Yanga SC 1-3 APR FC | Highlights | Mapinduzi Cup - 07/01/2024
Вставка
- Опубліковано 6 січ 2024
- Tazama matukio yote muhimu yaliyojiri kwenye mechi ya robo fainali kati ya Yanga SC dhidi ya APR FC.
Matokeo ni APR kuifunga Yanga SC 3-1
Magoli yamefungwa na Soulei Sanda, Mbaoma Victor na Sharaf Eldin Shaiboub kwa upande wa APR.
Goli la Yanga limefungwa na Jesus Moloko - Спорт
APR is a real military team!! They fight to a win until the last minute! Military mentally....!
APR juu juu juu sana
Alichokifanya mtangazaji sijapenda yaani gori la yanga alitangaza kwa sauti kubwa ila magoli ya APR sauti ya mgonjwa wa kifua kikuu 😢😢
😂😂😂😂
Nimefurah sanaaaa
Nimefulahi sana yanga kufungwa
❤❤❤😂😂😂😂😂😂❤❤❤ raha sana❤❤❤❤
Ohhhhh APR FC, badilisha kipenzi ❤
Waliongea maneno mabaya sana yanga, eti tunawafunga magoli matatu mlotokanao suluhu, sasa kibao kimegeuka kwenu poleni sana wazee wa mto jangwani, leo vyura watalia sanaa kwa uchungu sana sana😂😂❤
APR 🖤 my te I
🇷🇼🇷🇼❤️ apr fc oyeeeee
😅😅😅😅
Turayemera Apr fc
APR 💪💪💪💪💪💪💪💪
tatizo la Yanga hua wanaenda na matokeo kabla mchezo haujachezwa
Yanga walipanga kushindwa kwasababu ni mashindano ya muda mfupi yaani wiki 2 tu
Maneno ya mkosji
They thought that it is the same APR they used to play a couple of years ago😆 Things have changed here~🇷🇼⚽✊
You played with under 20 and start talking
@@jonasmbwambo3546How old is Makudubela?
@@jonasmbwambo3546How old is Zawadi Mauya?
@@jonasmbwambo3546How old is Moloko?
@@jonasmbwambo3546How old is Gift Fred?
Fantastic game from a pr, 3g? This wonderful play from a p r team.
APR hejuru cyane
😂😂😂 apr tupa ndani
Oooh Simba walicheza na timu mbovu haya wabovu mmekula tatu😀😀😀
Kwa ujinga wao wataomba simba ifungwe
TENA SANA WALA MIHOGO HAO 😂😂😂😂😂😂
Apr fc, keep going to next match ❤️❤️❤️ 10:28
Aseee apa sina usemi kwauto😂😂😂😂😂😂
Jana hata zingeongezwa dak 90 zingne tungepigwa tu
HIVI APR WALIKUA WANACHEZA NA NANI NILIJUA MBEYA CITY KUMBE N YANGA YENYE KIKOSI KIPANAA TOBAAA
😂😂😂😂😂 kikosi chauto mwiko nyuma umechomolewa
JAAAMAANIII MSITHEME HIVYOO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 acha bas
@@abelyjoseph3440 😂😂😂😂😂😂oooh Simba timu mbovu wameshindwa kuwafunga sisi tutawafunga mungu akapiga hapohapo sasa kwishaaaa😂😂😂😂😂😂
😅😂😂😂😂😂
APR gutoka Rwanda🇷🇼 goooooooooooorazoooo
Hawa ndo utopolo bila uchawi😂😂😂
BILA YA UCHAWI ANGEPIGWA 10 HAPO UCHAWI UMEWASAIDIA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@salimmalaka256 🤣🤣🤣🤣
Na dakika 9 juu
Apr fc juuuuuuu
Ese iyo ikipe itsinze umukinnyi agakuramo umupira bigendagute
Au basi😂😂
❤❤❤🇷🇼
APR KO INTEYE UBWOBA
irakubita
Hahahaha 😂😂😂😂😂😂 Wacha nimcheke mamba wakati ata sijavuka mto mieee utopoloooooo walikipiga kibonde 5 wakajuwa tayari washachukuwa kombe 😂😂😂😂
Yanga yaliwa 🍑zanzibar
UTOPOLO HALISI BILA UCHAWI NDIO TUMEWAONA LEO NA APR
LEO WAMEKOSEA MASHARTI BILA YA UCHAWI WANGEFUNGWA 10 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
❤😂😂😂😂😂😂
Yan li mauya😅
Simba zamu yetu Leo atutak mapinduzi
APR FC IN SKY
Wanyarwanda wanapambana wasajiliwe Yanga!
