KISUGU AFUNGUKA SABABU ZA ALLY KAMWE KUJIUZURU YANGA/HAJI MANARA NDIYO CHANZO/KAMFUKUZISHA KAZI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 196

  • @HusseinBundara
    @HusseinBundara 2 місяці тому

    Ni kweli kisuqu❤❤❤❤

  • @edwardbenezeth8965
    @edwardbenezeth8965 2 місяці тому +2

    Bado Hamjasema💛💚💪💪💪

  • @DenisSanga-bj5ud
    @DenisSanga-bj5ud 2 місяці тому

    Nafurahi Sana Kuona Simba mnateseka yaani Raha kwelikweli

  • @shanjemanumba6325
    @shanjemanumba6325 2 місяці тому +5

    Huyu jamaa zinamtosha kweli au anamatatizo ya akili

  • @EdwardKamilo
    @EdwardKamilo 2 місяці тому

    Jamaa ana ongea kwa hasira na amepaniki kinoma point hamna

  • @ismailmasoud6001
    @ismailmasoud6001 2 місяці тому +3

    Hahahaaa....mmeanza...mshajua KIMBUNGA kitawakuta....🤣🤣🤣

  • @peterkerenge9207
    @peterkerenge9207 2 місяці тому +2

    Wasemaji wa simba vilaza sana😅 mpira umewashinda wanaleta taarabu za kupangwa matokeo😅

  • @RamadhanAbdallah-k2o
    @RamadhanAbdallah-k2o 2 місяці тому +1

    Acha kuongea mambo usiyo yajua bro, fanya research kabla ya kuzungumza ulaya fly emirate in sponsor klubu saba km vile real madrid, Arsenal, Ac milan, olympic lyon, benfica na kadhalika vile vile pale England emirate ni mdhamini wa arsenal pia ni mdhamini wa FA cup

  • @ramadhanmasiku4105
    @ramadhanmasiku4105 2 місяці тому

    Kichwa Cha habari na kilicho ndani ni tofauti Jembe mnajishusha Wenyewe Ayo Hana mpinzani

  • @LabaniAkyoo
    @LabaniAkyoo 2 місяці тому

    Yanga inaaribu Mpira,, haiwezekani idhamini club zaid ya moja ,hizo timu zikikutana na yanga zinacheza chini ya kiwango

  • @ImmanuelAidan
    @ImmanuelAidan 2 місяці тому

    Ligi gan mdhamini anaruhusiwa kudhamini team zaid ya moja kwenye legue. ,,,, kaongea ukweli

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 2 місяці тому +1

    Huyu nae HAZIMO KABISA hivi kati ya vilabu na GSM nani anamuomba mwenzake msaada kwa SABABU hata YANGA ilimuomba GSM

  • @LovenessDaud
    @LovenessDaud 2 місяці тому +1

    Alivyokaza fuvu sasa yuko serious kama anaongea point vile😂😂

  • @dahelahmad6331
    @dahelahmad6331 2 місяці тому +1

    Na zile TIMU zilizofungwa na YANG'A south Africa zimedhaminiwa na Yanga.?

  • @LeonardKessy-d2i
    @LeonardKessy-d2i 2 місяці тому

    Huyo jama ni chizi aperekwe mirembe kupimwa

  • @EmanuelElisha-b5j
    @EmanuelElisha-b5j 2 місяці тому

    Wwww kisigu

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 2 місяці тому +1

    Hivyo ndivyo mnavyotupa hasira, tarehe 8 tutawakomesha?

  • @bakarijuma1827
    @bakarijuma1827 2 місяці тому +1

    Awezi sema mo anatoa bei Gani kwakuwa ni chawa

  • @AmanaHassan-cy4fi
    @AmanaHassan-cy4fi 2 місяці тому +1

    Hao hao haooo wanampigaa Refaaa...!!!

