KWENYE MAFANIKIO HUWEZI KUKWEPA VITA - JOEL NANAUKA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 лют 2024
  • 🔥🔥🔥 Unataka KUJIFUNZA Zaidi? Nenda hapa: joelnanauka.selar.co 🔥🔥🔥

КОМЕНТАРІ • 103

  • @user-hp6hx6ev8b
    @user-hp6hx6ev8b 5 місяців тому +15

    Asante kaka hii topic nimeilinganisha na ule msemo wa jamaa angu siku za nyuma ni "Ukiona eneo unalijitafutia liziki huna maadui basi jua kabisa itakuchelewesha sana kupata mafanikio', ama nenda sehemu ingine.

  • @aishamsemwa-zu3eo
    @aishamsemwa-zu3eo 5 місяців тому +5

    Yaani kama umeona yanayo nikuta kaka yangu,yote unayoyasema nayapitia ila namshirikisha Mungu na ninamshukuru sana ananisaidia na anazidi kuniinua kila siku

  • @monicakauky8914
    @monicakauky8914 2 місяці тому +1

    Nimeshawahi kukutana na vita yakifamilia Mungu akanisaidia nikashinda.

  • @user-kj4ik9bo5o
    @user-kj4ik9bo5o 2 місяці тому +1

    Nilikuwa na rafiki angu nilipoanza kufanikiwa alinitangazia vitu vichafu kweli kaka uko sahihi san

  • @mazwichannel2120
    @mazwichannel2120 5 місяців тому +5

    Mimi kuna mahali nilifanya kazi bosswangu alikuwa ananipenda sana na ananituma kazi zote yan nilichukiwa na watu na nikawa napigwa vita adi yule boss akanihamisha.Pia mimi napigwa vita sana na ndugu zangu yan inafika hatua unakuta wote wananisemea mabaya na kunichukia wanadai kuwa mama ananipenda mimi tu na kuniskiliza mimi tu kwaiyo wanamwambia mambo mabaya ili kunihusu yamuumize na anichukie.Yan walishafanya maranyingi ila nimekuwa nikiendelea kumuomba Mungu anipiganie katika vita iyo.
    Asante Kaka joel nimeanza kukufatilia mwezi huu ulianza ila nishaona umenifungua mambo mengi.Mungu aendelee kukutunza

    • @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj
      @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj 5 місяців тому

      Ah, HIYO YA KAZINI, ILINIUMIZA SAAANA. PILI HIYO YA KWENYE FAMILIA, NDIO VITA HAAASA! HASA WAKITAKA KUKUDHULUMU, WAKASHINDWA, VITA SIO YA KITOTO! JINA LAKO LITAMWAGIWA SUMU, ILI UTENGWE, UTATAFUTIWA KESI, HATA MTU ANAFIKIA KUMWAMBIA MTU AKUSHTAKI, ILI ETI AMSAIDIE KUMWEKEA WAKILI! MWENYEZI MUNGU TUU, UNAPOSIMAMIA MAOMBI NA UKWELI, BASI MISHALE INAWARUDIA. NI KAZI SANA KWENYE MAISHA.

  • @user-sf7by1cr5h
    @user-sf7by1cr5h 4 місяці тому +1

    Mm napenda sana mafunzo unayo tupatia mungu akubariki sana

  • @user-tm6yo3vg4j
    @user-tm6yo3vg4j 5 місяців тому +1

    Ubarikiwe mwalim utafanyaje kuepuka vitaa kweny masomoo

  • @kisesagroup4730
    @kisesagroup4730 5 місяців тому +1

    Duh kweli brother vita ni kubwa but never never give up

  • @user-om7pl9xm4s
    @user-om7pl9xm4s 3 місяці тому

    Yeah 👍,,,,,,🪂🤔 exactly........... secretly from out of the box.🙏🙏✍️Be multiplied.............umegusa ikulu ya moyo wangu.

