USTADHI SHAFII AFUNGUKA MAISHA YAKE KABLA YA MIKUTANO NA WAKRISTO NA SABATO, AMTAJA USTADH MAZINGE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 1 лют 2025

КОМЕНТАРІ • 23

  • @HalimaKinyashi-w7h
    @HalimaKinyashi-w7h 4 місяці тому +1

    Inshallah shekhe wetu Allah akukubali

  • @omargargaar5611
    @omargargaar5611 6 місяців тому +4

    Allah awarehemu wazazi wko Allah awepe Njana Firdous Allah akuhifadhi sheikh wg Shafi MashaAllah MashaAllah MashaAllah TabarakAllah

  • @MuhindoJamaldin
    @MuhindoJamaldin 6 місяців тому +2

    Pole yakhe sheikh ya shukran Allah akwihifazi na akupe akhra na furaha na atujalie pepo nzuri jannah

  • @eliasharun3273
    @eliasharun3273 6 місяців тому +3

    Mungu awe pamoja nawe kwa kujishughurisha na Mambo ya Mungu

  • @DavidMatata
    @DavidMatata 6 місяців тому +1

    Umeongea vizuri sana mkuu... Mungu akubariki!!

  • @babyboy6310
    @babyboy6310 6 місяців тому +1

    Shekh mazinge. Allah amuweke

  • @IbrahimIbrahim-r2x
    @IbrahimIbrahim-r2x 6 місяців тому

    Asalam aleikum warahmatullah taarah wabarakatu kweli she Allah akuongoze katika kheri inshallah ila mshaulin Dr sure aludi kwa Allah make anapokwenda dini aisem ivyo et mpen ushauli

  • @habillahimsokela6708
    @habillahimsokela6708 3 місяці тому

    Sema shafii comedian sana huyu😂

  • @masoudnzowa4608
    @masoudnzowa4608 4 місяці тому

    mashallah

  • @jotafungo4622
    @jotafungo4622 6 місяців тому +2

    Kumbe Mmafia mwenzangu!

  • @samuelkombo3559
    @samuelkombo3559 4 місяці тому

    Umebatika kutokujua mama maana kupoteza mama kwa umri flali inatutesa kbs

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB 6 місяців тому +2

    Pole sasa lakini mama hangependa upotee usijuwe mgu

  • @kizitototo8923
    @kizitototo8923 4 місяці тому

    Waislam , WAKRISTO NA WAYAHUDI hawa wote NI DINI AMBAZO ZINATUMIA MANABII WAMOJA. WOTE MANABII WAO NI IBRAHIMU MUSA , DAUD. UTOFAUTI UNAKIJA KWA YESU PEKEE. WAYAHUDI NA WAISLAM WANAKAATAA YESU KUJIITA mwana wa MUNGU . Wayahudi HAWAKUKUBALI KABISA YESU KUJIITA MWANA WA MUNGU , WAYAHUDI ILO HAKUBALI KABISA wamefana mno na shafii. Maana YESU KWA KUSEMA HIVYO wayahudi walijua anamaananisha YEYE YESU ATAKUWA NI MUNGU maana kuwa mtoto wa MUNGU O NI JAMBO LA AJABU. kweli YESU ALIFANYA HIVYO ILI LIWE FUMBO kwa watu na YESU ALISEMA NAWAFUNDISHA KWa mafumbo ili msugudue SIRI YA MUNGU

  • @TANGANIKALAMBERTLUTUMBU
    @TANGANIKALAMBERTLUTUMBU 14 днів тому

    Pasuwa malim

  • @SundayMbatia-hr8qp
    @SundayMbatia-hr8qp 6 місяців тому

    Ametaja watu weng lakin cjakia jina la dokta sule, wakat amepita mikonon mwake

    • @AbasMabuli
      @AbasMabuli 6 місяців тому

      Amshataja mbona sema labda hujasikiliza mahojiano yote

  • @maase2023
    @maase2023 6 місяців тому

    Huyu anaongelea majini kwa kuwa hajawahi kukutana na majini wala kumiliki wala kuwajua ! Siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu hataongea tena kuhusu viumbe hao

    • @MaryamIssa-y7v
      @MaryamIssa-y7v 6 місяців тому +1

      @@maase2023 ivi mtaacha lini utaahira umekaribishwa wali unaulizia ugali ugenini punguzeni utaahira

    • @maase2023
      @maase2023 6 місяців тому

      @@MaryamIssa-y7v nakuambia huyu shafi siku atayokutana na jini mmoja tu basi huyu ataugua sana na hataongelea tena au kuwakejeli majini! Hajakutana nao ajue nguvu zao ndio maana anabwata sana

  • @mikidadikiga90
    @mikidadikiga90 6 місяців тому +1

    Mwamba