Damu ya yesu ikang'oe kila uchawi na umaskini ufukara magonjwa maajali nuksi na mikosi katika jina la yesu maisha yangu yatabadilika na kua huru Familia yangu inaenda kuinuka kupitia maombi haya hakika pastor umenifungua na kunibariki naona nikifunguliwa mambo niliyokua siyaoni yanaanza kutendeka 😭😭😭eee yesu wangu nsaidie na ukanitoe katika vifungo hivi🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Asanteh sana Yesu kristo kwa kunifungua kupitia maombi haya Nilihisi kutetemeka sana wakati nikiitia damu ya Yesu Haya maombi yamenifungua siku ya jana! Baada ya maombi niliona ni mwepesi na hata kuwaza kwangu kumebadilika Asanteh sana Yesu kwa kunihurumia
Apakazini namuota bosi wangu anataka kuniuwa mala naona joka kubwa mala naota nimepewa paka alie kufa, ,, Naalibu mipango yote mibaya waliyo panga kwangu kwa dam ya yesu. Kwa dam ya yesu
Damu ya Yesu Kristo ikazingire kila kitu chochote ambayo ulimwengu wa giza ulikuwa na umeshikilia katika maisha yangu vyote vikafunguliwe Na ulinzi wa mbinguni ukaminde kila eneo ya maisha Na kila kitu changu chote katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth nimejigicha katika jina Na damu ya Yesu ulimwengu wa giza usiniine tena kwa damu ya Yesu Kristo wa Nazareth nasema AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Damu ya yesu ikaniponye tumbo langu nijifungue salama katika jina la yesu kama kunavifungo vikatoke Kwa damu ya yesu nikawe Hulu kwadamu ya yesu Amin. 🙏🙏
Ubarikiwe mtumishi Kwa maombi haya nimefunguliwa sikujua kama nimefungwa Hadi hapo Jana nilipoanguka na kujikuta Niko chini natambaa kama nyoka jamani. Leo nimeamka mwili mwepesi sana nakuwa na Amani moyoni mwangu. Nimeona nguvu kubwa sana ndani ya haya maombi. Ningependa kujua wapi kanisa Lako linapatikana.
Asante Yesu kwa upon yaji...nimefungulia ....nimekua huru. katika vifungo vya wachawi.....thank you Lord..nimeona miujiza kupitia. Mtumishi wako Bwana.... ninaseme Asante kwakunikomboa.nimekua huru.Kupitia maombi
Damu ya YESU iweke huru tumbo langu na kizazi changu kwa jina la YESU Amen 🙏
Damu ya yesu funguuwauzazi wangu ni mm nizae kama wanawake wenzangu😢
Damu ya yesu inanena mema nimepokea uponyaji mm naitwa Rosemary 🙏🏻
Damu ya Yesu🙏🏻niokoe
Asante Yesu naomba unifungue vufungo vyote kwa damu ya Yesu.. Ameen
Damu yayesu niondolee kila ma agano mabaya katika ulimwengu wangu waroho amina,🙏🙏🙏
Asante mtumishi japo nahitaji maombi ya nguvu lakini kwa damu ya yesu nimefunguliwa..🎉🎉Asante mwenyezi mungu
Damu ya Jesu niokoe mstuko wa moyo usiniue please 😭😭😭😭😭🙏
Pole mm mwenyewe MUNGU NISAIDIE
Hili pepo na mimi pia moyo unapiga
Naomba vifungo vyote nilivyofungwa viondoke kwangu na mwilini mwangu nakz yangu ifunguke ktk jina la yesu amen
Kalibu upime kipimo cha mwili mzima kwa 30000 na upate dawa ya moyo
Naomba kufunguliwa vifungo vilivo fungo maisha yangu na kazi yangu vifilunguke kwa damu ya yesu kirsto Amin🙏🙏🙏
Mungu wangu naomba unipiganie kabla yamwaka kuumaliza nilipe madeni nitendee muujiza utendeke kwangu nifunguke kazini kwangu
Damu ya yesu kila kifungo. Kwenye maisha angu Amen
Kwa Damu ya yesu kristo achia toka katika jina lipitalo majina yote Amen 🙏
Damu ya Yessu Kristu,,,nakataa magonjwa na mikosi,,ndoto za kila.aina zing'ooke kwa damu ya Jessu Kristu...