  • @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj
    @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj 5 місяців тому +1

    MAKAZINI, UKIKOSA KIFO NA UKATOKA SALAMA, UJUE NI MUNGU TUU ALIYEKUPIGANIA. BIG UP BROTHER 💪

  • @sundaymjusi2272
    @sundaymjusi2272 5 місяців тому +2

    Asante sana kwa hii pia kaka Mungu akuweke miaka elfu na elfu ❤❤

  • @ZainabuEmmanuel-vs2mo
    @ZainabuEmmanuel-vs2mo 3 місяці тому

    Kweli kabisa unachokisema vita ni ngumu sana kuiepuka

  • @user-wh4gs8wj1z
    @user-wh4gs8wj1z 5 місяців тому +1

    Àsante sana kwa SoMo lenye kiwango❤

  • @nuuali8724
    @nuuali8724 5 місяців тому +1

    Asante kwa elimu napenda san kukusikiliza mna wanipa moy n kujiona nawez everthing is possible❤❤💪

  • @nestoryvenance4258
    @nestoryvenance4258 2 місяці тому

    Asante nime eliwa kwenye swala la ushawishi

  • @prisilatarimo7454
    @prisilatarimo7454 5 місяців тому +1

    Ahsante sana kka joely ,mmi nlifunguwa biashara mwakajana nilikutana na vita ya aina hiii yote ulosema yalinikuta had mwisho alitamka amejipanga kuniuwa mmi na watoto wang ., baadaye nlimchukulia sheria baada ya matishio makubwa mno. Baada ya hapo nilimwamin Mungu na sasa naendelea vizur na biashara yang japo vita bado ipo

  • @user-wy7zl2vr6k
    @user-wy7zl2vr6k 5 місяців тому +2

    Saluti kwako, ushauri mzuri tunajionea kweli humu makazini , Allah Awalaani wanao fanyia wenzao ufitini

  • @user-qh2ef5gj5b
    @user-qh2ef5gj5b 4 місяці тому

    Daaa ndungu yote ayo ninayo asante kwa kunifungua kichwa asante sana

  • @furahasweya7433
    @furahasweya7433 4 місяці тому

    Barikiwa kaka Joel. Vupemgele vyote vya vita vinanihusu. Mungu anitetee. Asante kwa mafundisho

  • @jumbewatson8639
    @jumbewatson8639 4 місяці тому

    Asanteh kwa kutuweka sawa.....mimi hili swala limewah nkuta upande wa rafiki zangu kaddha wote kwa pamoja kufarakana. Na kila tulie kosana nae ulikuwa upande wa fedha.....daaah

  • @user-xn4fe2dy5s
    @user-xn4fe2dy5s 5 місяців тому +1

    Thanks brother.

  • @user-ic1ty9pw8m
    @user-ic1ty9pw8m 2 місяці тому

    Nimekutana kaka.

  • @194summer
    @194summer 5 місяців тому

    Ubarikiwe mt,mimi ni ushawashi unaniletea vita sana

  • @erastohongerasanasamamagor7939
    @erastohongerasanasamamagor7939 5 місяців тому

    Nakufutilia nikiwa mwanza nakuelewa sana mkuu .

  • @minaaminaa1781
    @minaaminaa1781 5 місяців тому

    Hata ukipendwa na mume wako pia ...asantee nilikua nashangaa

  • @user-sf7by1cr5h
    @user-sf7by1cr5h 4 місяці тому

    Mm nimekutananavyo sana nishida kaka

  • @joyceLukumay-lw1gi
    @joyceLukumay-lw1gi 3 місяці тому

    Nguvu kubwa ndani yangu ni kuishi kwa misimamoo yangu mwenyewe but Kuna mtu nashidwaga kuwa endelevu

  • @fredyelisha2686
    @fredyelisha2686 5 місяців тому

    Duh nashukuru sana kaka Joel hakika niko chuoni najifunza mambo mengi kutoka kwako God bless you 😊😊❤

  • @user-er7mo5bq5s
    @user-er7mo5bq5s 5 місяців тому

    Asante kwa ujumbe kiranapo kuskiliza napata hamasa Sana ndugu

  • @clemencehaule3857
    @clemencehaule3857 5 місяців тому

    Saizi, napitia kipindi hicho Cha vita, hakika uliyoyasema ni kweli tupu

  • @keviolotu
    @keviolotu 3 місяці тому

    hii naipitia Mimi sahivi

  • @user-my9fj8jv3q
    @user-my9fj8jv3q 3 місяці тому

    So nice kaka

  • @magrethkassian5235
    @magrethkassian5235 5 місяців тому

    Ni kweli maisha ni vita mie pia ilishanitoke kazini

  • @kisesagroup4730
    @kisesagroup4730 5 місяців тому +1

    Absolutely true

  • @user-je2tm9gz8l
    @user-je2tm9gz8l 5 місяців тому

    Asante sana mkubwa ndio mimi imeshawai nitoneya nilipedwaka sana na boss mkuu wetu kazi akachukiya sana

