KWA MARA MWISHO DULLAH PLANET AKITANGAZA PLANET BONGO, AAGWA KWA MICHANO YA BOSHOO, MAARIFA NA WERE
Вставка
- Опубліковано 2 жов 2023
- Karibu kujiunga na group letu la What's app kwa Habari, Matukio, Burudani
BONYEZA LINK 👉👉 chat.whatsapp.com/DfwqANhvBcB...
Subscribe hapa : bit.ly/2UBtyaG
Tufuate Kwenye Twitter : bit.ly/2UFkrWH
Like Ukurasa wetu wa Facebook : bit.ly/2XbYro5 - Розваги
Bunaya amepiga panch nyingi na kalii kuliko wote...japo wamefanya vizuri wote...💯
Were mura were mura vibe muda wote kaka nakubal 🔥
Dullah Planet Nomà saana Wap Tena Kaka Njoo Usafiniiii 🔥💥💯💪😊
Dullah Planet niseme Asante 🙏 kwa muda wako uliikonga nyoyo yangu kwenye upande wa hip hop hususani mlipokuja na wazo 🧠🧠 la dakika kumi za maangamizi ulituletea Radha mpya kutoka mtaani unastahili pongezi 🎉🎉🎉 your legend bro 👑👑
Siyo legend,,,, kipindi cha planet bongo kilitafutaga msichana wa kuziba pengo la Salama Jabir alivypkuwa anaacha kukitangaza kipindi cha planet bongo akakosekana ndo Dula planet akashinda Kw kura za mashabiki
@@raskise7493 Waoooooh Asante sikuijua hiyo kabla
yaan chozi limenitoka
Boshooooo ninja🔥🔥
>>>Hahaha Chuma Kamdiss Maarifa HapoHapo 😀🔥🔥
Mbeya boy ni fire 🙌🙌🙌🙌
Mbeya boy chuma 🇹🇿🇹🇿
Bunaya 🔥🔥🔥
Bunayoooo and chuma daaamn
Bunaya,, maarifa mmetisha sana
Mbeya boy ##chumaa 🔥
Hawa rappers waliofik kumuaga dullaplanet kwa umoja wao wangefanya kitu kikaenda hewani aseee
True
Mtu chuma mwana mbeya ni waya mazeee🔥🔥🔥🔥
Bunaya umetishaa sana😂
Big show
Daaah cyo kweli jua we ndo main dula ila safi tupeane nafas
Sema Bunaya mbaya sana 🙌🏿🙌🏿🔥
Sema Mbeya boi kumamake ndo real definition of Hip Hop.
Mbeya boy chumaaaaaaaaaaa
Hatari sana aisee🔥🔥🔥
Noma sana
Ooooooh kwanini tenaaah wapi iyooo kaka jamani much respect to you broooh umefanya mengi sanaaah haswa kwenye vipaji
Kusema laukweli wote wamefanya vizuri Ila bunaya ni untouchable ❤ nakukubali sana umetisha sana mm sipendi mziki Ila umenifanya nipende sana ata wife home katulia ila changamoto mm😅
Were muraaaa were muraaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Bu noma sana
Bunaya ana kiti chake kwenye ufalme wa hip-hop
Bunaya mumuache 🔥
Bunaya🔥🔥
Booom naya
Mbeya boy na chat🔥🔥🔥🔥
Boshoo ni rapa mzuri mithili ya Albert mangwea
wewe acha mambo yako
Asee dula popote utakapoenda tuambie nakuelewa sana
This was so DOPE👊🏾💯
Hip hop stand up 📌📌📌📌📌📌📌🙌🙌🙌
Hawa vijana wote ni motooo full talented .
Ao utao waacha watatupiga pesa wauni saaana dah mbona gafra blo dula😓🤭
Welcome #WasafiMedia bro😎🏌️♂️
Chant'z b sikukuzaniaaaaaaaaaaaa kaka
"Moja ni mimi, Niki wa Pili, tisa Belle" Legendary line right this one
Kali sana
bunayaa,,mbeya boy chuma na were mulaa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🔥🔥🔥 ingewaka zaid wangkuj na kina kadonondo, toxic, jako jeezy (odong odwaa)
Korongwe finest 🔥🔥
home boy
Dulla Planet tuna deni na wewe kubwa sana,,,,,,,,,Umetuacha na Majonzi
Bunayooo
unaenda wp mr.dulla...
Daah kwaheli Mwamba tulikupenda sana
Mbeya,boy chumaa💀
Mbeya boy & chantibizzzzzzzzz👊
Mbeya boy chuma na Chant biz ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mmetisha wanangu michano kikari
Boshoo ninja ❤❤
Dulla na Dj Mafuvu kwenye PB ilikuwa ni 🔥 hatari.
Hiyo changamoto why kaishia njiani 😅😅😅
Dulla planet umesapoti sana hiphop tz hususani kwenye dakika10 za maangamizi
Mtoto wa babaaa Boshooo Bunaya were mulla daa rap tamu
Hapo alikosa jr junior
❤❤❤nakubali harakati za bro kadumu Sana kizazi ila Naimani alipo Kuna watu kahama nao
Una maarifa gan maarifa toka tiptop 😂
Mbeya boy 🔥🔥
Niseme tuu nimeinjoi Sana🔥🔥🔥
Oya hatar lait ningepata nafasi hapo 🤔🤔
Chanti apewe dakika 10 za maangamizi
maarifa +boshoo ni shida
Changamoto 😂😂 i like it🤣🤣
Unaweza sana bro ❤❤❤ nakubali mkali
🔥🔥🔥🔥🔥
Mbeya boy chuma tukupe mauwa yako mapema kaka
I enjoyed evey single second of this video 😅
Legend big broo....
were mura get a dope flow
Mbeya Boy Chuma,,, Ni motoo.Ahsante sana Brother Dulla Planet Wambua umeacha alama wewe ni mfano mzuri wa kuigwa katika kazi uliyoifanya kwa weledi.Nasikitika tu sikufanya kazi na wewe.Anyways Big up
Chuma
Chumaaaaaaaaa
Dulla dulla dulla... please 😢😢😢but all in all 😢 nakuombea kila la kheri penye unaenda Bro. ...Salute.. Hashtag Hip Hop
It was amazing 🙏
Were muya with the hype! 🔥 🔥 🔥
ASE mbeya boy apewe nafasi tena Kwa marake nyingine
Oya😂😂🔥🔥 nice creation ❤
Fire
Were mura pata love kutoka 254 Nairobi 🔥🔥🔥
Ila Bunayoo.....!!!!Big Up
Dadeq imenikuta ofisini nipo nacheka pekee yangu🤣🤣🤣🤣
Tutakumisi sana mwanetu
Dula.unaenda.wapi.tena
Maarifa,mbeya boy,bunaya ,bishoo,wera mura wote wameua
😅😅😅uyu bunaya Ana balaaa...ata wife katulia home changamoto mimi
Nomaa
Ila Kuna Kikubwa Sana kitapungua Kwny Dkk10 za maangamizi
Wuuh planetmnanifurahsha san
Chuma ni🔥🔥🔥
Apo bado poison tyu kaka
Bongo hapa utani kuwepo nenda power 100fm USA
I LOVE HIP HOP ALL THE TIME
Duuuuu pamoja sana kaka dulla
Welemula
Weremura weremura
Inakwama wapi kaka kufanya kazi
🙏🙏
Mbeya boy chuma🤜
Mtoto wa bibi nurse boshooooo
🙏❤️❤️