  • @enockabumba7513
    @enockabumba7513 2 місяці тому +2

    Uko sahii kisugu
    Mimi ni yanga lakini sipendi tabia iyo

    • @LabaniAkyoo
      @LabaniAkyoo 2 місяці тому +1

      Kweli aisee ,Gsm anaharibu Mpira, adhamini yanga peke yake

  • @VicentHaule-vm9eo
    @VicentHaule-vm9eo 2 місяці тому +1

    Kisugu hicho chombo usikitumie Tena kina vinasaba na yanga

  • @ToshNester
    @ToshNester 2 місяці тому

    Elimu ni ya muhim sana

  • @charleskuyeko4400
    @charleskuyeko4400 2 місяці тому

    CEO wa Simba ni bongo lala. Vinginevyo angekuwa amelipinga hili mpaka FIFA. SIMBA Viongozi liangalieni hili na kulichukulia hatua.

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 місяці тому

    Kumbe umesikia tu, we kichwa tenge😅

  • @HassanjumaKitimle
    @HassanjumaKitimle 2 місяці тому

    Kisugu yupo vizur hapewe usemaji

  • @rasakakaombwe
    @rasakakaombwe 2 місяці тому

    Hama tanzania sasa

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 2 місяці тому

    Ali kamwe hajajiuzulu anawababaisha tu watu.

  • @amosicommedy6917
    @amosicommedy6917 2 місяці тому

    😂😂😂😂shida hicho ni kisugu kama timu yake mlikataa udhamini wa gsm

  • @SamMjema-dj8qz
    @SamMjema-dj8qz 2 місяці тому

    We hujijui bado

  • @richardjafu7404
    @richardjafu7404 2 місяці тому +2

    Mnamuhoji mwehu, mnatimalizia mabando yetu Bure.

  • @charlestobby6031
    @charlestobby6031 2 місяці тому

    We kisugu hujawahi kuwa na akili mwehu mmoja

  • @DanielSinavangi
    @DanielSinavangi 2 місяці тому

    🐦peleka saram

  • @RojaAbdul
    @RojaAbdul 2 місяці тому

    Wandishi vilanza ,,,wanatumika awoo

  • @jumashedafa
    @jumashedafa 2 місяці тому

    Ally kamwe yupo acheni propaganda...Ally ni Afisa habar na manara ni msemaji...Alicho acha Ally ni usemaji

  • @hassanntabeze5213
    @hassanntabeze5213 2 місяці тому +1

    Mwandishi dishi kweli

  • @Kifimbo
    @Kifimbo 2 місяці тому

    Hoyo mo kampelek akazamin Kwan kakatazwa nan na vilabu vinahitaj uzamni

  • @samoravideo4752
    @samoravideo4752 2 місяці тому

    Mo Hana peas na mapenzi ya mpila Hana Simba ina mshinda

  • @mussanangumi1734
    @mussanangumi1734 2 місяці тому +2

    Huyu chawa tu Hana ushabiki wa maendeleo ya simba Hana hoja ya msingi anapiga kelele ili apate ugali shabiki wa uchungu miraji Gb 64 Pasi million lakinj huyu mamluki

  • @julianajeremiah4353
    @julianajeremiah4353 2 місяці тому

    Wanahatibu mpira wamezoeya kununua ubingwa alafu wanajifanya Yanga Bora wap

  • @AdamsonSikazwe
    @AdamsonSikazwe 2 місяці тому +2

    Huyo ni mwana siasa tu.

  • @DenisMwansasu
    @DenisMwansasu 2 місяці тому +1

    Mbona sport pesa ilizamini simba na yanga simba ilichukua kombe acha ubwege kisugu

  • @allykingazi4378
    @allykingazi4378 2 місяці тому

    Sio kweli huyu anaongea ukwel ndio maana wa muita chawa..

  • @ibrahimalharthi4599
    @ibrahimalharthi4599 2 місяці тому

    Ali Kamwe ni kijana mtulivu mwenye uvutio mkubwa ambae atakumbukwa katika uongozi wake Yanga imepata mafanikio makubwa sana bila ya kuziandama timu nyenginezo. Kila la kheri Ali

  • @MichaelSangula
    @MichaelSangula 2 місяці тому

    Kisugu mwehu muacheni yeye siyo msemaji wa cmba amejivalisha koti la Ahmed Ally wakipenda wapeleke TFF malalamiko hayo asitutafunie MB zetu bule

