KOCHA WA APR ATISHIA KUSUSIA KOMBE LA MAPINDUZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Kocha Msaidizi wa APR FC, AIME NDIZEYE ameonesha kutoridhishwa na maamuzi ya waamuzi wa mchezo wao wa Nusu Fainali ya Mapinduzi Cup dhidi ya Mlandege FC ambapo APR FC ilipoteza kwa mikwaju ya penati 4-2 baada ya mchezo huo kumalizika bila timu hizo kufungana.
    Ndizeye wakati anazungumza na Waandishi wa Habari baada ya mchezo huo, pamoja na mambo mengine alisema: “Hatutakuja tena kwenye mashindano haya.”
    POWERED BY @makanzacompany wauzaji wa pikipiki aina ya Kingbossi na spea za pikipiki aina zote kwa gharama nafuu!

КОМЕНТАРІ • 8

  • @jiresbarinaba9563
    @jiresbarinaba9563 8 місяців тому

    kocha yupo sahihi

  • @user-hd8qd4jq8p
    @user-hd8qd4jq8p 8 місяців тому

    Hiyo Ni Kweli Kabisa

  • @damaccharles9108
    @damaccharles9108 8 місяців тому +1

    Sio kwamba ametishia! Amesema kuwa hawatorudi tena kushiriki! Ni vyema sana maana wameona Waamuzi ni kama wamepewa maelekezo

  • @barakamkusa1489
    @barakamkusa1489 8 місяців тому

    Hajaishia hapo na Leo wameendelea na utopolo wa wazibeba timu Hadi aibu

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 8 місяців тому

    Mpira ni mchezo wa wazi live

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 8 місяців тому

    Nikweli Tanzania tumajidhalilisha marefa wa tanzania hawafai

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 8 місяців тому

    Nikweli Tanzania tumajidhalilisha marefa wa tanzania hawafai.

  • @mariamemadoshi5540
    @mariamemadoshi5540 8 місяців тому

    Nikweli Tanzania tumajidhalilisha marefa wa tanzania hawafai.