Prof. Kiukweli mm nakuelewa sana. Unajua angekuwa ni mzungu ndiye anayetufundisha tungekubaliana nae, lkn mwafrika mwenzetu Mwenyezi Mungu amempa uwezo tena Mkubwa kwenye mambo ya afya tunambeza. Jamani tubadilike tuthamini vya kwetu . Prof Congrats a lot. Naomba ufafanuzi prof ni kuwa kiporo hakitakiwi au sijaelewa vizuri.
Kwakwery me mwenyew siwezii mwaga wakat Kuna watu wanalal njaa wengin wanakitft usiku na mchan hawapati loo siwezii nakibamiza kiporo na maisha yanaso g na mwiko😂😂
Huyu bwana ni mtaalam,lkn adai kila kitu hakifai,hata juisi fresh ya matunda asema nayo ina madhara, sasa sijui labda chakula kitoke mbinguni maana vya duniani vote vina mashska
Nyie wasomi mnasoma ila hamtumii akili nyingi,zamani watu walikua wanaongoza kwa kula viporo na waliishi miaka mingi. Nyie mnaongelea ulaji badala ya kuongelea jinsi watu wanalima vyakula na kufuga mifugo kwa kutumia kemikali hatarishi ambazo ndio zinaongoza kwa kuleta magonjwa. Zamani tunahifadhi mahindi msimu mpaka msimu ila sahivi yalipekechwa yakewa shamba???

Wee jombaa acha kumbembeleza doctor asikataze kiporo kiporo ninoma haswa rokyo na kishanganya potezeya kwaanziya leo
Hivi huwezi kutoa mifano ya chakula vyetu vya kawaida kuliko kusemea OATS au BROWN BREAD. Au unazungumzia chakula cha professor?
Yaani kuacha kula kiporo mimi hapana maana chakula nimepata Kwa tabu siwezi kimwaga☺️
Kwakwery me mwenyew siwezii mwaga wakat Kuna watu wanalal njaa wengin wanakitft usiku na mchan hawapati loo siwezii nakibamiza kiporo na maisha yanaso g na mwiko😂😂
Hii mada ni ya matajiri kwa kweli.
Wenzenu tunaopata hicho chakula kwa neema,utaanzaje kumwaga???
Doctor samahani ukitumia asali je
Prof.Janab alikuwa anazungumzia yooote lkn alikuwa hagusii kiporo.nilikuwa nasema siku nikikutana nae lazma nimkumbushe umetusahau wala kiporo baba.😂😂
Doctor kwanini wajawazito hawaruhusiwi kula kiporo
Mbna sauti ipo chin naww
Huyu msabato.
Muislam huyo.Dr. Allhamdulillah
Mimi hula mlo mmoja kwa siku lakini sipungui naomba msaada Prof
@@magrethmanintveld5477 Tafadhali fika Hospitali ya Taifa Muhimbili Mloganzila ili uweze kufanyiwa uchunguzi wa kupima wingi wa mafuta kwenye DAMU
Mbona kama mtaalamu hana nguvu jameni,kama kachoooka vile!!!!!
Hhhh😂
Ndio atumia vyakula vya Braun na viazi 😂
Unene unakua hatari kwa wenye sukari
Huyu bwana ni mtaalam,lkn adai kila kitu hakifai,hata juisi fresh ya matunda asema nayo ina madhara, sasa sijui labda chakula kitoke mbinguni maana vya duniani vote vina mashska
Huyo nahis kaagizwa na kampuni ya vyakula.
IKIWA ANACHO FUNDISHA HUKIKUBALI BASI ENDELEA NA MILO YAKO ILA TUPO WENGINE TUNAFANYIA KAZI MANENO YAKE NA TUNAONA MABADILIKO.
Sijui kama unamaikiliza kwa makini au unasikiliza ili upinge.
Nadhani akili yako ndiyo ina shida , profesa yupo vizuri tu, na tunamwelewa, wewe endelea tu kujipigilia machakula yako
😂😂😂😂.
Nyie wasomi mnasoma ila hamtumii akili nyingi,zamani watu walikua wanaongoza kwa kula viporo na waliishi miaka mingi. Nyie mnaongelea ulaji badala ya kuongelea jinsi watu wanalima vyakula na kufuga mifugo kwa kutumia kemikali hatarishi ambazo ndio zinaongoza kwa kuleta magonjwa. Zamani tunahifadhi mahindi msimu mpaka msimu ila sahivi yalipekechwa yakewa shamba???
@@domymerinyo8165 Asante kwa. Maoni yako
Msomi ni nani???
@@edsoneliah2802 Prof...😅
Hilo nalo neno