Dizasta Vina - The Verteller (Official Album Intro)

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 вер 2024
  • Category - Music
    Song -The Verteller(official album intro)
    Artist - Dizasta Vina
    Writer - Dizasta Vina
    Music - Ringle Beatz
    Studio - MV09
    Official music audio
    Mdundo - mdundo.com/son...
    Audiomack - audiomack.com/...
    Lyrics - genius.com/Diz...
    Other Musical contents
    Audiomack - audiomack.com/...
    UA-cam - / dizastavina
    Deezer - www.deezer.com...
    Apple music - artists.apple....
    Mdundo - mdundo.com/a/2263
    Genius - genius.com/Diz...
    Boom play - www.boomplay.c... - artists.spotif...
    Connect with Dizasta Vina on social medias
    Instagram - / dizastavina
    Twitter - / dizastavina
    Facebook - / dizastavina07
    sw.wikipedia.o...
    Business: Pan.authentik@yahoo.com
    Website - bio.link/dizas...
    Lyrics
    Inafaa kunena
    Inafaa kunena labda ni muhimu sijui
    Labda kusimulia si karama kama wanavyosema
    Ikiwa msimuliaji huingia hatarini
    Labda kweli baraka ni laana njema
    Wasikilizaji nasikia wana ndoto na wenyewe
    Si uongo
    Hadithi nzuri ndo' kilele kwa wasikilizaji
    Ila ndoto ya msimuliaji
    Ndoto ya msimuliaji ni kulindwa milele
    Kwanini azibwe mdomo wakati ubongo unapiga kelele?
    Si lazima msimuliaji apazwe la hasha!
    Atandikiwe majani au aandikwe kama mwanasiasa
    Lakini lengo lake awe huru msimuliaji atambe
    Alindwe ili waovu waonyeswe, mashujaa watangazwe
    Ona kuna wasimuliaji hukwepa pande tupu
    Yani baada ya mitaji husimulia upande wa wenye nguvu
    Wapo wabinafsi wanaotangaza jinsi asili ilivyowahusudu
    Husimulia walivyoshinda vita wakigombea asali na wadudu
    Swali ni je? , Nani atasimulia hadithi ya wadudu?
    Nani atasimulia kua si mara zote mchukua asali alimsulubu mdudu?
    Nani atasimulia hadithi ya shetani, baada ya kusikia upande wa Mungu?
    Baada ya kusikia upande wa Mungu
    Waungwana kumbukeni ya muhimu na ziada
    Kumbukeni ya uchumi jamii na siasa
    Lindeni ghala la chakula na maji
    Lakini msisahau kumlinda msimuliaji, ni afya
    Japo kuwa msimuliaji si alama ya taifa
    Lakini fikiria mtu ambaye yupo tayari kulipa gharama ya maisha
    Msimuliaji hukukumbusha ulipotoka ujue unapoenda
    Na hiyo ndio faida
    Labda ukumbuke ya mdimu na majoka
    Au simulizi za mizimu ya mloka
    Au tarihi ambazo ni historia za kuziheshimu
    Maana asiyeijua historia, huweza kurudia makosa
    Msimuliaji hachagui upande maana hapendi kupotoka
    Hafungamani na misalaba au alama za mwezi na nyota
    Alama za wasimuliaji walioidongosha kheri
    Waliookota sifa wakati wakiidondosha kweli
    Wakati wakiidondosha kweli
    Enyi wa khaki kijani na manjano
    Mmeona nyekundu ile pale?
    Haijaja pale leo ipo tangu kale
    Msiruhusu iwaguse
    Si kwakua hamna hadhi
    La hasha
    Ila ile rangi anaifahamu msimuliaji
    Ile rangi ni damu iliyomtoka au kumrukia
    Na mchanganyiko wa pande zote za dunia
    Anaijua leo, aliijua jana
    Hajaisoma au kuisikia
    Aliipata wakati akitafuta vya kusimulia
    Na ni hivi anavyotaka kukusimulia leo
    Nyakati za katikati kwenye eneo la ukanda wa kidachi
    Zilizaliwa lugha tatu, Lugha ghafi
    Na kati yao ilikuwepo lugha iliyoitwa lugha ya watu
    Kwenye ukanda huu msimuliaji hakuitwa Narrator au story teller kwa kiingereza
    Hakuitwa Erzahler japo kuwa ukanda huu ulikuwa karibu sana na Ujerumani
    Hakuitwa Rawi kwakua huu ukanda haukuwa wa kiarabu
    Msimuliaji aliitwa the Verteller
    Kama Christopher Hitchens
    Ama Professor Laurence Krauss
    Ama Shaaban Robert
    Ama Francis Scott Key Fitzgerald
    Ama Chimamanda Ngozi
    Ama Fred Saganda
    Ama Alice Walker
    Ama Octavia Burtler
    Ama Lufufu Mkandala
    Ama Rainfred Masako
    Dizasta vina, mabibi na mabwana
    Ni the Verteller