  • @user-qy7wv3xv4o
    @user-qy7wv3xv4o 5 місяців тому

    Umesema kweli kabisa mm nakumbuka Kuna eneo flana nimehamisha maji nikayaelekezea njia nyingine, mwanzo walinicheka sana wakisema maji hayahami wakasema navuta bangi huwezi kuamini Leo hio sehem ilivyofaa kumeibuka vita vikali mno namtu anayepataka saivi aloo nitajir ila huwezi kuamini nivita mpaka haya SS.

  • @MethodNdekele
    @MethodNdekele 5 місяців тому

    nimepitia hayo kaka Asante sana kwa somo lako

  • @StambulMohmmedi
    @StambulMohmmedi 15 днів тому

    Nimewah kukutan na vita y ushawish

  • @ninjaisma7983
    @ninjaisma7983 5 місяців тому

    Broo uko sahihi sana be blessed kwa kutebgeneza video za maisha yetu ya kawaida

  • @user-je2tm9gz8l
    @user-je2tm9gz8l 5 місяців тому

    Nashukuru kwaku nitambulisha aina vitu hivi mungu akubariki

  • @user-lp1vd8rl9y
    @user-lp1vd8rl9y 5 місяців тому

    Yamenikuta mwaka jana, ahsante kwa elimu nzuri

  • @SulleymanOmary
    @SulleymanOmary 4 місяці тому

    Well broh

  • @lucianambalamwezi1864
    @lucianambalamwezi1864 5 місяців тому

    Yaanii kaka kiukweli ninethibitisha hata sikuamini jamani Mungu akubariki

  • @user-nl2wq1go8o
    @user-nl2wq1go8o 5 місяців тому

    Asante kw nasaha takatif- Mr Joel

  • @user-vs3bc3yy4v
    @user-vs3bc3yy4v 5 місяців тому

    Asante Kaka ilenikweli'miminikwenye ushawishi

  • @Furaha-Dokela
    @Furaha-Dokela 5 місяців тому

    Tangu nikufahamu nakufatilia sana... Blessed man of God.

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 місяців тому

      Ameen Furaha ahsante sanaa🙏

  • @user-gh9oh6mt5o
    @user-gh9oh6mt5o 5 місяців тому

    Asante sana

  • @herimailo8183
    @herimailo8183 5 місяців тому

    Kaka sisi tunakuombea Mara kwa Mara ili tutimize malengo yetu.mungu akulinde.

  • @sircomplextz
    @sircomplextz 5 місяців тому +1

    ishi na kanuni hii " Usiache kufanya hicho unachokifanya hata kama unapitia vita ngumu kiasi gani" kwasababu ukiacha, huenda ukawa mtu wa hovyo sana kuliko ulivyokuwa

    • @happyvalence5352
      @happyvalence5352 5 місяців тому

      Asante @ sircomplextz. Hakika nitaendelea mbele kufanya nifanyayo japokuwa vita ni Kali sana. Ila naona naenda level nyingine. Maadui ni wengi sana ila ntashinda.

    • @user-qx9cv8hw2h
      @user-qx9cv8hw2h 5 місяців тому

      ​@@happyvalence5352never give up 💪 pambana

  • @franksamson1718
    @franksamson1718 5 місяців тому

    Mambo ni mengi tumepitia kaka ila mungu anatupigania sana.

