Mlandege FC 0 (4 -2) 0 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 09/01/2024
Вставка
- Опубліковано 28 лип 2024
- Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya nusu fainali kati Mlandege dhidi ya APR ya Rwanda.
Mlandege imeshinda kwa penati 4-2. - Спорт
Jamani kombe la mapinduzi linakosa maana. Upendeleo huu pia ulifanyika dhidi ya Singida Big Star fainali za Mapinduzi cup 2022!! Hii siyo sawa.
Hongereni sana mlandege mmetuheshimisha zenji❤❤❤
Mapinduzi cup should be renamed "wizi cup"!
Kwa kweli hiki kiwanja kimenipendeza sana 🔥🔥
Haikuwa off-side! Ukweli usemwe. APR ni timu nzuri.
Clear offside. Good decision. Even though player in offside did not touch the ball he interfered with play, new FIFA rules say if you ATTEMPT to hit the ball from offside position, whether you hit it or not, IT IS OFFSIDE. GOOD DECISION.
Wewe acha ujinga ni Nani pale aliyeingilia mchezo ,,.hii game ilikuwa imepangwa tu mlandege spite...kwa stahili ndo maana mpira wetu haundelei
Yes of course you are right
Leornad mjinga ww ulokua hujui sheria kwani hujaiona km yule jamaa aliruka sema hakuupata tu mpira kwaiyo ni clear offside
hawa watu wengine
kazio kubeti sio kucheza mpira
Sio kweli haki haijatendeka.
ukiona team inaanza kwa kupiga mpira nje ni uchawi
Kwa hali hii michuano ya mapinduzi itakosa mvuto. APR wameonewa wasi wazi,,,goli la Shaiboub ni halali kabisa. Huu ni ushamba ulopitiliza na hawa marefa ni narrow minded,,,ndo maana hawafiki popote,,,shame on you all,,,APR nawapa maua yenu,,,!!
Hivi ni kweli hili goli limekataliwa😮😮😮😮😮😮
Marefa ree wa tanzibar mnazingua
mtu kakatwa kwenye box refa kapeta 😮💨 Duhh kweli mcheza kwao utunzwa
Aibuuuu😂😂😂😂
Tunasubiri tena fainali sijui mtaendeleza haya madudu tena!! Tunawashauri waandaaji wa kombe hili, kama hawataki kuharibu kombe hili, watafute waamuzi wengine, siyo hawa jamani.
Na nyie azamu kama miliamua kuidhamini ligi ya Rwanda kwa niya njema, mbona mahojiano na kocha wa APR yaliondolewa na hamsemi cho chote????? Au hiyo millioni 100 na 70 ziliyitolewa kwa mshindi wa kwanza na wa pili respectively ni lazima mshindi mmojawapo atoke Zanzibar???
Next don't waste your time to invited our time because it's like joke you showed whole Africa 😢shame of you I think it's better when u celebrate your independence means only uhave to over come threatening in football shame on you
Sijui kulikuwa shida gani kwa goli la APR. Kwa kweli kilikuwa Goal halali
Unatokea mkoa gani ww
Goli halali kabisa Dak 18
Wamebebwa
Aibu ya mwaka
Mlandege ushidi wenu n wa matata sanaaa
hili swala la marefa ni changamoto sana kwny ligi yetu hilo n kosa kubwa sana kwa maana ameinyima APR kwenda hatua inayofuata
APR wasijihangaishe kuja kwenye mashibdano ya aina hii. Hovyo kabisa. Hata mahojiano na kocha wa APR yalikatizwa ukweli ulipianza kusemwa !!
Niameotea kweli ,,,nimeagalia marudio. ,refa yuko sawa
ARR hawajatendewa haki katika huu mchezo
APR BAYIBYE PEEEEE BIGARAGARA
APR wamedhulumiwa sana
Wamebebwaaa
Mbona muna guna guna sana humu, hogo la Mlandege limewajaa tumboni, pumbav moja.
Goli la mwanzo lilokataliwa ni goli safi ilo la pili tuwaachie wenyewe
Marefa wa Tanzania bhana
Goli la wazi APR wamedhurumiwa.
This is totally disgrace to football of Tanzania, next time don't kid with our Club please.
Don't use use in your own interests.
A such referees in 2024! Kweli😢😢
Shame on you!
Hivi kweli hili ndio kombe mumeitia team kama APR
daa inaskitisha Sana
Mmefanya jambo la ajabu sana leo AZAM kipi kimefanya mkatishe maujiano ya kocha wa APR watu tunaona upuuzi wenu acheni kujiusisha na siasa mmefanya jambo la hovyo jabisa leo
Refer is thief ooh my God . what is tz
Marefa wanaharibu sifa ya mashindano huu sio uzalendo bali ni ujinga.
Why wamelikataa goli"!?