  • @charlesmwita4245
    @charlesmwita4245 2 місяці тому

    Kitu ambacho hajui akiwaacha wengne nguvu zote anaelekezea yanga then mtasema vizuri

  • @gabrielthadeo
    @gabrielthadeo 2 місяці тому

    Huyo kisugu anatafuta kiki lile eneo la town avic ni eneo la kibiashara hata wewe unaweza kukodi lisikutoke povu sana

  • @Salum-l4l
    @Salum-l4l 2 місяці тому

    Taja moja senge

  • @SalhaSewando
    @SalhaSewando 2 місяці тому

    Hee kichwa tenge

  • @RashidLupatu-bg8dr
    @RashidLupatu-bg8dr 2 місяці тому +4

    Mo na yeye atafute vilabu saba ligi ina timu 16 Acha uboya Kenge rudi Darasani

  • @TitusSongoro-ww3bo
    @TitusSongoro-ww3bo 2 місяці тому

    Kwani shida Iko wapi jamani

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 2 місяці тому

    Elimu, Elimu, elimu, busara na hekima ni muhimu sana nje ya hapo utakuwa unasubiri pakuche haraka ili ufuatilie mambo ya watu na hayakusaidii kitu ! Weak or simple minded people discuss about people not events or issues!
    Habari kubwa ya michezo kwa Jana ilikuwa ni Yanga siyo tu kwa kuifunga Kaizer Chiefs 4-0 ! Bali ni kwa kocha Gamondi kumgaragaza vibaya kocha Nabi ! Wote wakiifundisha Yanga kwa kupokezana !

  • @abdillahmchia8557
    @abdillahmchia8557 2 місяці тому +3

    KAMA SENGE pamban ww kipara kam kijiko

  • @Hope-ok9dy
    @Hope-ok9dy 2 місяці тому

    Ili chizi nn senge kweli

  • @AderinaKasanga
    @AderinaKasanga 2 місяці тому

    Uyo kocha siomtu wapira mwambie wakajipange watengeneze team yao iyo tareh 8 atateseka sanayo dunduka

  • @MalifezaMajidi
    @MalifezaMajidi 2 місяці тому

    Huyuboya kweli

  • @methodpeter1323
    @methodpeter1323 2 місяці тому

    Kisugu matamani uwe rafiki yangu yaan mpira unaujua kaka

  • @HabibuSaid-up5sn
    @HabibuSaid-up5sn 2 місяці тому

    Kisugu timu zimebaki 7 nanyinyi mwambieni kanchubai na yeye anunuwe

  • @AlmasHamisi
    @AlmasHamisi 2 місяці тому

    Kisugu umepata aibu acha kukurupuka

  • @matiankomola2391
    @matiankomola2391 2 місяці тому

    Huna mpila ndiyo maana unatafuta kichaka cha kujifichia.

  • @mtumeananiasjohachim8760
    @mtumeananiasjohachim8760 2 місяці тому

    Nilichugundua ni kuwa huyu jamaa anatafuta kibarua kwa MO.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 2 місяці тому

    Tff sijui wanafukiria nn kuhusu hili lamdhamini mmoja kudhamini Zaid ya Tim moja

  • @WestonMbuba-ff4jk
    @WestonMbuba-ff4jk 2 місяці тому

    Muulizeni kama amekula leo. Ninaona anabwabwaja kama mtu mwenye njaa

  • @sadiqmashakaabdallahhassan9573
    @sadiqmashakaabdallahhassan9573 2 місяці тому

    Tarehe 08 ifike in sha Allah

  • @saltechnologiesco.ltd.2377
    @saltechnologiesco.ltd.2377 2 місяці тому

    Uwezo wa kisugu kufikiri na kisha kuongea ni dhaifu sana na media zinazomtumia ni dhaifu pia kama yeye

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 2 місяці тому +7

    Avic town kunakodishwa hata simba wanaweza kwenda kukodi na kukaaaaaa

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому +1

      Hawajui lolote ni khofu tu imewajaaaa. We unafikir lengo la kudesign sanda ni jambo dogo ??? Acha watesekeee