  • @Sumay228
    @Sumay228 5 місяців тому

    Yamenikuta sehemu zote mpaka nilipogundua hili

  • @EsterJames-sk4te
    @EsterJames-sk4te 5 місяців тому

    Ukweli kabisa...Mimi nmekutana na hiyo ya influence

  • @bernadetachari7648
    @bernadetachari7648 5 місяців тому

    Pesa huwakosanisha watu sana mwalimi

  • @mahwabashiri5467
    @mahwabashiri5467 5 місяців тому

    Fita ni fitaa Muraaa

  • @user-jb5tb7qq5f
    @user-jb5tb7qq5f 5 місяців тому

    Shukrani sana tupo pamoja

  • @user-gk6nb6oo8v
    @user-gk6nb6oo8v 5 місяців тому

    be blessed mtumish for inspiration

  • @user-fh4ql8ed1k
    @user-fh4ql8ed1k 5 місяців тому

    Umeniongezea maarifa

  • @aggreysports-tc3sd
    @aggreysports-tc3sd 5 місяців тому

    Thanks nimebarikiwa kiukweli

  • @davismballa
    @davismballa 5 місяців тому

    Kila nikihisi kukata tamaa kipindi napitia nyakati ngumu basi video zako zinanipa nguvu sana ya kuendelea au kurekebisha nilipokosea. Brother Joel umekuwa Mentor wangu mzuri sana natumaini i will meet you at the top🦾

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 місяців тому

      Ameen nashukuru sana sana, songa mbele

  • @radaonlinetv1922
    @radaonlinetv1922 5 місяців тому

    Hongera sana

  • @HassanAbdalla-is3xl
    @HassanAbdalla-is3xl 5 місяців тому

    Asante sana broo na mshukuru Mungu kukufahamu najifunza sana kutoka kwako

    • @bushimani1544
      @bushimani1544 5 місяців тому

      Type mbinu mkuu ujumbe umefika mbinu ndio atujajua tasingie kwenye mitego from bush man

  • @aderiderkihupi7240
    @aderiderkihupi7240 5 місяців тому

    Barikiwa sana

  • @sharfatyally7224
    @sharfatyally7224 5 місяців тому

    Your so Amazing 👏

  • @eveabasi2469
    @eveabasi2469 5 місяців тому

    Mi kwenye familia yangu wananipiga vita sana na kwa wakwe zangu kwa sababu nikiongea wananisikiliza. Kwa hiyo baadhi ya ndugu zangu na kwa mwanaume hawanipendi wanadai mi napendelewa

  • @user-iz9ci4rs3d
    @user-iz9ci4rs3d 5 місяців тому

    Ahsante sana

  • @ahz6907
    @ahz6907 5 місяців тому

    Msemo maarufu : "PENYE RIZIKI HAPAKOSI FITINA"

  • @daprince7545
    @daprince7545 5 місяців тому

    Siku moja sikwenda kazi, kumbe siku hio kulikua kuna chaguliwa supervisor. Jina langu lilitwajwa kua kuanzia leo supervisor weni ni flani. Siku iliyo fuatwa nilienda kazi, baada ya miezi miwili wahindi walinipiga vita mpaka wakashindwa

  • @stanleyandrea5153
    @stanleyandrea5153 5 місяців тому +1

    Kuna wakati na wanaokupenda wanataman upate ushindani ili waone nguvu Yako imeishia wap. Ukishinda tu basi wataendelea kukubali na kukuongezea thamani ..

  • @kuruthumukondo7149
    @kuruthumukondo7149 5 місяців тому

    Shukrani kaka❤❤

  • @user-xd2wb3mz9y
    @user-xd2wb3mz9y 4 місяці тому

    Thanks 🙏

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 5 місяців тому +1

    Af Kuna ile Vita ya nani ale maini na firigisi pale kuku akichinjwa home.. . 😢

  • @Abwe_1
    @Abwe_1 5 місяців тому

    Hayo ni ukweli halisi wa mambo.

  • @stephenjonas4866
    @stephenjonas4866 5 місяців тому

    Always high

  • @emanuelalfred5194
    @emanuelalfred5194 5 місяців тому

    Kwa kwely kaka unatoka madini

  • @Jrmontaiza
    @Jrmontaiza Місяць тому

    💥☑️

  • @user-kr1rj2ju2b
    @user-kr1rj2ju2b 5 місяців тому

    Nimepitia hayo yote matatu,moyo bado wavuja hata sasa,ila nimemuachia mola.anipe mwanzo mpia.