КОМЕНТАРІ • 320

  • @ChirikoRapsandVibes
    @ChirikoRapsandVibes 4 роки тому +11

    This has to be by far the best album intro in the history of Bongo Hip Hop.🙌

  • @gilmangeorge366
    @gilmangeorge366 4 роки тому +12

    Hii ngoma duuu🤝🤝🤝team dizasta tupo wap

  • @alextanzania
    @alextanzania 4 роки тому +43

    1.Utunzi mahiri, nilishakushauri maandishi haya yawe katika vitabu(andaa kitabu cha fasihi) unafikirisha sana. Lakini tungo zina mtiririko mzuri.
    2. Jamani tunaomkubali jamaa tumuunge mkono basi katika kusambaza tungo hizi. Tununue mziki/tungo zake,sio kuishia hapa tu kumsifia jamaa tu.
    3. Tuwe wa kwanza kusupport aina hii ya utunzi mabadiliko yanaanza na sisi sio media tena.
    4. Tunaumizwa sababu tunaaminiana,wengi wanaotuumiza ndio tuliowaamini sana. (Wengi wao).
    Mstari ninaoupenda.
    Kila la kheri Dizasta Vina katika maandalizi ya album.

    • @adamoscar6778
      @adamoscar6778 4 роки тому +3

      Umenenaaa💪💪💪🤝🤝🤝🤝

    • @dizastavina
      @dizastavina  4 роки тому +7

      Thanks bro

    • @nichorausmubhilizi4850
      @nichorausmubhilizi4850 3 роки тому +1

      Huyu jamaa anasababisha naonekana mjinga home,nasikiliza mashairi yake kwa umakini hadi nawakeraa watu kuwa nasikiliza ujinga ujinga.
      Huyu jamaa ni fundi haswa namkubali na anasoma vitabu vya waandishi wakongwe kama akina sheby na mlokozi.
      Nakubali

    • @legawayz6093
      @legawayz6093 3 роки тому +1

      Kweli kabisa

    • @marthaemanuel3730
      @marthaemanuel3730 3 роки тому +1

      Dah nikweli bro jamaa anajua

  • @RomanEmpirG
    @RomanEmpirG 4 роки тому +14

    Natamani siku moja nikutane na dizasta vina,, the black Maradona, professor tungo, Mc wa vina

  • @venengamusic1260
    @venengamusic1260 4 роки тому +1

    Hakika dizasta vina ww ni mkombozi uliezaliwa kwa makusudi uje uzikomboe bongo zetu, asante Mungu kwaajili ya huyu mja wako

  • @nickman4435
    @nickman4435 4 роки тому +7

    Hivi huyu jamaa ana akili ngapi.., hakika naisi huyu jamaa bado hatujampeleka anapostahili...
    Respect bro kweli wewe ni profesa Ringo🙌🙌🙌

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 4 роки тому +12

    Ktk Freestyle ya BLACK THOUGHT on Funkflex ambayo to many inachukuliwa km "BEST FREESTYLE OF ALL TIME",kuna line anasema “Catch the herald, I’m fresh chopped and beveled. Rap on a doctrine level, so F. SCOTT FITZGERALD"
    Hapa pia Dizasta kamjumuisha(frank scott fitzgerald) ktk orodha yake,hii reference pekee itoshe kuonyesha kuwa kuna "MAAJABU YA KUTOSHA KTK HII Album" na itabidi kukaa na kamusi pembeni maana Hivyo vichwa vilivyotajwa hapo si vya KAWAIDA.THIS IS FOR THE HEADS not the RADIOS,cant wait for it,blessings

  • @saidikutwambi1799
    @saidikutwambi1799 4 роки тому +7

    Dah, natamani Tanzania nzima wasikilize hii Kitu!