Munadanganya kbx Apr inashinda
Tanzanian referees 🤯🤯🤯🤯🤯🤯🤯
Shame on tanzania referee 18 minutes what a goal
Sorry APR 😭
*Zanzibar referee
Mumeiba APR
This is shame for Africa football
Ndio mana hata afcon hakuna refawa bongo hata umoja
Yamebebwaa ayo...tuseme ukweli...an refa anakataaa clear goal dakika ya 18 kipind cha kwanza an hawa marefa awapo fair...ata kocha wa APR amesema aya mashindano ayapo fair na awez kuja leta timu tena uku zenjiii
Hujui sheria za mpira alokuwa off side kaingilia kwenye mchezo
Mwanangu hujui mpira acha kuangalia mipira ya bara hao watangazaj pia hawaelew mpira ile ni clear offside maan mtu kazid kacheza mpira hata kama hakuupata lkn kama umeucheza t mpira ni offside
Muachie asilete kuna timu kibao kwani hawajui sheria za mpira
🎉
Wewe kale ukakojoe haujui mpira, hiyo ni OFFSIDE, soma sheria za soka sio una guna guna kwenye mitandao kama unatobolewa vile. Mlandege hoyee!
What kind of this referee? APR doesn't need to come back! So shame.
hawa marefa watafanya timu kutoka nje zisiwe zinashiriki mashindano haya kwa vitendo hivi wamenyimwa goli kabisa apr mlandege hata fainali iliyo ishaga zidi ya singida walibebwa mpaka kuchukua ubingwa jaman tendeni haki basi
mwamba ile ofsaidi
ni sinia ofsidi refa rii katumia ufundi kuliona hili
Wanaolalamika huku wote no utopolo
Goal zote zilikuwa offside tuache mihemko angalieni vizuri ya kwanza inakuwa offside kwasabab aliyekuwa offside alijihusisha na Mpira asinge ruka ingekuwa goal na ya pili ni clear offside
Utakua hujui mpira kaka,, amejihusisha hagusa aliegusa hakua offside kaka.. wamebebwa wasenge
Ww utakuwa ujui sheria lile goli la kwanza akuna offside
Marefarii wetu wanachezesha kwa maelekezo na sio kufata sheria ndo mana soka halikui
Tatizo Mapenzi na Kuchukia Timu ndio yanapelekea Haya Mambo.
UKWELI NI KUWA MAGORI YOTE MAWILI NI OFFSIDE.
Mbona Kama wamenyimwa penalty
Tatizo kweli wanachuki wao wanataka hata kama goli offside wanataka likubaliwe Mijinga kweli hii mijitu mengine
Kwa mpira huu kesho amtok , mmebebwaa
IKI GIKOMBE APR NTIZONGERA KUKITABIRA KBS. NUBUNDI MUJYE KUKIKINANA MWEBWA BANYA ZANZIBAR MUTUMIRE NABO MUSHAKA MUGIKINANE KUKO BIGARAGARA KO NAMWE MUGIKENEYE KURUSHA KUGIHATANIRA
kwanini hawajuwi kupiga penalty APR?
Hapana, walishavunjwa moyo mapema
Kwani chuo cha mareferee apa Tanzania kiko wapi? 😊
Amani Complex
#Muyibi 2:40
that wasnt an offside on apr
Unaanzisha mpira unautupa nje
Simba wa msubili
Nch masking kifikra
Mlandege acha zuluma umefungwa wewe lefa kawapa tu ushindi
Muwe munatizama mipira ya ulaya angalau mupate kuelew sheria za mchezo ile ni offiside ya waz kabisa alikuw kazid kaingia kweny mchezo
Sliyezidi siye aliyefunga
I mean, aliyefunga siye aliyezidi!!!! Jamani hili kombe linakosa maana. Upendeleo huu pia ulifanyika dhidi ya Singida Big Star fainali za Mapinduzi cup 2022!! Hii siyo sawa.
Magoli yote offside
Ushirikina mtupu.
goli lashaibubu so ofsaid
Offside hiyo aise kunamchezaji aliungilia mchezo akiwa offside tazana vizur
Wamebebwa mpaka aibu . Nimekuja kugundua ndiomana team za Zanzibar hazifiki popote club bigwa . Na hawa ma refa wangekua TANZANIA B basi wangefungiwa hatakama kombe la bonanza , hiyo ni aibu sana siku yingine club haziji kwamtindo huo yani aibu aibu
Shame on you Tz! What kind of reefer?
Please learn modern football rules, APR player clearly came from the offside position, even though he didn't touch the football he interfered with the play since he tried to head the ball and pushed the defender. New FIFA rules dictate interference with play 2:11 from an offside position IS OFFSIDE even if you don't touch the ball. GOOD DECISION.
@@MnyamwezMnyamwez-vx1wb we tulia maana unaweza ukaja lia kwenye game ya finally
@@MnyamwezMnyamwez-vx1wb keep supporting your brothers 🤣🤣🤣 not only for APR fc, maybe it's a culture
@@abimpuhweinnocent2634 You have said the right thing, I will support African teams and my home team forever, but please recognise football rules, if you ATTEMPT to play the ball from an offside position, even if you don't touch the ball, it is offside, these are the new FIFA rules, please learn the FIFA rules.
ua-cam.com/video/qcoJ7L09kXc/v-deo.htmlsi=MdDjM-ziTi9STtHg DORE ZIMWE MUNDIEIMBO ZIZAMAMAZA KAGAME MUMATORA EJOBUNDI
Tizi refa faka kabet huyo