Naomba ulinzi wa mungu mkwe wangu aweze kuinuka tena,akaungane na familia yake,e mwenyezi mungu ukatoehicho kitu kinachomuuma tumboni na aweze tena kula chakula kama zamani na aweze kupata nguvu.
Amen 🙏 Mungu na kuomba uniepushee na hili kundi la wachawi wanao kuja mbele ya na kwa kina la yesu hawa ta niweza na bomoa kila vikao vyao kwa damu ya yesu
Amen napokea ulinzi kwa damu ya yesu
Amen 🙏🙏 Sana maombi haya amenisaidia pamoja nakuwamini nimazuli Sana unamafuta kiukweli umepakwa namungu uzidi kubalikiwa❤️❤️🙏🙏
Amen
Amina baba lao
I received
Amen amen
AMINA BABA lao
Ulinzi wa Mungu ukanifunike mi na familia yangu
Naomba ulinzi usiku na mchana siku zote naomba ulinzi wa mungu ndani ya familia yangu yote ndani ya wazazi wangu kwa jina la yesu kristo🔥🔥🙏🙏
Amen ubalikiwe sana mtumishi kwa maombi yako mazuri
Amen Amen Amen Amen and amen 💖💖💖💖💖💖
❤❤amen pastor🎉🎉😂😂😂❤❤❤❤
Amen,amen ubarikiwe mtumishi wa mungu
Ameeen ameeen ameeen pastor wacha mungu asimame nasi
amina mtumishi wa mungu maombi yana ushuhuda haya
Ee mu nawekeka ulinz katika maisha na afya yangu amen
Amen mtumishi nimebalikiwa sana na maombi yako🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen asante sana
Napokea ulinzi kwa jina la yesu
Asande sana Yesu mwokonzi waku nakupenda Yesu Asante Kwa ulinzi
Ameen naomba ulinzi kwa mwezi huu na mwaka mzima na kwa watoto wangu,mume wangu na wajukuu zangu na ndugu zangu na wakwe zangu
Amen nadai ulinzi kwa jina la yesu amen 🙏
Amen barikiwa mutumishi
Amen Napokea Kwa Mikono ya Imani
Amen napokea ulizi kwa jina la yesu
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa ❤️ napokea uponyaji
Napokea Kwa jina la YESU christo amen baba 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Napokea kwa jina la Yesu
Mungu naomba ulinzi kwa familia yangu pia mimi ulinzi Amen Amen 🙏🙏🙏
Amen kwa jina la yesu christu wa Nazareth
Ameni ubarikiwe pastor
Am john from Kenya am blessed with the prayers may God exhausted you pastor in Jesus mighty name am blessed
Mungu aonekane katika jina lake
Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana
Amen Amen baba mtumishi napokea ulinzi na uponyaji kwa jina la yesu kristo🙌🙌🙏🙏
Amen Amen napokea ulinzi wa Mungu ndani ya maisha yangu yote 🔥🔥
Naomba ulinzi wa mungu juu ya maisha yangu kiafya,kiuchumi na kiroho
Asante sana barikiwa sanaaaana mutumishi wa mungu barikiwa
Asante sana Yesu Kwa ulinzi
Amen ubalikiwe sana mtumishi nimebalikiwa sana na maombi yako mungu akubariki
Ameen Ameeen naomba baba unirinde na uniongoze safari zangu niweze kufika salama naomba ulinzi katika familia yangu
Amen baba mtumishi 🙏
Mungu naomba ulinzi katika familia yangu yote na mimi pia Amen Amen ya ushindi 🔥🔥🙌🙌
Amina napokea ulinzi mkuu kwangu na wanangu
Amina Amina Amina katika jina la yesu kristu
Amen Amen Amen baba mtumishi 🙏🙏 mungu azidi kukuinuwa siku zote ubarikiwe sana baba yangu 🙏🙏🙌🙌
Amen napokea ulinzii kwa jina yesu amen
Amen napokea ulinzi na uponyaji kwa Jina la Yesu! Asante mtumishi wa Mungu.
Amina Nimebarikiwa nafamilia Yangu Imebarikiwa.