    • @ribambawala
      @ribambawala 4 роки тому

      Kuisikiliza sio issue broo tabu inakuja kuelewa MADINI ya kwenye hii ngoma

  • @dullywamashairi121
    @dullywamashairi121 4 роки тому +8

    Nani atasimulia ya shetani maada ya kusikia ya Mungu = ( Nani atasimulia ya Chadema baada ya kusikia ya CCM )
    Wenye akili ya ziada ndo pekee wanaweza kukuelewa!
    Dizasta Vina, Mc Mahiri Mc Katiri!!
    __________________________________

  • @dizastavina
    @dizastavina  4 роки тому +80

    The Verteller lyrics
    Inafaa kunena
    Inafaa kunena labda ni muhimu sijui
    Labda kusimulia si karama kama wanavyosema
    Ikiwa msimuliaji huingia hatarini
    Labda kweli baraka ni laana njema
    Wasikilizaji nasikia wana ndoto na wenyewe
    Si uongo
    Hadithi nzuri ndo' kilele kwa wasikilizaji
    Ila ndoto ya msimuliaji
    Ndoto ya msimuliaji ni kulindwa milele
    Kwanini azibwe mdomo wakati ubongo unapiga kelele?
    Si lazima msimuliaji apazwe la hasha!
    Atandikiwe majani au aandikwe kama mwanasiasa
    Lakini lengo lake awe huru msimuliaji atambe
    Alindwe ili waovu waonyeswe, mashujaa watangazwe
    Ona kuna wasimuliaji hukwepa pande tupu
    Yani baada ya mitaji husimulia upande wa wenye nguvu
    Wapo wabinafsi wanaotangaza jinsi asili ilivyowahusudu
    Husimulia walivyoshinda vita wakigombea asali na wadudu
    Swali ni je? , Nani atasimulia hadithi ya wadudu?
    Nani atasimulia kua si mara zote mchukua asali alimsulubu mdudu?
    Nani atasimulia hadithi ya shetani, baada ya kusikia upande wa Mungu?
    Baada ya kusikia upande wa Mungu
    Waungwana kumbukeni ya muhimu na ziada
    Kumbukeni ya uchumi jamii na siasa
    Lindeni ghala la chakula na maji
    Lakini msisahau kumlinda msimuliaji, ni afya
    Japo kuwa msimuliaji si alama ya taifa
    Lakini fikiria mtu ambaye yupo tayari kulipa gharama ya maisha
    Msimuliaji hukukumbusha ulipotoka ujue unapoenda
    Na hiyo ndio faida
    Labda ukumbuke ya mdimu na majoka
    Au simulizi za mizimu ya mloka
    Au tarihi ambazo ni historia za kuziheshimu
    Maana asiyeijua historia, huweza kurudia makosa
    Msimuliaji hachagui upande maana hapendi kupotoka
    Hafungamani na misalaba au alama za mwezi na nyota
    Alama za wasimuliaji walioidongosha kheri
    Waliookota sifa wakati wakiidondosha kweli
    Wakati wakiidondosha kweli
    Enyi wa khaki kijani na manjano
    Mmeona nyekundu ile pale?
    Haijaja pale leo ipo tangu kale
    Msiruhusu iwaguse
    Si kwakua hamna hadhi
    La hasha
    Ila ile rangi anaifahamu msimuliaji
    Ile rangi ni damu iliyomtoka au kumrukia
    Na mchanganyiko wa pande zote za dunia
    Anaijua leo, aliijua jana
    Hajaisoma au kuisikia
    Aliipata wakati akitafuta vya kusimulia
    Na ni hivi anavyotaka kukusimulia leo
    Nyakati za katikati kwenye eneo la ukanda wa kidachi
    Zilizaliwa lugha tatu, Lugha ghafi
    Na kati yao ilikuwepo lugha iliyoitwa lugha ya watu
    Kwenye ukanda huu msimuliaji hakuitwa Narrator au story teller kwa kiingereza
    Hakuitwa Erzahler japo kuwa ukanda huu ulikuwa karibu sana na Ujerumani
    Hakuitwa Rawi kwakua huu ukanda haukuwa wa kiarabu
    Msimuliaji aliitwa the Verteller
    Kama Christopher Hitchens
    Ama Professor Laurence Krauss
    Ama Shaaban Robert
    Ama Francis Scott Key Fitzgerald
    Ama Chimamanda Ngozi
    Ama Fred Saganda
    Ama Alice Walker
    Ama Octavia Burtler
    Ama Lufufu Mkandala
    Ama Rainfred Masako
    Dizasta vina, mabibi na mabwana
    Ni the Verteller,

