upotevu lazima arudishwe katka dini
Mshazowea kutapeliwa huko na ujinga wenu mutapewa maji yenye sumu au yalosomewa Dua ya maangamizo na huo ujinga wenu
Firdausi Yuko sawa maana kama watu wanapona sasa shida nini
Sheikh kasema kweli, lazma misingi na taratibu zinakubalika. ila yale mambo ya kumwagia watu maji au mafuta huo ujinga, sahz makristo wanasema et oh naona sahz ndugu zetu waislam wanakuja kwenye mfumo, sasa huku ni kudhalilisha waislamu na Uislamu
Uislamu hauna jambo lisilo na asili.
Utumiaji wa maji na mafuta kwa waislamu una asili na ni jambo la kawaida kwa karne zote wala haijaiga kutoka kwa wakristo.
Shida ya baadhi yetu tumekuwa hatusomi bali ni ushabiki tu.
@@abdallahsaid8157 una ushahidi ?
Hawana kalama wala Quran ila tunawafata kwavile wanapata nafuu kwa buku maji buku ubani chumvi hizo ndiyo dawa zao na ukienda kwao jua ujaenda kwa shekhe sema naenda ngende siye tumezaliwa zamani na tunajua jamani na anaemda kwa sharifu ajabalikiwa wale ni waganga wa kieneji adi kazu zao wakivaa zinawaonesha kama waganga
Upo sahihi sheh kwenye mwenyezi mungu ukimsikiliza anasema biz mungu hata kuitamka kwa kiswahili haiwezi yani huyu tapeli tena mkubwa nenda tanga huko mbalamo ukaludi kibogoyo kamakweli wewe mganga
Huyu kishk ni saw na nyie mliokuw hamujui ata kujitoharisha washenz nyie
pambana nao wameanza kuja mpaka kenya kuleta huo upuzi,huo ni usanii sio tiba kwa njia ya dini
wagonge shekh tupo pamoja washatufilisi hao so watu
Njaa mbaya mliwasema Wakristo kuuza maji na mafuta ss mtauza hadi mavi.
Matusi si dawa kama huna hoja sinibora ukimyee tu huo ndio wisiliam ujasiri huo munatpa kwan hamuoni aibu wabana wawatu hinitambia yakukosa madali sote niwanafunzi mwalimu Al kuwa mutume wetu Muhammad (s.a.w) sisi ukikumbushwa makosa yakariri kwa uzuri munatutia aibu wababa wakisilamu unaraauka kuswali ukingia oline matusi acheni hii tabia haifai nduguzangu tumuogopeni Allah kwa ukweli wa kumuogopa heshima muhimu
Alie kutukana ww naniii???
@@nurumohammed1310 kwani nikisema kutukanywa lazima iwemm matusi iliruhusiwa ayagani hatakama ukwazika na ww nimbaba
Imezidi hawa naniaibu hata ndugu wenzetu wa cristo wakipitia coment zetu kitu kidogo shekhe akikosoa mwingine mpuzi mjinga hailet picha nzuri niaibu wenye hizi tabia tupunguze ama tuache kabisa haifai
Lkn hajatukana yy ametoka media na yy ametumia media
Sheikh unasema ukweli mtupu waace kutuzinguwa Dini ya Kislam wala hayicezewi wa Islam hatukubalianagi nahayo mambo tuaciye mambo yaajabu Sheikh mazinge tunakukubali saaaaana tena saaaana ila kwahilo umenishangaza saaaana sasa ndaca utamwambia nini nawakati umeanza kutetea mafuta ya upako
Uyo firdaus ayo maji anayatumia vibaya, kwanini asiwe anagawa chupa kwa kila mtu?lakini yeye anamwagia watu mwenyewe, aho izo sura alizo somea yeye wengine awawezi kuisomea aweke wazi ni dua ipi tusomee wenyewe.
Ulikiona anaoza kitabu kitabu kipi kauza nakakitunga wapi na kinaitwaje hicho kitabu tupe ushahidi kinaitwaje hicho kitabu alichouza kitaje hicho kitabu hamtaki mnasihiwe hataki mkumbshe
Nurudin hata wewe tabia yako yakutafuta hrla kupitia.mlqngo wq.Dini ya Allah hata wewe upo kupitia taasisi za mashule yasiekuwa na maadili sahihi ya Kitabu cha Allah na Sunna anzeni myie mnaejiona mkoo juu kisha hata wao watawafwata kuwa wakweli kwa kila jambo hebu angalia hata unavyongea hakika ni sifa zimekutawala hajafanya hayo wala hajatufundisha Mtume wetu Sala na Salaam zimfikie
Kwel sharifu kama sharifu yy hatumii maji wala mafuta yy kauli yake tuh bc tosha na wallah sharifu akitamka kwa mdomo wake lazima liwe MAFUTA TENAA SIO SHARIFU HUYO NAMUUNGA MKONO SHEKHE WETU KISHIKI
Ila jmn uislamu hatuna maji na mafuta yetu sisi ni maduwa tuh visomo bc sasaa huyo sharifu feki mafuta na maji yy kayatowa wapii ???au yy mwamposaa
Watu wahuni sn mafuta
Dadazetu wanatembea uchu bala kuwalingania mnagombea jina
Wapige spana hao matapeli
Shekh usikate tamaa tuko na wewe
Wewe umejuwa he kijana hana itikadi nzuri ? 🙄
Chaajabu uyu mazingine akiona seem kuna maokoto atajipeleka mzee uyu dogo tapeli bwana
Na shekhe akiuz mafuta bc sio km yale na nyie wabongo wengi mnatabia za kikiristo hamn tofaut kimaadili mavaz Kila kitu ndio mukampinga kishki
Kisha watowa vitabu za wanazioni sio hadith za mtume .