Asante mtumishi
Asante sana barikiwa sanaaaana kutuombae
Amen kwa Iman nimepokea uponyaj ktk jina la yesu🙏🙏🙏😢🙏
Naomba uliz kwa kila jambo katika maisha yangu
Mungu naomba ulinzi
Naomba ulinzi kwa jina la yesu
Asande sana Baba barikiwa sanaaaana
Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina Amina baba i received
Amen ulinzi kwakilajambo nilifanyalo
Amina nimebarikiwa Kwa maombi mtumishi wa mungu
Baada ya maombi nimepona mguu gafla nashukuru Mungu
Ameen Ameen Mungu Niwekee Ulinzi Mimi Na Familia Yangu Yote Kwa Ujumla Mwenyezi Mungu Kwa Kila Jambo Kwani Hakuna Linaloshindikana Mbele Yako Kamwe 🙏
Maombi ni DAWA.Asante Bwana Yesu Kwa kunipa uhai na uzima siku ya Leo!!!!!
❤🎉🎉🎉🎉
Ubarikiwe pastor na uzidishiwe milele
Amen napokea ulinzi wa mungu ndani ya maisha yangu god ❤
Amen 🙏 🙏 🙏 napokea kufunguliwa kwa jina la yesu MUNGU azidi kukubari na kukuinua mtumishi wake
Asante sana barikiwa sanaaaana
Mungu naomba ulizi Kwa wtoto wangu
Bwana Yesu naomba ulinzi wako Yesu Kwa maisha yangu
Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah 🙏🙏🙏
Naomba uliz ucku na mchana nakua naota ndoto mbaya nakula nyama ndotoni mambo yangu hayaend kabsa mungu nitetee kwakila jambo mbaya naota nafanya mapenz ndotoni mungu nisaidie
Amen! Barikiwa 🙏
Amen amen 💖💖💖 barikiwa sanaaaana
Amen amia amina🙏🙏🙏
Amen amen mutumishi wa bwana
Asante jamii yagu ifanikiwe na mama swagu apone
Napokea ulinzi Kwa jina LA yesu kristo 🙏🙏🙏
Amen. Asante. Maombi ni dawa 🙏🙏🙏🇰🇪
Asante maombi yamemsaidia bintiyang
Ameen Ameen Mungu Wangu Naomba Ulinzi Kwa Kila Hatua Ninayopiga Katika Maisha Yangu Mungu Wangu 🙏🏼
ameni ubalikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
Naomba ulinzi wa mungu mkwe wangu aweze kuinuka tena,akaungane na familia yake,e mwenyezi mungu ukatoehicho kitu kinachomuuma tumboni na aweze tena kula chakula kama zamani na aweze kupata nguvu.
Asante mungu kwakumwamusha baba angu 🙏 sifa na utukufu zikurudie wew baba🙏🙏🙏🙏 hallelujah hallelujah hallelujah 🙌🙌🙌
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi napokea ulinzi kwa jina la YESU
Ulinzi wa nguvu za mungu unilinde mimi na watoto wangu mke wangu na mali zangu pamoja na kazi yangu kwa jina la yesu
Balikiwa mtumishi wa mungu asant kwa maombi
Amen mtumishi nimeamini maisha yangu yamechukua mkondo mpya ndani ya kristo
Congratulations mutumushi bwana akulinde
Amen Amen Ameeni mungu akubariki mtumishi wa mungu
Amen Amen yesu navunja nguvu zote zangiza ndani ya familia yangu mujina la yesu
Asante pastor
Bwana naomba ulinzi wako Yesu
Amen papa pasta mungu akubariki Kwa uduma wakazi zake
Amina mtumishi nayapokea maombi haya na ninamuomba Mungu akanitendee kama maombi haya yanavosema🙏🙏🙏
Amen. Uniombeye. Pesa zangu zina fungwa na adui. Naomba wokovu wa jamaa yangu. Amani, la masikilizano.
Amina napokea
Mungu akubariki pasteur kwa kuombeya kilamtu
Naomba mungu unisaidie ulinzi
Naomba uliz kwakila jambo katika Maisha yangu
👏👏nipo nawe pastor
Amena amena ubarikiwe
Amen 🙏 Mungu na kuomba uniepushee na hili kundi la wachawi wanao kuja mbele ya na kwa kina la yesu hawa ta niweza na bomoa kila vikao vyao kwa damu ya yesu
Barikiwa mtumishi
Mm ni Ann ingabi Amen asante san mungu aku linde 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen mungu nibaliki
Amen Mungu pamoja nasi
Naweka ulinzi Kwa familia wangu WATOTO wangu wajikuu wangu kwenye biashara yangu katika jina la yesu kristo
Asante Mungu kwa ulinzi mimi na fsmilia yangu.
Amen mtumishi mm na na shiida mtumlshi naitaji maombi
amen ninaamini ktk jina la Yesu usk wa leo hkn mchawi wala adui shetani atakae nigusa mimi wala familia yangu ktk jina la yesu