RECAP: REMA AIMBA WIMBO HUU KWA KISWAHILI KWENYE ALBUM YAKE, AMETAMKA MANENO HAYA YA KISWAHILI, NOMA
Вставка
- Опубліковано 11 лип 2024
- Bongo5 is a dedicated to creating the best content for you, our audience!
We hope you enjoyed this video, and ask you to please like & subscribe to our channel if you haven't yet. Have you had a great experience with our channel? Let us know in the comments below!
#entertainment #news #music #funny - Розваги
Goma kali sana ilo mzee, nmelisikia mzee shout-out sana kwa remaaa 🎉🎉🎉
Tunamshukuru mama samia kwa kumuwezesha Rema kuimba kiswahili.
Fact broo🎉🎉🎉❤tutambe na kiswahili chetu
Wanawachukua washsbiki wa kiswahili ndio lengo
Mbona kama sauti ya Vanessa mdee
sio kama zile albums za mchongo za Harmonize😅😅😅😅😅😅😅
Kweri
😂😂😂😂Album nzima one idea
Hata Ayra Starr aliimba kiswahili Ngoma inaitwa ngozi
Hata teni na bien
Sio kama album ya mama 😂😂😂😂😂
Mwambie yule fala wa kimakonnde na single agen yake
Ww ni mxenge Kuna swahil hapo
Kwan unajua kiswahili wewe
Idea za KOMASAVA izi alizo tumiya REMA, wameshagunduwa kuwa kumbe kujaribu lugha tu inawezekana 😂😂, Jamaa kapita umwo umwo kwa KOMASAVA 😂 angetumiya KIFARANSA angegundulika tu mapema kuwa ame copie
Ivi unaongea nini😂😂 acha ufala wewe komasava imekujaje we mbuzi we rema sio level izo tena
@@juniorog205 😂😂 kwani unamchuliyaga vip SIMBA 🦁 mzee.
Kabisaaa aa yaaan kaona mond anaend mbal na kiswahili😂😂😂😂kaona anende nayo
alishaimbaga kiswahili @YemiAlade na wengine wengi😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@nickdemitychanell ndo maana anpafom asubui