TRAORE NI TASWIRA HALISI YA NYERERE HISTORIA INATAKA KUWATUPA MABABA WA AFRIKA WALIOTUPIGANIA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 34

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 12 днів тому +5

    Nyerere alikuwa wa Aina yake hata Leo hakuna kila kiongozi anaangalia yake hawasaidiani kila mmoja anakufa kivyake lakini Nyerere alikuwa anapambana na mabebelu WA dunia walifanya kila mbinu kumuuwa waka kwama very smart 🎉🎉🎉

  • @umbopaday
    @umbopaday 13 днів тому +5

    Angalia mwimbo wa taifa ndio utajua nyerere ni raisi wa Africa

    • @SangaliPower
      @SangaliPower 12 днів тому

      Na ule wimbo haukupaswa kuwa wimbo wa taifa

  • @jifunzeonline8899
    @jifunzeonline8899 12 днів тому +2

    Hapa umezingua huwezi mufananisha Ibrahim Traore na Nyerere

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 13 днів тому +4

    Yule Mandela alisha uliwa zamani huko huko jera

  • @SM-fu1yv
    @SM-fu1yv 13 днів тому +4

    Ni kweri kabisa unayo yaongea wakati wa baridi hatari

  • @malkiarosemuhando3310
    @malkiarosemuhando3310 12 днів тому

    Jamani jamaniiiiii! Nyie mnaomtajataja Nyerere bado hamkomi tu? Shauri Yenu hivi hamkusikia familia huko Butiama kimenuka?? Hawataki mumtajetaje Baba yao mpoooo???

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 13 днів тому +2

    Ni sahihi Nyerere ni zaidi ya ata Mandela ni vile watanzania hatujampa airtime ya kutosha

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 днів тому

    Kwa Magufuli hata baadhi ya wanachama ndani ya chama chałę, wamejaribu sana kulichafuwa na kubeza mageuzi makubwa aliyoleta Hayati Magufuli.. watanzania wapenda haki kwa wote tumekataa Kukubali.

  • @dawdyhassan3875
    @dawdyhassan3875 12 днів тому +2

    Nimrekebishe kidogo hapo mwalimu Joseph Kabila amesoma Mbeya 'Irambo sec school 'nimesoma nae yeye akiwa form five mimi form two

  • @Sixtus-k7v
    @Sixtus-k7v 11 днів тому

    Ukweli m2pu

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 12 днів тому

    Mwalim isaya uposahihikabisa

  • @KikwaleRashid
    @KikwaleRashid 11 днів тому

    Alikua mtumwa wa ngozi nyeupe Tena ana shindwa na magufur

  • @DhaharaniJongo-gt2un
    @DhaharaniJongo-gt2un 10 днів тому

    Nyerere alikuwa mtu wa kawaida2

  • @hamisramadhan-eb3ie
    @hamisramadhan-eb3ie 12 днів тому

    Kama idiamini dada histoliayake imekanyangwa utakuwa yanyrlele 😢

  • @MpoboziCosmas
    @MpoboziCosmas 7 днів тому

    Hebu tuandike kitabu cha historia ya mwl Nyerere na ukombozi wa afrika,ili kutunza kumbukumbu kwa bara hili la afrika kama shujaa wa afrika kwa ajili ya vizazi vya afrika vijavyo.

  • @AbdulhaamisSoud
    @AbdulhaamisSoud 12 днів тому

    Nyerere alikuwa kibaraka wa wazungu A to Z chui mwenye sura ya kondoo mnyenyekevu (kondoo jike)

  • @benedictmtasiwa8155
    @benedictmtasiwa8155 12 днів тому

    1. USA amepigana Japan, na ameweka Amani, demokrasia na uchumi bora kule.
    Japan yenyewe ime influence maendeleobyabkaribu Asian Tigers wote.
    2. Urusi ilipigana au ku influence sera za
    Mozambique, Angola, Ethiopia, cuba et.c. hakuna democrasia na/ au amani ya uhakika,
    3.

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 11 днів тому

      USA yupi wa gaza au!? Yupi Ukraine

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 11 днів тому

      Vipi kuhusu Libya 😂😂 we

  • @MaulidFakiKhamis
    @MaulidFakiKhamis 13 днів тому

    Nyie wagonjwa ati nyerere ni bora kuliko mandela ubora wa nyerere nikuwaua wenye imani tafauti nae

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 12 днів тому +1

    Mijitu hii banaaa hawa unawajua kina Nani !!! ?😂😂

  • @jacksonmsendo3478
    @jacksonmsendo3478 13 днів тому +1

    Mandela alikuwa puppet

  • @simonmwandu2214
    @simonmwandu2214 13 днів тому +1

    Acha hizo bhana traore usimfananishe na vitu vya, ajabu huyo nyerere alikuwa kibaraka wa Cia mtiifu

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 13 днів тому +1

      Yaani watanzania hamthamini chenu

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 13 днів тому +3

      Mwalimu kumbuka Mandela aliwai pewa passport ya Tanzania enzi ya mwalimu kuwakwepa makaburu mugabe na Mandela na kaunda wenyewe waliwai sema nyerere ni role model wao

    • @jacksonmsendo3478
      @jacksonmsendo3478 13 днів тому +2

      Nyerere bila shaka ndo baba wa Africa ila historia inafichwa tu

    • @SamwelSimon-tf6oo
      @SamwelSimon-tf6oo 13 днів тому +1

      We jamaa

    • @SaneMwezi
      @SaneMwezi 11 днів тому

      Kwani cia ni nn sitaasisi ya kiiterensia au