  • @l.marley_2542
    @l.marley_2542 2 місяці тому

    Simba😂😂😂 Hadi wanahurumisha na bado 😂😂😂

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 2 місяці тому

    Kwelii kbs wanauakika na point za mechi 14 za izo timu zao

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 2 місяці тому +2

    Mo ni mbinafsi hawez kutoa hela zake kuzipa timu zingine

  • @stevenemwakasimba-pt8er
    @stevenemwakasimba-pt8er 2 місяці тому

    Sipati picha domo linavyotoa mate na harufu kama mkojo wa mlevi

  • @bakarijuma1827
    @bakarijuma1827 2 місяці тому

    Unazungumzia Alie zamini watu Saba kwasababu ni bwanaako kama linakuumiza achana nalo

  • @HamadiMgeja
    @HamadiMgeja 2 місяці тому

    Acha janja janja kisugu we hujui mpra unaropokaga tu

  • @maendeleoleo2594
    @maendeleoleo2594 2 місяці тому

    Hivi nikupe kazi utaacha kunilinda mwajiri wako

  • @HammyVanmaarifa
    @HammyVanmaarifa 2 місяці тому

    Choko ww

  • @JuhudiKasanga-yq5ks
    @JuhudiKasanga-yq5ks 2 місяці тому

    Najiandae familia Yako kuteteleka mdomo utabwajaja mwisho leta pesa sio povu mpaka ndita kumbe njaa tu

  • @NalvinBukwimba
    @NalvinBukwimba 2 місяці тому

    Huyu jamaaa kichwa chake kinasora mbovu analopokaga kuongea anaumia nini kama xyo Uchiz huo

  • @AdamsonSikazwe
    @AdamsonSikazwe 2 місяці тому

    Ninyi ndo mnaofanya Simba haibadiriki. Kwasababu mnaweza kuongea mnatumia midomo yenu. Vibaya. Hayo nimaandalizi ya kuzima kichapo cha ngao ya jamii. Mmeshaona kinachokuja mmeanza kutupanga kisaikolojia.

    • @FeisalKhamis-p3r
      @FeisalKhamis-p3r 2 місяці тому

      We kwel ni mwana simba mana naona mahepe hiv🤔

  • @JaphetLameck-kw4yq
    @JaphetLameck-kw4yq 2 місяці тому

    Acha wivu kisugu mbona gsm alitaka kudhamini ligi mkakataa?

  • @AdamsonSikazwe
    @AdamsonSikazwe 2 місяці тому +2

    Acha upumbavu,,, huo ushabiki ni wa zamani sana. Simba tumepigwa nje ndani tunadhaminiwa na GSM?

    • @VedastoJaphes
      @VedastoJaphes 2 місяці тому

      acha ujinga kufugwa ni kawaida anachozungumzia kisugu naona hujamuelewa

    • @AdamsonSikazwe
      @AdamsonSikazwe 2 місяці тому

      @@VedastoJaphes Nimemuelewa vizuri,, anadai timu zinazo dhaminiwa, na GSM zinanunuliwa,, ndio maana Yanga inapata matokeo. Ligi inakosa ushindani. Kama Kisugu yuko sahihi tetesi hoja ni kwa jinsi gani? Maana kama kufungwa sisi Simba ndio tumefungwa magoli mengi msimu jana. Je na sisi tunadhaminiwa na GSM? Tukubali usajili wetu haukuwa sawa,, wachezaji wamechoka. Tusiongee kishabiki muda wote. Tukubali ukweli tu jirekebishe,, that's all

  • @mussaissa6796
    @mussaissa6796 2 місяці тому

    HABARI YA ALI KAMWE IKO WAPI HAPO WEE NGURUWE PORI

  • @hawamasanje9589
    @hawamasanje9589 2 місяці тому

    Unakauka sauti bure nyamaza MO naye hajakatazwa kudhamini timu nyingine mbona zipo? Acha kelele

  • @EmmanuelNdaki-e7q
    @EmmanuelNdaki-e7q 2 місяці тому

    Acha ushamba udhamini unafanywa ht Ulaya,kama ni hivyo hata Azam timu yao ingekuwa inafanya hayo unayoyasema,hizo kelele mwache huyo hajui anachokisema.