Damu ya yesu ikang'oe kila uchawi na umaskini ufukara magonjwa maajali nuksi na mikosi katika jina la yesu maisha yangu yatabadilika na kua huru Familia yangu inaenda kuinuka kupitia maombi haya hakika pastor umenifungua na kunibariki naona nikifunguliwa mambo niliyokua siyaoni yanaanza kutendeka 😭😭😭eee yesu wangu nsaidie na ukanitoe katika vifungo hivi🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏🙏
Ameen
Damu ya yesu inatenda maishani mwangu🙏
Nimepokea uponyaji katika damu ya YESU KRISTO
Ameen
Kupitia maombi haya nimefunguliwa asnte mtumishi wa mungu nimepokea usiku huu
Asante yesu kwakunifungulia mutoto.asante mutumishi wamungu kwakutuombea
Damu ya yesu iniweke huru kwa maisha yangu
Amen 🙏🙏🙏 pastor nashukuru sana vile tumekuwa tunaomba nimetapika sana,, nashukuru mungu najua nko huru sasa,,be blessed 🙏🙏🙏🙏
Damu ya yesu iharibu kila mpango aliouweka adui juu ya familia yangu
Nimepokea uponyaji ktk jina la yesu nimetapika sana
Mungu nisaidiye uniponye mushituko wa moyo mungu wangu
Damu ya yesu ikavunje minyororo na vifungu vilivyopo ndani yangu na katika familia yangu 🙏
Ameen
Damu ya yusu niinifunike hapa nilipo pomoja na family yangu
Jamani Mungu akubariki mara elfu ,nimetapika mnooo usiku hu ee Mungu ameniona
Damu ya Yesu iniondolee vifungo vyote vya kichawi na maradhi, nuksi na mikosi
Damu ya Yesu ikaniponye na kila nguvu za giza zilizosimama kuzuia afya yang, mafanikio yangu, hatua zangu
Damu ya yesu ikavunje kila vifungo vilivyofungwa kwenye family yetu kwa jina la yesu ameen
Ahsant mtumish maan nilikuw nasumbuliwa na tumbo sana mungu akubariki🙏
Damu ya YESU 🙏 niponye mim na vifungo vyote nilivyowekewa na nijifungue salama na mwanangu awe mzima wa Afya asiwe naupungufu wowote Amina 🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu nimeona huku wa mungu kwenye maombi haya😊
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi ubarikiwe sana
Yesu kristo naomba unaifungue Mimi na uzao wangu
Amen kuokoka na kufunguliwa kwa damu ya yesu
Asanteh sana Yesu kristo kwa kunifungua kupitia maombi haya
Nilihisi kutetemeka sana wakati nikiitia damu ya Yesu
Haya maombi yamenifungua siku ya jana!
Baada ya maombi niliona ni mwepesi na hata kuwaza kwangu kumebadilika
Asanteh sana Yesu kwa kunihurumia
Damu ya yesu tawara katika nyumba yangu
Damu yasuu inikombowe Mimi nafamiliangu yote nadosier yetu yasafari
Damu ya yesu ikanipe utulivu kwa damu ya yesu
Apakazini namuota bosi wangu anataka kuniuwa mala naona joka kubwa mala naota nimepewa paka alie kufa, ,, Naalibu mipango yote mibaya waliyo panga kwangu kwa dam ya yesu. Kwa dam ya yesu
Damu ya yesu ikaniponye mgonjwa yote
Damu ya yesu imenikomboa Amen
Damu ya Yesu ifunguwe damu yangu ya piriodi kutoka kwenye madhabahu za giza leo kwa Jina la Yesu
Amen mungu anaweza amen alléluia
Ameen
Amen Asante sana mtumichi wa Mungu na Mungu akulinde pia
Napokea napokea napokea napokea
Ameen
damu ya yesu inifunike, nakataa laana kwa jina la yesu nikajifungue salama
Roho za maut naziondoa kwa damu ya Yesu kristo
Mungu nifungue na Mimi vifungo vote vinavonisumbua kwenye mwili wangu na watoto wangu na mume wangu Kwa damu ya yesu kirsto amina
Mungu nifungue vifungo vyote nilivyo pandikizwa na mahadui
Damu ya yesu unitangulie
Ameen
I see a change since nianze kuomba na pastor
Ameen ameeen
Damu ya yesu yenye adhama niondoee roho chafi ktk ndoto hasa ndoto ya majini mahaba
Asante sana kwa maombi uchungu nilionayo imepotea amen
Asante Yesu kwa wema wako 👏
I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive I receive
Nanyunyizia damu ya yesu kwenye maisha yangu