mpaka ni matokeo
Gamondi ana Gubu ila kalitema kwa akili, hajasahau tulivyokuwa tunalalamika hafanyi rotation, kaamua kutuwekea rotation huku mapinduzi cup huku akisema "Si mlikuwa mnataka rotation ? sasa ngojeni niwafanyie hio rotation muone kwanini huwa ssifanyi, tena nawaweka wachezaji muwaone uwezo wao kwa dakika 90 bila sub"
Somo tumelielewa Mr Gamondi, uwe unapanga utavyoona inafaa ilimradi tuchukue ligi kuu
YAMEKUWA HAYO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Leo hii😂😂😂😂😂😂😂😂 ttzo mna midomo sana na dharau mwisho wa siku mnapata aibu
Ukitaka kujua goli 3 ni nyingi,zigeuze ziwe chapati afu uzile uone kma hutoshiba😂😂
🖐 kama hizo ni hatari
Kipa mashine
Mpira mmecheza sana vijana wala msife moyo. Yule yule tu tunamsubiria. APR TUNAWAITA KWENYE YANGA DAY tunawapiga saba
we are always there to hurt you just call for us
msije mkapata aibu siku iyo kijana😆
Sisi tumesimama kuwapiga vibaya sana mutakuwa sawa ibga inanyamba mupepo
Machozi ya yanga furaha kwa zanziber😂😂😂😂😂
⚽⚽⚽⚽
Okay...let's see the champ...SSC
Kuna wachezaji hapa wamelipizia hasira za kukalishwa benchi,
SIO KWELI NI JITI TU LIMEWAINGIA MKUNDUNI 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Utopolo mumetukimbiy ilatutakutana ligikuu
tukifungwa sisi wenyewe mnasema na bado mbaka mseme
hello
Haapa Rwanda tumefuraha kabisa
WATASHINDA MSHINDI WA TATU
LABDA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hata mshindi wa nne hawapati hawa utopolooooooo
Makubwa kumbe huyp mtu mweusi yupo APR
APR ni timu ya nchi gani?.
@@HadijaRajabu-pr9diAPR iko nchini Rwanda
Kumbe jana kulikua na laha?
Yes, APR won, yet we prayed against referees😢 big shame for Zanzibar referees😱 learn to be professional.
Refa amefanyaje na michezaji yenu mibovu
kubali kushindwa goal 3 ni nyingi mno kwanza zingekua 5
Referees deny goals ? Why didn’t you score?
@@TheQuickTimesNewsSIO 5 SABA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Kwahiyo refa ndo alikuwa anacheza uwanjani au????
😂😂😂
Wooow...it is very grateful that Young Africans is beaten at another time....first,it was beaten by ihefu at premier league(2-1); second,it was beaten by Cr Belouzdad at champions league(3-0) and now is beaten by APR at mapinduzi cup(1-3).....Yeees, I wish Young Africans to lose more and more and more......!!!!!
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅1_3
Mubaya sana🤣
Hahahaha kwish
😂😂😂😂😂😂
Wakwanza mm jaman like zenu please yanga hoyeeeeeeee😂🤣🤣😂😂
Ay saw
Yanga hoyeeee
Wewe ni mchawi
APR oyeeeee nimefurahi sana kuniondolea hawa nzi wakijani.
Ndio mpira
YAMEKUWA HAYO 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ndio.mpira msimcheke mama wakati hujavuka mto
Kiukwel nimefurah sana🤣🤣🤣🤣
Hao vigagulaaaa
Isiwe 7babu mnaocheka tukutane ligi kuu mmsahau 5
huyu refa sio makini sana goli la pili la apr halikua penalty, ndio maana var muhimu
Basi ni 1:2
apr wanastahili kushinda ila inabidi tuongeze umahiri wa marefa ili lawama zisiwepo,@@user-zh9dy4hq5c
Check again bro, check! Or chose crying😅
Ww ulitaka iwe nini hujuwi kitu ww
Kipa kamcheza mchezaji badala yakuucheza mpira ww ulitaka iweje huoni wao wenyewe hawakulalamika
Dakik 9 au nimeon vibay😂😂😂😂
😂😂😂
Mpaka mseme🤣🤣🤣