    • @kelvinshayo608
      @kelvinshayo608 4 роки тому +1

      Upande wa Hip Hop ushaumaliza 🤜🏽🤛🏽

    • @dizastavina
      @dizastavina  4 роки тому +2

      The Verteller (Official album intro) is out
      UA-cam - ua-cam.com/video/taJ2Qd9L0qY/v-deo.html
      Mdundo - mdundo.com/song/1648098
      Lyrics - genius.com/Dizasta-vina-the-verteller-official-album-intro-lyrics
      Audiomack - audiomack.com/dizastavina/song/the-verteller-officia-album-intro

    • @kelvinshayo608
      @kelvinshayo608 4 роки тому

      P1 mzee acha 2zame 2chote

    • @nurummashaka6206
      @nurummashaka6206 4 роки тому +1

      Haina haja ya kulindwa uwepo wako unamaana japo bado wanapingana na ukwel ila kwel itasimama

    • @kingwigo2961
      @kingwigo2961 4 роки тому +1

      Kweli KABISA msimuliaj hachagui upande Enyii kaki kijani NA manjano mmmeina nyekundu ile pale. #the verteller

  • @shabannyamsalika8959
    @shabannyamsalika8959 4 роки тому +6

    Hujawahi kukosea mkuu 🙌🙌🙌

  • @pablo-xb7ci
    @pablo-xb7ci 4 роки тому +24

    Hiv kweny industry hakun mtu mweny passion ya hiphop tukafungua media zet tuwe tunapiga ngoma hardcore maan media za bongo zishawacorupt akil waskilizaj wao kutuamnisha wakina ngwea,billnass na wakina dgo janja n wakina best rappers 😃😃inachekesha lakin pia inaudh kuon vichwa kama hamisi mistari, ghetto ambassador, incredible,shaolin seneta na wakina dizasta vinna wanachukuliwa for granted 😭😭it pains me a lot

    • @ramadhanimnyambika8003
      @ramadhanimnyambika8003 4 роки тому +2

      Wazo konk sana cogrant

    • @hamismohamed3541
      @hamismohamed3541 4 роки тому +2

      Yani niwachache wanaoona mbali Kama ww tumechoka mingoma yakiwaki akat kuna watu wanajua nawanachukuliwa pw

    • @pablo-xb7ci
      @pablo-xb7ci 4 роки тому +1

      @@hamismohamed3541 thanks bro
      But something has to be done
      Hii industry bongo ishakuw corrupted

    • @hamismohamed3541
      @hamismohamed3541 4 роки тому +1

      @@pablo-xb7ci kweli man

    • @binyezanch8271
      @binyezanch8271 4 роки тому +1

      Media zishateka soko la music industry ndo maana asipoimba diamond kiba au harmo unaonekn sio msanii unazngua tu ila skweli ubaya umefunika uzur mpaka matus watu ndo wanaelew inauma

  • @noelfanuel9496
    @noelfanuel9496 4 роки тому +4

    Nomaaa xn mzee bonge la intro cjui yaliyomo yatakuaj naixubr december kwa hamu tuombe Mungu atufikixhe