Alafu unamsemea kijana vitu hauna Ata uhakika
Ww inaonesha sio muislamu kwanza jua Tafsiri ya Mwanachuoni?
@@couragesanatu939 wewe na kishki ndio .unahakikisha nyie ndion mu a hakikisha mtu muisilamu na sio .uisilamu .
Labda basi .ulipata wahayi mpiya
mimi nauliza kati ya mwamposa na huyu shalifu kunatofauti gani wote ni matapeli na timzaozato wezi tu
We huna ulijualo mwamposa ni mkristo na Dada zetu waislam wanakwenda kwa mwamposa Kwa hiyo unasapoti waende kwa mwamposa au waende kwa muislamu mwenzako
@@murshidarajabu3456 mbona ameandika vizuri tu
Njaa hakuna jengine zaidi ya njee kama kunawatu wanafika kuuza viwanja vya waislamu pale changombee wameuza uwanje kunamisikiti mingapi wameuza njumba za wakufu leo watu wakisema hatukuaminini mnasema wanatubagua punguzeni njea ziopeni haki za wakufu
Mtaje alio uza kama unamuongelea shekhe kishiki yy hana nguvu ya kuuza upo ww
Kishki sasa umeishiwa na dawa ulinganiaji umekushinda waanza kuropoka unafiatilia mambo yawatu huo ni ujinga sasa umekujaa
Jieshimu we nijing km sharifu
@@CoudraAbdulWewe huelewi chochote kaa kimya kunamengine sheikh anakosea anavuka mipaka
Izo ni chuki zako au na ww hayo ndo mambo yko kishik ni shekh mkubwa misikit mingap wanamlilia aende ww ushaitwa wap na wap acha unafik
Unaonekana nawe pia ni miongoni mwao haoooo matapeli
Kwaiyo ww umerizik Waislamu kuibiwa namn hiyo ama vp?
Nyie bc hamsemi hamjitafakar sharif ni km yule alivo yeye yule nyie hamuoni waislam half mnamtolea maneno shekhe
Mie mnaomtolea maneno huyu shekhe nyie mko saw na yey wajinga wakubwa nyie
Shekh acha malumbano kama Quran amesema dhuluma malipo yake yapo hapa hapa kaaa kimya achana nao
Aachane nao vipi wakati wanapoteza ummah ?
@@nyatya199 we chizi kupotea akili yako. Unaambiwa Huu Moto unaweka pumbu zako😂
@@adiaygo8546 matusi siyo sifa ya muislamu
قال رسول الله صلى الله عليه وسلم [ سباب المسلم فسوق وقتاله كفر ]
Muogope muumba wako.
Shekh wewe Salafi ?
Hila zimekujaa na unafiki sheikh hebu tulia acha malumbano utafeli pakubwa
Hila gani muogope Allah na uwaheshimu masheikh yani mambo yasiyo ktk dini yasikemewe
Kula mama yako mbwa ww
Kuma la mama yako mbwa ww
Njoooo nikutombe niukune huo mkundu wako mbwa ww kafiwre na pdydy
Usimtukane akhii huyu hajui din@@saidpcb3632
Sheikh wewe ukizindua vitabu vyako unauuza misikitini masharifu wakiuza mafuta misikitini unasema ni haramu kufanya biashara misikitini hebu masheikh muwe waadilifu mnatuchanganya sisi maamuma
Acha upumbavu dini hijuw wwe
Kijitamfyomi sikia pia uisome dini kufanya biashara msikitini ni vibaya sana wala kutoa matangazo ila ndio tunajifanyia tuu kuna mambo ya kufanywa msikitini kuna mambo hayaruhusiwi
@@BakaryOmally haya sheikhe wa mkoa
Kweli
Sheikh kishki Tunamuomba Allah akuifazi Allah akupe umri mrefumrefu wenye manufaa ili uendelee kuelimisha jamii
Anatibu watu nawanapona wewe ukiona anakosa mbona hufanyi wagonjwa waje kwako. Pinga kitu ulete suluhu
@@jumaciza461 mwambieni aende mahospital kama kweli anaweza hiyo kazi , huyo hana tofauti na mwamposa ,
From mombasa kenya … nyie mashekhe wa kitanzania mlikofikia sasaivi ni kuiharibu dini kupitia media zenu . Sikuhizi hamna hoja za msingi ni ushenzi tu wa kutafuta views na likes kwenye page zenu . Mtu kafanya kosa mtafute face to face mrekebishe sio mizozano kwenye media mnaonekana kama vile wote hamna akili tunachotaka kuona kwenye page zenu ni mada zenye ilmu sio mabishano yasio na msingi . yanini kuoneshana ubabe kwenye maswala ya dini acheni sifa zisizo na msingi mnasinya bana. waislamu wote ni wamoja msitake kuleta team this and team that
Ukweli lazima usamwe.
Uislamu ni kuongea ukweli mengine ni wewe kuamua na mungu wake.
Uislamu imeruhusu kuhoji mada yyote kutumia Quran na Hadith. Ukweli uko wazi na Mungu amlinde sheikh kishki na ampe hikma
Mtu anakosea mnataka asiambiwe Kun shekh gan alouz maji km Yale huyo maridhia bc anaekwambia uje na maji Yako au maji anayouz ni meupe sio km yale