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 2 місяці тому

    Kazamin ww

  • @raphaelrwakimwaga7995
    @raphaelrwakimwaga7995 2 місяці тому

    Wanasimba tuache kupga kelele tutengeneze timu tushinde kila mechi... ubora wa timu ndo itaamua matokeo viongozi wetu niwabaili

  • @AdamsonSikazwe
    @AdamsonSikazwe 2 місяці тому

    Kwanini msimshauri boss wenu naye adhamini timu zilizobaki naye azinunue? Acha ushamba kisugu.

  • @rubbenmabuga3058
    @rubbenmabuga3058 2 місяці тому

    Na simba mbona wameichangia point 6 yanga kuwa bingwa, na wao walipangwa?

  • @GideonMalabega
    @GideonMalabega 2 місяці тому

    Kwani GSM kudhamini timu 6 ndio kumesababisha Simba kufungwa mara mbili 5-1 na 2-1 na Yanga?mbona JKT Tanzania haikufungwa mara mbili na Yanga?hizo timu zinazodhaminiwa na GSM zimeizuiaje Simba kuchukua ubingwa?je Azam nayo inadhaminiwa na GSM?

  • @AdamRashidi-n9g
    @AdamRashidi-n9g 2 місяці тому

    Msenge mwenyewe wewe choko tu tena wewe utopolo

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 місяці тому

    Mmeanza,mmeanza,mmeanza🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FatumaNambayaya
    @FatumaNambayaya 2 місяці тому

    Kusugu hanatombwa uyo mo mwenyewe ana ela

  • @bakariathuman3451
    @bakariathuman3451 2 місяці тому

    Pointi ni ipi unayoitaji? Mwandishi pia ana shida!

  • @abdulrashidi-u2m
    @abdulrashidi-u2m 2 місяці тому

    Huyu mwandishi ni mwehu maswali gani..hayoo??

  • @mbwanarajab7238
    @mbwanarajab7238 2 місяці тому

    Watu waache matusi ila wafikiri vizur juu ya haya
    Unasikini wetu unatufanya tuharibu taratibu zetu
    Tff ilisemee hili

    • @mwanangusana
      @mwanangusana 2 місяці тому

      @@mbwanarajab7238 lisemeeni nyinyi tu 😂😂 .... Nahis wakat huu mlo design sanda ndo itapendeza zaidi na zaidii ..... Mangungu alienda FIFA wakat Fulani kupeleka iyo kesi akaulizw kwani nyie mmewafunga ngap ?? Na kwenye ligi mmeshika nafasi ya ngapi ? Mbona Kuna wakat vilabu vya Simba , yanga , namungo na Singida walikuwa wanavaa jezi zinye nembo ya Sportpesa hawa ni akina nani ?? Wapo na wanasheria wanajibu Ayo maswal wakirudi ili waungane na magoma mahakamani 😂😂😂😂😂😂

  • @sosomacharles9920
    @sosomacharles9920 2 місяці тому

    Mbona mapema sana,au kikosi chenu tayari mmeshakiona kibovu nn🤣🤣🤣🤣🤣

  • @HajiJuma-oy1jy
    @HajiJuma-oy1jy 2 місяці тому

    Hawa Mabwela hawajielewi

  • @AzhadSaid-j1t
    @AzhadSaid-j1t 2 місяці тому

    Xav mtupu

  • @LegendaryMuro
    @LegendaryMuro 2 місяці тому

    Huyu jamaa akili ziko matakoni

  • @MustaphaKajua
    @MustaphaKajua 2 місяці тому

    Hajielew na hajuw anachoongea

  • @JohnsonBagambi
    @JohnsonBagambi 2 місяці тому

    Simba tumepigwa nje ndani na yanga kwaiyo na simba mdhamini wake ni GSM? acha uboya mambo ya mpila yaache fanya kaz nyingne misuli inakutoka unaongea pumba tu

  • @AdamRashidi-n9g
    @AdamRashidi-n9g 2 місяці тому

    Huyo si mchambuzi huyo msenge tu

  • @christopherobinya9874
    @christopherobinya9874 2 місяці тому

    Wewe Ulienda kudhamini ukakataliwa ?