  • @nelsonemmanuel2588
    @nelsonemmanuel2588 4 роки тому +2

    Kipaji chakipekee kwenye hii sayar mungu akupe afya kwenye nyama damu na mifupa uishi sana dizasta

  • @saidharuna3813
    @saidharuna3813 3 роки тому

    Aiisee ngoma nzur dizasta vina ndo msani nae muelewa bongo nakubali kaka

  • @qoberconstant1828
    @qoberconstant1828 3 роки тому +1

    Linden ghala la maji na chakula
    Lkn mcsahau kumlinda msimuliaji ni afya...kaka kutunga anawez kutunga mtu yeyote ila acha niseme wewe unaghani mashairi y hip hop

  • @pablo-xb7ci
    @pablo-xb7ci 4 роки тому +16

    My best mc of all time,earth dont deserve you
    Let's go to mars bro👽

  • @gwandumimtuhuru189
    @gwandumimtuhuru189 3 роки тому +2

    Si ya kukosa hii album..msanue na mwenzio nae amsanue mwenzake mwisho wote tuwe tumesanuka

  • @octavianmushi928
    @octavianmushi928 4 роки тому +1

    Dah bro nakukubali sana Mungu azidi kukulinda...

  • @barakaboniface3951
    @barakaboniface3951 4 роки тому +34

    Mmmmhhhh...Christopher Hitchens...Lawrence Krauss...Yani kuwataja hao tuu, unanipa haja kubwa ya kusikia yaliyomo humo...This is what we want to hear, this is what we want to buy....Tell us if we can pay prior to release. Supporting you is the best response we can give you. Be blessed.

  • @ramadhanimadauda-zb2yw
    @ramadhanimadauda-zb2yw Рік тому

    Oya tofali la kuchomaa eeeh ....wew ni cheche chaliii wnguuu

  • @jelitochale4310
    @jelitochale4310 3 роки тому +1

    Iseeee mwamba unajua sanaaaaaa

  • @deviceboykifaa5985
    @deviceboykifaa5985 3 роки тому +1

    myaka buku mzeee nakubalii

  • @kangeyg6879
    @kangeyg6879 4 роки тому +1

    Dizasta kwa vina kweli ww ni kioo cha Jamii uandishi wako kweli una elimisha na kuhamasisha kote duniani.... pongezi tele shabiki wako toka kenya 💯💥🇰🇪

  • @hamisinanyata2557
    @hamisinanyata2557 3 роки тому

    Duuuh umeamua kutufungua ubongo wetu kwel kwa kwel. Binafs nimekuelewa vizur kabisa DIZASTA VINA.

  • @seifbagilo2516
    @seifbagilo2516 4 роки тому

    Wale wenye kb28 memory vichwan mwao hawata toka na kitu hapa but ujumbe mkubwa umekaa kwenye maandish machache good Sana this is unique

  • @blesswiliam1557
    @blesswiliam1557 3 роки тому +1

    Dah, Kiukweli DIZASTA VINA ni mtu mwenye kipaji cha tofauti sana na sijapata ona Utunzi kama wa huyu mwamba kwa msanii yeyote Hapa TZ, simaanishi kwamba Hip Hop Artist wengine hawafanyi vitu ila Vitu vya Dizasta ni Vya tofauti sana wengi wanafanya vitu vinavyo lingana ila Tungo na Mashahiri ya Dizasta ni yakipekee mno. SHukrani na Pongezi Kwake.

  • @datiusdesdery2995
    @datiusdesdery2995 3 роки тому

    Much respect.....t...u.....tungo nzito kama ngum ya mbeba vyuma.

  • @nichorausmubhilizi4850
    @nichorausmubhilizi4850 3 роки тому

    Hongera sana,unaijua sanaa na fasihi kwelikweli.

  • @saidharuna3813
    @saidharuna3813 3 роки тому +1

    Dizasta the king hipo hapo

  • @simonno.1lemaronakasingleb526
    @simonno.1lemaronakasingleb526 Рік тому +1

    This Young man is more than a rapper, He is a philosopher. Si kila mtu atamuelewa inatakiwa ubongo kubwa. Pongezi bro

  • @abdallahissa7240
    @abdallahissa7240 4 роки тому +1

    Daaaaah sina cha kuongea

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 4 роки тому +3

    Hii kwangu ni ngoma Bora na video bara Zaid mwaka huu...

