RECAP: HARMONIZE anamuiga DIAMOND?? MMILIKI halisi wa Kampuni ya HARMONIZE?? ALIKIBA, DIAMOND wote??
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - Розваги
Unaongeya fact kabisa
Harmonize pia ana accompany yake
Yes mando uko well informed sana na hii game nakuona mbali mzee....ofcoz Jay z chini ya Roc nation wamekuwa patners na Super bowl kuandaa ile halftime show....halafu nishagundua humu ndani watu wanasoma tu headlines bila kufungua video yote asa hapo mando anamchukia vp harmonize🤣🤣🤣🤣...muwe mnaenda into details before judging
True
Yeah hata mimi nilivoona headline nimewaza kuwa atakuwa kamdiss vby konde kama siku zote kumbe siyo kwer
Wachane broo
huyu kazi yake ni kushusha wasanii kimuziki kwa sababu ya Diamond. utimu ndo unakusumbua
Everyday only stories za Alikiba, Nasibu, Harmonize, kila siku kushauri wasani na watanzania, lakini were mwenyewe ZERO CREATIVITY, ZERO UBUNIFU when it comes to your own media, what's your BRAND????
you are taking side,,as media personnel you should be neutral to take in everyone's opinion,,those you are condemning are your fans ,, remember they have a freedom to speak what they feel,,, don't force them to believe the company belongs to harmonize,,,from 254 just advising you remember you are also a brand so don't ruin it
True brother hao hao Hawana kazi it’s crazy
ok sawa bro,,
Sijawahi kukuelewa lakini nishaanza kukuelewa
Kaka sisi atuseme kwamba hamonize ana ma chair au yakwake sisi tunasema yeye ni balozi wewe kata au vumilia hilo yeye anabidi aseme ukweri tu😅
Sasa wewe kinakuuma nini
NILICHOGUNDUA WW HUJAWAH KUMKUBAL HARMONIZE UJAWAH KUMSEMA MAZURI MTU ASIFANYE BIASHARA... ANAIGA ACHA UKUMA
Leo ndosiku ya mwisho kuangalia video zako kumbe taila
Huyu jamaa anakuanga fala sana
Wewe jamaa una nature sana
Wanasema hivyo sababu mashabiki wa harmo nao huwa wanamshambulia diamond na chochote anachofanya, mfano pimbi na jumanamusoma kwa hiyo hayo ndio matokeo
Kumbe mondi alikupeleka qatar ili uwashushe wasanii wengine sasa hapo unaongelea kipaji au biashara we ni chawa kakah
baazi ya wa tz wanarohio mbaya na ndo kwamana Nigeria inawapita kizuiki unajuwa mashabiki ss niwatu wa roho mbaya wakisikiya harmo yuko marecani kufanya show ju siyo shabiki wa harmo ni shabiki wa diamond hawezikuja ju show niya harmo uyo ni ujinga sanaaaaaaa
It's because of Harmonize he must stop focusing on diamond and focus on his music.
Now he is starting beefing with Zuchu a woman....he doesn't have respect... he will only be loved with senseless people in Tanzania.... that's why we can't go his shows international.
Iyi media,Sisi wa congomani tuna ona muko wa chafu hamupedagi mutu afanyikiwe
apo umeweza
Toka uko😊
akuna busness ya pekeee ako kaka
Huyu ni chawa 😂
wachane kaka maboya hawajuwi biashara
Akuna musani Tanzanie ataye toka ishinde muiga mondi uyo ni baba tu kwa Nini sasa amu amini
Acha uchawa
Uwo ndo ukweli
Big brother you are very strong indeed, you are very intelligent god bless you big 😮😮😢😅😊😂
Ww ni Crazy kwahiyo mond sameukuta mzki tuxeme bc mond kaiga Nan kwenye mzik
Huyu jamaa anamchukia hamonize sana fala sana
Hta hujaskiliz interview unatype ushuzi....
Kwa hiyo na wewe kuwa mtagazaji umewaiga carrier kwa watangazaji wenzio?
Matako Yako weeeee
Aisee mimi wakwanza
Nawezaje ku- unsubscribe chanel hii??
baazi ya wa tz wanarohio mbaya na ndo kwamana Nigeria inawapita kizuiki unajuwa mashabiki ss niwatu wa roho mbaya wakisikiya harmo yuko marecani kufanya show ju siyo shabiki wa harmo ni shabiki wa diamond hawezikuja ju show niya harmo uyo ni ujinga sanaaaaaaa