RECAP: NI KWELI DIAMOND AMEMLIPA CHRIS BROWN?? MISO MISONDO WALIPOSTIWA?? WASANII TZ WANAFIKI SANA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 чер 2024
  • Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
    We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
    #entertainment #news #music #funny

КОМЕНТАРІ • 170

  • @verbalverbal2019
    @verbalverbal2019 21 день тому +26

    Hiyo ya kusema wasanii ni wanafiki kwa sababu hawakusapoti komasava wakati inatoka, wakasapoti baada ya Chris Brown kushiriki challenge, hapo you are being negative aisee, wakati komasava inatoka na wao walikuwa na project zao, yaani haiwezekani wasanii wawe kazi yao ni kusapoti nyimbo za diamond tu wakati wao pia wana project zao, hili la Chris Brown ni kubwa kuliko, ndio maana industry ikasimama wasanii wakaacha mambo yao for a minute to celebrate the milestone... Wasanii wetu wana upuuzi kuvimbiana, lakini hawa wachache waliosapoti kwa kupost tusiwavunje nguvu, haikuwa unafki bwana, ni appreciation ya kweli, tuwazungumzie hao kina Harmonize wanaoleta mambo ya Misomisondo mara sijui Chris Brown kalipwa, hao sasa ndio wadwanzi, ila hawa waliopost tusiwavunje nguvu ya kuonyesha love siku nyingine

  • @JejemingaMinga
    @JejemingaMinga 21 день тому +24

    Ukweli ntupu Kaká commant ça va imenda iyo ngoma Duniani 🙌🔥🔥🔥🇹🇿🇺🇸🇻🇳🇸🇦🇵🇹🇿🇦

  • @magrethmagonza186
    @magrethmagonza186 21 день тому +12

    Diamond hana pesa ya kumlipa Chris brown ili acheze wimbo wake. People.acheni wivu

  • @agogomgagagigigogo
    @agogomgagagigigogo 14 днів тому +1

    Heeh,kumbe likilandage lina ndugu yake pale lilimpiganishia afu linamletea presha ya kufukuzwa ,ama kweli ni bange lile,ni vile tu Simba ana moyo wa pekee

  • @spaganiceboy
    @spaganiceboy 21 день тому +17

    Nikweli Kaka sema Kweli 🎉🎉🎉

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 14 днів тому +8

    Yani wewe uko mbali ungechukuwa mkumbwa wao Pepsi ya baridi ukashushiya kaka, nakupenda Sana kwa sababu wewe nimsema kweli, Allah azidi kukubariki umri murefu kaka nakupenda sana❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉

  • @josephkiwale374
    @josephkiwale374 14 днів тому +1

    Haters will always be there🔥🔥

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 21 день тому +13

    Uko sawa bro wanafki wakae kando na Simba wetu hatupendani sisi ni wanafki walisema jamaa amefulia ila Sasa ni wanafki tungekua kama Nigiria tungewaacha mbali sana Nigeria

  • @BlackJimmy-vf9lv
    @BlackJimmy-vf9lv День тому

    Ww acha uwongo tuone pey sleps kamulipiya ww waongeya na mdomo sio Tanzania awo africa ww unesha kitambulisho alio mulipiya Chris brown aca kutu danganya 😂😂😂😂ww kiboko

  • @titoamani-e8b
    @titoamani-e8b 19 годин тому +1

    ujumbe kwa Harmonize.... Diamond harogwi😂😂😂😂

  • @user-kv1gu4ee3s
    @user-kv1gu4ee3s 21 день тому +10

    Wa kwanza guys, NAOMBEN likes

  • @JersonEliyasi
    @JersonEliyasi 14 днів тому +5

    DAMOND PRATNNAMZ 🦁 simba wa AFRIKA saruti sana kwake

  • @ramayonline2281
    @ramayonline2281 14 днів тому +7

    Broh EL MANDO your the best 👏🙌🏽👑 you have always been spoken the truth now I’m waiting for your RECAP about the trip of Diamond Platnumz in Paris fashion show plus his collaboration with Jason Derurlo

  • @HazardHbcomEmmanuelprodduseign
    @HazardHbcomEmmanuelprodduseign 14 днів тому +3

    Vraiment Dieu aie bon courage Grand frère tu est Sage tu parles ce qui est réel dépuis le Congo RDC 🇨🇩 précisément à Kinshasa.

  • @JersonEliyasi
    @JersonEliyasi 14 днів тому +3

    DAMOND PRATNNAMZ 🦁 simba wa AFRIKA saruti sana kwake acha ukweli usemwr

  • @rashidkibavu1863
    @rashidkibavu1863 14 днів тому +3

    Nakubali sana uchambuzi wako broo

  • @NgabireyimanaJophrai
    @NgabireyimanaJophrai 21 день тому +6

    Wew nakubali waelimishe wafunz wanajifanya mtaila tanzania mumepewa kitu chasamani lakini hamukitambuwi

  • @BazozMasudi
    @BazozMasudi 14 днів тому +2

    Bro mimi kwa upande wangu Big amesha support saaana mpaka na wale aliwo wa support doo wana msema vibaya tena naku shindana nae big ana roo ya kipekee this is from DRCongo a big fan

  • @AcksunBonifas-mj2sw
    @AcksunBonifas-mj2sw 14 днів тому +2

    yan watu hawataki kubali sijui wapo aje ..kubalini ban ❤

  • @SaidJuma-ru7vm
    @SaidJuma-ru7vm 21 день тому +4

    Well said bro