  • @staminachrissteve2569
    @staminachrissteve2569 4 роки тому +5

    A big shout out to you Mr Verteller. That's extraordinary from you!!

  • @cosmoantonio5682
    @cosmoantonio5682 4 роки тому +5

    An educated mind in an uneducated society... 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Stand up for this genius 👏🏾👏🏾👏🏾

    • @kyataonline5262
      @kyataonline5262 11 місяців тому

      kilio chetu , asikike katika media !

  • @woltamdete3873
    @woltamdete3873 4 роки тому

    Tungo zako zinaishi mkuu #dizasta vina ni habari nyingine

  • @rodrickmungure7854
    @rodrickmungure7854 3 роки тому +1

    You need to write a book brother.,That mind of yours are worth to other generations ahead.. 👍

  • @nyotamy3678
    @nyotamy3678 4 роки тому +2

    Daaah.... Unaandika Sana Kaka..
    You always think big and more and more... Beyond. And not just ended up think.. but you tell it.
    God bless you nigga.

  • @nassraja
    @nassraja 4 роки тому +11

    This album should be taught in a university!!!

  • @kingbcm9408
    @kingbcm9408 3 роки тому +3

    💣💣💣 VERTELER .. once you said "Rappers wanajua kuRap Ila vichwani ni watupu, hawana vision ......." #vina more years champ

  • @husseinabdallah3358
    @husseinabdallah3358 3 роки тому

    Dah aiseh Professor tungo sina swali.....!Dizasta ni Dizasta....

  • @zachariavahaye7351
    @zachariavahaye7351 4 роки тому +2

    ....mabibi na mabwana ni the verteller🔥

  • @binyezanch8271
    @binyezanch8271 4 роки тому +2

    Hahhhhh hujawahi kosea mkuu 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 tumeipokea na tunaihitaji

  • @gilonmbuba972
    @gilonmbuba972 4 роки тому +2

    D kazi zako ni hatarii aisee

  • @shukranihamisi9989
    @shukranihamisi9989 3 роки тому +2

    hisiia kali

  • @bravotalkinitiative2607
    @bravotalkinitiative2607 4 роки тому +9

    Disaster vina havina ukata✊💪💯

  • @maishaforreal7798
    @maishaforreal7798 Рік тому +1

    Najifunza mwalimu

  • @beatusmwakabilile6889
    @beatusmwakabilile6889 3 роки тому +1

    Dizasta vina hakika una vina vikali I see you international soon

  • @maximilianmtende9553
    @maximilianmtende9553 4 роки тому +2

    Bila unafiki....nachukua nafasi hii kusema kwamba hii ndo thamani ya X ambayo nyanda za juu kusini tumekuwa tukiitafuta kwa muda mrefu sana hasa kwenye mziki wa HIP HOP ....siandiki haya kuteka hisia za watu wakufatilie ila najaribu kukuonyesha unacho kifanya ni kikubwa na tunao kusikia tunajifunza na tupo pamoja na wewe

  • @fanikishashoppingmall
    @fanikishashoppingmall 4 роки тому +2

    Daaah Moto huu, hadi nimeona December mbali sana, naisubiri album

  • @willinjowritter206
    @willinjowritter206 4 роки тому +3

    King bring it on that album bro.. much love and blessings from KENYA.

  • @kelvinshayo608
    @kelvinshayo608 4 роки тому +2

    Dar ujawah niangusha mzee
    #Hip Hop 4 life 🎵

  • @fredrobnson4599
    @fredrobnson4599 3 роки тому +1

    Verteller..Mabibi na mabwana

  • @UU_ONLINETV
    @UU_ONLINETV 4 роки тому +1

    vichwa hivi vmebak vchache duniani tuwashikilie ndio ukombozi wetu wa kifikra kupitia wao akina dizasta vina one love bro✌🏾✌🏾✌🏾