Damu ya yesu ikatawale maisha yangu yote 🙏
Amen🙏🏿nimekombolewa na damu ya Yesu kristo niko huru sasa kila idala ya maisha yangu🙏🏿🧎
Damu ya YESU inikomboe
Mungu naomba nifunguwe na mimi . Funguwa mume wangua watoto n'a wajukuu . Tembeleya mutoto wangu mwenye Iko gerezani
Damu ya Yesu Kristo ikazingire kila kitu chochote ambayo ulimwengu wa giza ulikuwa na umeshikilia katika maisha yangu vyote vikafunguliwe Na ulinzi wa mbinguni ukaminde kila eneo ya maisha Na kila kitu changu chote katika jina la Yesu Kristo wa Nazareth nimejigicha katika jina Na damu ya Yesu ulimwengu wa giza usiniine tena kwa damu ya Yesu Kristo wa Nazareth nasema AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Dam ya yesu initakase navujanguvu za ngiza
Ameni nime kombolewa kwa dam ya yayedu
Damu ya yesu iniponye na vifungo
Nipo huru mimi na familia yangu kwanzia Leo kwajina la yesu ameen ameen amen ameen
Damu ya yesu ikaniponye tumbo langu nijifungue salama katika jina la yesu kama kunavifungo vikatoke Kwa damu ya yesu nikawe Hulu kwadamu ya yesu Amin. 🙏🙏
Damu ya yesu
Amin npkea pia
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA napokeya Kwa jina la YESU kristo
damu ya yesu iniponye na nguvu za giza
Damu yesu inimpoye ubavu wangu nakiuno changuo kwajina layesu
Nakushukulu mungu naomba unibaliki kwahay maombi nilio ombwewa mimi amina
Ameen
damu yayesu niondolee hasira na ugumu wa risk😢leo iwe mwisho wamatatzo haya
Asante Kwa kunifungua kupitia maombi haya
Kweli Kuna nguvu ya ajabu ndani ya damu ya Yesu. Ameen
Damu ya Yesu imeniweka huru
Damu ya yesu ikamponye mdogo Wang anaumwa na akainuke kitandani kwanza sasa😢🙏🙏🙏🙏
Damuyayesu inane a mema kwenye mwiliwangu. Damuyayesu
🙏🙏🙏
Mungu naomba unifungue mimi na watoto wangu na duka langu
Asante mtumishi 😢😢😢😢aka mma siko sawa
Nimepokea uponyaji na baraka Tele katika jina la yesu kiristo, Asante Yesu
Mungu naomba unifungue mimi na familia yangu,cav,win,wit,kened na mme wangu
Amen mtumishi nimefunguliwa
Mungu akubariki sanaaaaaaa mtumishi wa Mungu kwa maombi mazuri mnooo na rudi mara mbili mbili ubarikiwe sanaaaaa sanaaaaa
Ameen
@@holyspiritconnect . A
L a lll
LL
L
A
Naomba nitoe ushuuda kutoka kwenye madhabau haya nilisikiliza maombi nimetapika vitu vyekundu na maji mengi sana Amen mtumishi ubarikiwe sana
Nimefunguliwa kwa jina la Yesu.Ubarikiwe sn
Ameen
Damu yayesu inenayo mema inifungue katka vifungo vyote na madhabahu ya kifamilia nabiashara yangu na mwanangu
Nimefunguliwa Amen 🎉🙏
Damu ya Yesu initoe kwenye fungo
Mungu unaniponya sasa
Mtumishi WA mungu Asante sanaaa nimebarikiwa
Kwadamu ya yesu nimefunguliwa
Damu ya yesu inioshe
Ubarikiwe Sana mtumishi kwa maombi mazuri najua kupitia kwa maombi haya nafunguliwa katika jina la yesu
Ameen
Ubarikiwe mtumishi wa bwana
Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Imefunguliwa nakuponywa kwa damu ya Yesu kirsito
Ameen
Ubarikiwe mtumishi Kwa maombi haya nimefunguliwa sikujua kama nimefungwa Hadi hapo Jana nilipoanguka na kujikuta Niko chini natambaa kama nyoka jamani.
Leo nimeamka mwili mwepesi sana nakuwa na Amani moyoni mwangu.
Nimeona nguvu kubwa sana ndani ya haya maombi.
Ningependa kujua wapi kanisa Lako linapatikana.
Asante Yesu kwa upon yaji...nimefungulia ....nimekua huru. katika vifungo vya wachawi.....thank you Lord..nimeona miujiza kupitia. Mtumishi wako Bwana.... ninaseme Asante kwakunikomboa.nimekua huru.Kupitia maombi
ameen nimefunguliwa
Ameen
Aisha juma Nataka mme sahihi niolewe kirahisi
Amen amen amen nimebarikwa
Amen kwa jina la yesu kristo napokea uponyajii
Ameen
Asante Yesu nmepona