  • @tumainselestine3398
    @tumainselestine3398 5 місяців тому

    No 2 vita ya Pesa

  • @washhjojo4840
    @washhjojo4840 5 місяців тому +1

    🙌

  • @GreatCalmtz
    @GreatCalmtz 5 місяців тому

    Mimi nimepigwa Vita kazn kwa sababu ya nafasi niliyonayo Ila nimeshinda

  • @paulissayapaul4819
    @paulissayapaul4819 5 місяців тому +2

    Akika akuna ushindi bila kushindana

    • @joelnanauka
      @joelnanauka  5 місяців тому +1

      Kabisa Kabisa 💪🏼

    • @paulissayapaul4819
      @paulissayapaul4819 5 місяців тому +1

      Asante Kwa kunipa mwanga ingawa sikujuwa thamani yangu ya maisha Iko wap thanks Joel Kwa kunipa taa inayo ona Bali kuliko kalibu

  • @alfredshafii2413
    @alfredshafii2413 5 місяців тому

    Somo zuri na limeeleweka barikiwa Sana. Je kuna namna yakufanya inapotokea vita kama hii?

  • @alexlucas1571
    @alexlucas1571 5 місяців тому

    Amen

  • @priscalongo6090
    @priscalongo6090 5 місяців тому

    Fact

  • @faudhiasalum7279
    @faudhiasalum7279 5 місяців тому

    🙌🏿

  • @ladslauspius4845
    @ladslauspius4845 5 місяців тому

    🤝

  • @judithgodfrey6503
    @judithgodfrey6503 5 місяців тому +2

    Ni hakika kabisa kwamba maisha ni vita. Hata neno la Mungu linasema ufalme wa Mungu ni nguvu na wenye nguvu ndio watakaouteka. Ila hizi levels na sababu za vita nazo ni dhahiri zipo. Hawa watu wa aina hizo pia wapo.
    1. Anakuwazia mabaya
    2. Anakunenea yasiyofaa
    3. Anakutendea yasiyofaa
    Mwisho kabisa anakaa kimya anasikilizia matokeo ya huo uovu wake. Ukimuona kama hajafanya kitu vile. Ni wabaya Sana watu wa aina hii. ( silent killers)

    • @user-gb5vz6wm2q
      @user-gb5vz6wm2q 5 місяців тому

      Shangazi yangu baba mmoja mama mmoja alianza kutufanyia hivi baada ya baba yetu kufa na kutuacha tukiwa na miaka 6

    • @aboubakarnzisabira3870
      @aboubakarnzisabira3870 5 місяців тому

      😅😅😂 3:26

  • @nicolauslazaro4069
    @nicolauslazaro4069 5 місяців тому

    Kwakweli kuwa karibu na boss kuna changamoto sana iliibuka vita ambayo sokuitegemea kabisa. Kwanza nikawa natengwa naonekana napeleka umbea kwa boss kumbe hamna ni ukaribu tu. Aysee umeongea fact sana. Sasa what is way forward with this challenge author?

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 5 місяців тому

    Mimi nilikuwa na ushawishi.mahali.sasa yule mwenye nafasi yake akaniundia tume Ili Ili kunichafua akanitegea mtego hatimae ikatiki uwo mtego Ili anizalilishe lakin amechemka kwamana mim Bado najiamin Sana tu vile vile kama mwanzo,,ila baada ya ule ugomvi nimetengana nae na sitaki tena ukalibu wake Wala simsaidii tena kwamana ni mnafki ,,na mungu amlaani Sana Kila sekunde Kwa unafki wake na roho mbaya yake wakati nilikuwaga namsapotig Sana kumbe ni mnafki tu,,

    • @ahz6907
      @ahz6907 5 місяців тому

      Pole.bora simba kuliko binadamu mnafiki😂

    • @jamilaathumani5481
      @jamilaathumani5481 5 місяців тому

      @@ahz6907 Asante kipenzi

  • @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj
    @HIACINTHAKYAUKA-uz5pj 5 місяців тому

    KAKA UMESEMA UKWELI USIOPINGIKA. HUKO KWA NDUGU NDIO SILENT KILLERS WENGI. WATAANZA KUUWA JINA LAKO, HALAFU CHUKI NI KUBWA, HASA KAMA WANAONA HAWAWEZI KUKUDHULUMU, AU KUKUNYANG'ANYA ULICHOKUWA NACHO. NI HATARIIII.