  • @pst.AngeMwande
    @pst.AngeMwande 4 роки тому +1

    Baba la baba nakuelewa sana achiaaa mambo tulimic hizi tungo baba kama vipi Sikh moja Fanya kikaoni2 haha

  • @ramadhanimnyambika8003
    @ramadhanimnyambika8003 4 роки тому +1

    Vina konki dizasta vina tungo kaali sana broo hongera kiswahili fasaha kimetawala ndani ya nyimbo

  • @wilsontonga3728
    @wilsontonga3728 4 роки тому +1

    ubongo wangu utake nini sasa, maana chakula cha ubongo kimefika na kina virutubisho vyote. ahsante dizasta vina

  • @jaymbawala1314
    @jaymbawala1314 3 роки тому +1

    Disaster anajua ten anajua sn👏👏

  • @eliascharles5414
    @eliascharles5414 4 роки тому +1

    Madini adimu congratulation bro

  • @kushmanandrew8669
    @kushmanandrew8669 3 роки тому +1

    Nakubali broo

  • @riziqkimbeho2952
    @riziqkimbeho2952 3 роки тому

    Daaaah we mwandishi boraaa

  • @lucassamweli5416
    @lucassamweli5416 3 роки тому +1

    Mzee baba mungu akutangulie, tufundishe tujifunze, tufundishike tuelimike,

  • @tinotairo
    @tinotairo 3 роки тому +1

    Damn!! The Swahili power is back, unaibeba fasihi yetu mgongoni mwako, ndo nimekuona leo lakini, hisia zinanionyesha safari yako ndefu ya mafanikio!! Fanya na fanya tena, tupo nyuma yako!

  • @isaacbhudoma8750
    @isaacbhudoma8750 3 роки тому +1

    Kaki nyekundu na manjano ,,, ccm , chadema na nccr mageuzi,,, nyekundu ni damu 💪🏿💪🏿💪🏿💪🏿

  • @Joshi-LastKing
    @Joshi-LastKing 4 роки тому +1

    Washkaji msikilizeni sana dizasta

  • @kikwafrank5030
    @kikwafrank5030 2 роки тому

    Jamii imeshiba sana ujinga ,that is the reason mm sio maarufu!!
    Big up sana bro!!

  • @jacobkamwela1047
    @jacobkamwela1047 3 роки тому +2

    My love for hip hop is enormous nakubali disaster
    Uandishi mzuri
    Nice rap

  • @simonsweka7305
    @simonsweka7305 3 роки тому +1

    27...tunasubili itakuwa saa ngpii

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 4 роки тому +2

    This should be played on a radio... cyo zile za kababaye

  • @angelapeter1465
    @angelapeter1465 3 роки тому +1

    i love you Dizasta vina ukweli yako inachoma

    • @dizastavina
      @dizastavina  3 роки тому

      Thank you so much, the feeling is mutual...

  • @leonardtiato5094
    @leonardtiato5094 4 роки тому +1

    Hip hop ndio iko huku ..

  • @oskenterprises9361
    @oskenterprises9361 4 роки тому +3

    Walo okota sifa wakati wakidondosha kweli nimeelewa sn mqr

  • @untouchboymsafi1788
    @untouchboymsafi1788 4 роки тому +2

    Msanii wangu wa muda wote 💥💥💥💪

  • @dommie444
    @dommie444 4 роки тому +3

    Single line is like an entire verse
    Best mc of all time.

  • @nestoryemmanuel210
    @nestoryemmanuel210 4 роки тому +1

    Mweny kaz yak kafanya kaz.
    big respect bro💪💪👏👏👏👏👏👏 n mwendo wa mashiko na hoja zenye ujazo mwng

  • @joemicrpg
    @joemicrpg 3 роки тому

    SAFI HII ENDELEZA SAFARI HII MKUU.🔥🧠🎧✍🏿 #SHULE PANA

  • @askarikamaaskari1936
    @askarikamaaskari1936 4 роки тому +1

    me mwenyewe nita iview mpaka nifkishe one milion maana wengi wetu uku ni mamluki tuu?

  • @dullywamashairi121
    @dullywamashairi121 3 роки тому +1

    Tunaisubiria December, cku km zimeganda vile!! Wee mwamba hauishi kbs ktk dunia tunayoishi sisi
    💪💪

  • @josephelias8805
    @josephelias8805 3 роки тому +1

    Great thinking bro

  • @philimonambilikile3231
    @philimonambilikile3231 4 роки тому +1

    Duu dizasta unaweza kaka hunaga kujitapa zaidi ya kunena kweli hakika ipeleke hip hop mbele

  • @adamc2311
    @adamc2311 4 роки тому

    Fanya mapema, tupate mzigo,,,

  • @kidstertariq3309
    @kidstertariq3309 4 роки тому +2

    Always My best Mc& The best mc Haipingiki Disasta ni genius

  • @shamimulugoya950
    @shamimulugoya950 3 роки тому +1

    Wizara ya Elimu wakae na Dizasta wajue wanafanyaje..

  • @al-qadivumwavu3727
    @al-qadivumwavu3727 4 роки тому +2

    Oya IQ kubwa unayo umetxha future Qali

  • @bobbymunda5108
    @bobbymunda5108 4 роки тому

    ✌✌ Vina hua hakosei kamwe

  • @ibrahimnjohole6055
    @ibrahimnjohole6055 4 роки тому +1

    Dizasta....Dizasta......Dizasta.Daaaaaaamn.The best underground mc ever.Maneno hayajitoshelezi kukuelezea ni jinsi gani ulivyo na uwezo wa kufikiri na kuchora mashairi.Maana halisi ya MC (Hip Hop).Hivi vitu natamani na wengine wajue walau kwa udogo kama sio kwa ukubwa huoooo Kama wanavyo wasikiliza watu wao.Unajua mnooooo.M/mungu akubariki sana mzee katika kipaji chako.🙏🙌👏

    • @nichorausmubhilizi4850
      @nichorausmubhilizi4850 3 роки тому

      Watu ni wachache siku hizi,ukiwasikilizisha nyimbo hizi wanatukana.
      Hawataki kuzielewa washazoe mond na kiba

  • @shaddyqualityfurniture3595
    @shaddyqualityfurniture3595 4 роки тому

    Daaah wewe ni zaidi ya profesa, hizi tungo zikaekwe katika maktaba ya TAIFA, watoto na wajukuu zetu watakuja kuzitumia. MUNGU ABARIKI KAZI ZAKO.. media zingejua zingepiga nyimbo hizi yaani hata KK HAWAONI NDANI KWAKO BRAZA, MIMI shaddy nime 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿

  • @shabaniadolph7367
    @shabaniadolph7367 3 роки тому +1

    Brilliant

  • @ntimikk
    @ntimikk 4 роки тому +5

    Art of Storytelling !! Kudos chief

  • @MKEKAWAKUDESA
    @MKEKAWAKUDESA 4 роки тому +3

    This is more than enough, more than rap,more than education, it's beyond revolution. Keep the spirit alive, God may be speaking through you.

  • @bernardomgongole5675
    @bernardomgongole5675 4 роки тому +1

    Hip hopppppppp🔊🔊🔊🔊

  • @manigamsela369
    @manigamsela369 3 роки тому

    Asiye jua hitoria huweza kuludia kosa

  • @poolwiztz6118
    @poolwiztz6118 2 роки тому +1

    Salute bro

  • @kinjeketilewaii654
    @kinjeketilewaii654 4 роки тому +2

    Ahsante

  • @Gomsrap
    @Gomsrap 4 роки тому +6

    Bro You Got An Extraordinary Brain, Respect

  • @skm1143
    @skm1143 4 роки тому +1

    Sensitive content and touched

  • @winfredykahwili1513
    @winfredykahwili1513 4 роки тому +1

    Nakukubali Sana mwamba ww ni 🔥 Sana apana machezo

  • @mulanmike1997
    @mulanmike1997 4 роки тому +1

    mzazi tangu kizaziii

  • @barakamshiu7146
    @barakamshiu7146 4 роки тому +2

    Consciousness

  • @KelvinEmersonSteven
    @KelvinEmersonSteven 4 роки тому +1

    Hatari sana msimuliaji🔥🔥🔥